TAARIFA MPYA SIMBA KUNUNULIWA NA BILIONEA BAKHRESA ANAYEIMILIKI AZAM FC, SALEH JEMBE ATOBOA SIRI HII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • TAARIFA YA SIMBA KUNUNULIWA NA SAID BAKHRESA

КОМЕНТАРІ • 39

  • @OmaryRajabu-g7r
    @OmaryRajabu-g7r 3 місяці тому +1

    MADUNDUKA MNAMUONA KIBARAKA WA MO,,,. HAJUI ASEMALO HUYU ANAITAKA NAFASI YA TRAI AGEN KAENI CHONJO NA HUYU KIBARAKA ASIEJUA MAANA YA ,,,,

  • @etufaniakahemela5879
    @etufaniakahemela5879 3 місяці тому

    Hahahahaaaa wanaiga nini ambacho simba Amefanya
    Transfomeon hawana
    Au propaganda

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 3 місяці тому

    Waandishi mmesoma wapi baaresa anunue bila wanasimba kukubali?

  • @SaadSengenge
    @SaadSengenge 3 місяці тому

    Kwani huyu yuko upande gani, anamsemea nani

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 3 місяці тому

    Unatafuta cha kulaumu yanga bro ! Namna bajeti inapotishwa yanga inakuhusu nini ? Ulitaka mkutano mkuu ukae kichambua kifungu baada ya kifungu, huo mkutano ungeisha lini. Yanga tuna uongozi unaoelewa, unaoaminika wenye weledi na unaowajibika ipasavyo.Usitulinganishe na hao ambao kuanzia na structure ( mfumo wa utendaji) ni majanga. Maono ya mwekezaji ni janga. Mo ana maono ya biashara zaidi, kuliko mpira. Na huwezi kuanza na maono ya biashara ukaifikisha timu mbali. Lazima uanze na maono ya kujenga mpira kwanza, maokoto yatakuja baadae.Simba walifanya mabadiliko mchongo, ndiyo maana wadhamini waliwekwa pembeni. Yanga hatukucheza kwenye mabadiliko, Miaka mitano simba imeishia robo, Yanga miaka miwili, fainali confederation, na robo ya championship. Jembe una stress, ushauri wa bure njoo yanga kwa mkopo yakirudi kuwa shwari simba utarudi ! Au unasemaje ??

  • @rajabually8894
    @rajabually8894 3 місяці тому

    Kumbe salehe nawewe sio Niko pamoja nawewe kuferi usajili Simba lakini suala la Dejan kavunja mkataba mwenyewe acha uchoko

  • @leonardlubala393
    @leonardlubala393 3 місяці тому

    Sasa mambo ya budget ya Yanga ina kuhusu nini?
    Kuna ajabu gani kwa matumizi kuzidi budget sio jambo geni kwa taasisi yoyote zile mradi kuna maelezo ya kujitosheleza kwa nini imekuwa hivyo.
    Ndio maana taasisi hata serikali hukopa kujiweka sawa.

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 3 місяці тому

    Huna jipya wewe

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 місяці тому

    Itisheni mkutano na ubwabwa uwepo bila hivyo hatuji.

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 3 місяці тому

    Kwani wakati katiba inatengenezwa Bwana Salehe ulikuwa umesafiri pia wewe sio ndio Mwandishi huwa unaitwa na Mo ofisi mnaongea na kufanyiana mahojiano leo vipi? Humshauri

  • @richardkokoro3269
    @richardkokoro3269 2 місяці тому

    Leo tuna utopolo tu

  • @allyrembo6714
    @allyrembo6714 3 місяці тому

    Salehe nilikutegemea upo na akili na muelewa kumbe nawewe ni wale wale sasa aliekwambia simba inauzwa ninani?

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 3 місяці тому

    Huna mzee kojoa ukalale shida yk majungu nimengi sana kwenye kila jambo lk

  • @JohnHaule-rc3nk
    @JohnHaule-rc3nk 3 місяці тому

    Bajeti ya yanga haimuhusu na wala GSM hajawahi lalamika kama Mo.

  • @kiluwiibra6117
    @kiluwiibra6117 3 місяці тому

    Bro ! Tatizo ni viongozi walinda kiti sio kuisimamia simba wapi kwa masilaitu.

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 3 місяці тому

    SS kama yanga familiya tunataka moo na bakresa waungane nabado GSM awaiwezi nipo paleeeee

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 місяці тому

    Kuna kitu kinaitwa variation huyu ni fala

  • @ShijajumaSengerema
    @ShijajumaSengerema 3 місяці тому

    Simba ajafeli,ni ubora wa Wanga na Azam,kama ni mafanikio simba imefika robo kilabu bingwa

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 3 місяці тому

    Dejan alivunja mkataba mwenyewe

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 3 місяці тому

    😅😅😅😅

  • @AdamuyasinAdamyasin
    @AdamuyasinAdamyasin 3 місяці тому

    Mangungu atuachie timu yetu

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 3 місяці тому

    Salehe jembe nakukubali sana

  • @IkusLucas
    @IkusLucas 3 місяці тому

    Hauna jipya wewe

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 3 місяці тому

    Meno mengi huyo!!!

  • @DommyNana
    @DommyNana 3 місяці тому

    Nakubalii

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 3 місяці тому +2

    Hili dunduka nalo lina shida zake ----- Simba ilifanikiwa sana mpaka timu nyingine zinaiga ---- Simba ilifanikiwa nini --- ilifanikiwa kipi kigeni,kipya cha kuigwa na timu nyingine " udunduka bhana,kazi kweli kweli "

    • @HamduHamad
      @HamduHamad 3 місяці тому

      Huoni au yanga miaka mingap imefika robot final champion league

    • @saddiqmageta7904
      @saddiqmageta7904 3 місяці тому

      Wew pumbu

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 3 місяці тому

      Shida ya kusikiliza kwa mdomo nakuongea kwa masikio mwisho WA siku ni matusi tu... Hovyo Sana

    • @AshelyAbel-kg4kx
      @AshelyAbel-kg4kx 3 місяці тому

      ww unapaswa upelekwe milembe yawezekana aupo sawa kiakiri

    • @Jerie-q1c
      @Jerie-q1c 3 місяці тому

      Acha wivu