🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 92

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  День тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 День тому

      Alafu tukifungiwa inakuwaje dada? Acha tupambane na halizetu الله atatuhifadhi.

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 16 годин тому

      Mie naifungua link inakataa​@@myunaniniahmad6463

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 14 годин тому +1

    Shukran sister zari unazungumza hawa wavivu wapenda mambo ya nje mamangu

  • @umahmed8273
    @umahmed8273 День тому +1

    Asante daa Zariiii nakupendaaaa dadaangu wa fungiwe tuuuuu

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 17 годин тому

      Kwaiyo inatuhusu nini 😅

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 16 годин тому

      roombaya😅

    • @umahmed8273
      @umahmed8273 15 годин тому

      @@aishaibrahim5607 kama kila siku matatizo kazi hawaziwezi sasa wanaenda kufanya nini. Unachukua Ethiopia mmoja hamna kelele wala matatizo mshahara rial 80 tu bila mkataba wala ubalozi

    • @asiansky9767
      @asiansky9767 12 годин тому

      ​@@umahmed8273maskini ww kama hao mashaghala tuliza kipopo chako icho

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 8 годин тому

      @umahmed8273 we usinambie kz atuwez sio?rial 80 ni mfanyakz gn uyo?kama ujawai kuja uku acha kamdomo mpenzi

  • @bushraaljadidi7747
    @bushraaljadidi7747 13 годин тому

    Dada zari uko vizuri sana

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 18 годин тому

    Mbo ss tuna mikaka na miaka atuyasiki kupeana raaahaaaa 😊😊😊

  • @fideskimario3064
    @fideskimario3064 День тому

    Mamaaa yangu jamani......Mungu Atukuzwe umerudi salama

  • @halamascat2816
    @halamascat2816 День тому +1

    Inaskitisha. Sana kupoteza mtototo😢

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 День тому +1

    Huyu msichana ameshindwa tu na kazi pamoja Na kuona mji, raha ya kupanda ndege.

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k День тому

    Pole baba kwakupotelewa na mkeo

  • @mamujoha6034
    @mamujoha6034 День тому +3

    Oman wenyewe kwa wenyewe tu awasidiani sembuse mgeni

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f День тому

    Subhana llah binadamu tumekua mwanyama

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 18 годин тому

    Akifunga uku njia ipo kule aisaidi mnajimbuwa tu mnakausha mate yenu bule 😊😊😊😊

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 День тому +2

    Wafungiwe Watanzania wanawatia aibu

    • @erinestangowi7785
      @erinestangowi7785 20 годин тому

      Aibu ya nini wakati wengi niwavivu wakufanya kazi

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 День тому +1

    Sio lazima wafungiwe Watanzania wenyewe wasije

  • @zoab2699
    @zoab2699 8 годин тому

    Astaghfur allah allah ana waoneni niye mnao sema uongo

  • @rayyansaid652
    @rayyansaid652 День тому +1

    Yaaani zari asante mimi ni mtanzania muoman na napenda saaana kuwaleta jamaa zetu najua vipi tunashida kwetu... basi nilileta mtu ikawa hayohayo uvivu nyumba hasafishi namchukulia kama ndugu yangu basi akaanza nipo nina vidonda mara pum mara moyo ila nilimuachilia nikamwambia kata ticket uondoke

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 18 годин тому +1

      Sio wote mm nina miaka 10 apa tunambambana sio wote sasa uyu ana utoto uvivu

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 16 годин тому

      Mmmh pole sana dadaaa mbona majanga haya

  • @RedmiA3-g8w
    @RedmiA3-g8w День тому

    Mmmmh mbona mtihan jamaniiiii polen san Wana global

  • @KhadijaMzuri
    @KhadijaMzuri 12 годин тому

    Alokua hawezi kufanya kazi asiende sio watu wote hawawezi kufanya kazi wengine wanafanya kazi vizuri tu

  • @NashatAhmed-z2t
    @NashatAhmed-z2t День тому +1

    Huyu msichana mbona km anaa story za kutunga. Atoe ushahidi wa msg alizokuwa anaambiwa afanye mapenzi na Bibi. Haingii akilini

