ANGALIA MR RIGHT ALIVYOWAPA WAKATI MGUMU WAREMBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
    ►JOIN OUR WhatsApp Group chat.whatsapp....
    ►SUBSCRIBE / @stbongotv
    ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
    RATIBA ZA VIPINDI VYETU
    THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
    SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
    TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
    FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
    MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
    KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
    THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
    MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU

КОМЕНТАРІ • 506

  • @lydi791
    @lydi791 Рік тому +53

    Toka nitizam iki kipindi uyu ndiye mwanaume anae staili kuyitwa Mwamba💯🔊✋❤❤❤❤❤❤❤

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 Рік тому

      Hakika

    • @salomevenance9555
      @salomevenance9555 Рік тому

      Yaani ❤❤❤❤❤nimempenda na kumkubali sanaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @MrRighty-br8rp
      @MrRighty-br8rp 5 місяців тому

      @@salomevenance9555waaaooo❤❤asnt sana nakupenda pia nipo apa

  • @user-et2vc8kp8x
    @user-et2vc8kp8x Рік тому +92

    Nimependa hiyo ,mwanaume anajiamin na kazi yake apewe maua yake 💐

  • @leonlennon
    @leonlennon Рік тому +11

    Nakukubali mwamba unaongea point kk from USA 🇺🇸 naipenda iyo kk

  • @latifa9477
    @latifa9477 Рік тому +7

    Mmepatikana leo,ukipenda mwanaume penda jinsi alivyo,watu walilia stara ya ndoa wewe walilia hela utabaki ivo 😂😂😂😂,,,congrt🎉🎉🎉broo nimependa confidence yako mwanaume ni kijiamini

  • @bigirimanaseth311
    @bigirimanaseth311 Рік тому +16

    safi sana bro wanawake wanajichanganya sana anataka mwanaume mihela nahana lolote

  • @andrewthuita
    @andrewthuita 5 місяців тому +1

    Kivumbi kweli,huyu jamaa ni shupavu na mkakamavu sana hongera bro,kwa kutuwakilisha.

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 Рік тому +57

    Safi sana mwamba hakika huu ni uwakilishi bora wanaume 🙏

  • @zajiluibrahim3409
    @zajiluibrahim3409 Рік тому +30

    Huyu bro nmemuelewa Sana huyu ndo kijana na mwanaume wa kujenga maisha achana na huyo mchora kucha

  • @cosimasedward
    @cosimasedward 7 місяців тому +2

    Hivyo ndivyo anavyotakiwa mwanaume big up Mzee baba umetueshimisha vijana wapambanaji

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 8 місяців тому +1

    Daaaah huyo dada amepatikana, kaka yupo vizuri si kwa muonekano tu ata kwa majibu yake, wadada tujifunze ukiamua kwenda huko uwe umejiandaa kiufahamu pia si kimuonekano tu

  • @AntonyMM-tx3yj
    @AntonyMM-tx3yj 4 місяці тому +1

    Jamani wekeni video nzima huu mwamba kaondoka na nani # kiboko yao hongera kaka100% gara b upo kakangu

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Рік тому +14

    Hii nimeipendaa hiii MR RIGHT❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-vi3ck1cw3h
    @user-vi3ck1cw3h 4 місяці тому +2

    Mr right wa leo kiboko 😂👏👏👏👏👏👏 salute kwako 🫡🫡🫡

  • @suzanafromomani2973
    @suzanafromomani2973 Рік тому +8

    Asante sana hawa wana tafuta madanga pumbavu sana

  • @MayerMarion254
    @MayerMarion254 Рік тому +21

    Yaani huyu jamaa amenifurahisha sanaa 😂😂 nimempenda bure ❤️

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 Рік тому +5

    Mwanaume Bora Kwa njia zipi ,Safi Kaka nimekupenda bure wahoooo

  • @user-sv5pq6hi8e
    @user-sv5pq6hi8e Рік тому +10

    Huyu ndo mwanaume ssa 😘😘😘 mauwa yako pokea

  • @metrineomega1635
    @metrineomega1635 Рік тому +6

    Ooh my God i love this guys hes straught and he has goid questions zimewaingia wana dada sikioni ope wameskia,leo kiliwatambaaaa peupeeeee,from kenya but currently in Saudi Arabia

