🔥🔥 🔥 Huyu jamaa hatar bna, et mnasema Kuna wana Hip Hop huko🤣🤣🤣🤣 acha tu nicheke, huyo kubanda mwenyewe anaimba tu, lkn kwa hii mistar jamaa ni 🔥🔥 bna, kubali kataa huyu jamaa hakuna Kama yeye, BONGO Nzima Hip Hop stars wanaoelimisha ni DIZASTA VINA x NACHA💪💪.
Ni kama mufti aliyelamba haramu.... Tumeganda hata kope haiyumbi utasema ameganda sanamu.... Sipo kwenye route ya wavuvi mamluki nipo na mafundi kina ngigi wanawapa salamu....👊
Tunaombaa utupee trehee tu ulitaka kutoa Tena mbabee wa vinaa....mma angu ananirinda .....mi ni ndoto Hata kwa..demu wako....hahaha legend kmas kooffi...olomidee...mi nakupaa uwe mwakilixhi wa SADC...kma koffi anan...
Mamaee,,,,jamaa anakushawishi urudie rudieee hata mala 10000,,,,,,,,,
Alie rudia hata zaid ya malamoja naomba like hapa pleasee
Tuko pamoja mzee mwenzangu
Nomaa
Wakwanza ..nlikua naisubiria balaaa.
Tanzania hakuna M-ROMA mwenye STAMINA ya Kurap na mimi ..like kwa DIZASTA VINA APA
🔥🔥 🔥 Huyu jamaa hatar bna, et mnasema Kuna wana Hip Hop huko🤣🤣🤣🤣 acha tu nicheke, huyo kubanda mwenyewe anaimba tu, lkn kwa hii mistar jamaa ni 🔥🔥 bna, kubali kataa huyu jamaa hakuna Kama yeye, BONGO Nzima Hip Hop stars wanaoelimisha ni DIZASTA VINA x NACHA💪💪.
"Nafika Kilele Ila Sipigi Kelele Kama Nyinyi"😎🎧🎙🎶
kutoka nairobi nasema hiviii...Dizasta Vina hakuna anayekufikia kwa punchlines aisee Afrika Mashariki sijaona dogo kama wewe hakika'👌👌👌👌👌👌
Wewe huwezekani Mzee👏👏
imebidi nicomment tena uetish sana mzee baba
Pesa inaongea nami naongea nayo
Pro.tungo💪
Mizuka hewani utazani anayeRAP ni JINI/ Nusu mtu Nusu Rap MACHINE 💪💪🔥🔥🔥
mwanangu sijui ulikuwa wapi tunamiss sana hiphop tamu kama hizi
Dizasta vina ni kina joh 70 nakubali bro
kali sana
Naspit holly Kama nam bite masihi,kwaheshima namnyang'anya maiki madee
Asee ni noma
Ngoma kali mwalim wangu
Baada ya hii ngoma kutoka sijasikiliza ngoma nyingine
Légende kama Olomide
Unaitawala dar kama nani vile😂😂😂
Kweli no body is safe💥💥💥
Mimi ni ndoto ya mama ako
Ndoto ya demu ako
Hata baba ako anataka mtoto kama mimi 😃😃😃
sina drama kama za domo na wenzake hahahahahahaha get it we ni mnomaaaa sana (G.O.T)
Shabiki wa kweli wa dizasta vina
So many quotable lines 🔥🔥🔥🔥 every line is a bar
True
Deep kama chumvi kwenye uvungu wa nyapu 😄
Unajua sana
pfunk chukua kichwa hiki kaka.....he is good
Haukukosea kujiita dizasta brother
kitu kaliii kin0umaa!!!! aysee, 💪💪💪
Likee kwwnu huyu mwambaa disaster vinaaaaa.....
Respect to this G...from🇰🇪
Noma sana
NILIKUWA MTUPU. NIKAOKOTA (BOOK)BUKU NIKA (BOOK'UKA) NIKABUKUKA...
#VINA
Moja Kati ya waandishi wangu bora sinaga shaka na uwezo wako✊
Kumbe nyayo zinapotea jagwani kwiiiiikwiiiikwiii
I'm a GOAT you can see that..)YEAH.!
