Bacca apiga mawili, Yanga ikiichapa Tanzania Prisons 4-0 | Magoli yote | NBC PL 22/12/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 60

  • @officialngalya3062
    @officialngalya3062 6 годин тому +3

    Maombi muhimu sana aisee, uchawi upo jamani.💚💚💛💛

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 3 години тому +2

    Hii ndo yanga jerumani mashine😂😂😂 kumbe msheri ni bora kuliko mussa

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 5 годин тому

    Sis Ndo Yanga✅💯✊

  • @HidayaNgala-o6i
    @HidayaNgala-o6i 6 годин тому +2

    Wallah hii ndo yanga nayoijua, hatimae nafasi ya pili oyoooooo

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 4 години тому +1

    Gusa achia twende kileleni💯
    Makolo wanaogopa miamba ya soka inakuja kuchukua nafasi yake😆

  • @MikamikaNgeleyason
    @MikamikaNgeleyason 4 години тому

    ❤❤❤❤❤❤my team

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 5 годин тому +1

    Chama la wana Young Afrikans tutabeba ubingwa insha'Allah

    • @CholoBuga
      @CholoBuga Годину тому

      labda mubebe mawe

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 6 годин тому +1

    Duh Maradona R.I.P

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 6 годин тому +1

    Goli la Maradona saaafiiiìiiiii my team

  • @PudensianaMtui
    @PudensianaMtui 6 годин тому

    Hii time ni balaaaaaa😊😊😊😊

  • @bestman3651
    @bestman3651 3 години тому

    Tunavyopenda imani za mauchawi chawi hatuhami hama KMC hata kwa mabomu😂😂😂

  • @erickbiharagu894
    @erickbiharagu894 6 годин тому

    Top scorers Bacca & Dube

  • @Mollel69
    @Mollel69 7 годин тому

    ✊🏿

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 5 годин тому

    Mbona km Kuna mikono mitatu...kambabatiza kipa👀😳

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 7 годин тому

    Yanga bingwa tena

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 6 годин тому

    Wachawi wamenuna! Wachezaji wameshaombewa mapepo yametoka😂😂

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 4 години тому

    Yanga bingwa

  • @JoramYusuph
    @JoramYusuph 4 години тому

    Yanga bingwa kwa mpra gani

  • @DeogratiasMadaraka
    @DeogratiasMadaraka 6 годин тому

    Manara umekuja na yako asante sana mpaka waseme kwa ubwela unaowapa.

  • @EDSAUTOSPAREPARTS
    @EDSAUTOSPAREPARTS 6 годин тому +1

    Izi camera vip Azam mbona Kama mpauko

  • @goodluck-j1s4i
    @goodluck-j1s4i 6 годин тому

    Atuna presha tunasubili dube na baka wagombanie kiatu alafu tuchukue kombe letu

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 4 години тому

    Leo imeshinda GSM ipi vile?

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 5 годин тому

    Mpka magoli ya mkonoo😊

  • @scopy0428
    @scopy0428 7 годин тому

    Kila siku zinavyozid kwenda ndivyo wachezaji wetu wanavyozid kuimalika

  • @yusufuraphael250
    @yusufuraphael250 6 годин тому

    Bacca amefunga goli la mkono ...aibu naona mim😁😁✌️

  • @GucciJackson-q1n
    @GucciJackson-q1n 7 годин тому +7

    Hii ndo Yanga ambayo haijarogwa sasa

  • @abuuhafsah9630
    @abuuhafsah9630 5 годин тому

    Shukuruni mix bay yas..mbwa nyie

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 5 годин тому

    Bacca mmoja tu

  • @3malis
    @3malis 6 годин тому

    Goal la mkono 😂😂

  • @AbadiTz
    @AbadiTz 7 годин тому +1

    𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗕𝗶𝗻𝗴𝘄𝗮𝗮𝗮𝗮𝗮𝘀𝗮𝘀𝗮🎉

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 5 годин тому

    Hapa hamna kitu gori lamkono unashangiria bila aibu kabisa dah

  • @MusilimShaidrajabu
    @MusilimShaidrajabu 5 годин тому

    Hakun uchaw ninguv za mung

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 6 годин тому

    Goli la mkono duh

  • @erickbiharagu894
    @erickbiharagu894 6 годин тому

    Machoni kama watu wanaumia

  • @AlfaMwasofu
    @AlfaMwasofu 6 годин тому

    Max yupo wap

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 години тому

    MTUU ANAFUNGAA KWA KUTUMIA MKONO ANAKUA MAN OF THE MATCH, KWAHIYO WALIKUA WANACHEZA NETBALL AU SIO

  • @SalumSafkim-s5u
    @SalumSafkim-s5u 6 годин тому

    Nyie yanga mbovuu pumba kwel nyie

  • @hvannandos7699
    @hvannandos7699 6 годин тому

    Goki l mkono aibu hiii

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 5 годин тому

    Jana watu waliongea sana gol la Ahoua eti wamebebwa, ongea na hili gol la mkono nalo vipi ?

  • @EmanuelMathayo-z9b
    @EmanuelMathayo-z9b 4 години тому

    Goli la tatu sio halali mikon imetumik VAR ni muhim kw TZ ila yot kwa yot pongez kw yanga

    • @Allan-un1lf
      @Allan-un1lf 3 години тому

      Wamejifunga wenyewe aliecheza namkono mchezaji wa prisson😂😂

    • @LucyVictor-c9c
      @LucyVictor-c9c Годину тому

      We nawe sio la 3, ni la 4...
      Aliyecheza ni mchezaji wa Prison,...
      Na ndio maana walikaa kimya kuhofia Red card.
      Ilipaswa iwe penalty, na Red card kwa mchezaji wa Prison.

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad 6 годин тому

    Ya mkono

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 4 години тому

    Wamekutana na wabovu leo

  • @leomika8473
    @leomika8473 6 годин тому

    Mmepiga kibonde na goli la mkono

  • @rabistarrabistar860
    @rabistarrabistar860 57 хвилин тому

    ua-cam.com/video/LWfsj1Im_ME/v-deo.htmlsi=VvUHYyJD1fI8qNex