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl Рік тому +20

    Nimempenda huyu kaka Yuko poa sana wadada wanachagua sana huyo kakomeshwa

  • @focuspaschal5330
    @focuspaschal5330 Рік тому +7

    Jamaa anajua sana kuflooo

  • @iambaizo
    @iambaizo Рік тому +4

    Nataka mwanaume wangu aingize kiasi flan wakt we mwenyewe huna kaz ya maana kua. Mfamasia sio kazi tofautisha kati ya elimu na ujuzi ulionao na kazi uliyonayo unawezakua mfamasia ila jobless😂

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty Рік тому +17

    Huyu kaka yuko vzr sana kujibu kaka nimekupenda bure kunywa soda apo kwa mangi ntalipa

    • @juliuceliuc9578
      @juliuceliuc9578 Рік тому

      Mwamba alikuwa anapiga kwenye mshono tu na hakosei

  • @HawaHussein-ur6cj
    @HawaHussein-ur6cj Рік тому +21

    Nilitamani kujua mwisho wa mwamba huyu daah safi sana

  • @sarahmtambo7515
    @sarahmtambo7515 Рік тому +12

    kaka shikamoo nipo tunduma songwe kweli wewe ni sindano imeingia🙏❤️😊

  • @esperancenathali
    @esperancenathali Рік тому +199

    Mwamba huyu hapa toka nihanze kuhangalia hichi kipindi leo nimemuona mwanaume mwenye misimamo na bingwa wa hawa wauni 😂😂😂 upewe mauwa yako kaka 😂😂😂 well done penzi sio pesa mpate maskini mwenzako and pesa mkazitafute wenyewe

  • @lilianemeena768
    @lilianemeena768 Рік тому +86

    Sasa huyu jamaa kanifurahisha sana ningekuwa nanamba yake leo haki muamala ungesoma kajua kuwakomesha wao wadada wanatafta madanga maana wanatafta mwanaume ambae nikama wa kustarehe nae mana najua ukimpenda mtu hata kama anaingiza buku kwa cku kama ni wandoto yako upo tayari kumshaur namna ya kuitumia 500 na 500 kutunza ili mfike malengo sasa hao wanataka mtu aliejipata tayari huku wao bado hawajajipata 😏

  • @peragiamwanuke6703
    @peragiamwanuke6703 Рік тому +7

    Safi sana mwamba, umemueleza vizuri sana huyo dada.

  • @user-oi8sx9fw3w
    @user-oi8sx9fw3w 10 місяців тому +2

    Mwamba nakupa 5 Safi Sana katika Jamhuri ya masela umeiwakilisha vyema.

  • @agnesmartine2712
    @agnesmartine2712 Рік тому +1

    Safi sana kaka umemuweza wanajionaga wajanja sana hawa wadada waivo

  • @user-od2ko8fy4e
    @user-od2ko8fy4e Рік тому +4

    Haki nimempenda bure Mr right 😘😘😘

  • @user-wr7vz1bw5b
    @user-wr7vz1bw5b Рік тому +7

    hii imeenda kabisa

  • @yussufhassan5179
    @yussufhassan5179 Рік тому +7

    Ila baadhi ya wanawake hakili hawana kukimbilia kuzungumza kabla ya kufikiri ndio inawa coast😩

  • @NasraChris-yi2td
    @NasraChris-yi2td Рік тому +3

    Nilitamani nione mpaka mwisho amejua kunikosha mwamba uyo❤❤❤

  • @khalidmawele2687
    @khalidmawele2687 Рік тому +14

    Hapo wanawake wote hawana sifa ya kuolewa na hawajui maana halisi ya ndoa na nini kinachowapeleka kwenye ndoa... Mitazamo ya wanawake wote waliokuwepo hapo ni ya tamaa ya vipato vya wanaume na sio mapenzi .... Ni gold diggers tu hao...hapana mke hapo ,,

