Super Rainbow Mwenyezi Mungu awabariki popote mlipo! Kila naposikiliza huu wimbo mnaukosha moyo wangu,kwani wakati narudi home huwa nautazama mlima Hanang!
inakumbusha mwaka 1985. tunatoka dom kuelekea tanga kupitia dar kwa basi la corretco wakati huo. basi aina ya leyland albion.tulilala magomeni mapipa kwa rafiki yake baba na huo wimbo ndo ulikuwa habari ya jiji wakati huo.kweli nyimbo zinavuta hisia sana.
Haji Aly Corretco ndio ilikuwa basi pekee ya kutupeleka Huko Tanga Handeni tukipandikia kamata baadae kkoo mtaa mafia jengo la kona mafia na msimbazi enzi azirudi
Huyo vocalist alikuwa ni standard za SGR kabisa. Vocal range yake hatari. Mgosi Eddy Sheggy. Rest in eternal peace. Nilikuwa naukumbuka wimbo lakini nilikuwa sijui jina la huu wimbo.
The song reminds me when i was in primary school, my late young mother when quarreling with her husband, he always played that kind of songs on his cassete player, also he liked another song by Eddy sheggy that sings; "Alianza kuweka chumvi kwenye chai,. nilikua na wageni wakatoka bila kuaga"
Hueleweki unaongea nini, unaposema another song, wakati maneno unayoyaandika ndio yapo katika wimbo huu, and who do you refer to, your mother or your father? Maana naona he zimekuwa nyingi
@@johnmasungansolezi576 Kamwelezea mama yake mdogo. Akigombana na mumewe, mume huweka muziki huu na mwingine wa Eddy Sheggy. It's not the mother who liked the song. He only refers to his mother because he has no relationship with the husband of his young mother.
mama mdogo alinichukua kijijini na kumuahidi mambo mengi dada yake, la kwanza atanisomesha na mm nitajua maisha ya badae tulipofika mjini mamaa, tulipofika mjini mamaaa kanigeuzia kibao hakuna cha shule wala dalasa siku zenda mbio nateseka
RTD kipindi hicho. TBCturudishe huko maana ni kuzuri sana. Najua nyie mna hazina kubwa sana ya muziki. WAawezesheni wanamuziki wa sasa kuimba muziki bora kaa ya kale hasa matumizi ya vifaa vya muziki.
Hivi huyo dada aliimba na eddy bado yupo hai? Nyimbo inatuliza kwa kukumbuka udogoni mwetu enzi za shule msingi unaenda na kurudi home SAA sita kula halafu unarudi tena SAA nane shule jua kali unasikiliza nyimbo hizi kwa mbaali huko mtaani daah
Da!! hii nyimbo inanikumbusha mama yangu mzazi ambae alitoweka nyumbani pale Kilosa kisangata estate mwaka 1984 kwenda Handeni kwenda kumuona mama yake mzazi alikuwa ni mgonjwa lkn mpaka leo hakuoneka na tena alikokua anaenda hakufika
Uwezi hamini hapa edy anampiga dongo ndugu yake Christian shegy walitoka wawili kutoka band flani sasa wanatoka kwenye iyo band kurudi kwenye band yao ya zamani ndugu yake akachomoa kurudi ndio edy anasema tulitoka wawili narudi Peke yangu
If you listen to the arrangement of instruments and vocals of this song , you will side with me this was vijana jazz minus manet chiriku, just listen to "wivu" by vijana jazz compare and contrast❤
Nyimbo zina image kwenye jamii,kweli enzi hazitorudi,nakumbuka miaka ya 1986 tukitoka shamban na wazaz kisha tunachuma mlenda ili mama akipike rule naugal huku tukiwa tumekaa nje chini ya mti na baba na redio band 3 ya mbao
JAMANI KUNA NYIMBO NYINGINE ILIIMBWA NA JENNIFA NDESILE NAKUMBUKA KIBWAGIZO KISEMACHO MWISHO WAKE NIKIFOO MWISHO WAKE NI KIFO. KAMA KUNA YEYOTE ANAUKUMBUKA ANAWEZA KUNISAIDIA NIENDELEE KUBURUDIKA
Huu wimbo unanikumbusha mtoto wa mamangu mkubwa marehemu Grace alikua anaimba akifua na akipika KBC ikiitwa VOK..ndio ilikua inashika mbaya enzi za MW(medium wave)..radio ikipiga unaeza sema ni part ya beat.

