Hii ni kufuru,haijawahi tokea,REMA leo amelipwa bilioni 7.9 kuimba wimbo mmoja tu kwenye harusi hii

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
    #middlesimba
    #WeAreEverywhere
    #Rema

КОМЕНТАРІ • 13

  • @IssaMgeta-ej6ue
    @IssaMgeta-ej6ue Місяць тому +6

    Like zangu wakunungwa, wa kwanza leo

  • @LandSilver
    @LandSilver Місяць тому +6

    Mmmh! Huyu dogo kawaka😮

  • @PrincePrinceDanielmsafiri
    @PrincePrinceDanielmsafiri Місяць тому +3

    Naomba like Leo na Mimi jaman❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 Місяць тому +3

    🎉🎉🎉🎉

  • @NdakhiSusu-qz9md
    @NdakhiSusu-qz9md Місяць тому +4

    Hatr

  • @sheebahchichi492
    @sheebahchichi492 Місяць тому +3

    It's there money

  • @amirjuma8020
    @amirjuma8020 Місяць тому +3

    Wafikiri n ww unamfurisha kichwa msanii wako na haja fika popote skia mambo ss kaanza juzi endelea kusifia ujinga watu wana onesha vitendo kma hivyo we baki na huyo nguli wako😅 kule manguli kwel wana piga hela

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy Місяць тому +4

    Huo ni Upumbuvu watu India wsnamaisha Magumu sana. Ningeona la Maana kama wangewasaidia watu wa India wenye hali Mbaya. That's Crazy

    • @kassimabussa6583
      @kassimabussa6583 Місяць тому

      Kweli kabisa umeongea ukweli India watu wengi wanateseka sana alafu anaharibu pesa nyingi sanaaa kwamambo ya ajabu sio vibaya lakini million miasita angetoa hata million miambili akasaidia

  • @lubogotv9811
    @lubogotv9811 Місяць тому

    Angefika mwambino sasa😂😂😂

  • @singelizoote
    @singelizoote Місяць тому

    Sasa Bilioni ni Tsh Ama Ksh Ama Dollars?????

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 Місяць тому

    Sasa ww endelea kusifia komasava na uchawa wako😂😂😂