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Рік тому

      Wanaangalia sura pia, kwahiyo km haingizi pesa hakuoi, hawajui mtu anaeza akawa hangizi mkaoana na akaana kumake money mpk watu wakakushangaa

  • @itNeza
    @itNeza 8 місяців тому +1

    Mwamba huyu apa. 😂😂😂👑💯

  • @nghomanohosea9251
    @nghomanohosea9251 Рік тому +1

    Safi Sana , Kwanza kanaoneka kasumbufu Sana kana tamaa,

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Рік тому +3

    Jamani mwisho ilikuwaje❤️

  • @KingGeoffreyMoviesReview
    @KingGeoffreyMoviesReview Рік тому +4

    Mwanzo sikuizingatia ila jamaa ni smart sana watu Wana demand vitu ambavyo kuvifanya kwa ajili Yao tu wameshindwa

  • @boashamah3642
    @boashamah3642 Рік тому

    Huyu mwamba namvuia kofia kabisa well answered 👏 👍 👌
    Wasichana wanajibamba eti wazuri kumbe wafuga kucha tu

  • @user-ti3bm3ib9u
    @user-ti3bm3ib9u Рік тому +2

    nimeipenda sasa huyu kaka yuko vizuri

  • @SurprisedBirdBath-qh2nn
    @SurprisedBirdBath-qh2nn 3 місяці тому

    Safi bro umemjibu kabisa wanaringa xna

  • @shaiduomary
    @shaiduomary Рік тому

    Well done bro safi kabisa ss ndo wanaume inabidi tuwe

  • @elizabethsamson4923
    @elizabethsamson4923 Рік тому

    Awaresome i appreciate for sure

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 Рік тому

    Bro. Bravo umejibu vizuri sana hongera sana bro

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому

    Subuhanallah... Kujiuza huko hakunke sahihi hapo wala mume mwema hapo. Nimtihanitu Allah atunusuru na watotowetu inalillahi wainailahi rajuin

  • @zuhurahamisi8687
    @zuhurahamisi8687 Рік тому +2

    Safi saaaana wajifunze na wengine❤

  • @user-jd9rc8zr5f
    @user-jd9rc8zr5f 11 місяців тому

    jamn wew mkaka nimekupend buleeeeeh jamn honger san ❤

  • @racheldavid6431
    @racheldavid6431 Рік тому +5

    Mr right kagwaduka 😂😂😂

  • @AgnessWlk
    @AgnessWlk Рік тому +2

    Mwamba umetisha Sana upewe maua yako mwamba km mwamba

  • @hillarytindi8883
    @hillarytindi8883 Рік тому +1

    Tough indeed yaani anategemea mpaka watu waumwe ndio apate kuingiza malipo .....😂😂😂😂😂

  • @FransMlelwa-fv2sw
    @FransMlelwa-fv2sw 7 місяців тому

    Yes! Huyu ni mwamba ,pesa tukatafute wote,wanawake waache mitelemko

  • @zakati7393
    @zakati7393 9 місяців тому

    Chukua mauwa yako mr right nimependa unavyojiamin na kazi yako ❤️♥️❤️🤎🤎♥️💖💕💕🌹💖💕♥️❤️❤️💖💕🌹😂😂

