Masha Allah hawa ndio masheikh wa kusikilizwa maana wanafafanua kwa mapana sana hadi mtu anaelewa anachokiongea. Allah akulinde sheikh wetu Maalim .tunakupenda sana kwa.ajili ya Allah.
Allahu Akbar Mashaallah Sheikh huwa napenda Sana kuskiza mawaidha yako wallahi huwa najifunza mengi kupitia kwako tunakupenda kwa ajili ya Allah..M/mungu akupe umri mrefu inshaallah
jazakallahu sheikh unaeleza mpaka asiyekuwa mwelewa anaelewa natamani hao wanaosema Allah Ana mtoto waje hapa wasikilize kwa makini, haiingii akilini kabisaa kwa mwenye akili timamu kutamka Allah Ana mtoto Alhamdulillah kwa kuzaliwa muislam yarabbi tunakuomba khusnil khatima kwetu sooote waislam
naisi elimu Yako ata muft wa tz aifikii na sijaona km anatuelimisha chchte zaidi ya kushirikiana na serikali tu. mungu akupe kheri na maisha marefu uzd kutuelimisha, insha.allah
aki mungu akuzidishie mie mkristo ila mafunzo yako yananijenga saana hadi nimemkumbuka babangu isaa alitaka niwe muislam bali aliaga tukiwa wadogo saana so ilibidi tulelewe kikristo ila nafurai sana
Hairuhusiki ولا تنكحوا المشركات حتى يؤمن wala msiwaoe washirikina mpaka waamini... na wakiristo ni washirikin wanasem Issa n mtoto wa mungu kwahy haifai mpk asilimu..na sio ukamsilimishe baad ya ndoa ..Ile kuoana t haifai
maneno ya mwenyezimngu hauwez kuchoka kuyasikiliza na wala hamna zamni wala sasa pindi unapo angalia ubaona tuu kama ndo yamewekwa leo kwasababu nimazuri maneo ya mngu hayachokeshi
Allahu akbar me mwenyewe nilikuwa mkristo leo muislamu,wallahi jahannam wakristo jueni ndio makaazi ya abadan,Allah akuhifadhi sheikh
Mashaa Allah
+Sabrina Younis Aden mi
Arvada Truman Truman nn
pour knees hmmmm nh
MashAllah
Samwel Wakora+Maasha Allah kaka samweli wakora kujisalimisha kabla ya mauti. Allah akulipe ujira mara mbili. Amiin
Shukran shaikh mungu akuzidishie elmu na sisi sote ummat moh (s.a.w) mashaallah wa barakallah
tunaomba video mpya
ostazat call back
Jazaakallah khair
Allahumma Amiin habbty
Mashallah sheikh unatubadilisha tabia zetu,kutokana na mawaidha mazuri mim I nimeanza kufunga sunnah na kuiweka subra
Masha Allah
hawa ndio masheikh wa kusikilizwa maana wanafafanua kwa mapana sana hadi mtu anaelewa anachokiongea. Allah akulinde sheikh wetu Maalim .tunakupenda sana kwa.ajili ya Allah.