    • @fadhilaalmaani8148
      @fadhilaalmaani8148 20 годин тому

      Watanzania ni mtihani mkubwa na waongo sana kwenye suala la kufanyishwa mapenzi kwa nguvu , kutakwa na mabosi zao, kupigwa na kufanyishwa kazi zaidi ya nyumba moja kwa siku, pia kusema walalala saa nane na wanaamka saa kumi usiku , labda ikiwa wanakesha kwa kuchati
      Mimi binafsi nimeshuhudia wasichana wawili wa Kitanzania wametoka ktk mwezi wa ramadhani nusu uchi wamekaa garden kwenye mtaa asubuhi kweupe , kuna baba hapungui miaka 70 mgonjwa wa akili alitoka akawaona aliwauliza kwa kiarabu mnafanya nini ? Tuna vijana wetu wapi waeke macho yao hawa dada walimjibu maneno machafu sana walimtukana zaidi ya dakika 20 baadae walipita watu wanamjua huyu baba wakasimama kumuondoa lkn wale wadada walisema kuwa huyu baba kawataka na walipomkataa kawashika matako kwa nguvu, mimi binafsi nilishangaa sana na niliona haya kuwa nami pia sikuweza kumtetea baba wa watu , nilijua nikitia langu watanitukana au hata kunipiga , kwao hayo mambo wameyazowea sana ,

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 День тому +2

    Sasa polic wanapo sema ni baada ya masaa 24 si mualifu keshaa fika mbali?

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 День тому +2

    Kuna wachache wenye tabia hizo ila unataka kuonyesha kuwa wasichana ndio wana shida? Kweli? Angalia video za Wakenya utajua. Nimeshangaa sana wewe kuwa upande wa watesi

  • @sabinasabinam-e1z
    @sabinasabinam-e1z День тому +1

    Wewedada nimvivu

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k День тому +1

    Kwakweli watoto wanataka ulinzi sana

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 14 годин тому

    Jamani jamani astghfirullah mbona mmezidi uongo huyu muongo wewe umpe raha bibi yaani mungo mkubwa

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 18 годин тому +1

    Ww unataka mwenyewe usumbufu mbona mwengine awasemi kani ww ndio mtangazaji wa kwanza achanao

    • @asiansky9767
      @asiansky9767 12 годин тому

      Umeona huyo tamaa zake mwenyewe kutwa Oman Oman kwani ye ndo mtangazaji wa kwanza dunia yote

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 11 годин тому

      @asiansky9767 nimeona lazima aitaje omani kwani amna kwengine iraki kinasiku majanga mbona asemi analolote anapataka nayy aje apo ubarozi aye kukandamiza vizur

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 День тому

    Jamani Hawa wanaoibiwa watoto wamejikaza, kama ni mimi ningekuwa siwezi hata kusema dohh

  • @hidayangede6015
    @hidayangede6015 День тому +1

    Da zari niukweli hasa wazanzibar niwavivu sana japo changamoto zipo namm nimojawwapi nilishawai kufanya kazi miaka7 Oman ila wadada pia tuna changamoto wasumbufu hasa wanaoenda miaka hii ht mwaka hawana wako mitandaoni wanalalamika Wana nyanyasika. Mabela nawajua mabela ndio km Ohio wanajiuza tatizo letu tunapenda njia za mikato

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 День тому +1

    Zari kama umeshindwa maswala ya oman kaa kimyaa fanya kazi yako ya gobar ya huku tuachie wenyewe,swala la kufungiwa halikuhusu.

  • @khamisjina8833
    @khamisjina8833 День тому +1

    Wao wanataka raha tu wanasahau shida zilowapeleka huko na cha kuchekesha wengine wanataka pesa watumiwe na ndugu zao walokuwa hohe haiii na kudiriki kutangaza shida hata nyumba ya urithi , nikweli mirathi haki ila jeeh ikiuzwa ndio senti yake itamsaidia😂 pambaneni musaidie familia zenu sio kuzididimiza

  • @FatumaMtwana-h6h
    @FatumaMtwana-h6h День тому

    Daah pole dada huyo inaonyesha ilikuwa anamuinda siku nyingi na ndy maana kaja kumuulizia hpo duuh pole dada

