Mtoto wa Bilionea Mukesh wa India anamiliki saa ghali Duniani, awashangaza Mark Zuckerberg na Mkewe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

КОМЕНТАРІ • 49

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 місяців тому +7

    Mashalah.. inshallah namimi mungu atanijalia Kila la heri

  • @johwilly8723
    @johwilly8723 7 місяців тому +13

    Wenye Dunia yao, wengine apeche alolo bola liende tu, ee Mungu tuangalie nasisi.

    • @denismasele4130
      @denismasele4130 7 місяців тому +4

      😂😂😂😂😂 hiii comment you made my day

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 7 місяців тому +5

      Muhimu afya nzr ndugiangu unaweza ukamiliki kila kitu lkn afya huwezi kumiliki hta uwe na bilioni kias gn.

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 7 місяців тому +2

      Apeche aloo😅

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 7 місяців тому +1

      Tumshukuru Allah kwa kutujaalia afya njema

    • @riosingingandmore8224
      @riosingingandmore8224 7 місяців тому +1

      😅😅😅😅

  • @hurumajosephat6333
    @hurumajosephat6333 5 місяців тому

    Asante kifo

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 7 місяців тому

    Ukibarikiwa tumia ukikosa jutia life is beautiful and short

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 7 місяців тому +2

    Wengine wakakojoe walale 😅😅😅

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 7 місяців тому +1

    Mmmh tunAsindiza watu wanaish🙆🏻‍♀️

  • @nanagaming3077
    @nanagaming3077 7 місяців тому +2

    hi

  • @Megadreamzfx1
    @Megadreamzfx1 7 місяців тому +1

    Noma

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 7 місяців тому +2

    Wengine ht saa ya elfu 5 hatuna

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 7 місяців тому +1

    alafu wao wako simple hata saa hawajavaa

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 7 місяців тому

    Saa tu unajenga uwanja wa mkapa

  • @annamwiru173
    @annamwiru173 7 місяців тому +4

    Uyo aliekubali kuolewa na uyo kibonge anampenda kweli au ni hela tu hizi😂

    • @mohamedlegacy255
      @mohamedlegacy255 7 місяців тому

      Wewe angekuambia anakutaka ubonge wake ungeuona??? Yaan ukimuangalia utakuwa unaona ela tu🤣🤣🤣

    • @AnnaDeus-rz7hr
      @AnnaDeus-rz7hr 7 місяців тому

      Wameanza mahusiano tangu zamani 2015....huyo kaka hakuwa mnene kipindi hiko so ni upendo tu

  • @mackdonaldalex7162
    @mackdonaldalex7162 7 місяців тому

    Saa zote izo kwa Tz u talk about billions

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 7 місяців тому +2

    Aje kariakooo😂😂😂

    • @husseinhamis1428
      @husseinhamis1428 7 місяців тому

      co kariakoo2 tz hawez kuja na akij haji na iyo saa kwan ye hajui kama tz ndo nchi yenye wezi shindikanaa

  • @felixdestroyer4039
    @felixdestroyer4039 7 місяців тому

    Noma sana Mimi yangu ni 5000 pesa za Kenya

  • @MariaHamis-cl3nu
    @MariaHamis-cl3nu 7 місяців тому

    Afanye sasa mazoezi jmn😂😂😂

  • @officialisaiah3979
    @officialisaiah3979 7 місяців тому

    ukiwa na pesa mingi na huna kwa kupereka fanya kitu loho inapenda binadamu wenyewe hawa thaminiki hawa

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 7 місяців тому

    Kwa hiyo ss tufanyaje 😂

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 7 місяців тому +2

    Huy kaka hana mvuto wowte sema pesa inaongea

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 7 місяців тому

    Tajiri wa pesa maskin wa afya choose wise

  • @yasiniyamamoto8174
    @yasiniyamamoto8174 7 місяців тому +1

    Lakini atakufa

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 7 місяців тому

      Hata wewe utakufa😂😂

  • @mohamedlegacy255
    @mohamedlegacy255 7 місяців тому

    Nilikuwa nimevaa kisaa kangu ka elfu tano imebidi nikatupe kwenye kabati tu🤣🤣🤣

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 7 місяців тому +1

    Diomond na zuchu wanazo😂😂😂😂 hawachelewi kutuonesha mchina na kujisifia

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 7 місяців тому +3

      Bila kumtaja Mondi hamuuzi!??😂😂

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 6 місяців тому

    Nahis Mark Zuckerberg ndo billionea simple zaid dunian

  • @BEDORESI
    @BEDORESI 7 місяців тому

    Saa ya diamond ina thamani ya chupi ya mukesh😂😂

  • @wtnyambizi9876
    @wtnyambizi9876 7 місяців тому

    tukapumzishe mafuvu yetu tu

  • @HabiNxtDoorFanPage_
    @HabiNxtDoorFanPage_ 7 місяців тому

    expensive watch same time as mine 😂

  • @gasperjohnson3388
    @gasperjohnson3388 7 місяців тому +1

    Huyu ni wakukata huo mkono wake😂