Nipo
Allahumma Amin kwa sote
Mashallah mungu akujazie kheir na atujalie wengine wengi kama wewe Ishallah
The Othman maalim since day one masha Allah mollah akuweke kwa manufaa ya umat Muhammad S.A.W rehema na amani ziwe juu yake kipenz chetu Nabii
Baraqa'Allahhu feeq ya ustadh Othman............Mashaa'Allah aleyya nmejifunza kwa kina Alhamdulillah
Allahu Akbar Mashaallah Sheikh huwa napenda Sana kuskiza mawaidha yako wallahi huwa najifunza mengi kupitia kwako tunakupenda kwa ajili ya Allah..M/mungu akupe umri mrefu inshaallah
Allahumma Aminn
Napenda sana mafunzo yako Ustadhi
Shukran kwa elimu ❤
Allah atu ongeze sote Muslim and mwisho mwema insha alha❤❤❤
Allah akubariki kwa kazi nzuri unayoifanya akulipe mema insha-Allah
Insha
munqu akurehem na akupe maisha malefu yenye manufaa
jazakallahu sheikh unaeleza mpaka asiyekuwa mwelewa anaelewa natamani hao wanaosema Allah Ana mtoto waje hapa wasikilize kwa makini, haiingii akilini kabisaa kwa mwenye akili timamu kutamka Allah Ana mtoto Alhamdulillah kwa kuzaliwa muislam yarabbi tunakuomba khusnil khatima kwetu sooote waislam
Allahumma Amin
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER SHEIK WETU NA ALLAH AKUUJAALIE KILA ULIOMBALO UFANIKIWE NA SISI PIA INSHALLAH
Jazaka Allahu kheir Sheikh Othman Maalim. Amiin
mashallah shekhe mwenyezi mungu akupe umr mrefu amina yarab
Yaah Allah tupe khr na barka pa1 na sheikh we2 othman maalim utujaalie mwisho mwema
Sheikh Othman maalim tokea uko mdogo wafanya KAZi ya daawa Mola akupe pepo.. Ameen
Mungu hakulipe kazi na janatul firdous
Mashaallah sheikh Uthman.Wenye itikadi yakiyahudi na kinaswara wamepotea pakubwa, wanapinga nakuipindua haki ilotoka kwa Allah(s.w) huu ni mswiba.
Uko vizuri shekhe wetu
Naam
Mashallah mawaidha mazuri mno
Yalaab mjalie kila mja wa kislam katka mwisho mwemA na umkinge na husda sheikh Othuman Malimu
mwenyezimungu akuzidishie kila la kheri sheikh.unastahili kuwa mufti Wa nchi yetu.kwan ilmu uliyokuwa nayo ni tosha kuwa kiongozi
naisi elimu Yako ata muft wa tz aifikii na sijaona km anatuelimisha chchte zaidi ya kushirikiana na serikali tu. mungu akupe kheri na maisha marefu uzd kutuelimisha, insha.allah
Mungu akujalie kila kher, inshaallah.Tunajifunza mengi.
Mashallah umetoka mbli shekh wetu.ALLAH.. akupe mwisho mwema
mashaallah, ALLAH akujazi kheir ameeeen yarrab.
ma shaa Allah
inshallah sh mungu akupe yakuweza kutupa daawa
MashaaAllah shekhe mwenyezi mungu akulipe kheiri fii dunia wa kheira shukran
Who else still watching in 2020
Mashaa Allah
Tupo pamoja ndugiangu
2021
2023
Mwnzo mm nimetoka katika jamii ya kikristo lkn mafunzo ya sheikh yamenipadilisha kuwa muislam
Allahakbaru allah akupe imani y kwl maan umekuj ktk dini sahihi sn
Masha allah masha allah tabarrak rahmani allah akupe maisha yenye kheri kwako na kwetu sote yaarab
Allah Akbaru
napenda vipindi vyoko shee
jazaka allahu kheir sheikh,mawaidha yako mazuri.
Mashallah baba bilali Allah SW azid kukuongoza pamoja nasi
Allah akupe umri mrefu InshAllah
Allah akuzidishie heri sheikh wangu, hakika jaza yako iko kesho kwa Allah
only thing sheikh othuman what you can do is to register university so that you can teach people about islamic believe before and todays
JazaakaAllah khair sheikh Othman may Allah bless you and your family Inshaa Allah
mashallah mola akubarik
you are doing a great job!, educate people about allah
Exactly Mashaa Allah
Wrk. C
Allah,, awaongoze waliyo potea kwa dini isio eleweka waingie katika dini iyo salimika uisilam dinii yakhaki... Allah,, atuongoze mema filli dhunia walli akhera.. Allah,,akupe umbri wamema shekhe wetu othiman maalim...akuweke wengi wasim kupitia kwako... Amiin Amiin ya rabbi Allah Amiin Amiin
aki mungu akuzidishie mie mkristo ila mafunzo yako yananijenga saana hadi nimemkumbuka babangu isaa alitaka niwe muislam bali aliaga tukiwa wadogo saana so ilibidi tulelewe kikristo ila nafurai sana
Nafula Helen. Kwa nini usisilimu ndg yangu. Unasubiri nini na wakati hakhi unaijua?
