Umenena ndugu,ysiwaone hawa mastaa wanavyo jionesha mitandaoni ukadhani ndo maisha yao halisi,Wanashida wewe hunazo, hizo shida kama zao, Kwanza hawalali usingizi nzuri kama wako, anawaza atakwenda kudanga wapi?apate pesa ya kod,ya Nguo,ya chakula,ya usafiri au mafuta ya gari, Ndo maana unawaona watu wanaingia garama kutengeneza mili yao ,ili wapate watu wa kuwadangia, wewe ukiwa na Shepu ya MOTOROLA shukuru Mungu Sanaa,
Kweli alikuwa anamzibia mumewe mapungufu, leo yamemkuta anakiri mwenyewe. Kweli jamani tujifunze kusikiliza watu wanapo tuonya kwa mambo muhimu. Namuonea huruma Diva napitia magumu sana.
Kumbe uyo adbu mshenzi saan hivi? Kwani kumwita mkeo bibi? Diva, ww ni beautiful, mpambanaji, hardwork. Hamna mwanahume hawezi kutaka. So, take yr time, Mungu atakupa yr destiny
Huyu diva mwongo eti gauni limetoka marekani lile kweli na viatu vile vya afutatu..hiyo 1..2 et alifunga ndoa kanenepa coz alikua na mimba 😢mimba gani wakati mnasema hamkuwahi kufanya chochote mpanka mlivyofunga ndoa iweje leo useme eti ulinenepa kwasababu ulikua na mimba
Leo nimekuelewa sana mshenzi huyo ana bana matumizi kwenye pesa zako tena hao mbwa wanapenda kukubania matumizi ww unae tafuta halafu yy anazitumia vibaya
Kila mwanamke Kuna wakati unataka utulie na mwenza wako..ndio maana kamvumilia Kwa sababu alimpenda lakini huyo mwanaume alienda kwake na ajenda ingine kumtumia na kupata umaarufu tu ....lakini diva alimpenda ndio maana unamuona anadhalilika bila yeye kujua
Ht km una msaidia mwanaume na familiya yake sio kumsimanga hn adabu huyu diva ht km ww huwez kumpenda mke anaekucmanga mitandaon ht km sio mitandaon haifai
Sasa DIVA UNACHOLIA NN😭maana ww kweny kila interview unamnanga huyo mganga wako mara humpendi uishi maisha yako mara vile Leo anakuacha na hayo maisha yako unalia au ulikuwa unatikisa kiberiti .
Mimi nakushauri Ndugu yangu ushauri wa bure, Lean now makosa ulofanya kwa Abdul ,usije ukafanya kwa mwanaume mwingine, samahani kosa lako wewe ulikuwa desparet Sanaa kwa mume wako,na kitakacho kuharibia ktk maisha yako,kumuongelea mume wako kwa mabaya hata kama alikuwa mbaya hakustahiki kuelezea vitu vyenu ntandaon,na kilucho kuharibia unaongea sanaa mambo ya ndani kwako na ya familia ya mume ,ukimsaidia mtu hata kama mbaya usiseme mapungufu yake, kungine ndoa yenu mliifanya ndoa ya mitandaoni,ndugu kuna watu wanamatatizo huwez kujua wanaweka stara ndo maana kuna madirisha na milango
Umemaliza 👏🏾kuna wanawake wana uwezo wanawatunza waume zao na hawajawah kuwasema vibaya yy kutwa nimemlipia bili hospital cjui ndg zake nawalisha hv ht km ww ni mwanaume unackia hayo maneno utampenda mke? Diva ana masimango huyu ila wote wana matatizo Abdul anayake diva anayake sasa kulisha familiya ya mume nayo n ya kusema mitandaon humu?
