Asanteee. MUNGU kwa siku nyingine tena nakushukuru kwa kuniamsha salama. Asant baba. Niwewe tuu unaweza yote bila wewe baba Mimi SI kitu naomba baba kuiweka siku hii ya Leo mikononi mwako nakupa biashara yangu Leo baba mkono wako uwe mbele ya biashara yangu nikafanikiwe nikazidiwe na wateja. Fanya kitu na kwangu baba 🙏🙏🙏
Cjui kuna shida gani hata ukiomba appointment ya kuonana na mtumishi hujibiwi hata mm nina mwaka ninashiriki ibada kikamilifu lakini cjawahi kujibiwa .
Sophia Andrew Mungu wetu anafanya mambo kwa wakati na wala hakosei so cm tunazompigia na msg tunazomtumia anazipokea ila muda wa kujibu haujafika bado .muda wa kujibu ukifika ytutajibiwa . Tusimlazimishe wala kumharakisha asije akafanya sawasawa na mapenzi yetu badala ya mapenzi yake tuendelee kuwa waaminifu ktk IMANI yetu.Amen

Kenya twakusubiri mtumishi wa Mungu. Kindly come please.
Naomba muwenaangalia sauti huwa inakua chini sana
Aminaa
A true man of God, hakika haya ni mafundisho yanayo hitajika wakati huu
Uyu ni mtumishi anafudisha neno sawa sawa sana have learnt alot from him may he continue to prosper
Amen mtumushi barikiwa sana
YESU AHSANTE
Amen amen Daddy 😍
Amen Amen barikiwa
Amen
Asante sana Mtumishi .ubarikiwe sana kwa mafundisho ya Ki Mungu.
Mtumishi huduma yako ni nzuri sana ila shida jinsi ya kuwapata nimepata namba za simu yup tube lakini hampokei Wala mesege hamjibu
Karibu kanisan Sinza Mori karibu na ofisi za TAMWA
Ndio kabisa hata mimi ni mfuasi wao niko nje ya nchi lkn hawapokei simu,whatsupp hazijibiwi japo zinafika
Cjui kuna shida gani hata ukiomba appointment ya kuonana na mtumishi hujibiwi hata mm nina mwaka ninashiriki ibada kikamilifu lakini cjawahi kujibiwa .
Sophia Andrew Mungu wetu anafanya mambo kwa wakati na wala hakosei so cm tunazompigia na msg tunazomtumia anazipokea ila muda wa kujibu haujafika bado .muda wa kujibu ukifika ytutajibiwa . Tusimlazimishe wala kumharakisha asije akafanya sawasawa na mapenzi yetu badala ya mapenzi yake tuendelee kuwa waaminifu ktk IMANI yetu.Amen
samahani naomba kuuliza hivi naweza kupata namba sunbell
Natamani kuvuka katika kivuko cha kuingia kwa ndoa
Amen 🙇🏻♀️
sunbella kyando namba yake
NAPENDA MAHUBIRI YAKO MTUMISHI WA MUNGU
🙏🙏🙌🙌😢