Lakini mbona kwenye vilabu wasemaji Wetu wanakuaga na Hamasaki kubwa na kujiamini sanaaa lakini taifa mnazungumza kinyooonge badilikeni jamani uzalendo kwanza twendeni tukaujaze uwanja
TFF sasa waachane na hawa vijana. Utoto mwingi kwenye mambo ya Kitaifa. Hata wakiwepo viongozi wanaendeleza utoto wao. Wanapozungumzia Taifa Stars wanazungumzia nchi. Hao vijana waachwe wazungumzie timu zao. TAIFA STARS izungumziwe kwa nidhamu. Haji Manara, Zaka Zakazi ndio wanaoiweza kazi hiyo. Hata protocol za kuongea wanazijua.
Hapo kila mmoja ana uzuri wake ndio maana wameitwa wote na utatu wao unamake a very good sense kwenye hamasa ya mchezo wa timu ya taifa. Kila mmoja ana mapenzi na timu yake tukisema kila mtu atoe comment inayosifia msemajj wake haikai vizuri kwa wanachokilenga TFF kuwaunganisha watanzania linapokuja suala la team ya taifa
Ahmed Ally very smart man...!
Ahmed Ally the best❤
Ahmedi Ali hajawahi kosa come back😂
Raha sana mkiwa pamoja kwa umoja wenu
Semaji km semji Ahmed🎉🎉🎉
Hawa jamaa wanaleta maana halis ya umoja❤❤ them 😊
Best comedian in this country kwenye tuzo wakumbukwe nawasilisha😂😂
Tuacheni ushabiki hawa vijana wakiwa pamoja wanafurahisha sana had raha haswa ally kamwe na Ahmed ally wanajua siyo yule mzungu pori
Ukiasikiliza mahojiano yahawa hata Kama umenunua utachekatu😂😂😂😂
Inapendeza sanaa
Semajiiiii
Binafs nawakubal sana hawa jamaa wanaonesha jins gan urafik unatakiwa kuwa
Ila hawa n marafiki mnoooo
Ahmed ally master of all
😂😂😂😂hawa jamaa wakikutana unatamani uwaangalie siku nzima
HAWA NI MARAFIKI SANA NDY MAANA WANATANIANA. TUMEWAPENDA SANA. KWELI MUNGU AWABARIKI SANA.
Leo ko Aly kamwe umemuwezaa etyy😅😅😅😂
Michezo ni umoja na further.Manara alishindwa huu umoja yeye ni matuc.
Hawa ndio wanajua mpira burudani, sio yule nanilihu anafanya mpira ni uadui 😂😂
Yaan kuna majitu mengine yamekalia upinzani tu wakti wenyewe habar hawana, wanafura, pmja yaani safiii kabisa.
Allha aijaalie timu yataifa itoolewe mana tff timuzetu wanazihujumu halafu wanataka timuyao tuiunge mkono mm nataka itokeeee
😅😅😅😅
Lakini mbona kwenye vilabu wasemaji Wetu wanakuaga na Hamasaki kubwa na kujiamini sanaaa lakini taifa mnazungumza kinyooonge badilikeni jamani uzalendo kwanza twendeni tukaujaze uwanja
Aly kamwe anapenda kucheka kucheka yaan 😂😂
Semaji la Caf
Nawapenda sana hawa jamaa
Hawa jamaa wananifurasha sana
Mbavu zangu mie
Ndo insvulyotakiwa sasa,mkiondoka hapo,mkapige menyu kwa pamoja.
TFF sasa waachane na hawa vijana. Utoto mwingi kwenye mambo ya Kitaifa. Hata wakiwepo viongozi wanaendeleza utoto wao. Wanapozungumzia Taifa Stars wanazungumzia nchi.
Hao vijana waachwe wazungumzie timu zao. TAIFA STARS izungumziwe kwa nidhamu. Haji Manara, Zaka Zakazi ndio wanaoiweza kazi hiyo. Hata protocol za kuongea wanazijua.
Achen ushabiki watimu hapa leo ni kupigania taifa ukitak kumsifia msemaji mmoja mmoja hakuna anaemzid ahamedi hata kwa dawa so tuache ushabik
Kwwn nani kamtaja mchezaji
Uwongo huo 😅😅😅😅
Mbona mwenye maiki zake hajaalikwa i'm bakieee yes I'm back mzungumzaji Wa mpira😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Ila wanajijua akili zao wenyew
Ally kamwe yuko vizuri kushinda hawawengine
Hapo kila mmoja ana uzuri wake ndio maana wameitwa wote na utatu wao unamake a very good sense kwenye hamasa ya mchezo wa timu ya taifa. Kila mmoja ana mapenzi na timu yake tukisema kila mtu atoe comment inayosifia msemajj wake haikai vizuri kwa wanachokilenga TFF kuwaunganisha watanzania linapokuja suala la team ya taifa
Basi awe msemaji wa familia yenu
Basi akuoe
Kushinda wazazi wako
Ahmed ally ndio mwamba
Kichwa cha mwenda wazimu
utawaona uwanjan
Hongera sana semaji kakaf
Ali kamwe
Hawa jamaa wanafurahisha sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