SHEMEJI 💞 [4] FINAL EPISODE | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 450

  • @bonhe-boy
    @bonhe-boy Рік тому +60

    Naipenda Donta Tv na Kelvin wakwanza apo nipeni like zangu leo ni mimi tena apa Congo

  • @PriscaEmmanuel-fh4yn
    @PriscaEmmanuel-fh4yn Рік тому +4

    Asante kwa kuelimisha kiukwel n funzo mnaotembea kwa watu wenye chumba kimoja kwel unaenda kuharbu ndoa za watu then usimwamin mtu yyte

  • @Charlesstephanao
    @Charlesstephanao Рік тому +7

    Mwanangu nakukubal xn❤❤❤ ndugu❤❤❤yang unatufulahixha xn unaelimisha kwel 👍👍👍👍

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Рік тому +37

    😂😂😂😂😂😂 Leo nmekuwa wa kwanza 😂😂😂😂 hta si amin vle kelvin 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hii hatari xna aky una juwa ku actor hongera xna 👏 ❤ ety twende chooni Gai kelvin 😂😂😂😂 Kaa umesikia hyo gonga like tukisonga mbele 😂😂😂😂😂 big up xna kelvin guys let's gather hear and show love to our lengend kelvin 😂😂😂😂😂😂❤❤

    • @DorryDalma
      @DorryDalma Рік тому

      Kelvin unaweza kweli ❤❤

    • @kokenye9003
      @kokenye9003 9 місяців тому

      Haki chooni walai na vile wanatoa sauti kaa kondoo inachichwa 😂😂😂❤❤❤ much love ❣️❣️ Kelvin walai anajua

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza Місяць тому +1

    Twawapenda sana wana donta sisi wa congo

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 Рік тому +6

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI.naitaji ma likes jameni

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Рік тому +8

    😂😂😂😂sambusa Iko na nyama nying kelvin 😂😂😂😂 ety umeotehwa na roho wa mungu kudadadeki😂😂😂😂next plz guys Leo nme enjoy xna😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ChristopherMea-y3u
    @ChristopherMea-y3u Рік тому +7

    Oya like kwa kelvin apa

  • @ronyalkh
    @ronyalkh Рік тому +3

    Sambusa inaonekana waaah Kevin umenifundisha ketu siwezi leta msichana mkubwa kwanuymba yangu

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 Рік тому +26

    Jamani leo wa tatu naomba like zenu hata kumi tu zinatosha kabisa 😢😢

  • @Winfredgikeno
    @Winfredgikeno 11 місяців тому +4

    Napiga kimoja cha faster tunarudi kulala ,kelvin unachekesha😅😅😅😅

  • @Ukombozitv-wn7ir
    @Ukombozitv-wn7ir 8 місяців тому

    kwa kweli ndugu kelvin utafika mbali na hapa,,,,shabiki wako mkubwa sana kenya may God bless you to the fullest

  • @khadijatalib5971
    @khadijatalib5971 Рік тому +2

    Umeyataka mwenyew shenaiza Kevin alikwambia
    Umeona wapi paka kumfunga n samaki akabaki salama

  • @faithnyambura-fo7fm
    @faithnyambura-fo7fm Рік тому +8

    😂😂😂 kelvin sambusa na nyama mingi ... kweli shemeji mboga😂😂,,,mafunzo mazuri team kelvin 🎉🎉

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza Місяць тому +2

    Lakini Kelvin mbone utatuuwa naki ceko ulikuwa bado kumaliza kweli na shemeji kweli

  • @oliviersabushimike1124
    @oliviersabushimike1124 8 місяців тому +3

    Wanawake wote mpate funzo .ukileta mtu wa kike kwanyumba tamaa zinaanza pole sana.ila mlicheza poa,kazi nzuri

    • @EglayAyuma
      @EglayAyuma 3 місяці тому

      Hapo ni kweli kabisa hd wanalala kwenye jumba kimoja jamn sasa tendo la ndoa litafanyika sangapi nduuh wanawake wenzangu

