Ugonjwa wa Kisukari na BP

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #magonjwasugu #tanzania #afya
    Wapendwa wangu haya magonjwa yote ambayo yamechachamaa kwa sasa ni sisi wenyewe tunayaleta, tunayafanya yaongezeke na kuendelea kuharibu kizazi kijacho. Ila tunaweza kupunguza kama tukianza kujali vile tunavyo weka midomoni kwetu.. tunapoanza kujipenda na kula vitu vyenye Afya ambavyo ni vizuri kwa utumbo wetu, kwani Moyo, na Utumbo ni vitu muhimu sana.
    .
    .
    Ila kabla hujaanza kubadili chochote kile na kufuata hiki nacho sema ni kwamba haya ni maoni yangu Mimi , kukitaka kufanya haya, kujaribu hili basi ni uamuzi wako wewe tu. Sikulazimishi hili, na sisemi uache ratiba yako uliyopewa na Daktari wako. Basi angalia na uishi kwa afya. Asante
    .
    .
    Nifuate Pia katika Instagram kwa jina hili.
    instagram: @siriyamwanamkemkakamavu
    au @skarabaeus79
    .
    .
    kwa maswali, msaada basi niandikieni kwa barua pepe hii.
    Email: siriyamwanamkemkakamavu@gmx.de

КОМЕНТАРІ • 4

  • @marylineisack689
    @marylineisack689 3 місяці тому +1

    Shukrani , alafu ngozi yako imependeza

  • @rachelmmbaga8257
    @rachelmmbaga8257 3 місяці тому +1

    Asante sanaa dada barikiwa tunajisahau sana na wengine hawajui kabisa kwamba kurudia mafuta ambayo umeshayapikia ni kitu kibaya asante kutukumbusha

    • @siriyamwanamkemkakamavu
      @siriyamwanamkemkakamavu  3 місяці тому +1

      Ubarikiwe

    • @radiaarady3307
      @radiaarady3307 3 місяці тому

      Asante dear mm silagi nyama ila chai ya sukari na mafuta nitapunguza japo Sili kwa wingi ila nitajitahidi nipunguze ❤❤