Baba Mzee Rajabu Kajungo nimeamua Kiume kuikimbia nchi yangu Tanzania yenye naivuta subira Baba najua siku itafika tutaonana tena ila bima lee aiko tena Tanzania ilikuwa kila weekend ama siku za sikuu Baba ulikuwa unatuchukua kwenda kuburudika Bima lee
Thankx sana sana yaani.
Well done in deed. Wazee wamefaidi sio mchezo, ujumbe mahsusi na hawashiki flaiz ya suruali
Niwatakie maisha mema
Huu ndiyo muziki ...siyo uhuni was siku hizi ...
BIMA Lee magneto wakipinga Omax Bar pale Keko Mwanga ilikuwa balaa Sana!
Bima Lee, hapo nakumbuka muleba bar pale mabibo mwisho. Hatari!!
Miaka gani ndugu yangu sababu Mimi mwenyewe nakumbuka Baba yangu alikuwa akituchukua siku za sikukuu or weekend kwenda Mabibo Muleba bar
Wimbo huu ni mwendelezo wa madongo Dede akimjibu bichuka
Mwana Simba si wachura! Si maneno yangu Bali ya nguli, jabali, mwamba wa muziki Shabaani Dede! R.I.P
Fantastic music, Bongo ya ukweli wakati huo
Nawasikia Shabani Dede, Jery Nashon
old is gold daily .....any way it's make me to remember my father.......
Unajua dede aliimba hii nyimbo kwa kujibu vita ya maneno ya alipo toka yaani walikuwa wanamsema kuwa hawezi kufanikiwa akiwa uko .
ee mungu nisikiapo hukosa hata hamu na hi dunia
Huu wimbo subira, siyo bima orchera tu. Mtindo uliitwa magnet tingisha 84. bama. Ile ya zamani ya Alina Roy bashekanako iliitwa orchetra bima Lee.
Aisee siku hazigandi nakumbuka mzee Wang
Mwana wa simba siwa chura namashaka huzunguka leo kwangu kesho kwako
Dunia duara Hilo. Kitambo Shabani dede kamchape (RIP)
ngoma za kale kali sana
kuna ndugu yangu m1 ndiyo aliyopata matatizo ya akili, Eddie
Baba Mzee Rajabu Kajungo nimeamua Kiume kuikimbia nchi yangu Tanzania yenye naivuta subira Baba najua siku itafika tutaonana tena ila bima lee aiko tena Tanzania ilikuwa kila weekend ama siku za sikuu Baba ulikuwa unatuchukua kwenda kuburudika Bima lee
Hii ndio miziki yetu wahenga
hapana eddie kuna ndugu yangu m1 nilikuwa nae wakati huu, nikiisikia hii ngoma huwa namkumbuka
Duh muziki wa nguvu
Kwa kweli inatisha!naona kama amepazwa!
Kiboko yao!!!!
Walikua wanamziki wa karina
Muziki wa maana!
Binafisi hizi nyimbo nkiwa home nafanya kazi huku naskiliza hata kula nasahau
old is gold daily
super motisha shabani Dede fundi
Hiyo sax ni ya nani Ally rashidi?
Unasema huyu jamaa alipata matatizo ya akili?
old is gold daily .any way it's make me to remember my father..
old is gold daily .....any way it's make me to remember my father.......
old is gold daily .any way it's make me to remember my father..
Bx