  • @valentineonyoni9065
    @valentineonyoni9065 Рік тому +7

    Nasemaje mke wangu, Mimi na shemeji tulikuwa hatujamaliza vizuri Kwa hivyo nataka twende kitandani tukamalize vizuri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @PromiseBanza
    @PromiseBanza Місяць тому +1

    Hauna tatizo hapo Kelvin wanadamu tume ubwa na isiya ata njo haunge aca ile ma nyama Kelvin anakitu kwa kweli

  • @asmandunda3639
    @asmandunda3639 Рік тому +2

    Kelvin una mambo s ukajisuguwe to jamniiiiiiii,,,,but you are so talented kelvin,,, 👏👏👏👏 congratulations

  • @ChristineRumba
    @ChristineRumba Рік тому +3

    Kelvin ulikuwa haujamaliza vizuri dah hiyo kali nakupenda tu buree yani ❤❤❤❤❤ frm kenya 🇰🇪

  • @Carolinemutethya-l7i
    @Carolinemutethya-l7i Рік тому +1

    Tamu kweli carol kutoka Kenya kevoo twakupenda❤❤

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤yani wewe kelvin Jamani hata hauni makuruuu unastahili 😂😂😂😂 kuitwa mshenzi kwaiyo ukamalizie kwa mkeo

  • @ahmadoigu7689
    @ahmadoigu7689 28 днів тому

    😂😂😂😂😂🙌kazi nzuri sana hongereni donta 🎉🎉🎉🎉ila sina mbavu sahii zauma kwa kucheka😂😂😂😂❤

  • @sofia-es3dm
    @sofia-es3dm Рік тому +2

    I like kelvin kwa ufunny wako ak from kenya 🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @edinacharles-uj3sl
    @edinacharles-uj3sl Рік тому +1

    😂😂😂😂Kelvn bn🤣🤣🤣 we ni 🔥🔥🔥🔥 unaua vibe nimecheka mbaya sanaa🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 4 місяці тому +1

    I'm very interested with this movie from Kenya 🇰🇪 currently Qatar team kelvin oyeeeee shemegi huyo akapewa umoto 😂😂❤

  • @SaumuRuwa
    @SaumuRuwa Рік тому +8

    😂😂😂kelvin ameoteshwa na roho mtakatifu 🎉🎉❤❤ much love from kenya nawapenda wana donta tv.kelvin et anatingisha tako moja pa pa paa

  • @RobertKwalu-y7n
    @RobertKwalu-y7n Рік тому +1

    Hiii tamu,yan kumbe wanawake wana akili fup san yan unaruxha mawe kweny mzing wanyuki unategemea upate asali kumbe unaambulia minundu😂😂😂😂😂

  • @JustBlack-py3rt
    @JustBlack-py3rt 8 місяців тому

    Daah kweli nyie niwakwanza kbs. Napenda movie zenu san .na Calvin wewe nikiongozi kbs unajuwa kuigiza sn

  • @kinyuakitaka2408
    @kinyuakitaka2408 Рік тому +1

    Alitaka mwenyew asikulaumu kelvin ulifanya vizuri

  • @BhokeWarioba
    @BhokeWarioba Рік тому +1

    Kiukweli mnapenda mashuka ya kwetu safi twawapenda pia

  • @LukimbaEster
    @LukimbaEster Рік тому +1

    Dada mchunge mmeo vizuri lasivyo wezi niwengi😂😂😂😂😂

  • @rushelngeri
    @rushelngeri Рік тому +1

    Much love ❤❤❤ aki kelvin you're my best actor 😅😅😅. Ati hamjamaliza na shemeji😂😂😂😂😂

  • @samwelmagodi753
    @samwelmagodi753 Рік тому +3

    Jaman kelvin kafundisha uhalisia wa mwanaume 😅😅😅 pale hata ungekuwa pastor lazma aingie tamaa lakn pia mazingra yalisababisha pia kuingia tamaaaa

