- 284
- 1 184 282
Islamic Kindness
Tanzania
Приєднався 28 кві 2020
ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ
Kwa jina la Mwenyezi mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu
Shukrani zote njema zinamstahikia Mwenyezi mungu muumba Mbingu na Ardhi ambaye ametupa uhai baada yakuwa ametufisha na kwake yeye (Allah) ndio tutarejea.🙏🏿
***********************************************************
Islamic Kindness ni channel ambayo inakuletea Mafundisho,Mawaidha na Matukio mbali mbali ya Dini ya Kiislam.
SUBSCRIBE,
LIKE,
COMMENT,
SHARE
Ili kupata Mawaidha na Mafunzo kutoka kwa Masheikh mbali mbali.
Inshallah 🙏
***********************************************************
"Twalabul ilmu faridhwatun a'lakuli muslimin wal muslimat"
#Kutafuta elimu ni lazma kwa kila muislam mwanaume na muislam mwanamke #.
Asante
Kwa jina la Mwenyezi mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu
Shukrani zote njema zinamstahikia Mwenyezi mungu muumba Mbingu na Ardhi ambaye ametupa uhai baada yakuwa ametufisha na kwake yeye (Allah) ndio tutarejea.🙏🏿
***********************************************************
Islamic Kindness ni channel ambayo inakuletea Mafundisho,Mawaidha na Matukio mbali mbali ya Dini ya Kiislam.
SUBSCRIBE,
LIKE,
COMMENT,
SHARE
Ili kupata Mawaidha na Mafunzo kutoka kwa Masheikh mbali mbali.
Inshallah 🙏
***********************************************************
"Twalabul ilmu faridhwatun a'lakuli muslimin wal muslimat"
#Kutafuta elimu ni lazma kwa kila muislam mwanaume na muislam mwanamke #.
Asante
Maisha ya Abdallah Ibn Masoud 04 - Sheikh Nassor Bachu
Darsa/Mawaidha: Maisha ya Abdallah Ibn Masoud sehemu ya Nne yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu).
#SheikhNassorBachu
#ibnMasoud
#uislam
#Mawaidha
#IslamicKindness
#SheikhNassorBachu
#ibnMasoud
#uislam
#Mawaidha
#IslamicKindness
Переглядів: 116
Відео
Maisha ya Abdallah Ibn Masoud 03 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 16214 днів тому
Darsa/Mawaidha: Maisha ya Abdallah Ibn Masoud sehemu ya Tatu yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #ibnMasoud #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Maisha ya Abdallah Ibn Masoud 02 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 12521 день тому
Darsa/Mawaidha: Maisha ya Abdallah Ibn Masoud sehemu ya Piliyanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #ibnMasoud #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Maisha ya Abdallah Ibn Masoud 01 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 258Місяць тому
Darsa/Mawaidha: Maisha ya Abdallah Ibn Masoud sehemu ya kwanza yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #ibnMasoud #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Maangamizi ya Allah 3 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 158Місяць тому
Darsa/Mawaidha: Maangamizi ya Allah yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #newyears #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Maangamizi ya Allah 2 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 180Місяць тому
Darsa/Mawaidha: Maangamizi ya Allah yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #newyears #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Maangamizi ya Allah 1 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 247Місяць тому
Darsa/Mawaidha: Maangamizi ya Allah yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #newyears #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Mwaka Mpya katika Uislam - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2082 місяці тому
Darsa/Mawaidha: Mwaka Mpya katika Uislam - Sheikh Nassor Bachu yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #newyears #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Rukya ya Uzushi katika Siku ya Ashuraa - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 1242 місяці тому
Darsa/Mawaidha: Rukya ya Uzushi katika Siku ya Ashuraa yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #rukyah #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Kutosheka na Quran na kuacha Hadithi - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2653 місяці тому
Darsa/Mawaidha: Kutosheka na Quran na kuacha Hadithi yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #quran #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Masiku kumi ya mwezi wa Dhulhija - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 3583 місяці тому
Darsa/Mawaidha: Masiku kumi ya mwezi wa Dhulhija yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #hijja #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Mambo yaliyo wajibu kwa Mgonjwa - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 763 місяці тому
Darsa/Mawaidha: Mambo yaliyo wajibu kwa Mgonjwa yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #mgonjwa #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Fardhi na Sunna za Safari - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 1543 місяці тому
Darsa/Mawaidha:Fardhi na Sunna za Safari yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #safari #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Muuza na Anayeuziwa - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 3264 місяці тому
