Wizarahmth TV
Wizarahmth TV
  • 275
  • 33 091

Відео

MKAKATI WA SERIKALI NI KUHAKIKISHA VIJANA WANASHIRIKI KATIKA UCHUMI WA KIDIJITALI: WAZIRI MKUU
Переглядів 392 години тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
KILA MTU AKAJIANDIKISHE ILI KUPATA NAMBA YA NIDA (JAMII NAMBA): WAZIRI MKUU MAJALIWA
Переглядів 642 години тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
TUHAKIKISHE MAELEKEZO YA MIFUMO KUSOMANA YANAKAMILIKA KWA WAKATI: WAZIRI MKUU MAJALIWA
Переглядів 592 години тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI KUUNGANISHWA NA HIFADHI ZOTE ZA TAIFA
Переглядів 124 години тому
Mtaalamu wa Mfumo wa Anwani za Makazi kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Innocent Jacob, amesema kwamba mfumo wa Anwani za Makazi sasa umeunganishwa na hifadhi za taifa, hivyo kurahisisha huduma za utalii kwa kumwezesha mtalii kuziona hifadhi hizo na kumfikisha mpaka eneo husika. Bw. Jacob aliyasema hayo katika siku ya nne ya Kongamano la 8 la TEHAMA Tanzania (TAI...
"LENGO LETU NI KUHAKIKISHA WATU WANAKWENDA KIDIJITALI": BAKARI MWAMGUGU
Переглядів 1084 години тому
Mratibu wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali (DTP), Bw. Bakari Mwamgugu, amesema kwamba moja ya malengo makuu ya mradi huo ni kuunda mifumo itakayowezesha shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi kufanyika kwa njia ya kidijitali. Bw. Bakari aliyasema hayo katika siku ya nne ya Kongamano la 8 la TEHAMA Tanzania (TAIC2024) linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere j...
WAZIRI SILAA AELEKEZA VIJANA WALIOBUNI ROBOTI KUSAIDIWA
Переглядів 484 години тому
WAZIRI SILAA AELEKEZA VIJANA WALIOBUNI ROBOTI KUSAIDIWA #TAIC2024 #ai #artificialintelligence #robot
”AKILI MNEMBA NA ROBOTI INA UWEZO WA KUBORESHA SHUGHULI ZA KIJAMII NA KUKUZA UCHUMI WETU”-SILAA
Переглядів 484 години тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
SERIKALI INAHAKIKISHA KUWA TANZANIA INAKUWA KATIKA SEHEMU YA MABADILIKO YA TEHAMA DUNIANI
Переглядів 517 годин тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
"TUTATUMIA TEKNOLOJIA ZINAZOIBUKIA KWA TIJA NA USTAWI WA TAIFA LETU" - WAZIRI SILAA
Переглядів 427 годин тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
N/W MAHUNDI AJA NA 'TTCL MPYA INAWEZEKANA’, AZITANGAZA HUDUMA ZA MKONGO, T-PESA NA FIBER MLANGONI
Переглядів 26514 годин тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
NAIBU WAZIRI MAHUNDI AIPONGEZA TTCL KUFIKISHA HUDUMA ZA MAWASILIANO KATIKA MAENEO YASIYO NA MVUTO
Переглядів 13314 годин тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
ANGA LA MTANDAO LA TANZANIA LIPO SALAMA: WAZIRI SILAA
Переглядів 42121 годину тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
TANZANIA ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA NCHI NYINGINE DUNIANI KATIKA KUKUZA UCHUMI WA KIDIJITALI: SILAA
Переглядів 16521 годину тому
Follow us on: Instagram: wizarahmth Twitter: wizarahmth Facebook: mobile. wizarahmth Bara pepe: ps@mawasiliano.go.tz Kwa taarifa zaidi usiache kutembelea touti yetu yetu ya: www.mawasiliano.go.tz
WALIMU 300 WA SEKONDARI NCHINI KUPATIWA MAFUNZO YA TEHAMA
