Wanafiqi Hawakusudii kumwabudia Mwenyezi Mungu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @bonifasideus8691
    @bonifasideus8691 2 роки тому +1

    Allah awalonde mashkh zetu

  • @khalfaniibrahim201
    @khalfaniibrahim201 2 роки тому +1

    Allah akuzidishie ullinzi amiin

  • @kassimugulumu5460
    @kassimugulumu5460 4 роки тому +6

    Allah amjaalie kheri shekhe msellem bin ally.

  • @rashidkhalifa2176
    @rashidkhalifa2176 4 роки тому +10

    Oh allah wajaalie masheikh wetu jannah

  • @bashirukidana9315
    @bashirukidana9315 4 роки тому +5

    Allah wajalie masheikh zetu waendelee kuwa salama

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 3 роки тому

    Yarabi kamaulivyo mnusuru nabii yullahi yusuphu wanusuru waja wako hawa yarabi

  • @khamisjuma1531
    @khamisjuma1531 4 роки тому +3

    Allah akujaalie subra sheikh dunia ni gereza kwa wacha Allah pia Allah atahukumu baina yenu siku ya hukmu pia waislamu tusiache kuwaombea dua masheikh zetu

  • @adamumwangila4383
    @adamumwangila4383 4 роки тому +2

    Allah atawalipa wema na awajalie uhai mrefu wenyemafanikio juu ya uislam wetu

    • @madrasatulfurqani
      @madrasatulfurqani  4 роки тому +1

      aamin

    • @saidibangloss910
      @saidibangloss910 3 роки тому +1

      Allah, awalipe wanaokuziwia kutupatia raha Sheikh,unaeleweka sana, atawasaidia hakimu wamahakimu pamoja nasisi inshaallah,

  • @hemedabdalla3293
    @hemedabdalla3293 4 роки тому +4

    Napata huzuni sanaaaa nikimuona huyu shkh kwa elimu aliokuwa mayo Leo Yuko gerezan snazalilishwa subhanallah

    • @harunasaid8698
      @harunasaid8698 4 роки тому +1

      Allah humma aamii mw/mungu akuafiki na akuruzku kheri zadunia na akhera nimitihanitu,,

    • @kassimally4090
      @kassimally4090 3 роки тому

      @@harunasaid8698 we plan klppppop

  • @kombomshenga4136
    @kombomshenga4136 4 роки тому +4

    Mashaallah

  • @mohamedsaid8796
    @mohamedsaid8796 3 роки тому

    Allah akuhifadh na wote waliokuwa tayar kwa ajir ya dini ya Allah (ikhlasi)

  • @khalidimsuya4165
    @khalidimsuya4165 3 роки тому

    Mungu ailaani ccm ndio imewafunga awa masheikh wetu

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 роки тому +2

    ALLAH YAHFIDHAK FI DUNIA WAL AKHIRA SHEIKH MSELEM

  • @zumiauto6319
    @zumiauto6319 4 роки тому +1

    Subhannallaaah

  • @dairamadhani5074
    @dairamadhani5074 4 роки тому +1

    Nakukubar san muslem alla akueke

  • @nasiburashid4013
    @nasiburashid4013 4 роки тому +3

    Allah akulindeni ajaalie mtoke humo gerezani

  • @ahmedjuma2674
    @ahmedjuma2674 3 роки тому

    Nafkiri viongozi wete wa Zanzibar sijui wanaingia humu!!!!

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 3 роки тому

    Allah awajalie kheri duniani na kesho akhera

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 3 роки тому

    Jazakallah kheri Allah awajaalie nusura amin yarabi

  • @alexanthon3595
    @alexanthon3595 3 роки тому

    kichwa Allah awajazeni subra sheh inshallah wepesi utakuja

  • @hemedabdalla3293
    @hemedabdalla3293 4 роки тому +2

    Allah akfnyie wepesi wa kukuingiza pepon Inshllah

  • @zakatibakari9380
    @zakatibakari9380 4 роки тому +3

    baaraka llahu fykum.ahsbunallah waniimal wakiil

  • @hemedmnonji4109
    @hemedmnonji4109 4 роки тому +4

    Mwenyezimungu akujalie Afya njema shekh wetu,

  • @hassanaloisi3643
    @hassanaloisi3643 4 роки тому +1

    Mtu mweny kusema kwel ya haki.Atakizuriwa namabatili.Chozi lake na damu yake italipwa duniani na aakheraa.Namweny kuitetea haki ajutii Madhila yanayomkuta.Sababu nishaidi.Namashahidi awatakaa kimyaa

  • @ufahamusahihi7645
    @ufahamusahihi7645 4 роки тому +2

    Jazaaka llahu khaira

  • @khamismohd8616
    @khamismohd8616 4 роки тому +8

    Ccm wanafiki ndio walio kufunga ila Allah atawalaani

  • @iddyramathan4507
    @iddyramathan4507 3 роки тому

    Allah akuhifadhi

  • @shaameali3168
    @shaameali3168 4 роки тому +1

    Mngu akijalilazima watatokatu

  • @mohamedpinda4781
    @mohamedpinda4781 3 роки тому +1

    Alhar anasema dhuruma ni mbaya sana ukimdhurum mtu na wewe utadhurumiwa tu malipo hapa hapa

  • @issamkubwa9349
    @issamkubwa9349 4 роки тому +1

    Dr aheni utajibu siku ya kiyamna kwa kudhulum nafsi za wazanzibar

  • @khamismohd8616
    @khamismohd8616 4 роки тому +6

    Amakwe wewe nikidume lazima wakuekee vikwazo ila tumtegemee Allah tuu atatuongoza inshaallah

  • @salummnape6899
    @salummnape6899 3 роки тому

    Hawatoridhikaa nanyi mayahudi na manaswaraa hadii mfuatee Mila zao!!

  • @MANKHAN22
    @MANKHAN22 3 роки тому

    Group la uamsho ilo👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

  • @abdallahsallim1863
    @abdallahsallim1863 3 роки тому

    Ukweli usio pingika kwa wenye akili watu wa TABIA hizo wapi wengi

  • @suleiphwaupendo1030
    @suleiphwaupendo1030 4 роки тому

    Hhhhhhh kweli

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 3 роки тому

    Hahahaha asate shehe mselem bin ali wape dawa watapona iko siku duuuuu

  • @tonystantay4013
    @tonystantay4013 3 роки тому

    Mashaallah