Toka humu nchini kenya Nairobi,ninapowatizama ninyi ,mwanibariki sana ,na kweli Toka kilindini cha moyo ,uimbaji ,style,ujumbe,mavazi ,facial expressions zote ziko sawa .na neema ya bwana wetu yesu kristo izindi kuwa juu yenu❤
Let God's work continue glory to his Holy name.I have a young choir what governs you ambassadors of God so that we can pull up our socks and be where you are exactly
Hii choir Una waimbaji wazuri aki from Kenya mumekuwa mkinibariki tangu zile Enzi za Gusa Hadi sai.Soloists wapya wako Sawa kabisa .Mungu azidi kuwabariki🙏🙏🙏
2nd soloist anapoingia na "Ni wewe Bwanaa" nahisi kudondokwa machozi😢😢😢. Natamani ningekuwa mmoja wenu ili niokoke niweze kumsifu Mungu kupitia uimbaji. Barikiweni sana wapendwa
Changombe sitacha kusema nyinyi ni chombo mliyokubali kutumika kutangaza neno la bwana,Kama Kila mwenye pumzi naipenda Sana pia jiwe na ufalme utatekwa na wenye nguvu
I just can't stop watching your music, you bless me so much, I love all your music, God will lift you so much for the glory of his name, your soloists are amazing, they sing like angels, yaani am just humbled as I listen to your beautiful voices
Much much much Love from the 254 😍😍😍Kwanza Mum hapo karibu Saxophone you did the video justice,alafu sasa soloists na cvc choir Kama BGVs motooooo 🔥🔥more Grace Wana CVC

Amen Amen,, maan BWANA ndiye mwalim maishan mwangu..sollo Dada Rahabu jaman MUNGU akubariki sana wale tunasali Chang'ombe gonga like hapa
Habar
Jman tunao angalia tens mwaka huu utjua kweny like, wimbo wangu unaonipa aman yamoyo kila nikiusikia jaman
Alafu mi Na barikiwa na ma n’y I’m o Zeno Changombe Choirs ya Wa takatifu ya Bwana
Huwa mnanijenga kweli.. Kenya tunawapenda sana mbarikiwe
Hapa Kenya tunawapenda saana
From Kenya I used yo watch this choir more than twice per day nawapenda sana😘😘😘
Im blessed through your songs changamwe choir. Wapi likes kutoka wakenya kama unafuatilia changamwe.
It's AIC(T)Chang'ombe V.Choir Tz
I LOVE THIS SONG I CAN PLAY IT ALL DAY LONG
Ujumbe mzuriii, M'barikiwe sana sana ktk tume wenu.
Hongereni Sana,nakuomba dada rahabu
Hongera sana CVC kwa wimbo huu mzuri leo nimebahatika kuwaona mkicheza huu wimbo mubashara katika ibada ya mavuno pale Azania front. TUMEBARIKIWA
Kwa kweli bwana amekuwa Mwalimu hata kwenye Maisha yangu
Mungu upewe sifa zako tu pekeako ❤❤
Cvc Mungu Baba wa mbinguni azidi kuwashushia neema na baraka. Kwa kazi yenu nzuri ya kumtangaza Kristo. Mussa D Manamba wa Aic Chato Muungano.
Just lovely! Praise God, God bless & thanks
Let God's work continue glory to his Holy name.I have a young choir what governs you ambassadors of God so that we can pull up our socks and be where you are exactly
🙏nimebarikiwa na wimb huu kwelii MUNGU mwalimu katka maisha yetu mbarikiwe saanaa katka huduma hii ya sifa
Mbarikiwe sana AIC CHANG'OMBE kwa kazi nzr ya uimbaji.
Hawa ndio cvc sio nyimbo mlizoanza kuomba siku hizi mnapoteza radha ver goood
Soloist excellent, hiyo sauti iko Sawa, inafanana na ya huyo mama mwenye ameimba nyimbo zenu nyingi hii choir
Mungu azidi kuwabariki AICT Chang'ombe. Wimbo nausikiliza kila siku.
Be blessed the entire choir.
Hii choir Una waimbaji wazuri aki from Kenya mumekuwa mkinibariki tangu zile Enzi za Gusa Hadi sai.Soloists wapya wako Sawa kabisa .Mungu azidi kuwabariki🙏🙏🙏
Sita choka kuwaombea na kuwatamkia mema kwa jinsi mlivyotumika baraka kwa kumwimbia Mungu Wetu
Mungu awabarikiiii kwa kazi nzur mnayo ifanya ya kueneza injili kwa njia ya nyimboòoo watumishiiiii
Hivi sasa hata siku sijazo huu wimbo unanibariki na kunijenga
Hapooo 🔥🔥🔥🔥song maridati
Wow! Wonderful
Am blessed by this song 🙏🙏mob love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen MUNGU awenanyi maishan mwen na utukufu wa MUNGU uwazukie kila mahali
What a wonderful song! I do love this choir, dancing style, soloist and more
Wooh glory to glory a powerfully and a blessed message be blessed changombe ...Much love from kenya
Karibu sana Ubarikiwe pia
All time favorite choir , tamu sana , UTUKUFU HATA UTUKUFU TUTAIMBA, MAANA BWANA AMEKUWA MWALIMU beautiful song my friends
One of the best gospel song ever in this era💪🙏 God bless you
glory glory...that is our song
Napenda sana nyimbo zenu hii ni utukufu wa mungu tu inanatujaza kiroho huku mjini Kenya.