Rahma Shaban thanks nimekupata dada I will.
Turn to muslim
@@elenissaa181 inshallah
Fanya ubadalishe jaman mapema
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍 comment kama bado ipo hapa 2021
nashukuru sana suratul tawba yafasiriwa
Masha Allah Allah akuweke ukuzidi kupa Elim Insha allah
Shukran sana ya sheikh, Allah akuzidishie baraka zake!!
Masha Allah, Baarak Allahu feekum for sharing.
Tupo wengi wakirsto mimi miongoni napenda sana mawaidha yako
ALLAHU AKBAR USTATH AMENIFUNZA MAMBO MENGI,BARAKALLAHU FIKUM
alhahuakbar
ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA
Mashaallah mungu akulipe kla la kheri
Hakika she mungu akujarie mawaidha yananifundishA virivyo
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
Who else is here in 2024?
Mimi apa
😊😊😊😊😊@@AzimJuma
allah akuongeze elim uzid kutuhusia
Mashallah mashallah jazzakh llah kheri inshaallah nd shukran
mashallaah mtalaaam wahistori
Takbiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Allah akbra
Munguazidikukuongoza
Allahu Akbar
Allah akbar
Maashaa allah allah azidi kukuongoza uzidi kutuelimisha ila mwenye mawaidha ya huyuu shekhe naomba anitumie +96997737975
Assalamu alaikum warahmatullah wabarakatuh. Naulizo mwisilamu unakubaliwa kumuowa asiekuwa muislamu alafu aende kaninani naminisali iyoswallah itakubaliwa ? Mukewangu ndaniya nyumbayangu aongeye yesukilawakati naminisali. Watoto watamufata Nani.? Watamujuwa Allah ? yesu?
Hairuhusiki ولا تنكحوا المشركات حتى يؤمن wala msiwaoe washirikina mpaka waamini... na wakiristo ni washirikin wanasem Issa n mtoto wa mungu kwahy haifai mpk asilimu..na sio ukamsilimishe baad ya ndoa ..Ile kuoana t haifai
Maa shaa Allah
sikubali na watu na watu ambao huibia binadamu wezio wamenibia hapa marikani sana hawana mafikirio kama sisi.
Thanks sheikh othman
endelea tunakupenda jazaa kalla kheyr
Jazaka Allah kheir,
Allahu waahid
Allah akujalie umli mlefu
Dahh 2022 mashallah
Allah Ahad
Allahu Akbar
Alhamdulilah neema ya Islam
Shkuran sheikh maalim
Masha Allah 🕌🕌🕌🕌
jazaakaAllah kheir
Hero of mislims
jazakallah
MASHAALAH
Mashallah
Allah Akbar islam is ma really realigion
Masha allah
Mashaallah mungu amupe kla laheri naomba mawaidha haya munitumie kwa wetspp namba yangu +966543320464 jazaka heri
allahuma minaher
jazakallah khair
thanks maalim
mashallah
maaashaallah
MashAllah sheik
The
Aiseee thank you so much 🙏
mashaallah
Uislam ndio dini y kwl
amiin
inshaALLAH
sema nn hamja posti latest video iz video za muda mrefu. tunaomba muweke latest video
maneno ya mwenyezimngu hauwez kuchoka kuyasikiliza na wala hamna zamni wala sasa pindi unapo angalia ubaona tuu kama ndo yamewekwa leo kwasababu nimazuri maneo ya mngu hayachokeshi
Maneno ya.Mwenyezi Mungu hayapitwi na wakati ndugu, tafakari zaidi
Masha Allah 2020
taqbir
masha allah
maashaallh
Halima Juma “ masha-allah” usipende vifupi
Maashallah Allah awape uhai
Mwajuma Hemedi 0
Mwajuma Hemedi 97
Mwajuma Hemedi 6789
kassim
Mashaallah
Mashaallah
ishallh
Rehema Salum “ insha allah ” sio ivo ulivoandika
ABDULRAHMAN BAWAZIR
imamu sheikh othman maalim sauti kipezi chetu
ask why is someone is not American can't do Everything American can do?
What's your point
What are you talking about?