EDNA | PART 22 | ROMA NA EDNA WAPANGA DILI BAADA YA MKATABA KUBAKIZA SIKU 30 | BUWEN AJIPANGA UPYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 144

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 3 місяці тому +29

    Ohoooo ama kwel Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥hata km wanapanga Dili Edna akubali2 mpango wa Roma waishi pamoja hata km mkataba unaisha like please please

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 3 місяці тому +18

    Team Roma mpoooo 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote

  • @KhadijaKassim-k8d
    @KhadijaKassim-k8d 3 місяці тому +12

    Asante sana kaka Lucas Lumbas Allah akulipe kheri Inshaallah. Nimewahi

  • @Salhah-v9h
    @Salhah-v9h 3 місяці тому +12

    Oooyooooo kumbe na Leo nimeai. Jaman17 edn &rom tunaendelea. Nitarud kukoment nikimariz kusikiriz❤❤😂😂😂🎉

  • @جيهانسالم-ج3خ
    @جيهانسالم-ج3خ 3 місяці тому +13

    uyu edna anatufanya tusilali jamani haya acha tusikilize mambo ni 🔥

  • @SalmaTence
    @SalmaTence 3 місяці тому +12

    Nimewahi leo😂❤ kaka Lucas Lumbas tunakupenda huku Riyadh

  • @Shadia544
    @Shadia544 3 місяці тому +12

    Mambo ni 🔥🔥SASA EDNA HAYA TUNASIKILIZA MPAKA MWISHO WA SIMULIZI ✌️✌️✌️

  • @godrivermichaelsugwejo4979
    @godrivermichaelsugwejo4979 3 місяці тому +11

    Juzi nilkua kwenye mwendokasi nimesimama tumebanana hatari ila niko bize nasikiliza Edna sijaka vzuri nikamuona na mwingine yupo bize na Edna hapo tunasukumana hatariii😂😂😂😂 lucas unatuweza

    • @LeeYanOm
      @LeeYanOm 3 місяці тому

      @@godrivermichaelsugwejo4979 🤣🤣🤣🤣

  • @bimkubwalangoni7639
    @bimkubwalangoni7639 3 місяці тому +12

    Wakwanza kulike nakupenda sana kaka lucas zaidi kutupa utamu

  • @fatumamwinyikai7439
    @fatumamwinyikai7439 3 місяці тому +7

    Wadau mwajua hii story n reall koz sai uwanithi umejaa freemason watele twasubiri dajal tu aje..Allah atulinde

  • @fatumamwinyikai7439
    @fatumamwinyikai7439 3 місяці тому +7

    Bro ubarikiwe uwe n afya tele maradhi yakuepuke..big love ❤🎉

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 3 місяці тому +9

    Hongera sana kaka Lukas Kwa simuliz nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @fatumamwinyikai7439
    @fatumamwinyikai7439 3 місяці тому +8

    Mwenzenu rohoo juu: itakuaje roma akitoa damu

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 3 місяці тому +4

    Uyu mheshimiwa anashangaza sana anamkana kwajeuli yamadalaka hv siku wakikutana tna maana pcha ipo nameiona nawanapenda kumualika kwenyemialko yao mh

  • @RebecaJoseph-t9j
    @RebecaJoseph-t9j 3 місяці тому +10

    Mungu mwema tuko pamoja

  • @Melaninmengi
    @Melaninmengi 3 місяці тому +7

    Sijui kitakachoendelea lakini nimependa title ❤

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 3 місяці тому +4

    Nmechelewa sana Leo ila bora nmefka wadau

  • @rahmahamdiburhani8833
    @rahmahamdiburhani8833 3 місяці тому +9

    Wakwanza leo 😂😂😂😂 habar zenu wadau

  • @queen_annah7859
    @queen_annah7859 3 місяці тому +2

    Nimeota Athena yupo 6/6 na Romah jaman, kaka lucas hii imekaaje🤭😆

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 місяці тому +5

    Jamani Roma hana shida na mtu isipokuwa wanamchokoza kwa sana tu jamani kweli hadi namhurumia