Shida ndo hiyo wanawake tunajiaibisha mtu unalipiaje harusi mwanamke unaandaa harusi😢kwani we ndo mwanaume hapo ulijioa diva na ndoa Kama hizi huwa hazidumu mwache mwanaume asimame Kama mwanaume Kama hana hela ishi nae hivohivo kulingana na Hali yake Kama hana uwezo wa nyumba anauwezo wa chumba kimoja kaishi nae hukohuko kwenye chumba kimoja
😂😂Pole diva usirudiane Na sheikh WA mchongo muongo maskini diva huyu NDIO anakutomba jamani mpaka akili jamani Atakupa Preasure hadi ufe,Diva safiri nenda mbali kabisa Kama Venessa Na Mange ukapole roho huko mbele mbele
Abdul kajua kukunyoosha na inaonyesha ww ndo ulimpenda sana mwenzio alikuwa kwenye maisha yko kwa ajil ya kutimiza malengo yke tu,na hatimae kafanikisha so kaamua asepe😂😂😂😂😂😂uliambiwa na watu hyu sio mwanaume ukawaona wabaya kipo wap??😂😂😂😂😂
Kumbe sauti yako na lafudh yako iko hivi!!!!!!😅. Uislamu sio kufunga na kuswali. Uwe na maadili ya kiislamu yote. Afadhali sauti yako nzuriiii na unasema vizuri kama kuliko vile unavyosema sauti ya ku act. Ishi kama ulivyo usijifanye.
Leo unakubari mange mkweli😂😂 baada ya mganga kukuacha sasa kwa nini na ww usingekaa kimya tatizo unapenda kujiproud kujiona ww ni msafi mbona ulimsema vibaya mitandaoni mara nyingi tu lskini hajawahi kujibu ila kuitwa bibi umepanick unashida ww bibi ndo maana kiba alikuuta kigagula
Angemuacha alivyosikia anaoa angemfata c angeuchuna kwake mbona kamfatilia 😂😂😂😂 Muislam yupi ww uliesema umerudi kwenye dini yako soon unaolewa na mzungu Bibi una muhaho kila siku kumuongelea mume sasa mume kakotolea uvivu unalo hilo
You don't hit a woman mbele yangu no way fucking way. ........huyo jama ni fala mumoja. Ila nyie madada sometimes munakuwa washamba wa rangi nyuepe wengine nimashoga wananipaka Carolite munawashobokea ndo mana you end up with loosers like Abdul Love sijui Love nonsense Doctor
This man is destroyer Diva move on my love🥰🥰🥰
The women sleeping with him are cray too
Duh Ila Bongo maisha magumu sana aisee.Watu wanacheka tu lkn nyoyo zinawaka moto.Kamwe usitamani maisha ya mtu , tamani maisha yako na kuyakumbatia🥰
Umenena ndugu,ysiwaone hawa mastaa wanavyo jionesha mitandaoni ukadhani ndo maisha yao halisi,Wanashida wewe hunazo, hizo shida kama zao, Kwanza hawalali usingizi nzuri kama wako, anawaza atakwenda kudanga wapi?apate pesa ya kod,ya Nguo,ya chakula,ya usafiri au mafuta ya gari, Ndo maana unawaona watu wanaingia garama kutengeneza mili yao ,ili wapate watu wa kuwadangia, wewe ukiwa na Shepu ya MOTOROLA shukuru Mungu Sanaa,
Nimekuelewa vzr sn kwa sms yk barikiwa
Lkn mimi nilishamuonaga abdul ni miongo sanaaaaaaaa!!! Yaan mwanaume km yule nisingeweza siyo kuolewa tuuu...hata kutembea nae nisingeweza!!
Pole sana Diva. Mode on.
ILISHAKUFA MUDA,,WALIKUWA WANAOMBOLEZA TU,,KIKI ZA MISAMAHA STUDIO KIPINDI KIENDE 😍
Hilo ndio kosa kubwa ulilolitenda kumsaidia mwanaume kwenye harusi. Cos anahisi Kama unamtaka sana yeye unajioa mwenyewe ❤
Kudos from Kenya we are proud of you.thats a narcissist
Diva ulikua unasema mange muongo leo unakubali
Umeona.eeh 😃😃
Kweli alikuwa anamzibia mumewe mapungufu, leo yamemkuta anakiri mwenyewe. Kweli jamani tujifunze kusikiliza watu wanapo tuonya kwa mambo muhimu. Namuonea huruma Diva napitia magumu sana.
Anapitia magumu sana namuonea huruma.
