Pr. Semba nawatakia huduma njema na Madam Urio, Asante kwa somo "Ufalme wako uje" Dini ya Kristo siyo sisi kuchangayika na ulimwengu maana sisi makao yetu yameandaliwa Mbinguni......tabia zetu ziwe za kuishi tu tukimtazama Kristo na ujio wake maana tunapita sisi hatukai hapa kamwe
Mama urio na Pr semba Mungu awape maisha marefu hapa duniani na maisha umilele yajayo
Barikiwa mama kwa Funzo nzuri Mungu atuwezeshe nasi tuamke wazazi
Pr. Semba nawatakia huduma njema na Madam Urio, Asante kwa somo "Ufalme wako uje" Dini ya Kristo siyo sisi kuchangayika na ulimwengu maana sisi makao yetu yameandaliwa Mbinguni......tabia zetu ziwe za kuishi tu tukimtazama Kristo na ujio wake maana tunapita sisi hatukai hapa kamwe
Nakufuatilia sana. Napenda sana fafanuzi hizi Mchungaji. Fafanuzi hizi hazionekani kwa watumishi wengi leo. BWANA atukuzwe kwa exegesis makini Pr.
Amina nimeelewa kwaufafanizi mzuri wasala yabwana
Barikiwa sana Pr.
Kumbe tuko wote mama eti,hata mimi"sijaongoka katika hilo,kuhani gani mwanamke?"
Tena siwezi kuongoka kabisa
Kwani yeye ni kuhani?una jua kuhani ni nani? hutuduma ya ukuhani ilishakoma eafiki@@CharlesJumanne-zh4oz