  • @user-hi6tf7dk5w
    @user-hi6tf7dk5w Рік тому +1

    Yan huyu jamaa ajengewe sanam lke posta wanawake wenzangu mbadilike khaaa

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 Рік тому +1

    Nimepenta mwanaume yupo straight hana kona ukizingua ni za uso he's matured 😂😂😂

  • @neemagraysan2443
    @neemagraysan2443 Рік тому +1

    Wamezidi. Kuuliza. Maswali. Ambayo hayana. Faida yeyote

  • @aminayunis7545
    @aminayunis7545 7 місяців тому

    Very intelligent man keep up

  • @JosephDeogratias-up3im
    @JosephDeogratias-up3im 11 місяців тому +1

    Huyu jamaa angetaja namb chap kwa tukampa ya soda maana yuko vzur😂

  • @user-gp5go8dr2m
    @user-gp5go8dr2m Рік тому +2

    Asee huyu kaka nimempenda bureee

  • @AnordsilvesterGalahenga
    @AnordsilvesterGalahenga 4 місяці тому

    Nimepend broo

  • @elkashaushi2788
    @elkashaushi2788 Рік тому

    So nice.. nimekupenda bure

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 Рік тому +4

    Duu nimekupenda bure kaka maana Awa mabinti anajishaua sana

  • @metrineomega1635
    @metrineomega1635 8 місяців тому

    Uyu mwamba nilimpenda sanaaa yaani aliongea ukweli na kama kawaida ukweli waumaaaa.....aliwafunga vinywa waschana wana haja na pesa ya mwanaume....naomba mumu alike tena lulu pls aje tumuome tena

  • @diannempawenimana9396
    @diannempawenimana9396 Рік тому +1

    Safi sana kaka 🎉🎉

  • @dormethajackson1823
    @dormethajackson1823 Рік тому +1

    Mnatubania dah simuweke full video

  • @AnnerErneo-vc9yz
    @AnnerErneo-vc9yz Рік тому +1

    Kaka nimekupendaaaaaaa

  • @neemaberny3598
    @neemaberny3598 Рік тому +1

    Kwanza kabaya,mashauzi kibao rti nataka mwanaume anaeingiza 50 kwa siku wakati mfamasia mshahara wa mwezi laki mbili😂😂😂 haya ndio matokeo ya kuongea bila kufikiria...ingekuwa rahisi hivyo angekuja kujinadi hapo 😂😂dada tamaa mbelee mauti nyuma...Mwamba nipe no yako nikutumie hela ya soda umejua kunifurahisha!

  • @user-lk7jh5ky6s
    @user-lk7jh5ky6s 8 місяців тому

    Mauwa kwako brother 💐💐🌺

  • @faidhacute
    @faidhacute Рік тому +1

    Mbona kama nmemuona ZUWENA. Au ni macho yangu

  • @k-frexxmpenzi
    @k-frexxmpenzi Рік тому +1

    Big up my brother

  • @kennjuguna3555
    @kennjuguna3555 Рік тому +2

    I always feel like everyone who goes to this show to look for the right person belongs to the streets....Hii ni show ya kukulana tu after all this Nonsense....How can a well mannered, financially, physically,mentally and spiritually stable Woman/man would go to the show ati kutafuta mpenzi...Soo after umechaguliwa then uende upate is opposite of what you thought you will still come back to the show again after umetumiwa na yule wa kwanza..😮😮😮😮

  • @editorlais5185
    @editorlais5185 11 місяців тому

    Jamaaa tatizo lake ni moja tu ni mweupe😀😀😀😀

  • @MishiOpa
    @MishiOpa Рік тому +1

    Saf sana kuwa namsimamo uhouho baba ❤❤

  • @leahjohn4734
    @leahjohn4734 Рік тому

    Dada pole🙌😂😂🤣🤣 ila he's de right man sem icho kidada kna tamaa za pesa

  • @African511
    @African511 Рік тому +2

    Aisee jamaa nmempenda sanaa,hawa wadada niwahuni tu,wameshindwa mahusiano yao ya kweli wamekuja kutafuta pesa hapo na si mahusiano

