Pesa zinasumbua! Duuh! Wimbo mzuri Sana! Bima Lee wana nyimbo nzuri Sana! Oooh! Lalala! Nashika moyo kila nikisia sauti ya Jerry Nashon Dudumizi. R.I.P Mwamba . Nakuombea kheri huko uliko
Jerry aliimba kwa hisia kali sana,mpiga saxophone pia alipiga kwa ufundi sana plus hisia,Kamalee pale mwishoni alitenda haki sana ktk solo gitaa.Hakika wote walikua mahiri sana.R.I.P Jerry.
Kwakweli nisikiapo nyimbo hizi machozi yananitoka. Vyombo na ujumbe ni sawiya kabisa. Kweli watu waliimba zikaimbika. Mungu warehemu waliotuburudisha enzi zetu. Ameen
nashon alikuwa na namna ya kipekee kabisa ya uimbaji nyimbo za hisia inaniumiza sana aliposema usinione hivi Mimi ni masikini sana ni wachache sana ambao wanawaeleza ukweli wapenzi wao
Marehemu Jerry "Dudumizi" Nashon alikuwa akiimba kwa sauti nzito (bass) ya chini yenye mawimbi, mwanamuziki ambaye anaweza kuimba sauti ya Jerry kwa ufasaha ni Badi Bakule "Jogoo la Mjini" na Marehemu Muhidin Gurumo alikuwa akiimba sauti nzito (bass) ya juu, mwanamuziki anayeweza kuimba sauti ya Gurumo kwa usahihi ni Abdallah Hemba wa Sikinde ngoma ya Ukae
"Dudumizi" Jerry Nashon... is trying to please the love of his heart to be patient n calm... he is still working hard finding enough money to make a better life for them all... the whole Dar es Salaam is witnessing him on the way he is searching money everywhere... old is gold the song name is Pesa Zanisumbua (simple translation is Money is disturbing me)
Dare Salaam yote inaniona ninavyohainga kutafuta pesa** vumilia Mamaa pesa ntapata” baada ya kuongea maneno hayo Jerry hakuona maneno mengine yatakayomridhisha mpenzi wake Mwamvua akatumia maneno ya kijaruo kuwa Asubiri kidogo arekebishe maisha yake* Jerry Aliimba Huku Akitoa machozi
Anu Saady kwa wakat huo hao ndio walikuwa wapulizaji mahili na wenye majina kulingana na bendi zao ukiitaji kujifundisha kwenye muziki muone mzee john kitime& benovilla Anthony
Jerry Nashon aliimba kijaluo'' akimsihii wake kipenzi asubiri alekebishe mambo'' pesa atapata tu, maana mpenzi alikuwa anataka pesa Jerry hali haimruhusu'' aliimba kwa hisia kali kwa kijaluo, na inasemekana maneno yale yalimtoka tu'' wala hayakuwepo kwenye maandishi'' ni Hisia nzito na Jerry alitoa machozi aliposema maneno hayo ya kijaluo''''
Naelewa kiajluo lugha yangu ya mama hapa Kenya. Wakati nisikia hii wimbo nilishangaa kwani sikuweza jua Ni vipi aliimba kijaluo. Rita matin mondo alos ngima wa mama. Vumilia kidogo nitengeneza maisha yangu. Ni mzito.
Nina uhakika kabisa kaka Anthony kuwa hi ni remix.original yake niliwahi kusikiliza mara nyingi sana kwenye kipindi cha ombi lako. Ilikuwa na mashairi inayotofautiana kidogo na hii remix. Loved the song so much.Nyimbo karibia zote za Jerry Nahshon zilikuws moto ws kuotea mbali
ajali ya magomeni mapipa ambayo aliipata jerry nashon aliyemtoa kwenye gari ni kaka yangu ambae alikuwa kituo cha magomeni police wakati jerry anapata ajali! broo huwa akinihadithia naumia sana! pumzika kwa amani dudumizi!
