MEDICOUNTER: Kisukari kwa watoto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Ugonjwa wa kisukari au diabetes kwa lugha ya kiingereza ni moja ya changamoto inayowasumbua maelfu ya watu hususani kwenye nchi zinazoendelea lakini linapokuja suala la ugonjwa huwa kuwasumbua watoto tatizo huwa maradufu.
    Je, changamoto hii inatokana na nini na ni kwa namna gani wazazi wanaweza kujiandaa na kukabiliana nayo?
    Ungana na Dafrosa Prosper ndani ya medicounter kwa ajili yakupata undani zaidi wa kitabibu.

КОМЕНТАРІ •