KIPIGO CHA MUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • #Bhailam#Naomi#Mbwela
    ⭐ Disclaimer
    This Content is Totally made by us, Don't use or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
    Karibu kujiunga na group la What's app
    BONYEZA LINK 👉👉chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : / @bhailamkhan
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : www.facebook.c...

КОМЕНТАРІ • 153

  • @Bhailamkhan
    @Bhailamkhan  Рік тому +15

    Karibu kujiunga na group la What's app
    BONYEZA LINK 👉👉chat.whatsapp.com/Jqzzxa1X8Qz4r2GCUgyS1i
    Subscribe hapa : www.youtube.com/@Bhailamkhan/
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : facebook.com/profile.php?id=100089165435161

  • @saidmohammed2830
    @saidmohammed2830 Рік тому +40

    Mama 😘 ni mama lazima asikilizwe .......palipo na mama hakuharibiki jambo kirahisi ama mwasemaje mashabiki wenzangu ❤

    • @francescafrancesca8901
      @francescafrancesca8901 Рік тому +4

      Acha ndugu,
      Wa mama wengine njoo chanzo cha kuvunja ndoa za wabinti zao.
      Yalio nikuta siwezi kuekeza hapa.
      Ndio ni vizuri kuwasikiliza wa mama zetu. Ila, si kwa kila kitu.

    • @ashaathumani1681
      @ashaathumani1681 Рік тому +2

      Sio kweli

    • @ashaathumani1681
      @ashaathumani1681 Рік тому

      ​@@francescafrancesca8901👊👏

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 Рік тому +15

    Mama na mkubal sn ana hekma naomba like

  • @merlinmpekuzi7301
    @merlinmpekuzi7301 Рік тому +16

    Bailam kazi zako ziko na mafundisho halisi kabsa big up bro

  • @mustaphakijazi9807
    @mustaphakijazi9807 Рік тому +8

    Bairam wew ni fundi hatariiii ongeza juhudi nchi unaikamata mda si mrefu Muombe MUNGU kwa kila wakati

  • @hamisissa1115
    @hamisissa1115 Рік тому +12

    Huyu jamaa mwenye rasta ana kipaji sana.toka yupo kwa madebe,hongereni kwa wote mlio shiriki kitu kiko poa sana.

  • @luckyshumeofficial
    @luckyshumeofficial Рік тому +12

    Bhailam watupa vitu vya maudhui mazuri...mungu akupe wepesi wa kazi

    • @Bhailamkhan
      @Bhailamkhan  Рік тому +2

      Ahsante

    • @MJINITv
      @MJINITv Рік тому

      BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo

  • @patrickmbaji2737
    @patrickmbaji2737 Рік тому +5

    Uko vzuri kk ubarikiwe Kwa kazi nzuri coz Huwa nakufuatilia sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @faithasimit906
    @faithasimit906 Рік тому +2

    Siku zote mama ni wa maarifa kuzidi wote....kazi mzuri sana Bhailam, much love from Kenya ❤️

  • @ionmjfoj3391
    @ionmjfoj3391 Рік тому +2

    Bwela na kukubali bro nimependa isiya yako

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Рік тому +7

    BAHILAM kaka mkubwa nakukubali sana asilimia zote ujawai niangusha unatupatia elimu kubwa zaidi ata ya ile ya shuleni proud of you one love ❤❤❤

  • @lilianimikaeli
    @lilianimikaeli Рік тому +3

    Kazi nzuri sana mungu akuzidishie inafundisha jitahidi zaidi

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 Рік тому +2

    Nakubali kazi na Mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi

  • @gracealfonce3795
    @gracealfonce3795 Рік тому +11

    😊😊nimependa Sana mama amecheza ametulia Sana Leo. Big up mama Bitauc

  • @abdishivo6764
    @abdishivo6764 Рік тому +3

    Maasha Allah
    Hongera sana kaka hakika unapendeza sana kutengeza filamu za mafunzo jitahidi sana ufanye hivyo hivyo achana na video zisofunza 👏

