Mtu mmoja afariki kwenye ajali katika barabara kuu ya Nairobi- Nakuru usiku wa kuamkia leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 чер 2023
  • Mtu mmoja amefariki huku wengine zaidi ya kumi wakinusurika ajali hii iliyotokea usiku wa kuamkia Leo katika barabara ya Nakuru - Nairobi. Ajali hii ilihusisha gari la uchukuzi wa umma na Lori. Waliojeruhiwa walipelekwa katika hosipitali ya St Mary's Gilgil kupokea matibabu.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @njorok7368
    @njorok7368 11 місяців тому +1

    Police guy,is a good communicator

  • @DidGulu-md6yl
    @DidGulu-md6yl 11 місяців тому

    ⁷7⁷⁸⁸