Nakuru: Familia moja yaachwa katika njia panda baada ya mwanao kufariki Saudi Arabia
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2022
- Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Am also in Saudi Arabia Mungu atukumbuke
Me too
All is well pray everyday
Karanja na watoto wako ny family ya Njeri amani na nguvu kutoka kwa Mungu na ziwatoshe na Mungu afungue njia zote 🙏
Rais Mteule Mhe. William Kipchirchir Samoei arap Ruto sema jambo.
Kwani ni lazima warned huko aaaaah Mimi nilikataaa na Niko Kwa hii Kenya haya kama maisha ningumu siwezi
Am in Saudi Arabia mungu tuongoxe
May God comfort those children
please wasichanà wetu msiende Saudi arabia
Hakuna kuanguka wanashuwa na Hawa waarabu.the Agents from kenya needs to held responsible and kenyans need to stop going to Arabia period. It's sad.
Condolence to the family
Aki mungu yupo nasi pole xna kwa familia
I feel their pain till now we ask ourselves as a family what happened to our child, in Dubai 2013 was sooo a sad Year. Keep on Resting in Peace our child
Pole sana
Dubai tena
@@sheilakimutai4026 ur shocked!! Yes Dubai pia kuna mateso BT no one is talking about it.
Kwani Sharia law saudia Arabia ni ya foreigners because wauwaji hawahukumiwi?
Mr President address this issue
Sasa yeye amekataa msikizo WA bwanake daah so sad 😭 poleni Sana
Pole kwa familia na marafiki🙏
I wonder why the government has never acted upon such cases in favour of it's citizens 😏🙄🥱
Hurting
Saudia the real jehanum...
Kerry Gebs
Ile mashaibu iko humu saidia siwezi elezea...
Hapa utanyongwa waseme ulijinyonga
Utachapwa ugongwe penye utamia sana ukufe
Yaani kama umekataa kazi urundi kenye kwa hao waraabu n heri urundi ukiwa maiti
God protect us from this country
Rip the young grl
Deep condolences to them.
Did you know, you can give a name to someone who's lost
His wife
Her husband
Their parent
But never has there existed a name for someone who's lost their child. Poleni sana familia ya Njeri
Dont be surprised people are still going there. People are making money selling this girls there. The New Slave trade. Someone Please Stop it by Now!!!!
mnashida kuambiwa msiende Saudi Arabia,,kufeni
😭😭😭😭😭😭
Si kupenda kwao responsibilities needed and nowhere to run to,so don't judge life hard sometimes.....we're in that shoe so don't hurt
When Will goverment take care of This issue and when Will this Girl learn
This people do not involve the government when they are leaving only when they get into sheet that's the only time they remember the government
Roga hao waraabu
Uuuuuuui hao ndio wachawi,wakubwa Zile dawa ziko huku wacha tu
@@user-cg3vf2bl6b najua hao watu pia wanajua uchawi
@@shufaaesala3511 Sana my cousin alimaliza contract yake akaondoka bt wakamuomba arudi tena ,so yy sijui alifika Kenya akabadili akili,na alilipiwa tickets za kwenda kurudi,na hakurudi , plus walimuhaga vizuri Sana , weeéee after two months kuisha ndio alifaa arudi ,sasa hakurudi ,I tell you ni msik mbaya ,na hakuna ugonjwa wowote unapatikana ni mungu tu