Njia za Mungu hakika hazichunguziki! Asante Mungu kuhurumia uzao wetu Arusha kwa kumtumia mtumishi wako Paul Makonda! Utukuzwe daima na ukamzidishie baraka zote mtumishi wako🙌🙌🙌
❤❤ nikiwaa arushaa sakinaa nawapataa vizuri mungu wa mbinguni akutunze makondaa akupe maisha marefu na familiaa yako tunatarajia mengi na mazuri zaidi malaikaa wa ulinzi akutunzee
Huyu makonda mm naona ikimpendeza mungu mwakani agombee ubunge mama ampe uwaziri awatumikie watanzania wote,,,hii ya kumpa nafasi ya mkoa bado watanzania wengi wanakosa utumishi wake kwa kweliii!!
Vijana wetu watapona kupitia baba makonda Wana karama nyingi Sana Ila upendo ndo ulikuwa unasababisha wapoteee Vipawa ni vingi wakipendwa na kusaidiwa kufikia hatima zao
Yaani, Yaani, Yaani ni kama Mungu alimpa makonda hili wazo kwa ajili ya huyu mwamba, Yaani fanya yoooote lkn Mungu alikuwa anamtafuta huyu, ona ona ona, THANKS GOD, THANKS PAPAA, ASANTE MAANA HATA HAPA NILIPO NI WEWE ULIYENIFANYA NIWE, THANK GOD
Kuna wakati unapita pagumu mpaka watu wanakuona kichekesho wanachekaaaa halafu kuna siku mona tu MUNGU anazima kicheko anaamsha heshima wanakuheshimu jamani acha MUNGU afanye njia pasipo na njia
Njia za Mungu hakika hazichunguziki! Asante Mungu kuhurumia uzao wetu Arusha kwa kumtumia mtumishi wako Paul Makonda! Utukuzwe daima na ukamzidishie baraka zote mtumishi wako🙌🙌🙌
Safi kijan
Mungu ni yupo jmn tusikate tamaa Rc makonda mungu akulinde siku zote
Ahsante Mungu kumleta mtumishi wako Pau Makonda Allah muweza wa yote 🤲✅🇹🇿
Mungu ni mkuu nimejikuta nalia be blessed kwa waandaaji
Arusha imebarikiwaaa
Makonda baba yetu umebarikiwa
Kila mtu anamapungufu yake lakini Mh.paul be blessed
Walio rudia kuangalia zaid ya mara 2 like hapo
Mi nataman sana nikutane na Mh Makonda nisalimiane nae2,Maana huyu ni zaid ya Nabii❤❤❤ I love him so much❤❤❤
safi Arusha tuna logo yetu when it comes to language swagger Iko poa mazee!!
❤❤ nikiwaa arushaa sakinaa nawapataa vizuri mungu wa mbinguni akutunze makondaa akupe maisha marefu na familiaa yako tunatarajia mengi na mazuri zaidi malaikaa wa ulinzi akutunzee
Huyu makonda mm naona ikimpendeza mungu mwakani agombee ubunge mama ampe uwaziri awatumikie watanzania wote,,,hii ya kumpa nafasi ya mkoa bado watanzania wengi wanakosa utumishi wake kwa kweliii!!
Wakati wa mungu ni wakati sahihi sana
Nakuona juu mr presdent makondo
mbona makonda anafeel kuliaa...kama umeona weka like kubwaa sn
RC MAKONDA 🎉 many Africans need you buddy...🙌🏾, few icons like you are born 😢
Ohhhhhhh asante mtoto wangu..nimelia kbs jamaniiii.watoto vipawa vixuriiii❤
Mnajuwa MUNGU bhana akiamua akuinue kutoka matopeni haichukui hata sekunde
Ni kweli ndugu yangu cha msingi tunyenyekee hatuwezi kujua mlango wa MUNGU sio ule tunaotarajia sisi
Vijana wetu watapona kupitia baba makonda
Wana karama nyingi Sana Ila upendo ndo ulikuwa unasababisha wapoteee
Vipawa ni vingi wakipendwa na kusaidiwa kufikia hatima zao
I like what RC is doing. Be blessed always
Wakati wa bwanaa ukifikaa umefikaaa niwakati wako kaka kupataa hizo barakaa mungu awabariki makondaa na mtumishi waa mungu kazi nzuri
Makonda namwelewa sana Mungu akubariki mdogo wangu
Waooo huu ndo upendo wa Kristo❤️❤️ Mungu akubariki makonda wetu ...jamani hii sikusikia imenipita🙆
Ukristo umekujajeapo tena
Mungu akupe maisha marefu Paulo Makonda
Hivi huyu makonda siyo nabiii kweli maana kuna mda naona ni kama neema imeshuka
Yani makonda anamtegemea MUNGU nahisi ndo mana mambo yake na matendo yake yana make sense kuliko viongozi wengine wengi hapa Tanzania
Hata Mimi nikikaa chini uwa nawaza makonda nimtu alie tumwa na mungu Arusha
Hakika
Long live R C makonda
Ni kweli jamani ametumwa na MUNGU ukiona hivyo ujue analia na MUNGU sana huyu mtu haiwezekani kirahisi
Uyu rasta aki ameuwa mkuuu, respect sana kaka
Mr Makonda,, your are HERO, arusha is GLOWING 🎉
Yaani, Yaani, Yaani ni kama Mungu alimpa makonda hili wazo kwa ajili ya huyu mwamba, Yaani fanya yoooote lkn Mungu alikuwa anamtafuta huyu, ona ona ona, THANKS GOD, THANKS PAPAA, ASANTE MAANA HATA HAPA NILIPO NI WEWE ULIYENIFANYA NIWE, THANK GOD
Napenda sana arusha nixingewa zanzibar ningekuja nawapenda sana wana arusha nakupenda sana kaka makonda
Hongera sana makonda kwa maono yako makubwa mungu kurinde sana.
