SISTER P AFUNGA NDOA TAKATIFU -AWA MAMA MCHUNGAJI -AACHA RASMI BONGO FLEVA -AJIUNGA MUZIKI wa INJILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 143

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  День тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @angelabanzi8253
    @angelabanzi8253 День тому +18

    Mwaka wa kumiliki na kutawala huu,haleluyaaaa

  • @theresiamanyanda1125
    @theresiamanyanda1125 19 годин тому +4

    Nasikia Raha sana Mwacheni sister P aonger sana kwa Yesu kuna Raha jamani......🎉❤

  • @shancyskitchen3044
    @shancyskitchen3044 Годину тому

    Mama Yangu 🥰 Mwenyezi Mungu Akupe Maisha Marefu Sisi Tuna Furaha Kama Jina Lako

  • @essahsaimonmwalwega6097
    @essahsaimonmwalwega6097 20 годин тому +6

    Nyie nimemfatilia maisha yake ya nyuma...kweli Yesu anabadilisha mambo....hongera sana Yesu akutunze.

  • @Myright888
    @Myright888 День тому +9

    My best friend anaolewa Sipo 😢, ndugu wanapata matatizo Sipo 😢 Yaani kuna muda unawezachukia kuishi huku jamani dah! Is Asante Mungu kwa yote. Happyness najuautasoma hii comment mimi NYASO wa Kaole (Teja) best yako. Nakufurahia na nimefurahi mmooo👏👏👏🙏🙏 Utukufu kwa Bwana. Tuombe uzima nitakuja mpaka Home 🙏

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 8 годин тому

      @@Myright888 Umenikumbusha mbali uliposema kaole

  • @happinessvuriva922
    @happinessvuriva922 18 годин тому +3

    Hongera Wajina njoo na Tanga tumshukuru Mungupamoja

  • @petrolconrad4250
    @petrolconrad4250 17 годин тому +2

    Dakika za jioooooooni!!

  • @naimakawina4276
    @naimakawina4276 3 години тому

    Asante Mungu inafurahisha sana, tuombe mwisho mwema

  • @jescally8158
    @jescally8158 2 години тому

    Naamin wakati wa BWANA umefika kwa Happiness,,, Barikiwa sana sana

  • @farajaphilipo8844
    @farajaphilipo8844 21 годину тому +2

    Tumshukuru mungu kaolewa sister p tunaishi naye mtaani kwetu hongera dada

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 День тому +8

    Hongera sana Sister P.Mungu akutunze,nafurahia sana haya mabadiliko.
    Bado zamu ya Salama Jabir sasa.😂😂😂😂

  • @MwantumRashidi
    @MwantumRashidi 2 години тому +1

    Nashindwa Cha kukoment msela wang sana sister p hahahahahh😂😂😂😂😂uwiiiiii jaman nyiee

  • @DeboraNgura
    @DeboraNgura День тому +17

    Matron anatamani kumwambia bibi harusi wake bas usiongee sana kama unapitiliza😂😂

  • @AdelinajescaOswald
    @AdelinajescaOswald День тому +3

    HALELUUUUUUUUUYAAAAAAAAAAAAAAAAAAA❤❤❤! SIFA NA UTUKUFU NI KWA BWANA YESU❤!

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 16 годин тому +1

    Waishi na kubarikiwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 День тому +2

    Dah,hongera sana, kweli muacheni Mungu aitwe Mungu,hakika hakuna lisilo wezekana kwake 🙏🏽

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 День тому +9

    Mmmh hongera sana sister p ila usifunguke sana siku ya harusi ungeongea tu machache

    • @mamakayla6697
      @mamakayla6697 День тому +7

      Asiposhuhudia hapo wengine wataponaje mpendwa? Muacheni bhana,hizo ni nguvu za MUNGU ndani yake ndiyo maana haogopi.Chezea furaha wewe? Unaijua furaha au unaisikia? MUNGU kamshangaza,maana hakutegemea km ipo siku atafunga ndoa takatifu. Usicheze na kuponywa kwa mtu.