Tumuombee tu ukweli diva alirogwa,uchawi upo
Ajiombee mwenyewe maana anajua mwiba ulipomchoma
Diva is so OUTSPOKEN!!!!!🤌🏽
Huyo mwanaume alistiliwa sana amekomaa kwa umaraya
Umemtaja Fatna ila ni mkewe na alimuoa Kwa ndoa kamili kama alivokuoa wewe diva na hakua hawara anyway pole sana mungu akuongoze
Am so sorry you passed through All of that but you need to grow and know what you deserve as a woman
Pole sana Diva.
Kumbe uyo adbu mshenzi saan hivi? Kwani kumwita mkeo bibi? Diva, ww ni beautiful, mpambanaji, hardwork. Hamna mwanahume hawezi kutaka. So, take yr time, Mungu atakupa yr destiny
Huyu diva mwongo eti gauni limetoka marekani lile kweli na viatu vile vya afutatu..hiyo 1..2 et alifunga ndoa kanenepa coz alikua na mimba 😢mimba gani wakati mnasema hamkuwahi kufanya chochote mpanka mlivyofunga ndoa iweje leo useme eti ulinenepa kwasababu ulikua na mimba
Et kaniita me bibi😂😂😂😂😂mapenz bhna yakiwa yanaisha huwa ni zaid ya shubir😂😂😂😂
😂😂😂😂😂wallah mapenzi nimtihani khaki.
Mapenzi nimtihani wallah😂😂😂😂
Ila umevumilia. Ninachokushauri lli mradi umetoka ktk ndoa hiyo basi.badllisha mwelekeo .Endelea kumuomba MUNGU atakupa mume Bora.lNSHAALLAH.
Lukamba na Abdul 😂😂😂 ni ndugu au
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂njooo uchukue peps
😂😂😂😂😂
Kabisaaa
Pole sana sister
Sasa we uliolewaje na mwanaume ambae ulijua huwezi kuyaishi maisha yake hukumjua kabla ulikurupuka kuolewa nae
Karogwa mwenzetu na mganga
Kuolewa na abdu ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro😂
Sio shamba zile Nyumba za familia zenye mgogoro, zenyekupitiwa na Bomoa bomoa 😮
Ndoa yao utadhani ndoa ya michongo,ndoa ilikuwa uchi Aibu tupu 😂😂
Sasa ndio naamini wale wanaotuambiaga tusiamini maisha ya watu wamitandaoni😮
Leo nimekuelewa sana mshenzi huyo ana bana matumizi kwenye pesa zako tena hao mbwa wanapenda kukubania matumizi ww unae tafuta halafu yy anazitumia vibaya
Tatizo la Diva hujakubali kuwa mke alikuwa Anataka kuonesha Jamii na yeye kaolewa katoka katika single
Kila mwanamke Kuna wakati unataka utulie na mwenza wako..ndio maana kamvumilia Kwa sababu alimpenda lakini huyo mwanaume alienda kwake na ajenda ingine kumtumia na kupata umaarufu tu ....lakini diva alimpenda ndio maana unamuona anadhalilika bila yeye kujua
😢ndo shida,yakudeti na wakaka wazuri
Mke wa mganga wa mchango shekhe Abdul razak
Diva kaulizwa swali moja katiririka kama maji kwenye mlima
Tangu afariki message babaz huyo Abdul hana mishe mjini...biashara ya unga imedoda😂😂
Diva sawa gaun la marekan viatu vya kariakoo efu tatu 😂😂😂😂
Hapo kwenye kuswali umetupiga na kifusi..
😂😂😂😂😂
Mwanamke hana respect kwa mwanaume wake hio sio ndoa atabaki single forever
Ht km una msaidia mwanaume na familiya yake sio kumsimanga hn adabu huyu diva ht km ww huwez kumpenda mke anaekucmanga mitandaon ht km sio mitandaon haifai
Sasa DIVA UNACHOLIA NN😭maana ww kweny kila interview unamnanga huyo mganga wako mara humpendi uishi maisha yako mara vile Leo anakuacha na hayo maisha yako unalia au ulikuwa unatikisa kiberiti .
