Vitu Vitatu navyotaka kuwaambieni Wapendwa wangu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Zaburi ya 51. Zaburi ya 23
    Wakaribishe na wengine wajifunze kitu. asanteni.
    Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa uamuzi wako. Sipingi na sishauri Umpinge au kuacha matibabu yako uliyoandikiwa na Dr. wako. Kwa tatizo lolote litakalotokea, madhara au chochote kila ni ulikuwa uamuziwako mwenyewe. asante..
    .
    Nifuateni Pia katika Instagram kwa Jina hili:
    INSTAGRAM: @siriyamwanamkemkakamavu
    EMAIL Adr: siriyamwanamkemkakamavu@gmx.de

КОМЕНТАРІ • 16

  • @precioussheilawanza2567
    @precioussheilawanza2567 3 роки тому +1

    Nimekumiss Sana Dada

  • @uddamalleck4632
    @uddamalleck4632 3 роки тому +1

    Thanks & God bless u kwa ushari mzuri unaotupa

  • @mbonistanley6540
    @mbonistanley6540 3 роки тому +3

    Nakupenda sana Dada du kila nilisikia video zako napata kitu tunakuombea Sana Mungu akuzidishie Sana akupe maisha marefu

    • @mbonistanley6540
      @mbonistanley6540 3 роки тому +1

      Tamthili itakuwa Chanel gani ?utube au account gani?

    • @siriyamwanamkemkakamavu
      @siriyamwanamkemkakamavu  3 роки тому +2

      Asante, kwenye Instagram, nitaona kama nitume kwenye UA-cam au vipi.

    • @siriyamwanamkemkakamavu
      @siriyamwanamkemkakamavu  3 роки тому +1

      Amen, asante sana kwa kuniombea, hiyo ndio zawadi kubwa kulicho chochote kile. Ubarikiwe sana.

  • @noellangabo374
    @noellangabo374 3 роки тому +1

    Jambo dada ngu, Asante kwa vidoe hii barikiwa , kuhusu hizo mrenda na mboga zingine kama una weza kuingiya mara mingi kwenye duka ama supermarkets za Chinese na India vegetable 🍅 mara kwa mara Uta bahatika huwa hawana siku zote lakini ku bahatika.

  • @raaaaa9881
    @raaaaa9881 3 роки тому +1

    Jmn umepoteya sn

  • @maggehnew9729
    @maggehnew9729 3 роки тому +2

    Nilikuwa nasubiria hii video 😊 haya wacha nisikilize

    • @maggehnew9729
      @maggehnew9729 3 роки тому +1

      Asante kwa ushauri mzuri na pia iyo tamthilia itakuwa katika account yako ya siriyamwanamkemkakamavu au nyingine?

    • @siriyamwanamkemkakamavu
      @siriyamwanamkemkakamavu  3 роки тому +1

      asante, insta.

  • @agapejosceline7683
    @agapejosceline7683 3 роки тому +1

    Plz una weza itia kwa UA-cam
    Hio tamsiya ?