  • @frankmwaikambo-on7tg
    @frankmwaikambo-on7tg Рік тому +27

    Huyo anaepigana na mkewe anaitwa nani? Huyo jamaa namkubali kinoma toka enzi akiwa na madebe lidai

  • @rabikasekue3555
    @rabikasekue3555 Рік тому +2

    Wow hongera sana bhailam kwa kipindi hiki kimeni jenga sana ❤❤❤❤😂 moto moto 🎉

  • @ramsaybjembe8561
    @ramsaybjembe8561 Рік тому +2

    Mshaur yuko vizur omary mbwela ukovizur san bro unautulivu kwenye kila karact unayopewa unaitendea hak tunakukubal san huku burundi

  • @vikramkanjibay01
    @vikramkanjibay01 Рік тому +4

    Mungu awasimamie mtayafikia mnayoyakusudia

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 Рік тому +1

    Nakubali kazi kabisa na Allah aendelee kuwapa nguvu zaidi

  • @Daboymohaa
    @Daboymohaa Рік тому +1

    Wallah nyi jamaa Sijui mme train wapi Yan bongo nzima sijaona kama nyinyi aki nmeona Movie kibao but mko vizur kupitiliza hongera nyote

  • @banzamukalay5396
    @banzamukalay5396 Рік тому +11

    Bhailam, you're the men who know to act.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому +3

    Asanteni sana washiriki nyote nimejifunza

  • @GedeonMsauza-wg5rv
    @GedeonMsauza-wg5rv Рік тому +1

    Namapenda sana
    Jamari yani mnajuwa kuigiza kwer

  • @jonhchichilaimollelmollel
    @jonhchichilaimollelmollel Рік тому +1

    Jmn nimejifunza kitu aiseee ❤❤❤nataman kuoa nijionee Haya ❤❤❤ love story wap like zangu mabest

  • @ameenyafrican8041
    @ameenyafrican8041 Рік тому +5

    Kubwa Sana Kaka bhailam💪

  • @fa.fa.9713
    @fa.fa.9713 Рік тому +4

    Hii imenigusa i say ebu Bhailam kma una mdgo wako niozesh😊❤❤

  • @mohammedcutstv700
    @mohammedcutstv700 Рік тому +4

    uyu jamaa wa virasta anajua sana aisee

  • @RobertMosana-xt1hj
    @RobertMosana-xt1hj Рік тому +4

    Mama ndani ya nyumba n mhimu sana

  • @user-gy9yi4tl6m
    @user-gy9yi4tl6m Рік тому +3

    Kak ubarikiw san kak unajuw uk kam bailam mungu awabarik

  • @geraldkumeke7428
    @geraldkumeke7428 Рік тому +4

    Nimejifunza kitu 🧑🏾‍🦯

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana endeleeni kuelimisha jamii

  • @user-lg1rq2fj6p
    @user-lg1rq2fj6p 2 місяці тому

    Nice jamn kaz nzur nawapenda❤

  • @yonamakeleleilenge2545
    @yonamakeleleilenge2545 Рік тому +1

    Mama na kubali shauri yako mungu aku zidi shiye maisha mama

  • @mymuhnabdallahshaban7763
    @mymuhnabdallahshaban7763 Рік тому +2

    Jmn ukwel ndoa ni Tamu San ten Tamu ukion ndoa Chungu bs umepata mwanname sie ila ukimpat mwanamme bra ndoa Tamu damu San

  • @FRANKTV04
    @FRANKTV04 Рік тому +5

    Mama katisha sana💪

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 Рік тому +2

    Kazi nzur sana

  • @adozenaziz8362
    @adozenaziz8362 Рік тому +1

    Fundi mbwela anajua sana

  • @ombeni444
    @ombeni444 Рік тому +2

    Respect brother.
    I am your fan's.