😊😊😂
Sasa wewe hukujua kama huyo ni tapeli😊 pole sana
Matumiz kwa siku laki ngapi nmesikiaaa
😂😂😂😂 😂😂😂
Mimi nakushauri Ndugu yangu ushauri wa bure, Lean now makosa ulofanya kwa Abdul ,usije ukafanya kwa mwanaume mwingine, samahani kosa lako wewe ulikuwa desparet Sanaa kwa mume wako,na kitakacho kuharibia ktk maisha yako,kumuongelea mume wako kwa mabaya hata kama alikuwa mbaya hakustahiki kuelezea vitu vyenu ntandaon,na kilucho kuharibia unaongea sanaa mambo ya ndani kwako na ya familia ya mume ,ukimsaidia mtu hata kama mbaya usiseme mapungufu yake, kungine ndoa yenu mliifanya ndoa ya mitandaoni,ndugu kuna watu wanamatatizo huwez kujua wanaweka stara ndo maana kuna madirisha na milango
Umemaliza 👏🏾kuna wanawake wana uwezo wanawatunza waume zao na hawajawah kuwasema vibaya yy kutwa nimemlipia bili hospital cjui ndg zake nawalisha hv ht km ww ni mwanaume unackia hayo maneno utampenda mke? Diva ana masimango huyu ila wote wana matatizo Abdul anayake diva anayake sasa kulisha familiya ya mume nayo n ya kusema mitandaon humu?
Shida ndo hiyo wanawake tunajiaibisha mtu unalipiaje harusi mwanamke unaandaa harusi😢kwani we ndo mwanaume hapo ulijioa diva na ndoa Kama hizi huwa hazidumu mwache mwanaume asimame Kama mwanaume Kama hana hela ishi nae hivohivo kulingana na Hali yake Kama hana uwezo wa nyumba anauwezo wa chumba kimoja kaishi nae hukohuko kwenye chumba kimoja
Diva wachana namanwno ukitapika wacha matangazo
M500 had kujilipia harusi 😅😅😅
Hizi milioni 500 bora ungetafuta kujenga nyumba ndugu yangu badala ya kupalilia penzi lisilokuwepo. Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi.
😂😂ety wanateneza Swimming pool,Was that even necessary?!
Dawa zime chuja tena !!! Kwani mukiachana mpaka muweke huku???? I like Bill Gate👌🌺🌺
Njooni na kwangu wapenzi ❤❤❤
Part two please
Bint WWE una roho nzuri .la kinachokusumbua ni mdomo.nahayo mamitandayo .Yakima wewe nmwanake Bora.iwapo utajibadilisha
Shoga angu ulitamba sana..Sasa tulia mda wa kupigwa matukio umekufikia.
😂😂😂😂😂😂ndo wanaume ao
Mwezi mtukufu huu jamani, Ramadan na kwaresma
Anasema kanunua nyumba kumbe kapanga.sheekhe gani anakua muongo😂
Yaami zaidi ya 99% mwanaume ukimsaidia majukumu lazima atakuacha vibaya tuuu ni swala la muda tu
Huyo Abdully ana penda kulelewa hata wewe diva nikama ulijioa tu kws maelezo yako daah ,mm binafsi ujinga huo siufanyi 🤣🤣🤣
Suo six month...its six months
Diva bado sana kuwa mke ! huwezi kuongea Vitu vya mumeo katika Public
Kuitwaaa bibi ni rahaaa ,, mwanaume mzim unaenda msema mkeee
Mjue huyu bibi kaumia kuitwa jibibi na the way Abduli alivyokua anamuongelea piss yake mpya na aminini mungu huyu diva anaumia kuachana na Abdul
😂😂Pole diva usirudiane Na sheikh WA mchongo muongo maskini diva huyu NDIO anakutomba jamani mpaka akili jamani Atakupa Preasure hadi ufe,Diva safiri nenda mbali kabisa Kama Venessa Na Mange ukapole roho huko mbele mbele
Khe ushatoka nae na ww
Watarudiana atasema he is here 😅😅
Ukome na wew mwanaume tapeli Malaya kaachana na wanawake kibao unafikiri we ndo ulikuwa bora zaidi
MWANAKUYATAFUTA......MWANAKUYAPATA ! Jinsi huyo Shehe bandia alivyomdhalilisha na kumtesa yule msichana na katoto kake !!!! Diva aliona amepata kumbe amepatikana.