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 21 годину тому

      Bora aropoke ya tokeee

  • @JoyceMakange
    @JoyceMakange 20 годин тому +1

    Halelluya..Utukufu kwa Mungu

  • @Happizo
    @Happizo 23 години тому +3

    Unapoona watu waliokuwa wanaitumikia dunia wanaamua kuja kwa YESU wewe ukakaza fuvu....utajikuta umebaki mwenyewe...hongera Sana

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 День тому +8

    Duuuuu bibi harusi anafunguka Hadi raha 😂😂😂 kwani mlijua walivuta bangi wote usiku wa manane 😂

  • @mr.machange1377
    @mr.machange1377 День тому +4

    Yesu Anaokoa

  • @MauriceHaseen
    @MauriceHaseen День тому +3

    Hongera sana Sister P, ila mchungaji afahamu kuwa wewe sio sister duh 😅😅😅

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 День тому +1

    Hongera sana ,hakika umevuka navitendo vyakishettani ,Mungu atuvue soote wenye vituko vilivosivo Amiin

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 22 години тому +1

    Hongera sana hafai kwako anafaa kwa wengine

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr День тому +1

    Hongera muhenga mwenzangu Mungu akubariki sana

  • @gracekiondo2541
    @gracekiondo2541 День тому +4

    Kumbe wote mlikuwa Misri? Safi sana

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 21 годину тому

    Hongera sana Mpendwa wangu! Mungu akutangulie ktk ndoa yako.

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 22 години тому

    Safi sana..Juzi juzi tu nilikuwa nasikiliza nyimbo yake ya DJ.Tunakutakia maisha mema..

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx День тому +1

    Mubarikiwe sana Watumishi wa Mungu

  • @jamilaratabu1586
    @jamilaratabu1586 День тому +8

    Atakuongea bado anachanatuuu😂😂 uyudada aiseee 😂 hongera kwandoa

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 18 годин тому

    Hakika Mungu ni mwema

  • @happykimaya6631
    @happykimaya6631 День тому +6

    Hongera sana sister P. Baba mchungaji inamaana mke uliyekua naye imekuaje?

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 День тому +2

    Hata mimi nitaolewa sikati tamaa

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 День тому +1

    Hongera sana Dada yetu

  • @newbornhaule
    @newbornhaule 23 години тому

    Yesu umetenda tena

  • @teddymutani856
    @teddymutani856 22 години тому

    Asante Munguuuuuu

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 День тому

    Mwaka wa kubuna huuuuu God is great.

  • @ADELADamus
    @ADELADamus День тому

    Amina Kuna dd alikuwa anavaa kama uyudd Ilana yeye kabadikika kwass ni mama

  • @johnkyara8655
    @johnkyara8655 20 годин тому +2

    Huu niushuuda mkubwa sana

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie День тому

    Hongeraa sana🎉🎉🎉

  • @John-vn4pp
    @John-vn4pp День тому +9

    Kwa hiyo huyo mchungaji ameacha mke aliyemzalisha watoto, akaoa tena kwa harusi ya shela.
    Unajua nacheka kwanini...🤣

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 День тому +2

    Anakuja sister p Maisha yanaenda Kasi sana hata Mimi nimeanza kuota mvi

  • @faridaaloyce4330
    @faridaaloyce4330 Годину тому

    Heee nitaolewa

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh День тому +4

    Anakujaa anakujaa sister piiii duuh alikua anachana htr kweli ujanja kumfuata Yesu hata DKnob naye ni paster

  • @ivonasangawe7185
    @ivonasangawe7185 День тому +1

    Hongera happy

  • @pendogwisu
    @pendogwisu 2 години тому

    Heheee tumevuta bangi

  • @Kidotii
    @Kidotii День тому +3

    Mungu mkubwaa!

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 22 години тому +1

    Waaah hata mi ntaolewa kwani ninakasoro Gani,,,duh mungu huyu Kwan sisi wengine mbona unatupa wanaume walevi wakati wachungaji kumbe wanatongoza,acha masihara yooote mchungaji anitongoze basi😂😂😂

    • @chrispinantabaye4866
      @chrispinantabaye4866 19 годин тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😅😅😅🙌🙌

  • @Gaudensiamuganga
    @Gaudensiamuganga День тому +3

    Tunaomba hekima kutoka kwako mama, so ulikuwa unaambana na mme wa mtu uku mmeshikana mikono,na ukummeokoka eeeee.
    Kweli Naamini YESU anafinyanga upya ila kuna sehemu sijaelewa.
    hongeren santa ila daaah Mungu aendelee kukufinyanga

    • @christergange252
      @christergange252 19 годин тому

      Mimi. Mwenyewe sijaelewa. Mume wa mtu hallafu akaoa Tena,nimepata. Shiida kukuelewa

