Watuy watapokea, watafunguliwa watabarikiwa SANA KWA this ministry ya huyu Dada may the mighty God be lifted higher due to salvation of our returned Ruby
Si kwa hekima Neno hilo. Kigame ni Kigame. Lakini Paul Clemence ni Paul Clemence. Mungu Hana COPY KILA MMOJA NI ORIJINO. HUONEKANA SAYUNI KILA MMOJA MBELE ZA BWANA
Naomba namna ya kupata njia ya kum support huyu kijana kwa chochote Mungu alichonijalia
Nenda kwenye Chanel yake ya UA-cam Kisha utapata Namba zake
Maranyingi awajibu coment ila nitakutaftia namba zamtu wakaribu
@@MISHIONARYSHUKURU asente na mimi pia nazitaka
Very powerful. Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote maana ana nguvu
Mnaimba vizuri sana MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA
Hallelujah ❤❤
Watuy watapokea, watafunguliwa watabarikiwa SANA KWA this ministry ya huyu Dada may the mighty God be lifted higher due to salvation of our returned Ruby
Nimebarikiwa sana MUNGU akuinue viwango vya juu hakika unaimba mno sauti nzuri mnoo mbarikiwe sana hongera brother 🙏🙏🙏😢😊😊
Host wa kipnd nae s mchezo amazing voice
Waoo! A very nice tone
USijali kaka yangu sikumoja utaona kwajina la LA YESU MTAZAME MUNGU TU ❤
Dah!! Ad mwili umenisisimka Mungu azd kukuinua kwa viwango vngne
Mungu wa mbinguni huweka vipawa bila kujali hali ya mtu...Mungu akubariki mwimbaji pamoja na roc tv❤
AMIN
AMIN
Namshukuru mwenyezi Mungu kwaajili yako ❤
Mungu akuinue zaidi yote
Yes Tulichaguliwa na MUNGU❤❤❤ 🙏🙏🙏 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with Love 💕
Waaaoooo Mungu akuinue viwango vya juu zaidi
Thank you Roc tv for reminding us the Love of God 🙏🙏 yes we've been chosen by God 🙌🏿
Natamani nikoment kitu ,ila Wacha niseme mungu ni ebeneza🙏
good song congratulaction
Mungu akujalie ufike mbali kaka angu
❤❤❤❤anasauti nzuri na anaimba vizuri my God bless him
❤❤❤❤ Mungu akubariki zaid kijana ili kusonga mbele
Kwa kweli tumechanguliwa na Mungu,,barikiwa sana Godfrey🙏
Amen nataman sana kuimba
Jamaa anaweza sana aise
Nimependa hiii sana Mungu akubariki sana Mteule
Alf kapendez sana 😢MUNGU Yu mwema sna
So beautiful!
Aaaah I love this tis so amazing
Waha amazing swit voice
Mungu akubariki sann
Bro na me ni mwimbaji wa gospel nitawezaje pata support yako
😢😢😢eeeh Mungu Baba sikiya ombi langu Mungu mapenzi yako yatendeke
Utukufu wote ni kwako bwana Mungu wetu wambinguni Ameni🙏🙏
Barikiwa sana
Anasauti nzuri Atari🔥🎉🎉
🎉🎉Mungu awabarik sana watumishi
Waooo,God bless You God's Servant.
Nimependa sana
Very nice of God 🙏♥️👏🙌
😂hakika tumechaguliwa ubarikiwe sana
My prayer is Holy Spirit minister through this vessel.....because You go where you're desired. Lord Jesus make it come to pass. Amen.
Mungu mbariki Gofrey mteule🙏🙏
Amina mungu akubariki sana kwa support yako kwa kijana huyu
Jamani anasauti nzuri sana 🥰
Mwenyezi mungu azidi kutujalia kweli
Mungu akupe Manisha malefu
Mungu amu bariki kijana wake
Kila la herii mtumishiiii
Hakika Mungu wambinguni niwa Ajabu sana yaani ningekua na kitu ningemusapot rakini Mungu waguse ware ambo umewabariki uwezo wa kifedha wakamu samupoti
Very talented guys
Be 🙌 🙌 ❤
Godfrey Mungu azidi kukubariki
I love the song
Very powerful song
Imenigusa sana,eeeh Mungu wangu uliye hai ambaye usiye shindwa na chochote.
Fanya jambo kwa mtumishi wako godfrey ili azidi kukutumikia 🙏🙏🙏
Mungu mkubwa nakupenda sana mungu mana waliokua wanatukimbiza wamejikuta wanatusindikiza kishindo cha wakoma kimewakimbiza washami
Mungu azidi kukubariki Ili upate watakao kuku sapoty mdogo yangu
Mungu baba akubariki zaidinazaidi
Mbona kama host anaimba sana jaman
Km inawezekn apelekw akatibiw mach jmn mashallah anauwez mkubw
Wow🎉
Mungu zidisha baraka zako kwake baba
I know very well Paul , he can do something for him❤❤
Mungu ni mwema
Amen amen jinalabwana ribalikiwe nimejifunza kitu
❤❤❤❤ waooo ilove this
Namwona kwenye majukwaa makubwa ya injili worshipping GOD
Mungu akuinue
Wew ni mtehule wa bwana ubarkiwe sana
🙏🙏🙏🙏 god is good
MUNGU ni mwema
Mungu awabariki sana ❤❤❤❤
Yote yanawezekana kwa Imani...eme
Namwona Reuben Kigame wa Tanzania
Si kwa hekima Neno hilo. Kigame ni Kigame. Lakini Paul Clemence ni Paul Clemence. Mungu Hana COPY KILA MMOJA NI ORIJINO. HUONEKANA SAYUNI KILA MMOJA MBELE ZA BWANA
@@CHRISTHOLINESS Unamfahamu Reuben Kigame?
Hujaelewa wewe @@CHRISTHOLINESS 😂😂
Like
Mungu akubariki san
Hello can your channel do me a concert
Acheni. Mungu. Aitwe. Munguuu
MTEULE GO FAR BROTHER
Mumgu ebeneza
i like
anajua mpaka anakera sasa
Woooow....ameeen
Amen,
Mungu awabariki sana
glory to God
Mungu anafanya kama apendavyo...
Umechaguliwa na MUNGU 🙏❤️
Acha Mungu tu aitwe Mungu
Aloooo weee🙌🔥
Ameen🙏🙏
Ooooh lord Jesus 😢 😊
Amina sana
Mungu wetu yu pamoja nawe
🔥🔥🔥🔥🙌🏽
Jesus,ameeen
Daaaaaaaaa Mungu huyu ni wa ajabu
Amen amen 🙌🙏
Mbarikiwe
Blessed month thank u family
Amin Amin ❤
Utukufu zaidi