  • @irflorienbigirmana1305
    @irflorienbigirmana1305 3 місяці тому +5

    Sasa Edna anasubili Nini kutoa hicho kitumbuaa jamani

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 3 місяці тому +6

    Kaka Lumbas tumeshafika hapa uwanjani simlizi hii ni zaidi ya movie

  • @aishaOmar-i1k
    @aishaOmar-i1k 3 місяці тому +4

    Huyo Edna si afanye ashike ndoa yake vizur apate kuwakomesha michipuko ya Roma

  • @aminah9557
    @aminah9557 3 місяці тому +4

    Hii simulizi Roma akimuacha Edna mm pia naacha kuskiliza😂😂

    • @issaysingan4019
      @issaysingan4019 3 місяці тому

      Haachwi mtu

    • @ReginaBenjamin-ij2ec
      @ReginaBenjamin-ij2ec 3 місяці тому

      🤣🤣🤣 nipo pamoja na wew

    • @aminah9557
      @aminah9557 3 місяці тому

      @@ReginaBenjamin-ij2ec umeona eeeeh hii kapo n nzuri kwa sababu Edna anajielewa hao wengine ni wapuuzi yaani wanatongoza mwanaume mwenye ameoa

  • @SusanNeema-re3hr
    @SusanNeema-re3hr 3 місяці тому +17

    Mko mbio kweli vipenzi vyangu jamani😂😂 haya like zenu 🎉🎉🎉

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 місяці тому +3

    Bismillah nilikuwa busy😂😂😂😂

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 3 місяці тому +8

    Wakwanza jamani nipeni lake zenu

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 3 місяці тому +1

    Khaah ila hii simulizi ni moto zaidi ya 🔥🔥🔥🔥kiukweli Yanbwen hana chake azidi kuchora maumivu kwani Neema hawezi mtendea Roma visivyo kwani anampenda nomaa pia happ kwa dili kati ya Roma na Edna Roma lazima a win na kumiliki Edna achukie ama apende kwani yeye mwenyewe ndie anae mkusanyia Roma michepuko angelimkubali mbona namba ya muchepuko haingezidi

  • @fatumamwinyikai7439
    @fatumamwinyikai7439 3 місяці тому +9

    Wa 41 ila guys naombeni likes zenu vipenzi vyangu

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 3 місяці тому +8

    Nimewahi leo

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 3 місяці тому +4

    Hivi huyu yambuweni anajielewa mbona anataka kujitafutiya kifo,masikini Roma mbona hana baya na mtu ila watu wanamutafuta wenyewe akipandisha hasila zake watu wanaanza malalamiko si wamuache Roma jamani, harafu nahuyo Abu amesha sahau kilicho mtokeya baba yake mulezi yangu macho ngonja nisubilia kuona jinsi watu watavujwa mashingo kwakujitakia wenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Joycetatu
    @Joycetatu 3 місяці тому +4

    Moto Leo japo nmechelewa lkn nmefka😂😂

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 3 місяці тому +17

    ❤❤ huyu denis kaujalibu mto nakijit hla hakulizika anataka ajalbu naminguu, atuulize mashabik tumpe habali kamili, kua roma 🔥,wakuotea mbali, leo sidai like ilanawapa🌹🌹🏃

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 3 місяці тому +3

      🤣🤣shogire mbona unaongea kama Edna 😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому +1

      @@ZenaidaDaniel-r9d Roma ni mtu wa mamlaka ake

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому

      @@ZenaidaDaniel-r9d atajua hajui🤣🤣

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 3 місяці тому +3

      Hakuna ninayemshangaa sana kama Abuu anavyojua kujaribu😂😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому +2

      Anamjalbu wakat Hana mda wamajarbio,🤣🤣

  • @OdethaTesha
    @OdethaTesha 3 місяці тому +9

    One

  • @zuhuraomar-dw4hg
    @zuhuraomar-dw4hg 3 місяці тому +7

    Jamani tu image mapambano ya athena na roma yatakuwa vp yani moto hatari

  • @ReginaBenjamin-ij2ec
    @ReginaBenjamin-ij2ec 3 місяці тому +1

    Ivi wasikilizaj tumlaum Edina kwa kutokumzingatia mumewe au tumlaumu Roma lakin mbon Kuna mida edin anakaa tu kwenye mstar kwa upande wangu naona Kuna mida Roma anazingua iviii lakin wanawake tujifunze kuwa na misimamo na kuwa na uhakika na tunacho kifanya isia zisituendeshe kama michepuko ya Roma wanayoyafanya

  • @AmbaMelly
    @AmbaMelly 3 місяці тому +3

    Tuna shukulu Kwa kutufulaisha lukac ❤❤

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 3 місяці тому +8

    Wow,🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 3 місяці тому +9

    Jamani ifike stage basi awa wanandoa waeleweke basi maana daaaaaah.