  • @yunisdaudi9327
    @yunisdaudi9327 9 місяців тому

    Hongera kaka unahakili sana na unajiamini pokea mauwa yako

  • @user-lv3se8dc2f
    @user-lv3se8dc2f 5 місяців тому

    Mwendelez

  • @user-iv6ux5gf7j
    @user-iv6ux5gf7j 9 місяців тому

    Waooooooo napenda mwanaume wa silias ata mamb ake ni silias congratulations

  • @priscillarrobert4594
    @priscillarrobert4594 Рік тому +1

    Safi sana bro

  • @azizanzumbi9637
    @azizanzumbi9637 Рік тому +1

    Safi sana mwambaa

  • @jobungure7195
    @jobungure7195 2 місяці тому

    Iliishaje hii

  • @josephndali9584
    @josephndali9584 7 місяців тому

    Mwamba huyu hapa✅💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AdamuDaniel-kl2cx
    @AdamuDaniel-kl2cx Рік тому +1

    hii imeeendaaa 🎉🎉🎉🎉

  • @hanialsaadi7394
    @hanialsaadi7394 Рік тому

    Mr right niwa🔥🔥🔥ile mbya, but the end of the day aliondok na Mrs right au vp....???? Muendelezo please tunataka kujua🙏🙏

  • @tareqnahad-gd5mb
    @tareqnahad-gd5mb Рік тому

    umetuwakilisha vyema sana gentleman hakika unguja na tanga najivunia kuwa asili ya wazaz wangu

  • @DayanaNelson-gv6cv
    @DayanaNelson-gv6cv 7 місяців тому

    Nimeipenda hiiii 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 kwa mr

  • @vionaoduor9059
    @vionaoduor9059 Рік тому +3

    Jamani sasa ata kitu tamu hivi mnatuonjesha tu😢

    • @STBONGOTV
      @STBONGOTV  Рік тому +1

      unaweza kuangalia full show kupitia Startimes On App

  • @user-io9jp2ti3n
    @user-io9jp2ti3n Рік тому

    Hakika kaka nimekupenda bule 👌

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Рік тому

    Ukirudi kwenye maandiko MWANAUME BORA NA MKE BORA ANAELEZWA KULE ukija hapo kurumbana MWANAUME unataka jua MWANAMKE anaingiza bei gani basi hapo Kuna Bora MWANAUME na siyo MWANAUME Bora

  • @mrwadata34
    @mrwadata34 11 місяців тому

    Brow Noma sana

  • @sabitintaganda9115
    @sabitintaganda9115 Рік тому +1

    Wamama au wadada wenye njaa kama huyu mtaishia kudangaaaaaaa nakufanya nakutoa mimba zisizo na idadi

  • @user-ty1oi7xp1h
    @user-ty1oi7xp1h 8 місяців тому

    Halfu yup sirious

  • @ramsootz
    @ramsootz Рік тому

    Uyu kauwa Nampa big up

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 11 місяців тому +1

    Masikin wadada wanajiuza wenyewe kabisa sasa wanatofauti gani na wale wahaya mmh aibu hiii😢

  • @user-qu2ok2rv9w
    @user-qu2ok2rv9w Рік тому +4

    Kula chuma hiyoo

  • @monicahchemtaingeywa8882
    @monicahchemtaingeywa8882 Рік тому +1

    Bravooo kaka

  • @janenjeri427
    @janenjeri427 10 місяців тому

    Mike ozurwonye wa Nigeria have a brother in TZ ...
    Tx he made my morning he is very sure of what he wants anajiamini saana
    Wadada tuache kua kupe tujitegemee banaa
    Eeeeish ur askng a man jow much he get s a day n yet uav nothing 😅😅😅😅😅bure kabisa

  • @NasraNasa-mp7mf
    @NasraNasa-mp7mf 11 місяців тому

    Safi sana kaka majibu mazurii sana

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Рік тому +1

    mwamba ndio huyu hapa sasa😊

  • @mirajihamissi9726
    @mirajihamissi9726 Рік тому

    Safi sana imetisha mwamba bigapu🤗🤗🤗🤗🙏

  • @JohnMpongwe-sr7qx
    @JohnMpongwe-sr7qx 11 місяців тому

    Bro heshimaa sanaa