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r Рік тому +2

    😂imeweza hongeren sanaaa kaz nzur

  • @SwaumLiuti
    @SwaumLiuti 11 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂 kelvin we nomaa

  • @FrancisYohana-ij1th
    @FrancisYohana-ij1th 6 місяців тому +1

    Apo kaka unepiga kwa uhakik kaka very Nice kevi👍👍👍

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 4 місяці тому

    😁😁😁😁😁😁😁jaman msinichekeshe mm sambusa ya nyama😁😁😁😁❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @habibadigasa8929
    @habibadigasa8929 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Jamani nimecheka kwangu eti anakwambia nimeondoka unifuati 🤣🤣🤣

  • @noreenmdoe1753
    @noreenmdoe1753 Рік тому +1

    😢😢 hata na wew manamke 😅una makosa unaletaje ndugu 😅kwenye chumba kimoja na yeye ana moyo Kelvin hana maana hata angekuwa baba mzizi msingelala chumba kimpka😮❤❤❤🎉🎉😢😮

    • @EglayAyuma
      @EglayAyuma 3 місяці тому

      atakama ana.moyo kwenye chumba kimoja mapenzi yatafanyika sangapi

  • @نورةكينيا
    @نورةكينيا Рік тому +1

    Alioteshwa na roho mtakatifu 😂❤

  • @PeterNzomo-wc6md
    @PeterNzomo-wc6md Рік тому +6

    Enjoying while taking lunch at Nairobi - Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @babajuma2500
    @babajuma2500 Рік тому

    kazi nzuri kijana shetani ata akawa kanisani usimjaribu na sadaka ya damu

  • @ShaniShebila
    @ShaniShebila Рік тому

    Kervn shemeji bado anamtega pole sana kazi nzuli hongera 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @janemzenge7119
    @janemzenge7119 Рік тому +4

    Ati mke wangu nizime taa eti😂😂😂

  • @catherinekerubo9734
    @catherinekerubo9734 Рік тому +5

    😂😂😂😂😂aky Kelvin ett mulikwa hamuja malisea vizuri 😂😂😂😂😂love you guys 👦

  • @FAIRATHARAFATH
    @FAIRATHARAFATH Рік тому +2

    😂😂😂😂😂ety roho mtakatifu jamn celvin vituko sana ❤❤❤❤❤ donta tv

  • @BesiyaLubembela-cj9nv
    @BesiyaLubembela-cj9nv Рік тому +2

    😂😂😂 ety walikua awaja maliza vizuri jamanii 😁😁🤣 naipenda Donta Tv na kelvin upewe mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @johnemonyi
    @johnemonyi Рік тому

    Mm nionyeshwee hyo sambusa na nyama nyingi aki kelvin love u bro

  • @Fresko.onaicimoD_music
    @Fresko.onaicimoD_music Рік тому +3

    Nampenda shemeji, likes za shem she sh....

  • @davidkiptoo4382
    @davidkiptoo4382 Рік тому +3

    Parting shot 😂😂😂😂hatukumalizia vizuri aki Kevin 😁😁😁😁

  • @RammyanLewah
    @RammyanLewah Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂aaah, yani apo kelvin umeweza, et mm nashemeg tulikua hatuja .Aliya tuende tukamalizie, 🤭🤭🤭

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Рік тому +1

    Mmmaaa khelvin eti shemeji nishindikize chooni hahaha jmn nabapenda sana ❤❤❤

  • @FaithObash
    @FaithObash 2 місяці тому

    😂😂😂😂apo ety tumefanya mara moja aky a mungu❤❤❤❤

  • @natashaondari1549
    @natashaondari1549 Рік тому +7

    Mm wakwanza kutoka Kenya, wapi like ❤❤❤

  • @ShazChem
    @ShazChem 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🫣🫣💔Kev Kweli utazimiaje katikati ya vita...yahwah....ma dying😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MGETAMASAGA-rv1ql
    @MGETAMASAGA-rv1ql Рік тому +4