    • @ReginaBenjamin-ij2ec
      @ReginaBenjamin-ij2ec 3 місяці тому

      Kuna mida naye Roma anamvunja moyo Edina San sa sijuw itakuwaj

    • @LeeYanOm
      @LeeYanOm 3 місяці тому

      @@ReginaBenjamin-ij2ec 🤣na hana mpango wa kuachana na yoyoye🙆‍♀️

    • @TamaAbdulazizi
      @TamaAbdulazizi 3 місяці тому

      Yaan kumbe ww ni km mm🎉Edna anabana sana jaman anatuboa❤

    • @LeeYanOm
      @LeeYanOm 3 місяці тому

      @@TamaAbdulazizi Tuendelee kuvumilia tu🤣

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 місяці тому +3

    Watu wana maajabu,wannang'ang'ania heshima ambazo hawana,mtu unamkana mwanao damu yako sababu ya madaraka? kama taahira vile😔😔

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 3 місяці тому +6

    Edina mammy jiachie hatoki huyo

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому +1

      Edna Kisha nitibua anaishia juys yamdomo2 asubl mchepuko izd kukanyagana si anavunga kutokujal

  • @lucywangesh4208
    @lucywangesh4208 3 місяці тому +5

    Today am first one❤❤❤🎉🎉🎉

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 місяці тому +4

    Hiiiiii,huyu Senga hana busara hata tone,sijui anaongozaje taifa zima kwa hisia zauropokaji hivyo😔

    • @rahmahamdiburhani8833
      @rahmahamdiburhani8833 3 місяці тому

      Yanii h

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому +1

      Kma vle si kiongoz mkuu kwajs anavo ropokwa Hana hekima

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому +2

      Ila endina mengi anayasababiaha mwenyewe mfano leo kamfuma na mwanamke alafu haonesh kujali

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 3 місяці тому +1

      @@TeklaNdekeja malezi,kuna mabinti baadhi ya sehemu wanafundishwa ubaya wa tendo la ndoa tu,bila kuambiwa kuna uzuri wake wakati utakapofika matokeo yake ndiyo hayo

  • @Fayek-o9i
    @Fayek-o9i 3 місяці тому +1

    Kaka Lucas siwudie semu 23 na 24 moja ki moja tu asant

  • @WinnieMkambe
    @WinnieMkambe 3 місяці тому +6

    Woyooo

  • @MishiMshihiri
    @MishiMshihiri 3 місяці тому +7

    Amken jaman😂

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 3 місяці тому +3

    Roma atumie njia ingine sio damu yake kwa denis

  • @sandrahakizimana9646
    @sandrahakizimana9646 3 місяці тому +6

    ❤❤❤❤❤

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 3 місяці тому +6

    Waooo 19❤❤🎉🎉🎉😂😢

  • @AzizaTanzanya
    @AzizaTanzanya 3 місяці тому +5

    Wa 23

  • @MwanakomboMangwe
    @MwanakomboMangwe 3 місяці тому +2

    Roma ataezana kwel na vita vya Athena
    Alf Edna unatak kufanyiwa Mazur na Roma akijarib tu unamkatizia njian SAS Roma akufanyej

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 3 місяці тому +4

    Tukae mkao wa utam sasa😊😊😊

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому

      Usafil unao mbona kuchelewa rafik

    • @jasminmohagthari3730
      @jasminmohagthari3730 3 місяці тому

      @@TeklaNdekeja nilikuwa mtu mwenye shughuli nyingi leo🤣🤣

  • @mbasaartcreative4073
    @mbasaartcreative4073 3 місяці тому +1

    Labda atumie damu ya Rose kwasababu ye pekee ndo mwenye damu ya Roma ndani ya mwili wake

