Wimbo wa Juwata Jazz, unaitwa Kimwaga au Bernadeta, utunzi wa Marehemu Shaban Dede

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @yusufumatumbo6865
    @yusufumatumbo6865 9 місяців тому +2

    This song shows how this generation of Tanzanian musicians were so talented.

    • @bantutanzania9449
      @bantutanzania9449  9 місяців тому

      It is true that the musicians of the past were talented in singing and using instruments

  • @yusufumatumbo6865
    @yusufumatumbo6865 2 місяці тому

    Shaban Dede, one of the best vocalists of Tanzania.

  • @mariammagongo
    @mariammagongo Рік тому +2

    Wimbo unaitwa Bernadeta utunzi wa Marehemu Shabani Dede Kamchape "Super Motisha" akishirikiana kuimba na Marehemu Moshi "TX" William, Suleimani Mbwembwe, Juma Akida. Solo Marehemu Saidi "Dokta" Mabera.

  • @rubuyeorganicfarming4072
    @rubuyeorganicfarming4072 4 роки тому +1

    Ni moja ya nyimbo zinazosisimua mpaka keshokutwaaa!!

    • @bantutanzania9449
      @bantutanzania9449  3 роки тому

      NI kweli kabisa, kilichoimbwa kitaendelea kuwepo katika jamii yetu miaka yote..

    • @yusufumatumbo6865
      @yusufumatumbo6865 6 місяців тому

      Kweli kabisa. Wimbo una miaka kadhaa lakini bado una moto mkali.

    • @yusufumatumbo6865
      @yusufumatumbo6865 4 місяці тому

      Kweli kabisa. Wimbo ni kama umefyatuliwa jana.

  • @BARAKACHILOLETI
    @BARAKACHILOLETI 5 місяців тому

    Da nakumbuka zamani Santa

  • @frankraymondmazengo9942
    @frankraymondmazengo9942 3 місяці тому

    Tumba kapiga nani?