Переглядів 284День тому
WALIMU 300 WA SEKONDARI NCHINI KUPATIWA MAFUNZO YA TEHAMA
Posta Yatakiwa Kuhakikisha Mifumo Yake ya Utendaji Inasomana
Переглядів 688День тому
Posta Yatakiwa Kuhakikisha Mifumo Yake ya Utendaji Inasomana
VODACOM GROUP YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NCHINI
Переглядів 25914 днів тому
VODACOM GROUP YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NCHINI
MIJI NANE(8) KUJENGWA VITUO VYA UBUNIFU VYA TEHAMA (Startups): WAZIRI SILAA
Переглядів 17614 днів тому
MIJI NANE(8) KUJENGWA VITUO VYA UBUNIFU VYA TEHAMA (Startups): WAZIRI SILAA
SUALA LA MIFUMO KUSOMANA LIPO KATIKA HATUA NZURI: WAZIRI SILAA
Переглядів 29514 днів тому
SUALA LA MIFUMO KUSOMANA LIPO KATIKA HATUA NZURI: WAZIRI SILAA
WAZIRI JERRY SILAA AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA VODACOM GROUP
Переглядів 32614 днів тому
WAZIRI JERRY SILAA AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA VODACOM GROUP
MENEJIMENTI YA WHMTH YATEMBELEA JENGO LA WIZARA MJI WA SERIKALI MTUMBA, DODOMA
Переглядів 8 тис.21 день тому
MENEJIMENTI YA WHMTH YATEMBELEA JENGO LA WIZARA MJI WA SERIKALI MTUMBA, DODOMA
OPENNING CEREMONY OF CONNECT2CONNECT SUMMIT 2024
Переглядів 12428 днів тому
OPENNING CEREMONY OF CONNECT2CONNECT SUMMIT 2024
KONGAMANO LA C2C KUHARAKISHA UUNGANISHWAJI WA KIDIJITALI BARANI AFRIKA - KM ABDULLA
Переглядів 7428 днів тому
KONGAMANO LA C2C KUHARAKISHA UUNGANISHWAJI WA KIDIJITALI BARANI AFRIKA - KM ABDULLA
MTANDAO WA INTERNET SIYO ANASA NI MAISHA YA WATU: WAZIRI SILAA
Переглядів 175Місяць тому
MTANDAO WA INTERNET SIYO ANASA NI MAISHA YA WATU: WAZIRI SILAA
WAZIRI JERRY SILAA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA FINLAND NCHINI TANZANIA
Переглядів 266Місяць тому
WAZIRI JERRY SILAA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA FINLAND NCHINI TANZANIA
NAIBU WAZIRI MAHUNDI ATEMBELEA OFISI ZA UCSAF KANDA YA PWANI
Переглядів 56Місяць тому
NAIBU WAZIRI MAHUNDI ATEMBELEA OFISI ZA UCSAF KANDA YA PWANI
KAMPUNI MBILI ZA CHINA ZAONESHA NIA KUWEKEZA KWENYE TEKNOLOJIA NCHINI
Переглядів 283Місяць тому
KAMPUNI MBILI ZA CHINA ZAONESHA NIA KUWEKEZA KWENYE TEKNOLOJIA NCHINI
MAWASILIANO YA INTANETI YABORESHA SHUGHULI ZA UTALII NGORONGORO
Переглядів 166Місяць тому
MAWASILIANO YA INTANETI YABORESHA SHUGHULI ZA UTALII NGORONGORO
MRADI WA DTP KUMALIZA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO ZANZIBAR
Переглядів 27Місяць тому
MRADI WA DTP KUMALIZA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO ZANZIBAR
TANAPA KUANZA KUTUMIA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NaPA ILI KUBORESHA HUDUMA ZA UTALII
Переглядів 243Місяць тому
TANAPA KUANZA KUTUMIA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI NaPA ILI KUBORESHA HUDUMA ZA UTALII

КОМЕНТАРІ

  • @HusseinJumaa-b4e
    @HusseinJumaa-b4e День тому

    Jamani namba yanida sisi bado inatusumbua ukiitaka ujipange

  • @gabrielaniseti1537
    @gabrielaniseti1537 2 дні тому

    Best IDEA

  • @marthaabel-l9i
    @marthaabel-l9i 6 днів тому

    Aiseeeeee tunaabika mtaani 😢

  • @ZadockKaaya
    @ZadockKaaya 9 днів тому

    Amna kitu ovyosana uku.

