Mkasi - SO7E09 With Gea Habibu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Follow MkasiTV on
    Facebook : / mkasitv
    Twitter : @MkasiTV

КОМЕНТАРІ • 44

  • @godfreyndyanabo2462
    @godfreyndyanabo2462 9 років тому +7

    mi hua sipendi taarabu ila ni shabiki mkubwa wa geah habibu huwa napenda sana sauti yako big up mama la mama

  • @TheKenyanHype
    @TheKenyanHype 10 років тому

    CalifRecords New Hit "MUMMY" play/download>> soundcloud.com/rajayjay/mummy-track-rajayjay

  • @alistairtms
    @alistairtms 10 років тому +7

    "Kwanini wanawake wengi hawataki kuolewa..." Nadhani Salama angejibu swali alilouliza mwenyewe!

  • @azizaz1628
    @azizaz1628 5 років тому +3

    Gear vp mama hicho kifua umekiacha waz! Hiyo ni fahari ya me wako mama

  • @abrahamamu5456
    @abrahamamu5456 10 років тому +4

    Gea yuko poa sana. Yupo free, yupo real. Nilivyokuwa namchukulia zamani ni tofauti na ninavyomchukulia sasa baada ya kuona hiki kipindi. Kila la kheri katika kazi zako....

  • @romansuzana46
    @romansuzana46 10 років тому +6

    Kusema kweli nilipokua nakusikia ktk hekaheka ni tofauti,Nimependa interview yako big up my sister

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 років тому +2

    Mashallah nimefurahi kumjua gear kisura coz ilkua namsikiza sana kwa heka heka nikasema nimependa sauti yake natamani kumuona sura yake coz hio sauti nzuri nae bila shaka atakua ni mzuri kumbe ni kweli mungu akulinde na mitihani kwa hizo kaz zako unazofanya unapitia changamoto nyingi kweli, nimekupenda bure dada, sauti nzuri ww mwenyewe ni mpole pia na izo ndio sifa za wanawake hadi mungu kakujalia kuolewa.

  • @azizaz1628
    @azizaz1628 5 років тому +2

    Swali langu ni kwa salama ni Jinsi a gn mwonekano km dume

  • @alistairtms
    @alistairtms 10 років тому +5

    "Kwanini wanawake wengi hawataki kuolewa..." Nadhani Salama angejibu swali alilouliza mwenyewe!

  • @NickMasao
    @NickMasao 10 років тому +4

    Gea Habib. One of the best interviews za Mkasi. Nimefurahia interview kaongea fresh very interesting. Nakukubali endeleza umaridadi. Nimekodolea macho kipindi kizima. Cheers

  • @asha121almabsli4
    @asha121almabsli4 6 років тому +2

    Hiyo nguo inamboa

  • @leonardcharles1060
    @leonardcharles1060 10 років тому +1

    Wasanii wetu wa tz wamepata ufahamu mkubwa sana wa kuongea na vyombo vya habari,big up ommy dimpos unaiwakirisha vyema kigoma

  • @azizaz1628
    @azizaz1628 5 років тому +1

    Salama unaharibu lugha za watu

  • @mamzaiya
    @mamzaiya 10 років тому +4

    nampenda sana Gea

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 роки тому

    HAWA WAHUNI TU

  • @halimalilungulu4550
    @halimalilungulu4550 10 років тому +2

    Nakukubali sana gea dada yangu wa ukweli mwaaaaaaaa!

  • @halimalilungulu4550
    @halimalilungulu4550 10 років тому +2

    Nakukubali sana gea dada yangu wa ukweli mwaaaaaaaa!

  • @hamidaissa8817
    @hamidaissa8817 6 років тому +1

    Huyo salama mbona nae hataki kuolewa

  • @berthachacky797
    @berthachacky797 6 років тому +1

    Nakupenda Sana Sana da geah

  • @salhamm742
    @salhamm742 7 років тому +1

    Hahaha uwiiiiiii mbavu zang me da Geah mtu wa nguvuu

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 роки тому

    Salama wew ni mumewa mtu ama mkewa mtu hatuelewi huo muonekano wako utachanganya

  • @annamtei5742
    @annamtei5742 8 років тому +2

    Salama bana...mtaji kiuno

  • @godfreyjulius536
    @godfreyjulius536 6 років тому +1

    nakupenda geah

  • @stephenmanzi2063
    @stephenmanzi2063 10 років тому +1

    nice show

  • @minaahshabani3749
    @minaahshabani3749 4 роки тому

    Mke wa mtu kushikwa shikwa kichwa hata kama nikaz

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 6 років тому +1

    Nimewamiss sana wa tz

  • @maryamhamdu4535
    @maryamhamdu4535 7 років тому

    hujambo da geya plz naomba namba yako tuweze kuwasiliyana muhimu ok

  • @siragilbert1942
    @siragilbert1942 10 років тому +1

    Gear mmwaàaaaaaa

  • @mamysalem8791
    @mamysalem8791 7 років тому +1

    maashaallah

  • @emmanuelmororo7420
    @emmanuelmororo7420 10 років тому +1

    we are leaning though this show,big up jabir

  • @asiatihamoud294
    @asiatihamoud294 10 років тому +1

    gea she is the best one

  • @mbunuka
    @mbunuka 10 років тому +1

    usisahau kucheki mtandao wawabongotu google tanzaniamoja

  • @ashahabimana5925
    @ashahabimana5925 10 років тому +2

    Nakupenda sana gea yaani saana

  • @tumahamsini
    @tumahamsini 10 років тому

    Gea hongera

  • @kadawikihinga7508
    @kadawikihinga7508 7 років тому

    Hai sa

  • @saidkupaza4829
    @saidkupaza4829 8 років тому

    iko poa

  • @lehemakamkuki8797
    @lehemakamkuki8797 7 років тому

    gea nakupendasaaana

  • @azizaz1628
    @azizaz1628 5 років тому

    Gear Dunia inakwenda mbele hairudi nyuma kuweka kiwango ni vzr tofauti na hapo utajikuta umeita watu wengi FEDHA Zina kuwa kdg na tayari hazikidhi mahitaji ukitoa uhuru mfanya biashara mkubwa atoe km muuza mchicha na wote ni abiria wako

  • @m3lif384
    @m3lif384 10 років тому

    Nice gea