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l 3 місяці тому +3

    Tunaendelea na utamu wa roma

  • @michaelmbilinyi7442
    @michaelmbilinyi7442 3 місяці тому +6

    Gays hamlali 😂😂😂😂

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 3 місяці тому +5

    ❤❤

  • @siliminamachao3485
    @siliminamachao3485 3 місяці тому +1

    Simulizi nzuri sana ongera L Lumbas

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 3 місяці тому +2

    Jmn Roma upewe mauwa yako jmn na nilijuwa kama hawezi ku muua ndungu yake

  • @rahmahamdiburhani8833
    @rahmahamdiburhani8833 3 місяці тому +5

    ❤❤❤🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +1

    Huyuu sijui anborn hamjui roma kabila kitu kifanyike yy amejua sasa anamtuma wema liwazo amtoe damu mybe huyuu sianatafuta kifoo..nakumbe boss wake ako kinyume naulimwengu wetu wakuamini Mungu haonekani yy anataka kuwaMungu wakuonekana hiyoo sijui kama itafauluu pili mnafanya uchafuu wanawake wawili.. dens amejisahau kweli ametolewaa kwenye kifo lkn bado anataka kumuua roma haya.kaka mtuu anataka kuoa dadake halafu mamake mshezi anasema anafanya bidii Awenayee huyuu mama nishetan kama mwanae na huyu msaidixi wa Edina asijeakajukikana na Roma hapo ako kwamission atauliwaa.nyaraka mybe waszchukue kama roma kamezwaa na udongoo lkn akiwa hai hapana...halafu unaexa kuwa namkeo AMA mwanao mume ukaona mkosawa kumbe ni maagent wasiri hii ndoimetokea kwaraisi anamkula secretary akijua hana lolote kumbe agent wasirii...roma achaa michepukoo tulia namkeoama muachee Adina kaa namichepuko

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 3 місяці тому +2

    ❤❤❤mambo bi 🔥 📛

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 3 місяці тому +2

    Jamani edina fanya mambo mpe kitu roma ili atulie jamaa anakupenda ila una mzingua kama tatizo ni mtoto ashakuachia pawa zake atakujatu

  • @rizikih6898
    @rizikih6898 3 місяці тому +2

    Kkkk hatari Roma

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 3 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 3 місяці тому +4

    🎉🎉❤❤

  • @MwajabuMohamedi-zf2be
    @MwajabuMohamedi-zf2be 3 місяці тому

    Mzuri sana

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 3 місяці тому +1

    Kazi mzuli kaka 🎉🎉🎉🎉

  • @TatuKhamis-x1p
    @TatuKhamis-x1p 3 місяці тому +5

    5

  • @JosephineRobert-s8m
    @JosephineRobert-s8m 3 місяці тому

    Lucas cyo mama wotee wanapenda

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 3 місяці тому +2

    Wa 6

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 місяці тому +1

    Hakumu uwaaaa 😊😊😊😊

  • @anajumanne4018
    @anajumanne4018 3 місяці тому +1

    Kwakweli uhondo wahii simulizi ungeli tuongezea mda

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 3 місяці тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Fayek-o9i
    @Fayek-o9i 3 місяці тому

    Asant kaka Lucas lazima semu 23

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 3 місяці тому +1

    Hata ksma roma kazd bhn

  • @sarakahidi6348
    @sarakahidi6348 3 місяці тому

    Wadau tuadamane paka Kwa Edna tumwa bie atoe kitubua Eli Roma atulie sawa watuwangu ni Mimi kama 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 3 місяці тому

    Sasa kama mwili wa hades wazamani uko mikononi mwa Athena inamanisha Nafsi yake bado inafanya kazi sasa Athena japo kuwa alitege mtego lakinihades wazamani bado anafanya kazi kama kawaida akishirikiyana na Roma na hao wa Anti illuminate mbona Antena anakazi nahuyo binti anaye ishi na Antena ndie atakuja kumumaliza Antena ngoja tusubiliye tuone moto jinsi utakavyo waka😂😂😂😂😂

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 3 місяці тому

    Mwezi uiishe waachane juu huyu Adna naboa sana sasa anataka kuchukuliwa kama mke na yeye hamfanyii mambo yakikubwa acha nasra aolewe kiukweli ndo akili itamkaa sawa