    Wakwanza naomben mauwa yang nawapenda sana 🥰❤️❤️

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Рік тому

    shamegi toa sambusa 😂😂😂aaaaah sambusa ishaliwa😂😂😂😂😂😅

  • @maureenechesa4074
    @maureenechesa4074 Рік тому

    Kuja tumalizie na mm kama mke amkataa niko na sambusa ya nyama karibu ❤❤❤

  • @JosephSompo
    @JosephSompo 2 місяці тому

    Kelvin courage je suis tellement content d'avoir votre vidéo

  • @MariamRashid-r5m
    @MariamRashid-r5m 4 місяці тому

    Duh! Tena kelvin unayaregesha tena ati ulkuwa hujamalizana nae😂😂😂😂😂😂😂

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq Рік тому +1

    Yaan uyu Kelvin huaga halali kusudi vooh😂😂😂😂😂

  • @maryd1538
    @maryd1538 Рік тому +2

    😂😂😂😂kelvin ww wanivunza mbav much love from keny❤❤❤

  • @chengoswaleh8453
    @chengoswaleh8453 Рік тому

    😂😂😂 nakubali movie Safi hiyo hongereni hafu shem naye Yuko vizuuri walai❤

  • @PRINCELUGHO
    @PRINCELUGHO Рік тому +1

    Kelvin Leo hajazimia katikati ya vita😅😅😅😅

  • @jemimahorina1265
    @jemimahorina1265 Рік тому +1

    Walai Kevin you're crazy eti wewe na shemeji amkua mumemaliza saa mrudi kwa bed mumalize😂😂😂😂😂😂

  • @DJPRINCE01-tg5qh
    @DJPRINCE01-tg5qh Рік тому +2

    😂😂Shemeji hakuumaliza upwiru Manina 😂😂

  • @metrineokola7730
    @metrineokola7730 Рік тому +1

    😂😂😂ati shemeji ulikuwa hujamalisana naye vizuri twende tukamalizane😂😂waa kelvin

  • @mkasykhamisi2587
    @mkasykhamisi2587 4 місяці тому

    Kevin jameni 😂😂😂😂😂😂😂 nakupenda sana kaka ❤❤❤

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 7 місяців тому +1

    😂😂😂eti haunisikilie huruma mtoto wa mwanamke mwenzio wew😂😂😂

  • @DafinaGhambi-wn1gy
    @DafinaGhambi-wn1gy Рік тому

    Leo mumejitahidi handsome iko wap jaman hiyo tumeshaiona tuleteeni Mrs handsome

  • @velmaimali-m3z
    @velmaimali-m3z Місяць тому

    EE nyanya nyingi na sambusa Kelvin 😂😂😂😂😂😂

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri Рік тому +4

    Much Love From Rwanda And Burundi Team Kelvin Nawapenda Sana Kbx Tena San 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Yani Wow Mwanaum Unataka Kutumariza Mbavu Zetu Jameni Kelvin 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FaithAbedi
    @FaithAbedi Рік тому

    😂😅mulikuwa hamuja malizana na shemeji yako vizuri bado round nyingine🚶🏃🏃🏃🏃 follow you from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Congo

  • @ChristineRumba
    @ChristineRumba Рік тому +3

    Nimewahi leo from saudi bt mi ni mkenya

  • @MariamRashidi-n7u
    @MariamRashidi-n7u Рік тому

    Wow🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kelvin umenifura isha kwel kbs ❤❤❤

  • @Mahratshafi-jn3tq
    @Mahratshafi-jn3tq Рік тому +2

    Hayaaaa tushamaliza hiii naomba mtuleteee Mr handsome😂

  • @JustinaMumbua-j2k
    @JustinaMumbua-j2k Рік тому

    😂😂😂😂 hii kelvin ni roho mtaka vitu sio roho mtakatifu aki unachekesha alfu samosa z nyama hii n more 🔥 fire much lv from Kenya 🇰🇪