  • @Shaniatwain06
    @Shaniatwain06 День тому +1

    Mama kaolewa uke wenza ndoa gani mbona mtoto jina lake na la baba ni la kikristo

  • @Husnasalim-f2g
    @Husnasalim-f2g День тому

    😂😂😂😂 uyo ajent sio Ramadhani Lutajengwa huy 😅😅 maan ndo mwenye hiy michezo😂😂😂 hata mkiend kumwambia sio shida zangu

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 14 годин тому

    Mama samiha wafungie please wasende omani wana fanya fitna wa omani ni watu wazuri na wanasaidia sana haswa Tanzania

  • @estherobed8693
    @estherobed8693 День тому +1

    We koma ww wafungiw tule wapi? Na hao mabint wadogo ndio lazma wapate changamoto sabb wengi wanakuja kutafuta mabwana hao mabint wadogo hawaji kufanya kaz wanasumbia kweli labda mseme waangalie umri ila sio kutufungia

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 День тому +1

    Huyu ni mvivu wa kazi hakuweza kazi Sasa ni lazima awachafue waoman. Tena wanavyowachafua ni mambo ya aibu hasa. Yaan nyie watu Allah anawaona.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День тому

      Hivi ili uwe mfanyakazi mzuri hodari ni uwe kama zaidi ya punda ama'?mikazi isio kwisha mpaka 7 usiku kisha uitwe mvivu,? nipale kazi zimepita kiwango ndo huitwa mvivu au?kulala saa 7 kuamka saa 10 alfajiri kisha mnaona ni sahihi kutumikishwa hivi na usiseme Umechoka au kuugua pia hutakiwi basi kuzidi wamezidi hata punda kwa style hii lazima mtu atakimbia majukumu ya kazi yake, kazi huiona chungu si hivyo jamanini

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День тому +1

      Hatakama alipima daZari kwani huko Oman ni mbinguni hakuna maradhi?mtu kuugua ni hali yakibinafamu mbona unamuuliza kanakwamba hawezi ugua au nikosa kuugua nikosa kuchoka hatakiwi yani eee? au huko hakuna maradhi?jaribu kuwaelewa! Mbona wewe wawaita ktk kipindi ili wajieleze na huku hupendi kusikia maelezo yao' lkn"unapenda ilimradi kipindi chako kiwepo hewani upate wa kukisikiliza tu au vipi? Aaaaah haijakaa sawa hii

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 День тому +2

    Unajua kwanini hawakuamini kama unaumwa. Ni sababu ya uongo wenu Kila siku mko kudanganya. Kuchafua nchi ya watu mmekaa tu Kila siku kulalamika mbona nchi zingine zingine hatuoni hayo malalamiko. Ni nyie tu Kila siku. Kwani mna matatizo gani nyie watu. Waoman wapaze sauti serikali ya Oman iwafungie watz.

    • @guugug9gt829
      @guugug9gt829 День тому

      Wafungetuuu mbona sisisote nimaiti watarajiwa 😂😂

    • @AyshuuAlly
      @AyshuuAlly День тому +3

      Nimekaa omani miaka minne 😂😂😂sio watanzania tuu wanaolalamika hata hayo mataifa mengine wanalalamika ila waarabu wanapenda kuwaonea watanzania

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 День тому +1

      Weekoma wee, wafungiwe ili iweje?

    • @estherobed8693
      @estherobed8693 День тому +2

      Alokwambia nzchi zingine hawalalamiki nani😂 pole weee

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 День тому

      Watanzania mnamidomo michafu Sana hakuna nchi zingine kama watz hakuna malalamiko na wachapa kazi hasa. Mbona hatuwaoni Hao wanao lalamika wakija huku wanajua nini kimewaleta ​@@AyshuuAlly

  • @ShahidakasirateShehedas
    @ShahidakasirateShehedas 9 годин тому

    Wadada wengine wana asili ya uvivu toka kwao wakija omani ile eka eka awajazoea ndo maana yanatokea hayo