  • @mariamdennis9576
    @mariamdennis9576 Рік тому +3

    Hatari 🙌🙌🙌🙌

  • @patrickbeza184
    @patrickbeza184 Рік тому +3

    Ushauli wa mama kwa bailam

  • @solangerechol6881
    @solangerechol6881 Рік тому +3

    Wooow kaka anamusemea dada ake❤

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 Рік тому +3

    Naomi pia na wanawake ni vile vile,
    Unapo mchumbia anaonekana ni mwanamke wa kuowa na kuishi kwa furaha, ila unapo mfikisha nyumbani tu,
    Anakubadilikia kama kinyonga.
    Yale yote mumesikiluzana wakati munachumbiana anabadilika.
    Kwa iyo,
    ni vizuri kuwa na HOFU YA MUNGU.

  • @pioneersenior9077
    @pioneersenior9077 Рік тому +2

    Safiii Mzee baba

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 Рік тому +2

    Nice one 👍 thanks ❤

  • @mussamadua1079
    @mussamadua1079 Рік тому +2

    Wallah mamaumeongea manenomazito hadiyamenigusa namie

  • @roseramadhana5951
    @roseramadhana5951 Рік тому +2

    Kaz nzur

  • @saidseleman2766
    @saidseleman2766 Рік тому +3

    Kumekuch kumekuch mambo moto

  • @bilalyahya6418
    @bilalyahya6418 Рік тому

    Wazazi kma hawa hawako tnaa kila k2 utaskia mwanangu hujafkuzwa kwenu akikupiga rudi kwenu ndo maana ndowa zetu hazidumu kabsaaa na pia kuomb msamaha sisi waume na wake zenu hawapendi kuomba msamaha hakuna k2 muhimu kma msamaha katika ndowa na subra ndo muhimu zaidi❤

  • @johnurio1900
    @johnurio1900 Рік тому +1

    Bailam hungereni Sana jamani chezeni movie mko viz sana

  • @kassimkitta6118
    @kassimkitta6118 Рік тому

    Nilikua nna mood mbaya sana leo. Hii video imekua bonge la funzo. Thanks bhailam

  • @mikaelmikaelamr
    @mikaelmikaelamr Рік тому

    Kaz nzur wadau

  • @AthmanMasini
    @AthmanMasini Рік тому

    Nimpenda uyu mam amecheza km mam ju ndoa nying zinaharibiwa na wa mama wasiokuwa n mafunzo bora kwa watoto wao😊

  • @Angel-vx4eh
    @Angel-vx4eh Рік тому

    Unaweza Kaka. Mungu akupe haja ya moyowako

  • @moiminiIssauw2
    @moiminiIssauw2 Рік тому +4

    Mash Allah ❤❤❤

  • @mohamedcharming7432
    @mohamedcharming7432 Рік тому +1

    Ila masihara mbali huyu naomi ni mtt mzuri wallah

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 Рік тому +3

    Good work

  • @elimukwadada
    @elimukwadada 10 місяців тому

    Funzo kubwa 💯

  • @josephmirambo
    @josephmirambo Рік тому +4

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bosmony
    @bosmony Рік тому +1

    Oya bhailam wew kwenye sana huna mchezo kabsa

  • @hannan2793
    @hannan2793 Рік тому +2

    Asante mama❤

  • @bakarihassan851
    @bakarihassan851 Рік тому +1

    Mna weza bwana👏👏👏👏

  • @davidpeter2398
    @davidpeter2398 Рік тому

    Maneno yakiutu uzima kbs safi san @bhailam

  • @nockigona5160
    @nockigona5160 Рік тому +1

    kwel mama umeongea point

  • @rubamborocky237
    @rubamborocky237 Рік тому +1

    bahilamu mwakahu clam unamupiga chini

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 Рік тому

      Bailam siliaz clam komed na kila moja na nafasi yake

  • @peterwizoo2255
    @peterwizoo2255 Рік тому +1

    Good job

  • @Rahmmellody
    @Rahmmellody Рік тому

    Kazi nzuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @matashamamba6495
    @matashamamba6495 Рік тому +1