  • @محمدالعطوي-ش5ه
    @محمدالعطوي-ش5ه Рік тому

    😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅urudi na mkeo umalizie kelvin😅😅😅😅😅😅😅😅aki umenibariki😅😅😅❤🎉🎉🎉🎉

  • @HadijaOmary-xv6kd
    @HadijaOmary-xv6kd Рік тому +1

    Kelvin we noma na nusu

  • @RacheleMitima
    @RacheleMitima 6 місяців тому

    Powa sana Kelvin unatupa mafudisho yaliomo

  • @Janethbebina
    @Janethbebina 8 місяців тому +1

    😂😂😂😂 kelvini we Ata huofii kuachwa 😄😂unataka raund two😂😂😂 mmmmh,,,Aya bhana

  • @laylame8121
    @laylame8121 Рік тому +1

    ❤nifunzo hilo

  • @djsamsammie
    @djsamsammie Рік тому +2

    Wa kwanza leooooo❤❤❤❤❤

  • @ibrahimumsangi4420
    @ibrahimumsangi4420 5 місяців тому

    Sema hapa jamaa kazingua kashindwa kusimama kama mwanaume mpka anaita majiran kweli

  • @IzkiOamn
    @IzkiOamn Рік тому +1

    Yaan umefumaniwa halaf bado unakuwa na upiruu kwel jmn😂😂😢😂et sikumalizia😅😢

  • @azizambise
    @azizambise Рік тому

    Daaaa aisee Kelvin wew eti hamjamalizana na shemeji vizur 😂😂😂

  • @mwendemutua3063
    @mwendemutua3063 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂akiau mungu kelvin dah we mnoma sana,,show nzuri sana penda nyinyi sana❤❤❤

  • @patientluliba
    @patientluliba 8 місяців тому

    Kelvin ni hatari sana apa penda afike mpaka mwisho amaliziye kabsa.

  • @YohanaHosea-c4k
    @YohanaHosea-c4k Рік тому +2

    Nilisubiri kwa hamu sana

  • @maimunachuma7994
    @maimunachuma7994 Рік тому

    kelvin sambusa zitakuuwa jamani 😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @linetthoya6844
    @linetthoya6844 Рік тому

    😂😂😂Kelvin aki wew waah mafunzo yako nipoa sana

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Рік тому

    😹😹😹😹😹😹 kelvin bhana mara choon mara hujamaliza daaah hatar san😂😂😂😂😂

  • @Mwanamkasi-s5e
    @Mwanamkasi-s5e Рік тому

    😅😅😅kelvin ety mm n shemeji tulikua hatujamliza😅😅😅😅weee much ❤❤❤❤you brother,ety nlioteshwa n roho mtakatifu😅😅😅😅😅,yani nkiangalia nacheka mpka bc kiukweli ukiwa n stress zinapungua kw hii movie aky😅😅😅😅kelvin jamni apa ww kiboko😅😅😅❤❤❤❤so much donta 📺 🖥, kelele moja kw kelvin wakenya wenzangu

  • @YalediFaraja-m4e
    @YalediFaraja-m4e 10 місяців тому

    Kelvin kiboko umeweza hata mwingine asingelivumilia. Donta TV juu.

  • @TabizaDonard
    @TabizaDonard 4 місяці тому

    Kaka uko sawa aliyataka mwenyewe kula chuma hicho

  • @NicletteKh-q8j
    @NicletteKh-q8j Рік тому

    Na mimi vile niko congo nawapendeni sana jmn ❤

  • @RachelKisena-oq7bu
    @RachelKisena-oq7bu Рік тому

    😂😂😂😂 umeoteshwa maono na roho Mtakatifu khaaaa nakupenda mnyamwezi wangu

  • @MariamuKaniki-hf9iw
    @MariamuKaniki-hf9iw Рік тому

    Kelvin mkorof sana nimecheka Kwa saut sana

  • @Emerson99-o6l
    @Emerson99-o6l Рік тому

    Sambusa ya nyamaa with love kelvn😂😂😂