Banza Stone, Kumekucha audio

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 3 місяці тому +5

    2024 nani bado anasikiliza hii na malustonch nae keshaondoka jamani😢

  • @Kilianraymond-c7j
    @Kilianraymond-c7j 29 днів тому

    Sauti jiwe,,pumzika kwa amani generel banza stone makaveli

  • @MshamuOmari
    @MshamuOmari 6 днів тому

    kuna mziki wa Banza, unaitwa mwana mkiwa, nataka kunyonya nataka kubebwa,

  • @rainerhaule8992
    @rainerhaule8992 4 роки тому +6

    Umenikumbusha mbali sanaaaaa.....ngoma hii inapigwa alfajiri saa 11:00 radio free ukisikia tu unaamka unaenda kusoma maisha ya boarding noma at Caigo

  • @abdallaabdulrahman8319
    @abdallaabdulrahman8319 Місяць тому

    Dah! Kweli siku zinaenda kwa kasi miaka 22 imepita tangu kumbukumbu nzur alfajiri tunajiandaa kwenda kweny Training

  • @christopherjoseph9981
    @christopherjoseph9981 5 років тому +7

    Daah banza Stone!! Mmoja wa watunzi wangu bora kabisa pamoja na tx moshi

  • @luganokibona7328
    @luganokibona7328 8 місяців тому +1

    😊😊😊 Asante sana nimekumbuka mbali sana sijui 2004 au 2003

  • @kherimmchume5675
    @kherimmchume5675 5 років тому +5

    MMOJA ya watunzi na waimbaji Bora wa muda wote Tanzania, GOAT

  • @mjombamutukula5011
    @mjombamutukula5011 5 років тому +6

    banza aliimba saanaaa mungu msamehee mazambiyake

  • @chulyboy3591
    @chulyboy3591 5 років тому +3

    Ni mwanamuziki pekeangu Dunia niliempenda Na kuku bali kipaji chake Na rap zake Na upangaji Wa beat zake za Dance banza stone alkua jiwe gumu kweli mungu akuweke mahali pema peponi by Gabon mwenyewe alpenda Kuni ita kanyunga akimanisha kadogo

  • @hamadihassan4817
    @hamadihassan4817 5 років тому +7

    ALLAH akupe hifadhi la kweli broe banza

  • @mcwillehard5422
    @mcwillehard5422 4 роки тому +6

    Leo 2020 bado naifurahia hii

  • @DUL69
    @DUL69 10 місяців тому +1

    R.I.P BANZA STONE. MISS YOU ALWAYS 😔😔😔

  • @janetmayala3690
    @janetmayala3690 2 роки тому +1

    Rip banza ulale mahala pema mwenye sauti yako ungekuepo kwa sauti hii ungetisha baaba

  • @digitalworld5577
    @digitalworld5577 4 роки тому +2

    Huu wimbo nimeutafuta sana.....Ahsante Humphrey.....Banza aliimba kwa hisia kali, apumzike kwa amani

  • @liberatuskavishe4256
    @liberatuskavishe4256 5 років тому +4

    Bonge la wimbo aise, elimu tosha kabisa

    • @humphreymorise
      @humphreymorise  5 років тому

      aminia brother..tumwombee kheri ndugu yetu huko alipo apumzike salama

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 3 роки тому +1

    Maisha kitendawili R.I.P BANZA Stone we miss U 🥺😭 Sana'a

  • @sadiqsleemz6311
    @sadiqsleemz6311 5 років тому +2

    mwana masanja wakongoles walikaa kwa voice na style

  • @aminasaid7993
    @aminasaid7993 3 роки тому +1

    Banza ni km alitereza tu kibinaadan lkn kiuhalisia ktk kizazi chake hakuna alifikia uwezo wake
    Jamaa alikuwa mhariri mwenye maono yaliyogusa maisha yetu ya kila siku..!!

  • @khaleedomaralislamgidua2726
    @khaleedomaralislamgidua2726 5 років тому +7

    Daaaaaaaah!!!! Yani natamani kulia kweli binadamu si kitu tumuombe Allah atujalie mwisho mwema.
    Innalillah wa Inna llah rajiun.

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 3 місяці тому

    Mungu amuondolee adhabu ya kaburi

  • @rabiimmari5723
    @rabiimmari5723 Рік тому

    Unapotakaa uanza maishaaaaaaaaaa Anza Sasa ........Rip Banza

  • @iddichamshama8953
    @iddichamshama8953 5 років тому +4

    Mwalim

  • @johnmapunda99
    @johnmapunda99 4 роки тому

    Yaa. Mungu ampumzishe mahali pema peponi Ramadhan Masanja Banza stone. Alikuwa na kipaji kikubwa

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 4 роки тому +3

    Ukiskia nyimbo hiz, nyegezi tupa KULEEEE

  • @meshacklucas7971
    @meshacklucas7971 3 роки тому

    Banza stone MUNGU akurehemu natafta pia wimbo wako upo wapi mama nataka kunyonya

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 3 роки тому +1

    RIP banza stone tulikupenda sana lakn hatukumshinda mungu

  • @peterkayuwi8911
    @peterkayuwi8911 5 років тому +2

    Mwalim wa walim

  • @jobdismas1947
    @jobdismas1947 3 роки тому +1

    Duuuuuuh 😭😭 Nakumbuka Miaka Ya 2003 Huu Wimbo Niliupenda Saaana . Leo Mwka 2021 Bado Nausikiliza na Sio Hizi Nyimbo Za Siju Hzi Zisizokuwa Na Ujumbe Zaid Ya Kuhamasisha Ngono .
    R.I.P Mwalimu Wa Walimu BanzaStone

  • @abubakaryjohn5118
    @abubakaryjohn5118 5 років тому +2

    banza stone mkali wao

  • @subiraibada4470
    @subiraibada4470 4 роки тому +1

    Pumzika kwa amani banza stone

  • @rajababdul7257
    @rajababdul7257 3 роки тому

    Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana

  • @boblatino3899
    @boblatino3899 3 роки тому

    Mwalimu wa walimu

  • @ngorweurongo8276
    @ngorweurongo8276 4 роки тому

    Tutakukumbuka daima kwa sanaa yako bro

  • @emanuelsagenge9229
    @emanuelsagenge9229 3 роки тому

    2021 mziki mzuri unaishi

  • @fatumabhallo8518
    @fatumabhallo8518 5 років тому

    Mungu awarehemu banza na malu sonje

  • @rensonmutsoli3590
    @rensonmutsoli3590 Рік тому

    Kuna version ya pili. Siipati humu.

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 2 роки тому

    Malustonch

  • @juliusmtemahanji
    @juliusmtemahanji 3 роки тому

    Mwalimu wa walimu