Kwa nini Haupungui Unene?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @salma_74
    @salma_74 10 місяців тому +1

    Nakupenda sana mungu akubarki sanaaa

  • @monikamasasi7582
    @monikamasasi7582 Рік тому +2

    Asante Sana dada tulikumiss Sana Yani umekuja wakati muafaka Mungu akubariki

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 Рік тому +2

    Nashukuru nimekufahamu nitakuwa nafuatilia kila nikiona taarifa zako, huu mwili umenichosha sana mpaka magoti yanaelemewa! Na nimeanza kubadili namna ya kula na pia nategemea kuanza kufunga soon!

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 3 місяці тому +1

    Assante umenisaidia saana manamengi nilikua sielewi ,hususan ulaji ,ilamimi ninamiaka inaendea 60 najitahid kupunguza muili mana niunene nilikua na133 ilasasa nimefikia 110 ,ninazi kujitahid

  • @rachelmmbaga8257
    @rachelmmbaga8257 Рік тому +1

    Asante sana maana wengi tunajua usiku tule matunda kumbe ndio maana hatupungui😭

    • @siriyamwanamkemkakamavu
      @siriyamwanamkemkakamavu  Рік тому +1

      Asante karibu sana, Matunda tusiyashamburia jioni. yanasukari mno, ila Asubuhi na mchana kula tu kwani hata kama yanasukari, ila yana vitamins nyingi.

  • @gloryshiyo2102
    @gloryshiyo2102 Рік тому +1

    Thankyou dada mkubwaaaq❤❤

  • @queeneva3709
    @queeneva3709 Рік тому +1

    Long time no see HAPPY NEW YEAR.

  • @aselina5862
    @aselina5862 Рік тому +1

    Asante sana dia nami nipo katika safari ya kupungua ila nafunga naomba unielekeze vitu gani nafaswa kula jioni mana wakati mwingine nakula chungwa na apo halafu badae tena nakunywa maziwa na biscuit.. ila maziwa nitaacha sasa🙏

    • @siriyamwanamkemkakamavu
      @siriyamwanamkemkakamavu  Рік тому +1

      Karibu Mpendwa, Jumamosi nitawaelezea vitu vya kula, na nini ni cha muhimu sana. Asante kwa kuja tena, :)

    • @aselina5862
      @aselina5862 Рік тому +1

      @@siriyamwanamkemkakamavu Asante sana dia ubarikiwe

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Рік тому +1

      @@aselina5862 naomba unipe moyo nami pia nataka kuanza diet ya kufunga, ila mbona umesema uache maziwa? Kwani unafunga jumla hata jioni huli?

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Рік тому +1

      @@siriyamwanamkemkakamavu nami pia nasubiri hiyo ya vitu vya kula

    • @siriyamwanamkemkakamavu
      @siriyamwanamkemkakamavu  Рік тому +1

      @@fatmazullu4933 nitajitahidi nitayarishe hat kama vitatu, vinne tu. Asante

  • @aselina5862
    @aselina5862 Рік тому +1

    Hi dear za siku. Heri ya mwaka mpya