  • @allymloti7738
    @allymloti7738 15 днів тому

    Tumekumis mtetezi wa. Wanyonge. Kwenye ardhi

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 17 днів тому

    Majengo marefu hakuna???

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy 16 днів тому

      Kwani Kuna ulazima wa kuwa na majenho marefu?

  • @saeedally268
    @saeedally268 17 днів тому

    Dizasta

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 19 днів тому

    Nashindwa kujua mbn huwa hawajengi magorofa ndefu papendeze kwam mji wa kisasa jamani,afadhli mngekenga gorofa refu refu ili kuwe na nafasi kubwa kwa mji

    • @jeremiaaugustino7187
      @jeremiaaugustino7187 15 днів тому

      Dodoma kuna matetemeko....ni mji wa majengo mafupi...yakipangwa vizuri yanapendeza kukiwa na gardens na maeneo mapana

    • @KingMandama
      @KingMandama 13 днів тому

      China na japani Pana matetemeko makubwa kuliko Dodoma na kuna majengo marefu ​@@jeremiaaugustino7187

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 20 днів тому

    Elephant projects! …

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 20 днів тому

    Naomba kujua mnahamia lini kwenye hayo majengo? Mama yamejengwa siku nyingi sana

    • @nakivonamediatz
      @nakivonamediatz 20 днів тому

      washakwama hao

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 7 днів тому

      Wuzara ya uje zi kapewazanzibari, unategemea nn. Pesa zote zinaperelwa kizimlazi zqnzibar

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 місяці тому

    Sijui umetuachaje uku ardhi tuatapona kweni 😂😂😂?

  • @emanuelmarco8102
    @emanuelmarco8102 2 місяці тому

    Safi sana

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 3 місяці тому

    Uongo mkubwa wakati uzalikishaji unaendelea na Wana accesss kila kitu kwenye email na mnajua mnaelewa sema mnakula fungu kutoka kwao

  • @EmmanuelNtilla
    @EmmanuelNtilla 3 місяці тому

    Watu wamekuwa na uhuru uliopitiliza! Ipo siku wataposti vitu au kusambaza taarifa za UDHALILISHAJI kuhusu watu wa Vyeo vya juu nchini na ikaleta taharuki! Kama wanafanya kwa walio wa chini, basi na wa juu wajiandae !

  • @EmmanuelNtilla
    @EmmanuelNtilla 3 місяці тому

    Naona kama Majibu ni myepesi sana kuhusu hili suala. Lakini Serikali ilivalie njuga na kulikomesha kabisaa! Jambo hili ni JANGA kwa Taifa.... Na TUSIPOZIBA UFA TUTAJENGA UKUTA... AU USIFANIKISHE UJENZI KABISAA... Jamii inaangamia.... Mungu asaidie!

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому

    Mungu ibarik Tanzania, Mwenyezi mbarik SSH na wote wanao msaidia kazi

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 2 роки тому

    Jiongezi nyie viongozi vijijini ndio kunahitajika minara mingi zaidi ili mawasiliano yapatikane kila kona Tanzania .mnapotenaza hella nyingi kutokana na kutobolesha minala vijijini.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому

    HONGERA MAMA RAIS SAMIA SULUHU HASAN HAKIKA TUNAYE RAIS

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 роки тому

    Hivyo Vijiji vingine kwa nini vione wivu,na visiipate hiyo huduma Au sijasikia vizuri