Ngoma safi kaka Eddie.ila ukipata original itakuwa poa tu.hii ilikuwa ni mojawapo ya nyimbo za Dudumizi niliyotokea kupenda na mpaka kesho ni dhahabu.Dudumizi aliimba hapa kwa hisia kali sana
Eddie Nassor Hata mimi sijamulewa Erick! - Hebu tueleze ina maana wimbo ni remix au? - Hizi ni nyimbo za mwisho za Jerry Nashon 'Dudumizi' akiwa na Bima Lee kabla hajarejea Vijana Jazz Band alikoanzia, ambako nako hakukaa sana badala yake alimua kuimba kivyake 'Zing-Zong'. Kuna wimbo mmoja aliimba uitwao 'maisha ni mapambano' ni kama alikuwa anajitabiria mauti yake - kwani muda si mrefu alikuja kufariki kufuatilia mfullulizo ajali zilikuwa zinamuandama
Jerry Nashon alikuwa muimbaji Mahiri bwana acha mchezo. sikiliza sauti yake ilivyo wavjc. Lakini nae Patrick Kamale kachezea solo si kawaida. Sax la Ally Rashid limekomaa. sasa usisahau kusikiliza vizuri rythm inavyosikitika. Jamani watanzania tuàmke kurudisha muziki wa Tanzania vinginevyo Bongo fleva watatumaliza tuwe hatuna muziki wa Tanzania. sasa hivi zimebaki bendi mbuli tu Msondo ngoma na Sikinde.
Hizi ni nyimbo za mwisho za Jerry Nashon 'Dudumizi' akiwa na Bima Lee kabla hajarejea Vijana Jazz Band alikoanzia, ambako nako hakukaa sana badala yake alimua kuimba kivyake 'Zing-Zong'. Kuna wimbo mmoja aliimba uitwao 'maisha ni mapambano' ni kama alikuwa anajitabiria mauti yake - kwani muda si mrefu alikuja kufariki kufuatilia mfullulizo ajali zilikuwa zinamuandama
'Not on spot death accident' - kifupi ni kwamba alikuwa involved kwenye ajali pale magomeni mapipa ambayo ilimsababaishia madhara kwenye kichwa, tokea hapo alikuwa anaugulia kichwa mpaka alipofariki. Lakini kabla ya hapo aliwahi pata ajali ya piki piki ndio maana nilitumia neno 'AJALI KUMUANDAMA'
Swali Anthony, Je Ni Nani aliyepiga sax Kwenye nyimbo mbili za King Kiki double O. Nono na Mimi msafiri Bado Nipo njiani part 2? Nijulishe jibaba sababu ile sax niliipenda Sana especially jinsi inavyonunguninka
Pesa zinasumbua! Duuh! Wimbo mzuri Sana! Bima Lee wana nyimbo nzuri Sana! Oooh! Lalala! Nashika moyo kila nikisia sauti ya Jerry Nashon Dudumizi. R.I.P Mwamba . Nakuombea kheri huko uliko
Vyombo vimepigwa kwa ustadi mkubwa.
Hiyo solo bass saxaphone ni balaa kubwa.ilikuwa kazi nzuri sana.
Eid fitr 2022 may 3
Nafunga macho nanesa kichwa kwa utulivuuu
Jerry aliimba kwa hisia kali sana,mpiga saxophone pia alipiga kwa ufundi sana plus hisia,Kamalee pale mwishoni alitenda haki sana ktk solo gitaa.Hakika wote walikua mahiri sana.R.I.P Jerry.
