Historia/Kisa cha Nabii Issa (A.S) (Sehemu ya 1) - Sheikh Othman Maalim

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 27

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +3

    Shukran sana shekhe Othman Maalim, Allah akulipe kher inshallah 🙏

  • @abdallahamisi5510
    @abdallahamisi5510 Рік тому +2

    Alhamdullilah.........namshukuru Allah katika kila hali

  • @UwoyaIrene
    @UwoyaIrene Рік тому +2

    Shukran jazila ya sheikh barakallah🙏

  • @waynejohn2239
    @waynejohn2239 Рік тому +2

    Allah azidi kukupa afiaa njema

  • @hamisasalehe8553
    @hamisasalehe8553 3 роки тому +4

    ALLAH akufanyie wepesi ktk maisha ya Dunia na akuhifadhi siku ya ummul haq na awahifadh na wazee wako.

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 роки тому +4

    Mashaallah ALLAH akuzidishiye mazuri yahapa duniyani na akhera ameen

  • @SaumLugwe
    @SaumLugwe 3 місяці тому

    Allah azidi kukuongoz sheikh wetu kwa ilmu unyotupa

  • @AlitopElectronics-r7f
    @AlitopElectronics-r7f 22 дні тому

    Masha Allah

  • @halimakalinga7764
    @halimakalinga7764 3 роки тому +3

    MashaaAllah

  • @khamishumba6511
    @khamishumba6511 3 роки тому +2

    Allah akujaalie kher inshaallah kwa sote

  • @adamuskilango4261
    @adamuskilango4261 3 роки тому +3

    Tuwe wacha Mungu muda wote

  • @aminasuleiman6402
    @aminasuleiman6402 3 роки тому +3

    Allah Akbar!!

  • @rahmaalfan1776
    @rahmaalfan1776 3 роки тому +2

    Allahu akbar kabiirah

  • @mohammedhassan213
    @mohammedhassan213 3 роки тому +3

    Mashaallah

  • @DulaChazza
    @DulaChazza 2 місяці тому +1

    Asallam aleykum sheh nilikua na swli linaniumiza kichwa et samaki kambare ni haramu au halali kuliwa??

  • @bigpope5025
    @bigpope5025 4 роки тому +3

    Asalam aleykum..sehem ya tatu haupo mbona

  • @VicramSumaye
    @VicramSumaye Рік тому

    kwann inakuwa n fumbo kwa kila din kuhusu nabii isa

  • @stephenmnkande8192
    @stephenmnkande8192 2 роки тому +2

    Mariam si alikuwa ni Myahudi inakuwaje aingie msikitini badala ya kwenye Swalatun (Sinagogi)? Mimi ninavyofahamu familia ya Mariam ni Wayahudi na aliishi miaka 600 kabla ya Uislamu.

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 Рік тому +1

      Umeklem hujaelewa ndo mana

    • @Fakihikitumbali
      @Fakihikitumbali 8 місяців тому

      Sinagogi maana yake msikiti tafuta maana yake nyuma ya bibilia

    • @aminaabdulghanim8256
      @aminaabdulghanim8256 6 місяців тому +1

      Uislam ulianza tangu nabii Adam peace be upon him, QUR'AN haifiki kitu wala haina uzushi. Jisalimisheni kwa Uislam ndugu.

    • @bitsanjE
      @bitsanjE 6 місяців тому

      Uongo​@@aminaabdulghanim8256

  • @bintyk5149
    @bintyk5149 2 роки тому +3

    Mashaallah