Salim Ally - Mauti (Official Nasheed Audio).

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @salhiaadam5205
    @salhiaadam5205 Рік тому +5

    Inaniliza. Sijui itakuwaje. Mungu akuweke Salim Ally wetu😭😭😭

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  Рік тому +3

      Nimekabidhisha juhudi zangu na hisia zangu mikononi mwenu. Tafadhali nikumbukeni kwenye dua zenu. Ninawatakieni usikilizaji mwema

    • @mamzain2021
      @mamzain2021 Рік тому

      🤲🤲🤲

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 Рік тому +1

    Ya Rabbi tupe mwisho mwema na utuingize Peponi kwa Rehma zako🤲

  • @ibrahimammar7800
    @ibrahimammar7800 Рік тому +1

    Mashallah mwalim mara hii umekuja kivyengine ujumbe mzur lahani nzuri

  • @sharifathamid8205
    @sharifathamid8205 Рік тому +1

    Salim Ally jamani kipenzi changu 🤩🤩🤩🤩🤩😭😭😭

  • @BarakahSalum
    @BarakahSalum Рік тому +2

    Maa shaa Allah 😢 Allah atujalie MWISHO mwema

    • @mamzain2021
      @mamzain2021 Рік тому

      Aamiin aamiin🤲🤲🤲

    • @sharifathamid8205
      @sharifathamid8205 Рік тому +1

      Aamin na atujalie Pepo yake pamoja na Mtume wetu Muhammad SAW

  • @mamzain2021
    @mamzain2021 Рік тому +2

    Tunamuomba Allah sote atupe mwisho mwema na akatukutanishe tena peponi🤲🤲🤲

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  Рік тому

      Aaaaamin aaaamin yaa Rabbi

  • @SalmaOmar-qq4rk
    @SalmaOmar-qq4rk Рік тому +1

    Mashaallah salim ally👏👏👏

  • @rahmaothman8693
    @rahmaothman8693 Рік тому +2

    Mashallah tabarakallah fiy salim ally mungu atujaalie khusnulkhatima inshallah kwa uwezo wake🤲🤲🤲🤲

  • @aswhaabulnasheedzanzibar
    @aswhaabulnasheedzanzibar Рік тому +2

    Atupe kalima ya laila haillahaila Allah muhammad rasuluwah

  • @shabikiwasalimally1637
    @shabikiwasalimally1637 Рік тому +2

    Maasha Allah Salim Ally Mungu akupe khatma njema wew na sisi sote insha Allah.

  • @BMSChasasa
    @BMSChasasa Рік тому +1

    Tunamuomba allh sw atupe mwisho mwema atujaalie Janna tu firdaus hongera sana Salim ally kipenz inasikitisha sana 😭😭😭

  • @bilalkhamis_
    @bilalkhamis_ Рік тому +1

    Mashaallah ujumbe safi kabisa..... Yaa Allah tujaalie na sisi mwisho mwema.... Amiin 🤲🤲🤲

  • @KhamissLody-ew7fh
    @KhamissLody-ew7fh Рік тому +1

    INSHAALLAH 🤲 Allah atupe mwisho mwema kwa sote inshallah na atukutanishe peponi 🤲🥺🥺

  • @salumjumasaid1266
    @salumjumasaid1266 Рік тому +1

    All the best brother

  • @omarsheha9929
    @omarsheha9929 Рік тому +1

    Allah akujaalie mwisho mwema ww pamoja na cc akhyy🙏

  • @abuuhafswamunsheedu5790
    @abuuhafswamunsheedu5790 Рік тому +2

    Allah atupe Mwisho mwema 😰

  • @nasrashaban1691
    @nasrashaban1691 Рік тому +1

    Maa shaa Allah ❤

  • @Rasheedsheha
    @Rasheedsheha Рік тому +1

    Allah akubariki maarifa na ujuzi zaidi. Hongera sana kwa maudhui hii. Mungu atujaalie sote Khusnul Khatma.

  • @qaisomarmunshid8934
    @qaisomarmunshid8934 Рік тому +1

    😢😥😓😴 Allah atupe mwisho mwema🤲😭😭😭😭

  • @faidhamohd8779
    @faidhamohd8779 Рік тому

    Mashallah hongera sana kaka kwa kutukumbusha na sisi kua kila mmoja ataondoka hapa katika dunia Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwako

    • @SalimAlly
      @SalimAlly  Рік тому

      Aaamin aaamin ya Rabbi kwa sote inshallah na wew pia

  • @bindauud6596
    @bindauud6596 Рік тому

    Mashallah