Kwakweli nisikiapo nyimbo hizi machozi yananitoka. Vyombo na ujumbe ni sawiya kabisa. Kweli watu waliimba zikaimbika. Mungu warehemu waliotuburudisha enzi zetu. Ameen
Pole sana Marehemu Jerry Nashon pesa bado zinasumbua sana hata huku uliotuacha bado zinatusumbua. Mungu akuweke pema peponi.
nashon alikuwa na namna ya kipekee kabisa ya uimbaji nyimbo za hisia inaniumiza sana aliposema usinione hivi Mimi ni masikini sana ni wachache sana ambao wanawaeleza ukweli wapenzi wao
Imetulia sanaaa na ni maneno mazima sanaa kwa mtu muelewaaa
Abdallah asante nimeona na nimeelewa kuhusu kifo chake inauma sana, kama kawaida atakuwa kafa maskini hakufaidi kazi zake, lala salama Jerry Nashon
Alifariki mwaka gani nipe story fupi
Subiria kidogo family kikuta, pesa nazo zanisumbua, hali hainiruhus mamaa
One of the best musicians of his time....... R. I. P jerry Nashon, dudumizi
my favorite piece of saxophone of all time. Mimi mtu wa King Enoch Lakini hii saxophone ya Huyu mtu Nimemkubali
Anu Saady huyu ni Ally Rashid huku mbele alipigia msondo
@@matumbistanmikau2895 sio Mafumu huyu?
Marehemu Jerry "Dudumizi" Nashon alikuwa akiimba kwa sauti nzito (bass) ya chini yenye mawimbi, mwanamuziki ambaye anaweza kuimba sauti ya Jerry kwa ufasaha ni Badi Bakule "Jogoo la Mjini" na Marehemu Muhidin Gurumo alikuwa akiimba sauti nzito (bass) ya juu, mwanamuziki anayeweza kuimba sauti ya Gurumo kwa usahihi ni Abdallah Hemba wa Sikinde ngoma ya Ukae
@@mohamedmagongo9348kabisa kabisa
nawakumbuka Fikira Mkandabwe alikuwa shabiki was Bima Lee mbaya na Dada mmoja mrembo kweli anaitwa Mwamvua Ungando. maisha yalikuwa raha tupu.
Bado wako hai wadada
Haichoshi kusikiliza asante kwa kila kitu dudumizi
Kipind muzik ulipokuwa ni muzik kwel kwel
2022 still listening to the music
Tutakukumbuka daima Jerry Nashon dudumizi
Jerry Nashon duduminzi katika uhai wake lala pema peponi Ameen,tunakumiss
Kwa kweli enzi hizo Bima Lee ilikua inatisha Hapa Dede,Dudumizi,Patrick Kamalee Wacha Kabisa
"Dudumizi" Jerry Nashon... is trying to please the love of his heart to be patient n calm... he is still working hard finding enough money to make a better life for them all... the whole Dar es Salaam is witnessing him on the way he is searching money everywhere... old is gold the song name is Pesa Zanisumbua (simple translation is Money is disturbing me)
😂😂😂 umeniua na translation hapo mwishoni
Dare Salaam yote inaniona ninavyohainga kutafuta pesa** vumilia Mamaa pesa ntapata” baada ya kuongea maneno hayo Jerry hakuona maneno mengine yatakayomridhisha mpenzi wake Mwamvua akatumia maneno ya kijaruo kuwa Asubiri kidogo arekebishe maisha yake* Jerry Aliimba Huku Akitoa machozi
R.I.P. sisi sote niwa mwenyez MUNGU nakwake tutarejea
he is one of the best.
Ni nyimbo bora kwa maisha yng yote dudumizi kanisuuuza roho yng
true!
Jeri nashen duumizi
Wimbo mnono haswa
Hama kweri hapa Jaluo na huyo Ally Rashidi waliutengeneza mziki huu hongereni mungu akupumzishe mahala pema jerry nashoon(Duduminzi) na huyo mzee Ally
najma saleh
najma saleh Nipe top 5 yako ya wale wapiga saxophone wa wakati ule. wangu King Enoch, Rashid Ally, Mafumu, Twahir na Lendi
Anu Saady kwa wakat huo hao ndio walikuwa wapulizaji mahili na wenye majina kulingana na bendi zao ukiitaji kujifundisha kwenye muziki muone mzee john kitime& benovilla Anthony
Anu Saady huyo anaitwa Ally Rashidi sio Rashid Ally
Asante wangu
Sikiliza Bass Guitar kwa makini . Huyo ni Suleiman Mwanyiro. Ilikuwa kazi. miziki hii itadumu bila kwisha utamu wake.