Upendo mkuu,❤❤❤
Makonda Mungu akutunze Siku Zote....Samia usituondolee Makonda wetu tafadhali
Big up Mh. Brother Paul Makonda Mungu Akulinde Huko Uliko..
Haaisee😂❤ God bless you akunyoshee njia zaidi
Veeery encouraging for sure
Nimeliaa sanaaa daaaa!! MUNGU ambarikiii na aendelee kumuinuaa juu zaidi
Nakupenda sana kaka yangu mh makonda mungu akubariki saana nimehisi kulia watu wengi wanapotea kukosa mwelekeo
Ni kweli Makonda kafanya kazi kubwa lakini tutambue pia mchango wa churchill jamani. Yeye ndo kasababisha hayo yote kwa huyo jamaa
mm namkubali mmakonda sana natamani sana sikumoja ata nionge nae
Mungu akuongezee kipaji kaka
Makonda ubarikiwe sana
Makonda mungu akubaliki una kitu kikubwa kwa watanzania hongela sana.
RC MAKONDAAAAAAAA I LOVE UUUUUUU MKUUUU WEWE NI MTUMISHI WA Mungu baba....
Watoto wako wapatebraha maishani
Kukatishana tamaa ndio shidaaa ila kwa neno lako umesema na imekuwa baba in Jesus name
Kweliiiiiiiii nimelia kwa furahaaa
Mungu ni wa wote wenye mwili
Upo vzr jamani achilia gospel hiyo jmn😂
Mbegu ya mungu haipotei
Made me shade tears 😢
So touching aisee......🙌🙌🙌🙌🙌
Nimelia saaana ..
Tears of happiness
Safi sana Makonda
This is JPM in making, wa Tanzania mark this guy called Makonde. Akiingia uongozini atawasaidia
Wakati wa mungu ndio waķati sahihi
😢😢 familia nilipotoka meno na yenyewe ikatoka
😊😊😊
mhesh miwa hongera sana hakuna kama ww
Safi sanaa
very nice indeed
Simple tubRudisha meno watarudi😂😂😂
Ubarikiwe sana
Ila familia😂
Familia si watu poa😂😂😂
Aiseeeee Mungu yupo
Amen 🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪
Oyaaaa uyu mr kipaji anachoo
PT big up...
Kun wat wanavipajii nachkulia. Huu wimbo angepewa kam izo b alaf kat hapo apge marry x mass kam remark ya wimbo wa mr x mass
Nice
Hee huyu baba wa Churchill kumbe kaja huku tz ahahaha basi hii itaku
❤❤
Kumbe nmeulza wimbo kabla ya kumalza kusikilza mana nikwele
Nice
❤
Alleluya❤
Watarudi
Next year kama hii kitu ipo nitakarbia Arusha
Kuna wakati unapita pagumu mpaka watu wanakuona kichekesho wanachekaaaa halafu kuna siku mona tu MUNGU anazima kicheko anaamsha heshima wanakuheshimu jamani acha MUNGU afanye njia pasipo na njia
Amen kweli 🙌
huyuni nabiikweli walasiouongo
Nitamchangia chochote hata.mimi
Church hill show meanzishwa Arusha?
Jina la huo wimbo jaman
Ambaghana ambaghana for Africa 🤣🤣🤣😂☕
Arusha imenoga
Makonda ubarikiwe sana