Angalia mme ulonae na ndo umpangie gharama, yani usijiweke juu mmeo anawaza mbali labda msave kidogo jwa ajili ya kesho
Ndy wakina nani hao huko dasalammm
Achana nae diva huyo mbwa
Wanaume wa skuizi 😂😂😂
Abdul kajua kukunyoosha na inaonyesha ww ndo ulimpenda sana mwenzio alikuwa kwenye maisha yko kwa ajil ya kutimiza malengo yke tu,na hatimae kafanikisha so kaamua asepe😂😂😂😂😂😂uliambiwa na watu hyu sio mwanaume ukawaona wabaya kipo wap??😂😂😂😂😂
Ht yule mke wake aliehojiwa na mange alisema Abdul alimwambia namuoa diva ili nipate umaarufu halafu ntasepa 😃😃😃sasa huyooo
Nachotaka nikuulize tu Diva umepima afya??? Namaanishq umepima UKIMWI?? Tunaemjua tunajua😢😢 ..Very sorry kipenzi tulikuonea huruma sana ulivyooleea nae
Si atakua anatumia dawa... Mwenye kutumia ARVs hawezi kuambikiza
@@TaarabChannelujasema mjomba😊
Ukimwi ni nyoko😂😂
Shida diva hamalizag maneno bila kujisifia
Kumbe sauti yako na lafudh yako iko hivi!!!!!!😅. Uislamu sio kufunga na kuswali. Uwe na maadili ya kiislamu yote. Afadhali sauti yako nzuriiii na unasema vizuri kama kuliko vile unavyosema sauti ya ku act. Ishi kama ulivyo usijifanye.
Huyu mwanamke sijuwi mpungufu wa akili nini mimi brand una brand gani mshenzi tu kahaba wewe huna heshima wewe na huyo abdulrazak wako, naona hata haramu kumwita sheikh
Sasa unamtukana mwenzio matusi kwa sababu wewe u msafi?
Mwanmke gani hawezi kufanya kazi za nyumbani huyo atazeeka akiwa single niko pale
Mume wangu mume wangu 😅😅😅😅
Uliambiwa mapema lkn hukuckiaaaaaa
Why don’t you keep quite?uliambiwa mapema, huyo ni Mario, hana huwezo wa kuishi maisha yako, his level is too low
Leo unakubari mange mkweli😂😂 baada ya mganga kukuacha sasa kwa nini na ww usingekaa kimya tatizo unapenda kujiproud kujiona ww ni msafi mbona ulimsema vibaya mitandaoni mara nyingi tu lskini hajawahi kujibu ila kuitwa bibi umepanick unashida ww bibi ndo maana kiba alikuuta kigagula
Lakini diva ulipenda lakini yeye alikuchukia zaidi hii ndoa toses ndoa ananatakiwafuta picha yake
Diva alilogwa
Abdul ni Sociopath end of wanaume weupe kama hao hmmm!!!! Ningempiga paka angeomba po 😂😢😅😂😂
amna lolote hata huyo d ni cheche2 asilete tantalila2 hapa
Mpaka usemee
hakuna cha pregnant wala mimba .usitudanganyeee
😂
Kabisa 😃😃
Angemuacha alivyosikia anaoa angemfata c angeuchuna kwake mbona kamfatilia 😂😂😂😂
Muislam yupi ww uliesema umerudi kwenye dini yako soon unaolewa na mzungu Bibi una muhaho kila siku kumuongelea mume sasa mume kakotolea uvivu unalo hilo
You don't hit a woman mbele yangu no way fucking way. ........huyo jama ni fala mumoja. Ila nyie madada sometimes munakuwa washamba wa rangi nyuepe wengine nimashoga wananipaka Carolite munawashobokea ndo mana you end up with loosers like Abdul Love sijui Love nonsense Doctor
We diva miaka 35 kweli? Acha bwana hapo kwanini munaficha umri wenu nyie?
Mm zamaradi simpati kiumri maana nishatimiza miaka 40 sasa huyu Diva kasoma na Zama unafikiri watakuwa na umri gani km sio 42 kwenda juu😂😂
Alf kazeeka 33 😅😅
Wewe mwenyewe ulianza kumsema mitandaoni
Mie bra...😅😂
Et una 35 hahaqqq diva uko 40s
😅😅😅
😢ndo shida,yakudeti na wakaka wazuri
😢ndo shida,yakudeti na wakaka wazuri