  • @EdinaEdina-tn4go
    @EdinaEdina-tn4go 3 місяці тому +2

    Edna oyoooooo😅😅😅😅❤❤❤🎉

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 3 місяці тому +1

      Unajikutaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣 wajina wako

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 місяці тому

      Huyo wajina km hatoi mzingo atamfuma mpaka aseme po, ajitia kauzo hajali, nawakati maumivu yanamtafuna goja wakina Nasra,Roz, maege na neema naakina wengine wafaid yy sawa anaupendo na mtoto lanlan

  • @Lucy-vp8pm
    @Lucy-vp8pm 3 місяці тому

    Edna awache ujinga yeye mwenyewe ndo anayataka c alipanganga awe mke kimukataba hamujali roma atoe kitumbua kwa mme wake roma anampenda ila nikauzo sasa abaki na ukauzo wake

  • @DsHu-x9g
    @DsHu-x9g 3 місяці тому

    Ya 23

  • @MariamMbongo-u2d
    @MariamMbongo-u2d 3 місяці тому

    🔥🔥🔥💃🏻💃🏻

  • @SalmaSalma-cb2pl
    @SalmaSalma-cb2pl 3 місяці тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 місяці тому

    Hee 🤣🤣🤣🤣 we Desmond ngoja ukutwe hapo na Roma 🤣🤣🤣🤣🤣 mimi simo🤣🤣

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 3 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂 nahuyo mama Desmond yani hakiri zake zinafanana na Mme Jeremy vilevile na mtoto wao mwenyewe Desmond yani hakuna mwenye niya njema kati yao harafu huyo musaidizi wa Edna asubilie hivyo vinasa sauti Roma avigunduwe atajua hajuwi 😂😂😂😂😂

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 3 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 😂😂😂 hizi familia ni za washenzi walioshindokana, yaani hawajali hata watoto wa damu moja kuoana kisa kulinda heshima ya madaraka 😂😂😂kikweli mimi nasubiri wapate kibano chao tu wajinga hawa

  • @Melaninmengi
    @Melaninmengi 3 місяці тому +3

    Kwa jinsi Roma anavyopenda minyanduano kuna asilimia 45 mpango wa buwen kufanikiwa

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 3 місяці тому +1

      Na tukumbuke Rose aliponyeshwa na Roma akitumia damu yake mala 2 sasa huyo yambuweni akijalibu michepuko ya Roma yote lazima plan C ifanikiwe ila acha tusubiliye tuone 😂😂😂😂😂

    • @Melaninmengi
      @Melaninmengi 3 місяці тому

      @@Evelynmoreen3655 isije kuwa hivyo tu

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 3 місяці тому

      @@Melaninmengi tunaomba yambuweni asifanikishe mipango yake

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 місяці тому

    Huyo Edna sio mwanamke ambae unae muongelea apo huyo unae muongelea nimwengine. Eti mwanake mwenye pesa zake amkomalie mwanaume kama Roma kwa lipi!?

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MariaSimon-wu9pk
    @MariaSimon-wu9pk 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako kaka lucas.

  • @Fayek-o9i
    @Fayek-o9i 3 місяці тому

    Edna nimeshoka nae

  • @Damkubawa
    @Damkubawa 3 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @celestinkenga9212
    @celestinkenga9212 3 місяці тому

    Ila.roma.ww.pasua.kichwa.ingekua.mm.ila.ningefu.na.presha

  • @ademago3375
    @ademago3375 3 місяці тому

    Hivi Edna akijua Rose ameinvest kwenye co kama mwanamke Edna atajisikiaje?

  • @NancyKwimba
    @NancyKwimba 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂

  • @Munira1044
    @Munira1044 3 місяці тому +2

    ❤❤❤❤😂😂😂💕💕💕

  • @AeshaSaid-pe3tn
    @AeshaSaid-pe3tn 3 місяці тому +4

    ❤❤❤❤❤

  • @annaheagle2915
    @annaheagle2915 3 місяці тому +2

    ♥️🙏🥳

  • @sophiaibuma9947
    @sophiaibuma9947 3 місяці тому +2

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @shanymbwambo447
    @shanymbwambo447 3 місяці тому +5

    ❤❤❤

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 3 місяці тому +2

    ❤❤