MENEJIMENTI YA WHMTH YATEMBELEA JENGO LA WIZARA MJI WA SERIKALI MTUMBA, DODOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Місяць тому +1

    Naomba kujua mnahamia lini kwenye hayo majengo? Mama yamejengwa siku nyingi sana

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 Місяць тому

      Wuzara ya uje zi kapewazanzibari, unategemea nn. Pesa zote zinaperelwa kizimlazi zqnzibar

  • @ZadockKaaya
    @ZadockKaaya Місяць тому

    Amna kitu ovyosana uku.

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni Місяць тому +2

    Nashindwa kujua mbn huwa hawajengi magorofa ndefu papendeze kwam mji wa kisasa jamani,afadhli mngekenga gorofa refu refu ili kuwe na nafasi kubwa kwa mji

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 Місяць тому +2

      Dodoma kuna matetemeko....ni mji wa majengo mafupi...yakipangwa vizuri yanapendeza kukiwa na gardens na maeneo mapana

    • @KingMandama
      @KingMandama Місяць тому +1

      China na japani Pana matetemeko makubwa kuliko Dodoma na kuna majengo marefu ​@@jeremiaaugustino7187

    • @allynguba2579
      @allynguba2579 Місяць тому +1

      ​@@KingMandamaiyo china sio Dom tuwe tunaelewa sometimes

    • @KingMandama
      @KingMandama Місяць тому

      @@allynguba2579 Sasa kama tatizo ni matetemeko mbona hizo nchi zina matetemeko makubwa kuliko haya na bado kuna majengo marefu ?

    • @allynguba2579
      @allynguba2579 Місяць тому

      @@KingMandama kwanini usemi Zambia kaka mpaka ufananishe na china si mbali sana

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 Місяць тому

    Elephant projects! …

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 Місяць тому +1

    Majengo marefu hakuna???

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy Місяць тому

      Kwani Kuna ulazima wa kuwa na majenho marefu?

  • @saeedally268
    @saeedally268 Місяць тому

    Dizasta