    Good advice

  • @user-xz1hb1yv2t
    @user-xz1hb1yv2t Рік тому

    Upo sahh kaka

  • @jmwa
    @jmwa Рік тому +1

    sana blood

  • @user-sy9jp5tk8r
    @user-sy9jp5tk8r 7 місяців тому

    Mhh to say the truth mama makes mi to be in tears mama nimemukubali saana

  • @maryd1538
    @maryd1538 Рік тому

    Mama n mama lazima asikizwe❤❤

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 Рік тому +1

    Ujumbe konki

  • @labelleshashank8852
    @labelleshashank8852 Рік тому

    Filam zenu zinamafunzo

  • @mbwelamedia3469
    @mbwelamedia3469 Рік тому +2

    Balaaa zito

  • @mrjhonblaise1749
    @mrjhonblaise1749 Рік тому +3

    C cool 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎤🎤🎤💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 Рік тому +1

    kweli kabsa ndoa ni busara uvumilivu utulivu upendo na stara

  • @teddymabula4199
    @teddymabula4199 Рік тому +2

    ❤️❤️❤️

  • @davidtentacion3104
    @davidtentacion3104 Рік тому +3

    Bhailam mtu hatari Sana

  • @dullaseif8742
    @dullaseif8742 Рік тому +3

    Naomi jamn lips zako,,, MashaAllah 💋

  • @gerysongratian
    @gerysongratian Рік тому +1

    Sasa hpa tumeona bailam kashika panga hajaenda kumkata jamaa ...
    Sasa tunaomba ile nyngn inayoonesha bailam kakataa kumsikiliza mama ake ameenda kumzingua jamaa

  • @yonamakeleleilenge2545
    @yonamakeleleilenge2545 Рік тому

    Bali kaka Ana ogeya vizuri kabisa

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 Рік тому

    Hatari

  • @nockigona5160
    @nockigona5160 Рік тому +1

    naomi ha ha kumbe mkubwa

  • @lulutv9339
    @lulutv9339 Рік тому +3

    😂😂😂😂

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji Рік тому

    🔥

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 Рік тому +1

    Uyo Naomi nmependa anajua kutumia nafasi Kama MKE mda mwingine unataman upate MKE Kama uyooo......Yan Kuna mda mpk unajuata kuoa

  • @sarahnafulanafula5537
    @sarahnafulanafula5537 Рік тому

    Akika ushauri wa mama ni utamu sana

  • @fahadnasri3855
    @fahadnasri3855 Рік тому +1

    Nani kama mama

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 Рік тому +1

    Kaka yangu jambo,

  • @krispapa8550
    @krispapa8550 Рік тому

    Umeweza kaka

  • @labelleshashank8852
    @labelleshashank8852 Рік тому

    Luve you guys ❤❤

  • @jumajuma5570
    @jumajuma5570 Рік тому

    Kaka nionge kwenye kikund chako

  • @issahnyamle9976
    @issahnyamle9976 Рік тому +1

    Mademu wanao kuwaga na mdomo hivi 🥳nawapendaga kinouma 😁

  • @derek-madreeksentlove6014
    @derek-madreeksentlove6014 Рік тому +1

    Weeeee

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 Рік тому

    Mirambo Mr kigugumizi

  • @labelleshashank8852
    @labelleshashank8852 Рік тому

    ❤❤❤❤❤

  • @yuui1878
    @yuui1878 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @iddyclassichb6795
    @iddyclassichb6795 Рік тому

    Hello tunahitaji part 2

  • @labelleshashank8852
    @labelleshashank8852 Рік тому

    🇧🇮🇧🇮✌️