    • @theresiamanyanda1125
      @theresiamanyanda1125 18 годин тому

      Huelewi nini dada,walikua mtu na kaka..sasa wifi kakimbia mme...kwanini Mungu aliyewajua tangu mwanzo asiwaunganishe...?!acha kujaji usichojua usije pata laana..Mungu atabakia kua Mungu...njia zake hazichunguziki

  • @MagdaUlaya
    @MagdaUlaya 21 годину тому

    Tuombeane na ss jamnii

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx День тому +1

    Hallelujah

  • @MANKOLOMATZ
    @MANKOLOMATZ День тому +3

    Bi harusi kachangamka kweli kweli maana anaita watu nje😅😅

  • @amaniamosi2603
    @amaniamosi2603 День тому +1

    Good move

  • @johnkyara8655
    @johnkyara8655 20 годин тому +1

    Mpaka machozi ya nitoka kweli yesu wewe uko .sio wote wakulewa

  • @gracemtonga3263
    @gracemtonga3263 День тому

    Hallelujah

  • @DotoS12
    @DotoS12 День тому

    Bi harusi ni nomaaaaa anaongea too much😂😂😂

  • @naomipieter4627
    @naomipieter4627 21 годину тому +1

    Kama halima mdee saut

  • @salama1113
    @salama1113 День тому +3

    Bc hata k mziwanda tusimkatie tamaa nshaallah

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 20 годин тому

    Hakuna urafiki kati ya mwanàume na mwanamke.kuna mmoja anamnyatia mwenzie

  • @DominicaDamianTuseko
    @DominicaDamianTuseko День тому +1

    Lakini mchungaji hakujitunza maana anawatoto tayari.

  • @diltondilunga9915
    @diltondilunga9915 22 години тому +1

    Sister P ,bado yupo gado,tumuombee

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute День тому +3

    Huyu ni chizi akili yake haipo sawa Tena umalaya unamsumbua ndio maana mchungaji magembe amesema makanisa yote yameanguka kiroho daaah kumbe paka bangi

  • @victoriabayo7704
    @victoriabayo7704 16 годин тому

    Na mke wake yupo wapi sasa hivi?

  • @stellamokiwa2025
    @stellamokiwa2025 20 годин тому

    Yessssssss sauti kama beberu

    • @theresiamanyanda1125
      @theresiamanyanda1125 18 годин тому

      Hiyo sauti kama hauko rohoni huezi ielewa...walioko rohoni tu ndo wanajua thamani ya wenye sauti kama hizo...Mungu akufungue machi uone

  • @esterachacha8916
    @esterachacha8916 15 годин тому

    Duh!

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 21 годину тому

    Mwaka huu mungu kaamua yake

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 18 годин тому

    Kwa hiyo mchungaji kaacha mke.sasa sisi wengine tutashindwaje kuachana ikiwa mpwakwa mafuta anaachana na mkewe

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne День тому +1

    Kwa nn sasa umenuacha mkeoooo we mchungaji

  • @LovelyCoastline-il1lr
    @LovelyCoastline-il1lr День тому

    Kwani si wakristo wanaoa mke mmoja

  • @YasminYasmin-vj5ih
    @YasminYasmin-vj5ih День тому

    Huyu mpuuzi sn dada p

  • @d15355
    @d15355 День тому

    Miaka mingi sana tangu enzi hizo bongo records, bifu lenu na zay b,sijui nae yuko wapi jamani, sasa hivi kashakuwa mama sista p gangsta umri umeenda limebaki jina tu, kweli maisha hayasimama, nakutakia maisha mema dadangu ila ule ushetani wa kale achana nao kabisa sasa.

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 18 годин тому

    Mbona wachungaji wengi sauti zao zina mikwaruzo

  • @Grace-v4g2n
    @Grace-v4g2n День тому +1

    Mbona kazeeka sana!!!

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus День тому +8

      Heri yako wewe utakayebaki kijana milele, swali lako ni la kitoto sana

    • @shaelshael2191
      @shaelshael2191 День тому +2

      Kwan wa leo huyu

    • @RobertMwololo-f2o
      @RobertMwololo-f2o День тому

      Kuwa na subira muda si mrefu hutamuona mzee tena.