  • @fadhilaalmaani8148
    @fadhilaalmaani8148 18 годин тому

    Mimi neno langu kwa Maajenti, kabla ya kupeleka watu kufanya kazi nchi za watu zingatieni yafuatayo,
    Kila nchi ina utamaduni wake mila na desturi na hazifanani na Tanzania, hata hapa kwetu Tz tinatofautia hayo mambo.
    Wanapokwenda huko wasiende kwa lengo la kuchota utajiri , kwani hata hao mabosi nao si matajiri wa hivo nao pia wanafight , na mishahara pia haiwatushi ila wanabalanzi mambo, Mtanzania anataka mshahara mmoja ailishe familia yote ajenge, asomeshe, atowe sadaka , akh
    Kila watu wana mapungufu lkn si kila pungufu lazima kuanikwa mtandaoni , wamewatoa watu kwenye utu wao , wanafedhehesha majumba wao na mila zao, .
    Wende wakapambanie matatizo yao sio kupambana na watu kwenye nchi zao .
    Hao mabosi ili kukuchukuwa mpaka ufike kwake amelipa pesa nyingi kwa hiyo ikiwa hutaki kazi usione tabu kurudisha hasara zake, .

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 14 годин тому

    Huyu mvivu sasa wewe mgonjwa umetoka nao tz mhhh jamani haifai kusema uongo

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 День тому

    Wasichana wa sasa Wana roho ngumu, kutoroka nyumbani bila kufikiria wazee wao

  • @zoab2699
    @zoab2699 8 годин тому

    Yani da zali hawa wafanyakazi hawaelewi unajisumbua unajitabisha kama una tanga maji kwenye kino bora wafungiwe tu watu wa pumzike

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 День тому

    Yes wafungiwe wale jeuri Yao. Embassy pia imewachoka.

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 День тому +3

      Kumbuka riziki iko mikononi mwa الله ndie anaetoa riziki.

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x 16 годин тому

      Watuchoke wamekuja huku kwa kazi gani kuuza sura au si kwa kazi ya raia wake mama pumuuu kabisa

  • @Shaniatwain06
    @Shaniatwain06 День тому

    Hivi mtu atoke kwenye nyumba ya muarabu aende police mnawajua waarabu au mnahadithiwa tu story jamani police kwenyewe ukifika wanakwambia nenda kwenye ofisi yenu Watanzania mnayo Safara nenda aisee acheni tupambane tu Mungu ndy msaada wetu😢

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k День тому

    Uyu mama mtoto mbona kama hana uchungu vile pole jamani

    • @vickytorry100
      @vickytorry100 День тому +1

      Kila mtu kaumbwa kivyake, sasa akuonyeshe wewe kuwa ana uchungu utamsaidia nini? Ushamba huo

  • @omarysebwa8280
    @omarysebwa8280 День тому

    Mama yake Khalima amnunulie Shangazi yake Khalima simu ya kuwasiliana naye kwa njia ya WhatsApp

  • @Hgd-jk6lh
    @Hgd-jk6lh День тому

    😅😅😅😅😅😅😅😂😂 tunagomaa na shida zetu haturudi shida kumbwa wengi wanarudi kwa matatizo wakifika kwa media husema uogo niko oman huu mwaka 14 chagamoto ni sehemu ya kazi tu

  • @halamascat2816
    @halamascat2816 День тому

    💔💔💔😭

  • @FatimaHassan-u2l
    @FatimaHassan-u2l День тому

    Halima mtafute shangazi kwakweli hujafanya sawa ili upate baraka uko kazini kwako

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 День тому

    Yaani Watanzania wanawatia aibu waomani kweli

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k День тому

    Zari Soo wote wavivu sisi wengine tupo Oman miaka kumi na Bado tunaendelea Wala hatutembei tupo kz natunaishi vizur na mabosi zetu

    • @vickytorry100
      @vickytorry100 День тому

      Kabisa, huyu zari afanye kipindi kufuatana hoja, asiwatetee waarabu ni wanyanyasaji

  • @mamujoha6034
    @mamujoha6034 День тому

    Uliyataka vipi sasa ivi unayakwepa majukumu

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l День тому

    Miaka 60 she looks young more than me😂

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 День тому +1

    Ivi wewe zai unoposema watanzania wafungiwe utawalisha wewe

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay День тому

      Kwani wao hawajazaliwa kma hpo mwanzo watashindwa kuwalea na kuwalisha

    • @guugug9gt829
      @guugug9gt829 День тому +1

      Kwanisisi tunalishwa nawaoman ? Mbona pumbawewe

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 День тому

      @@guugug9gt829 ana maanisha huyo zari atawapa ajira?