Teacher nimesikia noora amechupia kiana kwenye line fulani 😂 umeua Teacher, mwanao from Toronto canada
goma iko deep kama chumvi kwenye uvungu wa nyap
daaahhh nimeirudia km mara 50 hv daahh
Leo asubuh nimekuja ku'search hii ngoma maana alisema tarehe tano ataachia but ndo nimeingia tena sahiz nimeikuta❤😍vina nakukubal sana keep up
Jah bless u bro najfunza mengi kupitia kwako toka kwenye siku mbaya, Ndoa Ndoani mpaka kwenye Hatia
domo nawenzakeeee
Dahhh natamani nitukaneeeee KMK !!!!!!!! SIO POAAA. I swear to God NOBODY IS SAFE !⚰⚰⚰⚰⚰
Nafoka kama dingi wa kambo muulize fifi //😀 nakumbuka fifi alidata siku ile umeenda kuziangamiza zile dakika kumi
Noma Mpaka Homa Fundi Vina 🔥🔥🔥
DA! vina ww niatali nyingine
Hatari haijawai tokea broo
🙌🏾 bro
Kutoka panorama nasukuma ringi kisomi,maana wa kufanya hivi simuoni.
Ni kama mufti aliyelamba haramu....
Tumeganda hata kope haiyumbi utasema ameganda sanamu....
Sipo kwenye route ya wavuvi mamluki nipo na mafundi kina ngigi wanawapa salamu....👊
🇹🇿 fifi anaelewa kaka, ila hapa ataelewa Zaidi 🎶🎶🎷
Dizasta vina noma sana
man when are we getting Nobody is Safe 4? we need it! we want it
Soon brother
Noma sana mzee🔥🔥
Gifted Genious HIP HOP MUSICIAN INDUSTRY
aaahh dizasta vina chukia tanooo👊👊 ni hz0 maneno unavycheza naz0....😀😁😁😁😂
salam salam DIZASTA VINA sikupingi bro
NOBODY is SAFE
“......Hiki chakula cha ubongo cha ku-feed kids kwa lugha ya ku-twist km coil....” 😂😂😂
Keep it up G
Hata babaako anatamani kua na mtot Kama mm
Thanks, please share
Akuna kama wewe bongo.
Mashairi tupu 🔥
deep kama chumvi kwenye uvungu wa nyapu....hahahaha
We got t boy🔥🔥🔥🔥🔥
😮😮 mh.❤
Profesa Tungo🔥📌🔨🎼
Big up bro nice tune there
🌋🙏
ankoo ankoo✊🏾
>>>#Vina 🔥🔥🔥
Nengaaaaaaa
Sio Nenga bhana bali ni Ringle.
Ringle Beast ndio kafanya maajabu kwenye hiyo beat.
Dizastaaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Karibu centre ya tenzi
Uone bidhaa bila ya expie date
Thanks, please share
@@dizastavina OK let me share it broo
Tichaaaaaaaaaa
Kaka unajua
Upo vZur
incredibly insane🔥🔥
This Nigga banging it Hard with no shame just like the Panorama Hopsin.... Kick em Haaaaaaarder professor Tungo.....
Yesi
Rap God
Mwambie shorobwenzi aje Ku beat nna he
underrated hihop geek
🔥🔥🔥🔥🔥
Big up Dizasta shout out from Mombasa, Likoni. Ngoma tunazidownload wapi bro....
Ukichek Kwenye Official Video yake Kuna Link Ameweka Pale Chini..
Nobody is safe 3 is out
Official Music Video - ua-cam.com/video/zcTdMphBBYc/v-deo.html
Official Music audio -
www.dizastavina.com/2020/07/NIS3.html
Hahaha niliigoja xana
Nafika kelele ila sipigi kelele ka nyinyi
Hatimayee
Halaluya
Yedede
🙉💪🙌🏿
Vinna
Vikundi vyenu kama crow za maguy
BANA DISASTER UH HAVE THE CLOWN
Konk
Pamoja kaka bupo nawe pamoja
Nichec 0712103183
Hahaha niliigoja xana
Kaa kando uone game nai-difine upya
Tunaombaa utupee trehee tu ulitaka kutoa Tena mbabee wa vinaa....mma angu ananirinda .....mi ni ndoto Hata kwa..demu wako....hahaha legend kmas kooffi...olomidee...mi nakupaa uwe mwakilixhi wa SADC...kma koffi anan...