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy День тому

      @@GoodDeeds-Jesus hapana anachomaanisha ni kwamba umri hauendani na muonekano, ivo tuu

    • @desolz3809
      @desolz3809 День тому

      ​@@RoseMichael-oz7cykwani anamiaka mingapi, ebu tuambie

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 День тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DevidiCosmas
    @DevidiCosmas 22 години тому +1

    Mbona anasauti km dudu baya

  • @mpsanga2914
    @mpsanga2914 2 години тому

    ndoa ya mchongo iyo

  • @Mbwanaadam-m2v
    @Mbwanaadam-m2v 22 години тому

    😅mwanamke ni mwanamke tu amekaza ila ameachia

  • @JosephineJoseph-u7w
    @JosephineJoseph-u7w День тому +1

    Hahahahaha nicheke kwa comment
    Jamani mchungaji hana mkeee alizalisha tu na wake aliowazalisha tayaliii

    • @hopejohnson7352
      @hopejohnson7352 23 години тому

      Yaani hyu mchungaji alizalisha kabla hajaokoka

    • @theresiamanyanda1125
      @theresiamanyanda1125 18 годин тому

      Yako nayo umeyacheka?...acha kujijesabia haki mpendwa..jitazame wewe kwanza

  • @ShazmaRamadhan-w4o
    @ShazmaRamadhan-w4o 23 години тому

    Kama ndio anaolewa basi sijachelewa

  • @Wendy-kz6cy
    @Wendy-kz6cy День тому

    Makubwa kazeeka kwa sababu ana watoti

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 День тому +2

    Sijaelewa.ivi Mungu anaweza kuvunja ndoa ili mtu mwingine aolewe kweli?mmmh!!Acha nimwachie maulana mwenyewe.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День тому

    Kwani bangi na pombe nyingi siyo dhambi😮
    Je suruali ,shati na kaputula ni dhambi😮

    • @MAGRETHMACHAKU
      @MAGRETHMACHAKU День тому +1

      Machukizo kwa Mungu,,, Kumbukumbu la torati 22:5

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p День тому

      ​@@MAGRETHMACHAKUkwani mavazi ya mwanaume ni yapi na ya mwanamke ni yapi maana enzi hizo wanaume walivaa kanzu na vilemba

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai День тому

    Tom boy kaolewa

    • @theresiamanyanda1125
      @theresiamanyanda1125 18 годин тому

      Wewe umeolewwa?!mwenzako anavuka na Yesu unabaki kuhangaika,!?😅

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv День тому +1

    Kwani mke aliyezaa nae yuko wapi alikufa au waliachana kivipi sijaelewa hapo

    • @shavasjohnkay-cw8lg
      @shavasjohnkay-cw8lg День тому +1

      Non of your business 🤐

    • @desolz3809
      @desolz3809 День тому

      Zipo sababu nyingi sana za kuachana, kuna scenario za magonjwa kama HIV mmoja akiwa nao mnaweza kuachana

    • @theresiamanyanda1125
      @theresiamanyanda1125 19 годин тому

      True kabisa wewe uliyekua naye mwanzo kwanini hamjaoana ?!ujue kila jambo lina kusudi lake mpendwa sisi tunamtukuza Bwana kwa ajili sister P...🎉🎉

  • @HappyPhilly-oq4bs
    @HappyPhilly-oq4bs 21 годину тому

    Sasa mchungaji mke wa kwanza yuko wapi sijaelewa bado

    • @theresiamanyanda1125
      @theresiamanyanda1125 18 годин тому

      Wewe nawe mwanaume wako wa kwanza yuko wap?!toa jibu kwanza

  • @JohnKaliagi
    @JohnKaliagi День тому

    Sister p,nyimbo zako nakukumbuka wimbo mmoja unaimba ,,sister p upo gado mashairi yamejaa kisado,toa sasa nyimbo za injili

    • @elizabethchikawe900
      @elizabethchikawe900 День тому +3

      Hiyo ameimba Zay B ..,sister P kaimba anakuja anakuja sister P 😅😅😅

  • @PriscaMwakifuna
    @PriscaMwakifuna День тому

    Doo anaongea htr

  • @AzizKi-t1y
    @AzizKi-t1y День тому

    Mchungaji anakula kondoo wake

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th День тому

    Kwani hawa wanaowa au kuolewa jaman

  • @Spekalifetz
    @Spekalifetz День тому

    Mhhhh

  • @mpsanga2914
    @mpsanga2914 2 години тому

    ndoa ya mchongo iyo

  • @mpsanga2914
    @mpsanga2914 2 години тому

    ndoa ya mchongo iyo