Amen Amen!!!!May God always lead you in your service,,,,,Gerat team of God🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu awabariki sana
Kwakwel mpo vzur sana huwa nabarikiwa sana!
One of my best choir...naona waimbishaji wapya safi sana
God continue to bless my brothers in Christ Jesus in the Holy Peace of the LORD Jesus Christ ❤️🇧🇷🙏
2nd soloist anapoingia na "Ni wewe Bwanaa" nahisi kudondokwa machozi😢😢😢. Natamani ningekuwa mmoja wenu ili niokoke niweze kumsifu Mungu kupitia uimbaji. Barikiweni sana wapendwa
Kalibu mungu akupe kibali
Bwana n mwalimu wetu ,mchungaji pia mbarikiwe watumishi
Bbxst
Kweli Bwana amekuwa ndiye mwalimu
Bwana awazidishie neema na nguvu za kuzidi kumuishia na kumtumkia.
J'aime trop von chason
Namwona mama with Kama kawaida yake hongereni sana Mungu awainue zaid
Mungu awabariki kwa kumwimbia yeye amen
Aiseee! Nawapend wat hawa
Wow nice song, chang'ombe songs inspires me so much
Mbarikiwe Sanaa pia
Hongereni kwa masololist wapyaa
Saf sana kwa kuibua ma solo wadogo so great
Praise God,,,b blessed
Hongeren jmn
i really love this choir.nafarijika sana
Mbarikiwe sana kwa nyimbo zinazofundisha na kutoa ujumbe mzuri.
Wooooooow i can't get enough of it
Bwana ndiwe mwalimu maishan mwangu
Nabarikiwa sana
Cvc congratulations be'se the song touch our life so god bless all of you
Nice CVC.. Hongereni kwa utume..!
Waimbishaji wapya wenye vipaji vikubwa vya sauti...! Nimeipenda hivyo..!! Sifa na utukufu vyote ni kwa Mungu...!
God bless you choir, what a song, all glory to the almighty God, special gifts in God's vineyard.
Amena mung awabalik xana
Munguawape maarifa Ktk uimbaji wenu
Mungu awabariki kwa kazi nzuri
Am in love with the bass guitar flow and organ
Perfectly done
Mamb vp
Wako vizur utukufu Kwa Bwana
Nimempenda dada anayesolo anaimba vzur
Am blessed by this song.
Thanks for your ministry of music 🎶 it is a blessing to me
Mnaimba vinzur sana barikiwa mungu awatie nguvu
My husband favourite song ❣❣ ...mbarikiwe sana 🙏
Jeremiah Yusuph Kaka Steve nawaona nawaona Utukufu kwa Mungu wetu Hongereni kwaya yangu pendwa
Maana Bwana amekuwa ndiye Mwalimu maishani mwetu.
Ameen
Praise God! You really know how to praise & worship the Lord.
Nice song god bless you guys nice work
Mbarikiwe na nyimbo zenu za kituliza roho...
Mbarikiwe CVC AICT. Classic gospel music with God's message
Glory be to God🙏
AICT mnaweza mungu awabariki sana
Changombe sitacha kusema nyinyi ni chombo mliyokubali kutumika kutangaza neno la bwana,Kama Kila mwenye pumzi naipenda Sana pia jiwe na ufalme utatekwa na wenye nguvu
nailed san
Nice song Mungu azidi kuinuliwa
Mbarikiwe na bwana nawapenda mnoo
Glory to God
Nabarikiwa sana nanyi kwaya yangu pendwa Niko nanyi tangu gusa hadi sasa
Nafarijika sana mbarikiwe sana pia nawapenda❤
Cvc mnanibariki sana__ jina la Bwana libarikiwe🙏
Thadeo kakopa naipenda cvc
Nabarikiwa Sana nahuu wimbo nawapenda sana
Barikiwa saaaaana
Safi sana Mungu awatie nguvu : wimbo nzuri
Wapii chaz utukufuu hataa utukufu
Hongeren sana barikiwa mtumishi
Ameni nimebarikiwa sana
i have been a very keen blessed kenyan from your music..planning to visit before the year ends
Also wanna visit someday powerful worshippers
Ogeleni sana mnatufa yatukubuke mguwetu
Nabalikiwa sana aisee
I just can't stop watching your music, you bless me so much, I love all your music, God will lift you so much for the glory of his name, your soloists are amazing, they sing like angels, yaani am just humbled as I listen to your beautiful voices
Much much much Love from the 254 😍😍😍Kwanza Mum hapo karibu Saxophone you did the video justice,alafu sasa soloists na cvc choir Kama BGVs motooooo 🔥🔥more Grace Wana CVC
jah bless you all!...
Kazi nzuri nawapenda sana