Raha tupu.Huu wimbo wanitoaga chozi
Rita Matin Mond Alos Ngima Na Mama....
Jerry Nashon aliimba kijaluo'' akimsihii wake kipenzi asubiri alekebishe mambo'' pesa atapata tu, maana mpenzi alikuwa anataka pesa Jerry hali haimruhusu'' aliimba kwa hisia kali kwa kijaluo, na inasemekana maneno yale yalimtoka tu'' wala hayakuwepo kwenye maandishi'' ni Hisia nzito na Jerry alitoa machozi aliposema maneno hayo ya kijaluo''''
Good!
Naelewa kiajluo lugha yangu ya mama hapa Kenya. Wakati nisikia hii wimbo nilishangaa kwani sikuweza jua Ni vipi aliimba kijaluo. Rita matin mondo alos ngima wa mama. Vumilia kidogo nitengeneza maisha yangu. Ni mzito.
Naomba ile nyimbo ya Paul Vitange ya Mk Group " Penzi la mashaka"
Pesa zanisumbu au mama mwavua kiu kweli mm at sijuagi najikutaga machozi yametoka yenyewe at sielewi kwa nn
1987 or 1988 Yakumbusha mengi, wacha tu..
Those golden days bwana!!!
Hakika kaka
@@eddienassor480 hongera Mungu akupe Afya kaka mchango wako unaoneka unapambanania Music wa. Dance
jakateng dudumizi en jaluo mawuok tz. thumbege mit te
Nakumbuka enzi hizo nikiwa tambaza sec
Pumzika Kwa Amani Mwimbaji mahiri Dudumizi.
Mahiri kweli kweli
Thats good I like it
Naomba wimbo alioimba Jerry nashon unaitwa kumetangazwa mashindano ya kutikisa mbuyu
Pesa zanisumbua,duh hadi leo tunazidi kuzisumbukia pesa.Jerry Nashon umeondoka ila pesa bado hatujazimiliki kihivyo!
Sauti na mua
Nina uhakika kabisa kaka Anthony kuwa hi ni remix.original yake niliwahi kusikiliza mara nyingi sana kwenye kipindi cha ombi lako.
Ilikuwa na mashairi inayotofautiana kidogo na hii remix.
Loved the song so much.Nyimbo karibia zote za Jerry Nahshon zilikuws moto ws kuotea mbali
erick hii ndiyo yenyewe kk kabisa
nami nakubaliana hii ndio original
Hii ndiyo Original kaka Eric
Muziki wa kwetu,
Mama mwamvua
ajali ya magomeni mapipa ambayo aliipata jerry nashon aliyemtoa kwenye gari ni kaka yangu ambae alikuwa kituo cha magomeni police wakati jerry anapata ajali! broo huwa akinihadithia naumia sana! pumzika kwa amani dudumizi!
He is my blood father
very sad indeed!!
Phini Mars ... En Owadu adieri????
Abuu Chondo duh umenisisimua kwa habari hii.Mimi huwa namzimikia sana Jerry Nashon(RIP). Naomba contacts zako please.niandikie meseji 0713480670
hey Phini Mars nicheki 0713480670
Ngoma safi kaka Eddie.ila ukipata original itakuwa poa tu.hii ilikuwa ni mojawapo ya nyimbo za Dudumizi niliyotokea kupenda na mpaka kesho ni dhahabu.Dudumizi aliimba hapa kwa hisia kali sana
Unasema hii sio original erick??
