NO MORE MISTAKES (DAY 1) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Kuna matatizo ambayo tunapitia kwenye mahusiano bila kujua ni laana ambazo zilitamkwa vizazi vya nyuma,na haijalishi zimetamkwa miaka mingapi iliyopita ukifika muda zinakuja kuwa halisi katika ulimwengu wa mwili.
    Karibu ujifunze kutoka kwa Pastor Sunbella Kyando jinsi ya kujua nini kinakukwamisha kwenye mahusiano yako.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....

КОМЕНТАРІ • 16

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 8 місяців тому

    Amina mtumish ubarikiwe

  • @rukirijeremiah
    @rukirijeremiah Рік тому +1

    Amen

  • @cheyoveda5942
    @cheyoveda5942 3 роки тому +3

    Asante MUNGU kwa neno la leo usinipite YESU

  • @joycekariuki46
    @joycekariuki46 2 роки тому

    Amen 🙏

  • @delishbby8542
    @delishbby8542 3 роки тому +3

    Your the best Pastor ever. Unajua sana kufundisha vizuri na tena unafundisha kwa mifano. Mungu azidi kukubariki na kukutumia ili tupone. Namtukuza sana Mungu kwaajili ya kazi yako njema kwake.

    • @mathiasmpianamulanda3496
      @mathiasmpianamulanda3496 Рік тому

      KENYA ndipo nilipo ,ndugu zangu wamekufa wote nikabaki vifungo havina hesabu kwangu ila naota ukiniombea ,Naomba unene neno juu yangu alafu ntapona

  • @collinsgasper8845
    @collinsgasper8845 3 роки тому +2

    This is so Deep, Thank you JESUS, Ooh thank you LORD your Able!

  • @dollamtui5849
    @dollamtui5849 3 роки тому +1

    Asante yesu naomba ukaniokanie

  • @sarahmuhia7311
    @sarahmuhia7311 3 роки тому +1

    Amen prayers 🙏

  • @cheyoveda5942
    @cheyoveda5942 3 роки тому +1

    Nimejiunga kutoka Tabora Veronika from Tbr

  • @stellaprosper2901
    @stellaprosper2901 3 роки тому

    Hakika nimebarikiw na neno la leo ,, Amen

  • @upendomlelwa57
    @upendomlelwa57 3 роки тому +1

    Pastor hakuna kipengere kisicho nihusu hapo nakufatiria mafundisho yako karibu yote, nakosa namna ya kushukuru Mungu , ila nawaza natokaje hapa mimi jamani

  • @agnesbuchwa7209
    @agnesbuchwa7209 3 роки тому

    natokaje katika hili maana nilipataga boyfriend 2007 akaniacha sababu kuwa mm ati iam too beautiful na nimesoma sana nina masters mpk leo sijaolewa

  • @agnesbuchwa7209
    @agnesbuchwa7209 3 роки тому +1

    daaa huyu ni mm mtupu jamani

  • @saumhassan8019
    @saumhassan8019 3 роки тому

    🙏

  • @ireneshayo3728
    @ireneshayo3728 3 роки тому

    Day 2 naomba link sipati