mama mdogo alinichukua kijijini na kumuahidi mambo mengi dada yake, la kwanza atanisomesha na mm,nitajua maisha ya badae tulipofika mjini mamaa, tulipofika mjini mamaaa kanigeuzia kibao hakuna cha shule wala dalasa siku zenda mbio nateseka
Super Rainbow Mwenyezi Mungu awabariki popote mlipo! Kila naposikiliza huu wimbo mnaukosha moyo wangu,kwani wakati narudi home huwa nautazama mlima Hanang!
"Alikuwa kama Helicopter, ndege isiyochagua mahali pa kutua " Daah... Eddie alitambaa sana humu aisee.😢
Saaana!
Dah!! Kali kweli. Those were the days when music was really music. Muziki unamwagika wenyewe waaaahh
inakumbusha mwaka 1985. tunatoka dom kuelekea tanga kupitia dar kwa basi la corretco wakati huo. basi aina ya leyland albion.tulilala magomeni mapipa kwa rafiki yake baba na huo wimbo ndo ulikuwa habari ya jiji wakati huo.kweli nyimbo zinavuta hisia sana.
Haji Aly Corretco ndio ilikuwa basi pekee ya kutupeleka Huko Tanga Handeni tukipandikia kamata baadae kkoo mtaa mafia jengo la kona mafia na msimbazi enzi azirudi
nyimbo au music na matukio ndio yanaweza kukukumbusha nyakati ulizopitia
kuna nyimbo ukisikiliza lazima machozi yakutoke! daah rest in eternal peace eddy sheggy
Nani yuko namimi leo 14/4/2022 kusikiliza wimbo wenye mafundisho makubwa ya kuwa makini katika maisha
Hakika hizi tungo ni dhahabu kwa kizazi hiki cha sasa
Nakumbuka mbaaaali sana!!!!!
Yaani hizi nyimbo zinaishi kutokana na ujumbe uliopo kwakweli
Wimbo unanikumbusha mbali sana.namkumbuka Eddy Shegi na Nana Njige katika chorus.mungu awalaze pema peponi Eddy na Nana.
Kwa kweli waliutendea haki muziki
Nana Njige ulikuwa mbele yangu kwa mwaka mmoja Forodhani Secondary School, pumzika kwa amani Amen
Ilikuwa mwaka gani?
@@kafirsantana8631 1979
Nyimbo za zamani zina mafunzo sana
Wimbo ulitungwa Kwa mtazamo wa mbali sana, hayo ndo yapo sasa
jaman nakumbuka maisha ya baba yangu wakati yuko hai alikuwa anapenda sana jaman yakale dhahabu
Huu wimbo wa milima ya kwetu unanikumbusha mbali sana
Huyo vocalist alikuwa ni standard za SGR kabisa. Vocal range yake hatari. Mgosi Eddy Sheggy. Rest in eternal peace. Nilikuwa naukumbuka wimbo lakini nilikuwa sijui jina la huu wimbo.
Moral of the story: Be mindful of signs of times and seasons! Don't ignore them
The song reminds me when i was in primary school, my late young mother when quarreling with her husband, he always played that kind of songs on his cassete player, also he liked another song by Eddy sheggy that sings; "Alianza kuweka chumvi kwenye chai,. nilikua na wageni wakatoka bila kuaga"
Hueleweki unaongea nini, unaposema another song, wakati maneno unayoyaandika ndio yapo katika wimbo huu, and who do you refer to, your mother or your father? Maana naona he zimekuwa nyingi
Hakika nyimbo za zamani zilikuwa na mafunzo,, na tutawakumbuka wapendwa wetu waliotangulia mbele za haki.
Kiinglish shida mazee
@@johnmasungansolezi576 Kamwelezea mama yake mdogo. Akigombana na mumewe, mume huweka muziki huu na mwingine wa Eddy Sheggy. It's not the mother who liked the song. He only refers to his mother because he has no relationship with the husband of his young mother.
@@johnmasungansolezi576 both father & mother 😂😂😂 kaeleweka.
Daaaaaaaaaaah nakumbuka sana Marehem babaangu Mr Shadrack, MUNGU amrehem, Ameeeen !! muziki ni furaha pia ni kilio, muziki unaumiza
kweli mziki unaumiza sana
Mussa Ally we acha tu
Pia unaponya, Beaty !
Hakika zamani raha music ndio njia pekee unanirudisha Home maisha ya ughaibuni mabaya mno
Daa! Wimbo umenikumbusha Eddy Sheggy Kwa kweli ya kale no dhahabu!!