Eddie Nassor
Hata mimi sijamulewa Erick! - Hebu tueleze ina maana wimbo ni remix au? - Hizi ni nyimbo za mwisho za Jerry Nashon 'Dudumizi' akiwa na Bima Lee kabla hajarejea Vijana Jazz Band alikoanzia, ambako nako hakukaa sana badala yake alimua kuimba kivyake 'Zing-Zong'. Kuna wimbo mmoja aliimba uitwao 'maisha ni mapambano' ni kama alikuwa anajitabiria mauti yake - kwani muda si mrefu alikuja kufariki kufuatilia mfullulizo ajali zilikuwa zinamuandama
Anthony,tusubiri jibu la Erick tuone amekusudia kusema nini!
+Anthony Kisondella nasikia anaimba kijaluo lugha yangu. ilikuwa aje kwani nafikiri ni mtanzania huyo.
nakubali miye pia
jerry nashoni ni Baba yangu ningependa kujua ni kwa njia gani nitaweza kuisimamia kazi zake.
hELLO Phini Mars Jerry Nashon ni baba yako kweli au?
anza na TBC aka RTD (Radio Tanzania Dar es salaam) , they have the biggest collections of all songs recorded in Tanzania.
nauliza wandugu, limbo huu Bass gita ilipigwa na gani.?
Nnadhani ni "Compyuta'' hiyo (yaani Sleman Mwanyiro, sina hakika sana!)
@@jacksonzebedee4668 Upo sahihi. Mwanyiro(RIP)
alilicharaza bass kiufundi mithili ya mtu akung'utae goma kubwa la mdumange.
Yaaa ni computer Mwanyiro Rip
Nawaomba jamani nahitaji kujua kifo cha jamaa Dudumizi ilikuwaje?
Jerry Nashon alikuwa muimbaji Mahiri bwana acha mchezo. sikiliza sauti yake ilivyo wavjc. Lakini nae Patrick Kamale kachezea solo si kawaida. Sax la Ally Rashid limekomaa. sasa usisahau kusikiliza vizuri rythm inavyosikitika. Jamani watanzania tuàmke kurudisha muziki wa Tanzania vinginevyo Bongo fleva watatumaliza tuwe hatuna muziki wa Tanzania. sasa hivi zimebaki bendi mbuli tu Msondo ngoma na Sikinde.
Hizi ni nyimbo za mwisho za Jerry Nashon 'Dudumizi' akiwa na Bima Lee kabla hajarejea Vijana Jazz Band alikoanzia, ambako nako hakukaa sana badala yake alimua kuimba kivyake 'Zing-Zong'. Kuna wimbo mmoja aliimba uitwao 'maisha ni mapambano' ni kama alikuwa anajitabiria mauti yake - kwani muda si mrefu alikuja kufariki kufuatilia mfullulizo ajali zilikuwa zinamuandama
Unasema alikufa kwa ajali ya gari eh?
'Not on spot death accident' - kifupi ni kwamba alikuwa involved kwenye ajali pale magomeni mapipa ambayo ilimsababaishia madhara kwenye kichwa, tokea hapo alikuwa anaugulia kichwa mpaka alipofariki. Lakini kabla ya hapo aliwahi pata ajali ya piki piki ndio maana nilitumia neno 'AJALI KUMUANDAMA'
Ahsante ndugu.Nimeelewa
Swali Anthony, Je Ni Nani aliyepiga sax Kwenye nyimbo mbili za King Kiki double O. Nono na Mimi msafiri Bado Nipo njiani part 2? Nijulishe jibaba sababu ile sax niliipenda Sana especially jinsi inavyonunguninka
❤❤❤
Muziki wa kilo nyingi mzuri wa Dudumizi.
Jerry Nashon oyee
Eti ilo Trumpet ni la mafumu bilal mbombenga?
Nafikiri atakuwa yeye.Maana huyu jamaa na Twahili Ali wana upigaji wa peke yao!
Nafikiri unazungumzia hilo Sax. Huyo ni Marehemu Ally Rashid.
Jay Seif ni kweri huyo alikuwa mzee Ally Rashidi
Yes ndio mwenyewe.
Aliziba pengo la Hemed Maneti Sana alimtendea haki Maneti
Hakika