Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
From south africa 🇿🇦 cape Town hongera dar yanga africans
P
Yanga tunashikur kwa heshima mlioyo IPA Tanzania ❤💚🤝🥰
Hongera mama yetu point zako ni nzuri Sana timu ya yanga iliwakilisha taifa la Tanzania na pia umekumbuka mchango wa fei toto wahenga wagombanao ndio wapatanao,
Aasante yanga yangu...This is my Team...
Mheshimiwa Rais Mungu amlinde
Mwenyekiti omba ubunge uwe waziri wa michezo unafaa sana
Hongera wote from ughaibuni
Hongera mama umejua kutuheshimisha mitano tena mama
Nawapenda sana❤❤
Hongeren sana
Morison umechekesha sana,siku hizi umekuwa nzize
Wananchi kazi nzuri
Hakika mama yetu kipenzi apewe maua yake🙌
hongerni sn cha kusem chchte mvp
Good Speech
Morixoni hajui kiswahili tusimulaumu jaman
Ila morrison we haya tu 😂😂😂😂
Yaaaaaaangaaaaa
Jamani mimi nauliza zawadi aliyopewa mayele cha mfungaji bora iko wapi
MAMA SAMIA, HONGERA UNA VIJANA WAPAMBANAJI.
Nifuraha Sana kwangu mim siwadai labda fi
MAMA ASIZAWADIE "UTOVU WA NIDHAMU" WA FEISAL,NI MFANO MBAYA SANA.
Morison hapana aisee comedy ya kutosha
Kuna makomendiani
Morison abaki tu yanga jaman asitoke mana dah
Kwakweli linauma
Da jmn m n simb ila Morrison anatuvunja san mbav
Hii nikari funga mwaka
Ila huyu Morrison hana akili ata kidogo
Ilikwa vita kweli. Sisi Congo tuli ona
MORISSON NI WA KUMUACHA TU AENDE.
Morisson ametisha😂😂
Morisson kituko cha mwaka kila sehem🤣🤣😂
Yaani huyu asingekuwa mcheza mpira,basi angekuwa comedian 😂😂
Morrison apewe maua yake
Rais wa yanga na wenzako tupo nyuma yenu hakuna wa kuwatisha kazi mbichi mwakani tunabeba ndoo wenye roho mBaya watalia sanaaaaaa
Daaah hatari pole Osama bin laden Kwa kuzarauliwa najua amechukia Kwa hii kauli basi tu
Hotuba nzito inakilo ngapi
😂😂😂
Jaman hawa Jamaa kama medali tu Mpaka ikulu najiulizaje kama wangelichukua kombe la loser ingekuwaje??
Ikulu, bungeni
Jibu unalo kwamba yanga sio ya mchezo
Kombe la loser ww uko wp 🥱🥱
We endelea tu kujiuliza hivyo hivyo muda unakwenda mkuu
Usenge mtupu