Way back 1992 when i was in standard 2..at the time KBC radio taifa was the big man in the room....on my way from school i'd overhear the song in a shop... the tune sounds the same now that am 40 inanirudisha to dem dayz
Ndala Kasheba ana umaarufu wa utunzi wa ajabu, si utamu,nyororo, utulivu hata roho tetemishi. Fungua roho ya kupokea halmasi ya uhondo wa ziki! Mashaallah!!.Dr. Ogeto International
Siku nitafika pemba binti si tutaandamana eh became binti si tutaandamani-eh. Tutaandamana we will go together. Remember most of the singers including Freddy Ndala himself were not 100% native Kiswahili speakers but came with their localized Congolese brand of Kiswahili. This is the most logical explanation because the words that follow are; Nitembeze Sehemu zote hadi Mwisho. You will see these kind of small mistakes in many of the songs recorded in this period when bands were migrating from the saturated Congo and Brazzaville market to the new lands of Kenya and Tz.
Naomba like zenu jamani kila nikiusikiza natamani niuskilize tuu duuh😊❤❤
Ohh!Mafya, Pemba na Zanzibar ni visiwa vya kwetu! Asanteni kwa burudani murua.Oss!
Imagine is UA-cam came earlier?
This old school songs would have gotten million views
Way back 1992 when i was in standard 2..at the time KBC radio taifa was the big man in the room....on my way from school i'd overhear the song in a shop... the tune sounds the same now that am 40 inanirudisha to dem dayz
Thats me exactly . 1992, class 2, now 40. would hear this song in the trade centre near school
My age mate kabisa!
Now 40!
Sikiza majabali wa muziki na utunzi wenye ujumbe was maana, siyo kelele tupu. Kalalr vyema Ndala kasheba..
Marashi ya pemba jamani sio poa embu tufanye twende tukapaone pemba
❤
2023 am still listening the Best Master piece...oldzzzy
Reminds me of home in Mombasa in the late 80s listening to VoK channel radio music interlude back then. Nostalgia. 🙏🙏💝💝
Huu wimbo wanikumbusha marehemu mamangu. Alikuwa anaupenda sana. Continue RIP mum.
OLD is GOLD, TZ a place to be, no doubt about that.
Am Kenyan, but I believe you
Kwa kweli wamejituma lakini ndo tumewasahau.walikuwa ni wasanii wa nguvu
Ndala Kasheba ana umaarufu wa utunzi wa ajabu, si utamu,nyororo, utulivu hata roho tetemishi. Fungua roho ya kupokea halmasi ya uhondo wa ziki! Mashaallah!!.Dr. Ogeto International
Huu wimbo ungefaa katangaza utalii wa visiwani Zanzibar
🙏🙏
Baada ya kuona Kuna gali liimeshindwa kudondoka kupitia huu wimbo nikaona nije niuone huu mwimbo
How much memories this song brings
Lovely song.
It reminds me of my uncle who died in 1984.❤
Daaah siku zinaenda
profesa ndala mwamba na jabali la mziki afika mashariki ndala nakumbuka mwaka 1995 nikiwa kijana
🇰🇪🙏🙏kitu kizito
❤ The country is blessed!
❤ my friend s from Tz!
Excellent song 🥰🥰💞💞💞💞💖💖💖🥂💯✅👌
Napenda sana.
Nyimbo shwari
Mobali Kumbe anaimbisha dah ardhini kumebeba watu
❤ill be there God willing
Zilipendwa zinanipaga afya
Safi sana Pemba
❤lwil start with , Gospels
Zipigwe Mara kwa Mara tukumbuke enzi hizo
I love the song even the bit's also entertainment my soul
maestro si mchezo karafuu
Masterpiece!
Muziki that could make me cry .. sweet memories 80s
Kuishi visiwani mama, kuna utamu wake( ) Ya pemba zanzibar, visiwa vya kwetu
Nisaidieni kujaza hilo pengo, silipati neno lenyewe
Mafia, Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu
Asante. Ilikuwa sisikii kabisa wakisemacho.
Mafia
Mafia
Mie naye nataka lyrics zote za huu wimbo.. nisaidieni
MUZIKI WENYE HAMASA...DAH, WAZEE HAWA HAWANA KITU, WAMEKUFA MASIKINI..HATA MAJINA YA MITAA TUNAWANYIMA!.
Wacha tu aisee! Sikiliza maudhui ya wimbo wenyewe. Yanaweza kumtoa mtalii pangoni.
Walai Pemba zanzibar
Remi ongar naludi nyumban
Good old days when music was music!
Kitamba cheupe
One of the best sololist in Tanzania and Africa as well,Rip my bro Kasheba.
Always playing it daily. Gives me good old memories😍
Hizi ndiyo nyimbo buana
Nakwambia buana☑️😂
marashi ya Pemba
Much love
Maestro kasheba always in our hearts with 12 strings guitar.
❤❤❤❤❤❤❤🙌love the song
Noma sanaaa
Cute
Nipae angani,nikapishe bahari,kufika juu nione.................
Mtu anisaide kujaza pengo tafadhali
Nikatishe bahari
Nipae angani nikatishe bahari,
Juu kwa juu nione halafu nitue Pemba,
Solo iliongea si kawaida
Jedi ya kanga
Great memories of KBC sauti ya Kenya Dem Days
😀
K😊❤
Ila kuna mahali sielewagi " sikunitafika Pemba ni siku............
Mwenye kujua hilo neno la Mwisho anisaidie please!!
Binti Sultan Khalfani ×3 .....Nitembeze Sehemu zote hadi Mwisho
Nice song. Quite nostalgic.
@@leilaghalush9278 asante sana nilikuwaga sielewi hapo Bint Sultan Khalfan
Siku nitafika pemba binti si tutaandamana eh became binti si tutaandamani-eh. Tutaandamana we will go together. Remember most of the singers including Freddy Ndala himself were not 100% native Kiswahili speakers but came with their localized Congolese brand of Kiswahili. This is the most logical explanation because the words that follow are; Nitembeze Sehemu zote hadi Mwisho. You will see these kind of small mistakes in many of the songs recorded in this period when bands were migrating from the saturated Congo and Brazzaville market to the new lands of Kenya and Tz.
Sept 24
❤❤❤
interesting remember contacts between coast of east Africa and the outside World.
Ahahaahaah Yesss
P 600
Excellent song 🥰🥰💞💞💞💞💖💖💖🥂💯✅👌
❤❤❤❤
P 600
P600
❤❤❤❤
P 600