Jinsi ya kufanikiwa | Njia za mafanikio | Siri ya mafanikio | Ramani ya Maisha 1| Best ways

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Katika video hii utajifunza kuwa kila mtu anaweza kuwa milionea lakini ili kuwa bilionea unahitaji maarifa kutoka katika ramani ya maisha yako,
    Vile vile utajifunza kwa nini wengi hufanikiwa kisha mambo kuharibika na pia utatambua ya kwamba mafanikio bila maarifa ni sawa kupandisha maji mlima.
    Jiunge na channel hii kuweza kuamka kiakili, kimwili na kiroho na ukatae na ufungue njia zako mbadala za mafanikio na ushangaze watu waliodhani huna uwezo wa kupata mafanikio

КОМЕНТАРІ • 40

  • @danieldaudi1283
    @danieldaudi1283 Рік тому +5

    Kwenye biblia kitabu cha mithali kinaelezea kuhusu maisha na mustakabali wa kila mmoja ktk maisha

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  Рік тому +2

      Asante akiweka comment mwingine mwenye maelezo ya kutosha tutapin ya kwake. Asante.

    • @emmanuelmusa1061
      @emmanuelmusa1061 Рік тому

      Na kwakuongezea katika kitabu cha KUMBUKUMBU YA TOLATI 8:18 ) imefafanua kwa kina zaid kama hivi= Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
      But thou shalt remember the LORD thy God: for it is he that giveth thee power to get wealth, that he may establish his covenant which he sware unto thy fathers, as it is this day.

  • @emmanuelmusa1061
    @emmanuelmusa1061 Рік тому +5

    KWENYE BIBILIA (WAFILIPI 4:19 INASEMA HIVI) Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.
    But my God shall supply all your need according to his riches in glory by Christ Jesus.

  • @frankdaud311
    @frankdaud311 11 місяців тому +1

    Nimependa ufafanuzi wako umezungumza ukweli mtupu hongera sana tupo pamoja.

  • @OnesmoJumanne
    @OnesmoJumanne 4 місяці тому

    Asante sana mwalimu kila siku umezidi kuwa bora zaidi ya jana

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  3 місяці тому

      asante mwenyezi Mungu azidi kukuongoza pia

  • @emmanuelmusa1061
    @emmanuelmusa1061 Рік тому +2

    ZABURI 24:1-2 PSALMS) (Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
    The earth is the LORD's, and the fulness thereof; the world, and they that dwell therein.

  • @MihayoSimon
    @MihayoSimon 21 день тому

    Download it

  • @brightonjohnson
    @brightonjohnson Рік тому +2

    Well noted kaka

  • @user-gs4zg1vv7v
    @user-gs4zg1vv7v 5 місяців тому

    asante kwa elimu yako

  • @josephmutuku9214
    @josephmutuku9214 Рік тому +1

    Asante sana kaka kwa elimu yako

  • @eminenceboy8386
    @eminenceboy8386 Рік тому +1

    Amina 🙏🙏

  • @Amina-dn1dr
    @Amina-dn1dr Рік тому

    Shukrani shukrani kwa elmu kubwa unayo tupatia

  • @rutatv8358
    @rutatv8358 Рік тому

    New vision

  • @DENISEVANS-yq1qq
    @DENISEVANS-yq1qq 8 місяців тому

    Nitajuaje mwelekeo wangu wa maisha,ambapo mm ni mkulima,na kama nikifaham nitajuaje kazi yangu maalum ya kufanya ili. Inipe mafaniko?pia nashukulu sana kwa elim unayo itoa,mungu azid kukujalia maarifa makubwa zaidi ya hayo unayotupa.

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  8 місяців тому +1

      Kuna uchambuzi hufanyika private wasiliana nasi kwa whatsapp 0783930601

    • @naimahhussein8430
      @naimahhussein8430 7 місяців тому

      @@rakimsspiritualok

  • @Direct-0000
    @Direct-0000 Рік тому +1

    Size of your success will be measured by strength of your desire

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  Рік тому

      Why don't you start a video for this cc quote? Stop emberrasing yourself. This is a Swahili channel for East African community and those who speaks Swahili around the global. So you better use a language that can help every individual around this planet who speaks swahili to understand your quote and not being like a linguilistic slave..... also we respect your point of view but this channel is not for debates sorry.

    • @Direct-0000
      @Direct-0000 Рік тому

      To be a higher performer you have to think big and take big action,if you think small and do nothing you will remain small

  • @user-yl6jz5ek3j
    @user-yl6jz5ek3j 4 місяці тому

    Good

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 Рік тому +2

    Fact

  • @ngongomamy2968
    @ngongomamy2968 Рік тому +1

    ni kweli

  • @deus-iv2sp
    @deus-iv2sp Рік тому

    Chanzo utajiri

  • @geoffreymwangi6627
    @geoffreymwangi6627 Рік тому +1

    Sasa wewe takupata vipi.Nigependa tuungeee mengi.

  • @MajutoShabani-qu1hl
    @MajutoShabani-qu1hl 9 місяців тому

    Tuna.shida.na.nanba.ya.sm

  • @zabronjohn-ec4xr
    @zabronjohn-ec4xr 6 місяців тому

    Namba ya simu kaka

  • @user-re3eu5mr4g
    @user-re3eu5mr4g 6 місяців тому

    unafanyafanyaje irikuwona jichorata2