Darsa/Mawaidha:Muuza na Anayeuziwa yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #Mambo5yanayohuishanyoyo #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Mambo 5 yenye kuhuisha nyoyo - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 1605 місяців тому
Darsa/Mawaidha:Mambo 5 yenye kuhuisha nyoyo yanayofundishwa na sheikh Nassor Bachu (Allah amrehemu). #SheikhNassorBachu #Mambo5yanayohuishanyoyo #uislam #Mawaidha #IslamicKindness
Unafki na Ujana - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2465 місяців тому
Unafki na Ujana - Sheikh Nassor Bachu
Qiyamul Layl 4 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 1675 місяців тому
Qiyamul Layl 4 - Sheikh Nassor Bachu
Qiyamul Layl 3 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2385 місяців тому
Qiyamul Layl 3 - Sheikh Nassor Bachu
Qiyamul Layl 2 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2715 місяців тому
Qiyamul Layl 2 - Sheikh Nassor Bachu
Qiyamul Layl 1 - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2325 місяців тому
Qiyamul Layl 1 - Sheikh Nassor Bachu
Kinga ya Mabalaa - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2,3 тис.6 місяців тому
Kinga ya Mabalaa - Sheikh Nassor Bachu
Kheri za Dunia na Akhera - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2 тис.10 місяців тому
Kheri za Dunia na Akhera - Sheikh Nassor Bachu
Usalama wa ndoa - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 2 тис.10 місяців тому
Usalama wa ndoa - Sheikh Nassor Bachu
Kukoga Mume pamoja na Mkewe (Fiqhu Sunnah) - Sheikh Nassor Bachu
Переглядів 48811 місяців тому
Kukoga Mume pamoja na Mkewe (Fiqhu Sunnah) - Sheikh Nassor Bachu
Shukran mungu akuhifahi ya shekh
Allah amrehem sheikh nassor bachu
Napend sana visa va mitume
Mashaallh
Mashaallh
Mashaallh shekhe othman maalim
Mashaallah
Allah amrehem sheikh nassor bachu na amjaalie pepo ya waja wema uko alipo
Allah tunakuomba umrehemu maalim wetu umuepushe na adhabu kali ya moto umuepushe na adhabu za kabur na umfanye mmoja ya mja katika waja wako wa peponi..yaa rabbi 🤲🏽
Nabii adam alikufa mwaka gan
Rahimahullah
mungu atuwekee ma sheikh wtu
❤ jazakallahu kheir sheikh
ameen ya allah
❤ jazakallahu kheir sheikh kwa kutufunua ubongo
❤ Alhamdulilah najivunia kuwa muislamu ya Allah subhana wataalah tuongoze waja wako kwa njia sahihi daim🤲
❤ Alhamdulilah najivunia kuwa muislamu ya Allah subhana wataalah tuongoze waja wako kwa njia sahihi daim🤲
Cjaelewa mahali mimba haikukaa miezi 9 ???
Allah amjaalie kauli thabit sheikh Nassor bachu
Jazakallah jazakallah jazakallah khairul jaza fidunyaa wal akhera
Allah akufanyie wepesi ktk maisha yako na akulinde na Shari za usiku na mchana
Channel nyingi sana wanaweka contents za huyu Sheikh UA-cam wanatengeneza hela. Lakini kwa contents zake leo huyu angekuwa Billionaire ametengeneza contents kubwa sana na nchi zote zinazo ongea Kiswahili anapendwa sana lafudhi yake.
Analijua hilo shekhe kwa upande wake ameamua iwe sadaka kwake na hajakosa kitu kwa ALLAH SUBHANA WATAALAH.
Assalamualaykum,lslamic kindness kuna ramadhan fulani miaka miwili au mitatu mulituma AHKAMUL JANAIZ darsa za huyu sheikh nitazipataje mi nazihitaji.
Waalekum salam warahmatullah, zipo humu katika chenell au ulikua unazitaka vip
@@IslamicKindness Najaribu kuzitafuta lkn sizipati zote,au nikizipata sizipati kwa mpangilio kama mlivozituma,vp haiwezekani kuzituma tena ili tukajifunza tena kama tupo darasani? Mana mm nakua na kitabu nasoma kabisa
@@HamadFakh ili kuzipata kwa mpangilio ingia katika chanel than nenda katika play list utazipata zote inshaallah
@@IslamicKindness inshaa Allah
Allah atosha
Allah amrehem
Masha Allah
رحمه الله تعالى
Rahimahu-llahu a'layh
Rahiimahullahu
Allah Atufanyie wepesi Insha Allah🙏🙏🙏
MashaAllah
Allahu magfir LLAHU warahamahu
Hii mada tayari mulishaiweka zamani tuwekeeni mada za maulid, hitma, FIQHU SUNNA. RIYADHI SWALLIHIN. AU ZOZOTE ZA SHEKH NASSOR BACHU. ALLAH AFANYIE WEPESI HUKO ALIPO HAKIKA DAW'A ALIIFIKISHA
shukran
Masha Allah
❤
شُكْرًا
ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ Ahsanteni kwa kazi nzuri ya kuendelea kutukusanyia tapes za shaykh Nassor Bachu (رَحِمَهُ ٱللَّٰهُ) Allah azidi kuwapa nguvu ya kuendeleza kazi hii, na awalipe ujira mwema.
Amin
Allah kujalie pepo inshaallah qiyaman tukutane
Yaarab tuepushe na madhambi na atujaalie mwisho mwema
Mashallah
Alimhamdulillah nimefarijika sana Mwenyezi Mungu akufutue madhambi Yako yote amiin
Masha Allah kwa kukuwa na ufasaha wamaneno na kuzungumza na mtu hufurahi kuzungumza lakini swali langu nimoja nimoja kwa zamahizi hizi za mitandao tunanaambiwa tusiamini kila linalozungumzwa nauliza je hii ilmu yako niwapi umeisoma ili kuhakikisha unayoyazungumza insha'Allah.
Allah tunakuomba tuifadhi😂😂
😂😂tulipoteza sheikh mkweli
Allah akulipe pepo ya juu
Amenn
Allah ninakuomba lijalie kaburi lake liwe miongoni mwa viwanja peponi,muondolee adhabu ya kaburi,msamehe pale alipokosea,na siku ya kiyama umpe kitabu kitabu chake kwa mkono wa kulia na umuingize katika pepo ya firdaus kwa Rehema zako.Amiina
Allah akurehemu sheikh
Hakuna kama sh othman maalim ktk ulimwengu. Othman ni mmoja2 ktk ulimwengu mashallah nampenda sana. Allah amuongoze ktk maisha yke. Na amjaalie pepo iwe do mahala pale inshallah amin
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allhamdu lillah