Super super rainbow,wami bar Mwananyamala, drummer boy, it waa 1984, eddy na emmamokelo,
wenye mziki wao washaondoka dah
Helicopter ndege isio chagua pa kutua saw. Things make sense
Saana
Duu jamaa alitisha sana hapo
Good Memories! When I was in Primary School , we use this song to answer Swahili literature!
daah nakumbuka zamani nikiwa kasulu na baba yangu alikuwa OCD miaka ya 92 daah maisha safari ndefu
Rest in peace eddy
AUGUSTINO SEMKURUTO zitapendwa daima
Abdul Mahamud d
Duh yani nakumbuka kulikuwa nakongamano na kulikuwa na bendi nyingi hilo kongamano lilifanyika uwanja wa ufi shekilango watoto wa shekilango mpoo
kaweka sukari kwenye mboga
Jamani!
mama mdogo alinichukua kijijini na kumuahidi mambo mengi dada yake, la kwanza atanisomesha na mm nitajua maisha ya badae
tulipofika mjini mamaa, tulipofika mjini mamaaa kanigeuzia kibao hakuna cha shule wala dalasa siku zenda mbio nateseka
, mm,..
RTD kipindi hicho. TBCturudishe huko maana ni kuzuri sana. Najua nyie mna hazina kubwa sana ya muziki. WAawezesheni wanamuziki wa sasa kuimba muziki bora kaa ya kale hasa matumizi ya vifaa vya muziki.
Good memories! when I was Primary school we this song to answer in Kiswahili literature!
R. I. P My soul brother Fast Mover!
Nataman gari isifike upesi....Daaahh
Hivi huyo dada aliimba na eddy bado yupo hai? Nyimbo inatuliza kwa kukumbuka udogoni mwetu enzi za shule msingi unaenda na kurudi home SAA sita kula halafu unarudi tena SAA nane shule jua kali unasikiliza nyimbo hizi kwa mbaali huko mtaani daah
Kila nikisikia hii sauti nakumbuka picha kama hiyo, unausikia huu wimbo RTD.
Huyu Dada nahisi anaitwa Nana Njige, niliwahi kusikia alikuwa na mahusiano na Eddy Sheggy.... Miaka 7 iliyopita alikuwa bado yupo, ila sijui kwa sasa.
Rip nana njige
Haya mambo yapo kweli. Miaka kadhaa baadae Profesa J akatoa wimbo NIKUSAIDIEJE ukiwa na maudhui hayo hayo
Ndiyo miziki ya zilipendwa heshima kibao
Sauti ya Eddy Sheggy kama inatoka kwenye kinanda vile!
Huu wimbo Kama unauweka kwenye thamani ya pesa unanunulia bombadia tatu thamani yake
Hussein Omary 💊💊💊💊💉💉💉💉🤣🤣🤣👍🏻👍🏻👍🏻
Shanga yaja ndima
Haswa
😂😂😂😂😂😂
Nov,2019 bado nasikiliza ...classic song
Da!! hii nyimbo inanikumbusha mama yangu mzazi ambae alitoweka nyumbani pale Kilosa kisangata estate mwaka 1984 kwenda Handeni kwenda kumuona mama yake mzazi alikuwa ni mgonjwa lkn mpaka leo hakuoneka na tena alikokua anaenda hakufika
Athuman Waziri pole sana mgosi Gamba kauya kaya
Pole sana, jitahidi kusahau
Pole sana
Pole sana kaka mana ni mtihani kwako Allah akufanyie wepesi muombee tu dua kila unapomkumbuka
Pole sana
uhenga huu we acha tu!
Yawning
Yaani hizi ndio nyimbo wala azichuji tuko chekechea mpaka tunakua watu wazima ni tamu tuu.
sauti safi sana mziku mtamu
Uwezi hamini hapa edy anampiga dongo ndugu yake Christian shegy walitoka wawili kutoka band flani sasa wanatoka kwenye iyo band kurudi kwenye band yao ya zamani ndugu yake akachomoa kurudi ndio edy anasema tulitoka wawili narudi Peke yangu
VP babu mambo zako
Huu uongo mkubwa haujawahi kutokea. Ingekua vizuri ukatueleza band gani anayoizungumza
Umenifanya niurudie wimbo mara mbili mbili ili kuoanisha na ulichokiandika.
Dah..maisha yanabadilika..siku hzi mtu akiachwa anasema kwao hajaua..
Ndiyo maana yake!
hivi vitu tunasikiliza watu makini tu.
Kibinda Changila mbaraka jogoo la shamba
Kwa wakati mkini
Kabisa
Sanaa ndugu yangu
If you listen to the arrangement of instruments and vocals of this song , you will side with me this was vijana jazz minus manet chiriku, just listen to "wivu" by vijana jazz compare and contrast❤
Dah ama kweli huyu jamaa alikuwa na sauti ni mchezo
Safi sana hizi ndizo sauti za dhahabu
Alikuwa na sauti nyororo na ya pekee sana.
