🚨Uchambuzi Crownfm,Simba 1-0 Jkt Tanzania, Tathimini dkk 90,Sakata la Penati na ubora wa golikipa jk

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n День тому +1

    Inshallah 🤲🤲🤲🤲

  • @IddyMawenge
    @IddyMawenge 18 годин тому +1

    Tatizo hawa goli la mkono wanateseka sana

  • @RenatusFumbuka-gw4jo
    @RenatusFumbuka-gw4jo 16 годин тому +1

    Wale magori ya mkono wanamaoni Gani

  • @ThomasMamakula
    @ThomasMamakula 19 годин тому +1

    Simba imepata penalti halali,haijabebwawala kutafutiwa hiyo penalti

  • @msabahaissa6201
    @msabahaissa6201 20 годин тому +1

    UTAKUFA NA KIJIBA CHA ROHO.
    MPIRA UMESHIKWA KWENYE 18 NA WAKATI HUOHUO MTU ANAVAMIWA NDANI YA 18, ULITAKA REFA ASIWEKE TUTA ILI MAGULUBAJA WAFURAHI KUWA SIMBA KAFUNGWA !!??
    Muulize CS Sfaxen
    UKICHEZA NA SIMBA UJUE MPIRA HAUISHI HADI UISHE KWA FILIMBI YA MWAMUZI.

  • @SeifKarata-fr7dv
    @SeifKarata-fr7dv 21 годину тому +1

    Unateseka ukiwa wapi wazee wa goli la mkono

  • @Rashidmashaka94Rashidmashaka94

    Hamnaga malefa ilakunawatafuta maokoto

    • @pascofp145
      @pascofp145 День тому

      😂😂😂😂😂 anateseka mwenyewe

    • @atupelemsyani7411
      @atupelemsyani7411 21 годину тому

      Bado haujasema, utasema tuu, yaani mpaka useme.

  • @halimaally9234
    @halimaally9234 19 годин тому

    Othumani Kaz ambaye amewahi kuwa refa na kuzijua xheria 17 amesema sio penart wewe nani na xheria 17 umezisomea wapi? Kila siku nasema toa makala yako mpila umesomea wp? Nyie wachambuz wajanjawajanja 2 afadhali kidogo jemedali nyie wengine misaut mikubwa na kuvaa makot na mawani et wachambuz mmh tuachieni mpila wetu

    • @shabanihamisi115
      @shabanihamisi115 18 годин тому

      Kwani Sheria 17 zimewekwa kwa ajili ya Othman Kazi? Acha ujuha.

    • @RenatusFumbuka-gw4jo
      @RenatusFumbuka-gw4jo 16 годин тому

      Uyo unayemsema aliwai fungiwa kwa kuboronga mechi😢

  • @mzeke-r9h
    @mzeke-r9h 23 години тому +1

    Huo mchezo tangu unaanza refa alionekana yuko upande fulani kuna penati zilitafutwa muda mrefu na offside za kijinga game ilikua poa total game ila refa aliharibu mchezo mapema sana ,ndio mana kimataifa tunabakia kulilia uwanja wa nyumbani tubadilike.

    • @godsonmolla1594
      @godsonmolla1594 23 години тому

      Kama una hasira kajinyonge

    • @atupelemsyani7411
      @atupelemsyani7411 21 годину тому

      ​@@godsonmolla1594ndugu yangu wao JKT Tanzania wameridhika na matokeo lkn Hawa utopolo ndo wanaumia na matokeo vyura ni vyura tu aisee

    • @HalimaismailySaid
      @HalimaismailySaid 20 годин тому +2

      😅😅😅hayo makasiriko punguza makasiriko hii ndo simba ni wazee wa jiooni tu.na lile la mkono tunacoment vp 😂

    • @micumass1989
      @micumass1989 20 годин тому

      Hata huo uwanja wanyumbani kimataifa mmeutumia vip wazee wa vyura vyurani😂, kazi wivu tu

    • @abdimkwizu1414
      @abdimkwizu1414 20 годин тому

      Bado hamjasema