Nyimbo zinaujumbe mzito sana
Old is gold big up Nguzo
Ama kweli Tabia Mwanjelwa alikjwa sauti ya kipaji kweli kweli.
Tabia Mwanjelwa anaingiaje kwenye huu wimbo? Ama unamfananisha na Nana Njige?
Nana Njige huyo
Nilikuwa na wageni wakatoka bila kuagaa!🙃🙃🙃
Hiki kikundi sijawai kisikia hata
Ni wa sehemu Tanzania
NAKUMBUKA MBALI SANA ENZI HIZO HIKI KITUKO KILIMKUTA KAKA YANGU MKUBWA VIATU ALIWEKA KWENYE FRIJI WAKATI MGENI HAPO MWANANYAMALA
spiyer haroun Ahaaaa ndio Dunia hilivo
jamani wahenga tunakumbuka mbali sana
namkumbuka marehemu babayetu mungu amrehemu
Milima ya kwetu Lushoto
Hahahaaa Ushoto bana
bonge la wimbo
Nakumbuka kipindi cha "club rahaleo show". Kila wiki ungejua vibao vipya.
Dah..And I used to think wapo mitaani..kumbe ilikuwa ni studio.
Eddy sheggy atakumbukwa sana
That is what I call music music. Even with Poor instruments, it has rich impact.
Namkumbuka sana kaka angu Mrimi Mnandi, R i p bro
Mrimi Mnandi aliekuwa Mwalimu pale Jitegemee High School miaka ya 90's?kama ndie yeye RIP namkumbuka sana kwa ucheshi wake.
RIP Emma Mkello na Eddy Sheggy..
nmemkumbuka mama yangu
Eddy pumzika
Zina hisia kali
Nikweli jaman huu muziki nimtam san
Nawe shegg sauti yako haizeeki
Huyu siyo Tabia ni Emma huyu ndo mpenzi wa Eddy Shegi toka Kenya walirudi TZ p1
Janet Wande Harris Emma mkolla
Kwa kweli wamepiga
Walisemaaaaaaa😇😇😇😇👍👍👍👍👍👍👍👍
hizi ndo nyimbo
Hapo nilikuwa nisikia najua mchana mwema
zilipendwa zina raha jamani
Old is gold
Supar rembow
Good educative music.
Daaaaaaahhhh..... RIP
Good music
ENZI HIZO KWA KWELI ILIKUWA RAHA
niceee eddy sheggy
Nyimbo zina image kwenye jamii,kweli enzi hazitorudi,nakumbuka miaka ya 1986 tukitoka shamban na wazaz kisha tunachuma mlenda ili mama akipike rule naugal huku tukiwa tumekaa nje chini ya mti na baba na redio band 3 ya mbao
Rahma Shani
yakale zahabu jaman
ngoja tupooze machungu yetu
JAMANI KUNA NYIMBO NYINGINE ILIIMBWA NA JENNIFA NDESILE NAKUMBUKA KIBWAGIZO KISEMACHO MWISHO WAKE NIKIFOO MWISHO WAKE NI KIFO. KAMA KUNA YEYOTE ANAUKUMBUKA ANAWEZA KUNISAIDIA NIENDELEE KUBURUDIKA
Huu wimbo unanikumbusha mtoto wa mamangu mkubwa marehemu Grace alikua anaimba akifua na akipika KBC ikiitwa VOK..ndio ilikua inashika mbaya enzi za MW(medium wave)..radio ikipiga unaeza sema ni part ya beat.
Wimbo huo unaitwa Maisha ni safari ndefu wa DDC kama sikosei.
Dar jazz
Svemi
Muruaaa
Nautafuta wimbo huu bila ya mafanikio sehemu ya wimbo huo inasema SUPU UMETIA NAZI
Hizi ndio zilipendwa hazichuji.
Huyo ni bichuka na bendi ni sikinde wimbo supu ukitia nazi
Sik8nde
mama mdogo alinichukua kijijini na kumuahidi mambo mengi dada yake, la kwanza atanisomesha na mm nitajua maisha ya badae
tulipofika mjini mamaa, tulipofika mjini mamaaa kanigeuzia kibao hakuna cha shule wala dalasa siku zenda mbio nateseka
Ninaomba jina la uhu wimbo uliouandika nautafutaa sana
mama mdogo alinichukua kijijini na kumuahidi mambo mengi dada yake, la kwanza atanisomesha na mm,nitajua maisha ya badae
tulipofika mjini mamaa, tulipofika mjini mamaaa kanigeuzia kibao hakuna cha shule wala dalasa siku zenda mbio nateseka
@Ramadhani Chanzira inaitwaje uho wimbo nautafuta sana