Wanafanya kazi comfortable sana! wanalipwa kupitia hela zetu. We play our part, why aren’t they playing theirs? Au kisa kazi zao guaranteed hakuna kufukuzwa? Good Job Mh Biteko. 👏🏽
Mimi kama mtanzania. Nakuomba waziri... Mwambie Raisi atengeneze Shelia mpya ya watu kuajiriwa kwa mkataba . Mwaka mmoja -or mitatu. So ili aongezewe mkataba atapimwa kwa utendaji kazi wake wa mwanzo. 🙏🙏🙏🙏🙏
TANESCO kuna utamaduni mbaya sana, kazi ni kwa mazoea sana na wanajiona ni Miungu mtu! Rushwa ni kubwa mno! Fumueni mfumo mzima wa TANESCO ili tuanze upya kabisa!
Sisi bado tupo kwenye siasa na umeme ni kwa watanzania wote bila kujali chama dini kabila au mahali anapotoka mtu kwa io ili siasa zisiendelee ni kuwafuta kazi wale wanaoshindwa kuwajibika kwa nafasi zao basi io ndio dawa vinginevyo itakua siasa siku zote.
Piga chini hao majambazi hao wamezoea weka wengine hao pumbavu wanajitajirisha wenyewe wanatuibia pesa ukipiga sim hawapokei wasikuzoe kabisa wapumbavu hao washa nisumbua sana
Na hata hao mafundi wa tanesco wakifika ni wabishi wanakuzungusha wee unaripoti tatizo la mita umeme unalika sana wanakuja badala ya kufungua mita waangalie wanakupatia tu maneno wanaondoka
Mheshimiwa unapiga simu wanakuwekea mziki nusu saa nzima unasubiri hawapokei,Bora huduma kwa mteja ya mkoa wanapokea haraka na kufanyia KAZI tatizo Niko Arusha
Aweso nae kama angekuwa anafanya hivi ingekuwa vizuri sana! Hatuna maji mwezi wa sita sasa, mtaa wa tatu wanamaji kibao, unapiga simu DAWASA ni porojo tu!! Hao tanesco ni bora mara 1000 ya DAWASA.
Nilipata itilafu. Nilipiga simu kila mara napewa namba mpya ya taarifa. Siku tatu mfululizo majibu ilikuwa mafundi wanakuja. Nikikaa baada ya muda napokea sms tatizo lako limeshughulikiwa. Mafundi hawakuwahi kuja mpaka leo. Hiyo ndiyo Tanesco. Nilishawachoka Tanesco sikio nlla kufa hilo.
Yan akimaliza Mama Samia 2030 unatufaa mkuu kwa kijiti hiki au Uwaziri mkuu unafaa Chief unahekima Sana na unaona matatizo ya wananchi Mungu atujalie wewe 2030
Hizo ni siasatu hakuna kitakacho endelea hapo ni upigaji tu hapo sisi huku kwetu umeme ukikaa cku 3 bila kukatika tunahisi wanatutega upuuzi mtupu yani
Umwezo mdogo WA utendaji Tanzania unatokana na kufanya kazi kwa mazowea ukosefu WA kuwa na elimu sahihi ya problems solving jambo hili haliitaji bajet wala nini usimamizi sahihi WA customer care Tu Kwanza Mzee Anza kuwapa hapo wafanyakazi task na targets zakufukia kwa siku wawe kila mtu anahudumia wateja kadhaa kulingana na simu zilizowakilisha kwa siku. Acheni kuwa na akiliza darasani tu
Nchi yetu ina watu wa kutuvusha sema bado hawajapewa nafasi hawa Chadema wanapiga kelele za chura mama Apumzike alafu nafasi ya Urais wamsimamishe Mh Majaliwa Ushindi mapema sana Hana mpinzani Majaliwa anakubarika Kila eneo
Kabisa ndugu na Tunaitaji viongozi wanaoweza kutuvusha siyo wa maneno matupu CCM Kuna Watu wanaweza kuwasaidia Wananchi sema bado hawajapata nafasi mfano Mh Majaliwa, Mh Makonda na huyu Biteko Wakipewa nafasi ya Urais CCM wakitaka uchaguzi huu isitumike nguvu kubwa Wampe nafasi Mh Majaliwa Ushindi mapema
Bado kero tunazopeleka kwako hazitatuliwi ikiwemo.transformer inayosumbua Kila wkt dsm eneo la Ilala Magole halina uwezo Kila wkt fuse halina suluhisho
Mliwaambia mtawanong'oneza mapungufu yao? Eti kiongozi kuulizwa majukumu yake mbele ya kamera ni vibaya. Hayo mnayojionea ndio matokeo ya nadharia yenu. Kiongozi eti mpaka apewe maagizo bila hivyo hakuna kitu.Wakati wa kubembelezana ulishapita.Napendekeza nafasi nyeti kama hizo zitangazwe wenye sifa waombe kisha wachuane kwenye usaili. Kuteuana kwa heshima ndio matokeo ya huduma mbovu. Utendaji kazi wa baiskeli ambao bila kunyonga pedeli haiendi umepitwa na wakati jamani.Ukweli utabaki kuwa ukweli.
TANESCO MKUU HAO BUSINESS AS USUAL. UNTIL YOU SPOKE ENGLISH PROMPTLY THEY WILL ATTEND IT. JUST CALL # 2 BY ENGLISH THEN PROMPTLY WILL BE ATTENDED. OTHERWISE LIKE MYSELF I USED TO DRIVE TO THEIR OFFICE AND IT WAS AROUND 2300HRS. SIMPLY NEVER PICK UP MY PHONE. SOMETIMES YOU FIND THEIR GRADUATES. SO TERRIBLE. GUY STOP THIS STUFF OF BUSINESS AS USUAL

SAFI SANA DR BITEKO , TENESCO NI MFUPA ULIO MSHINDA FISI , WAPEWE SUMA JKT ..
Safi sana Dr biteko wew unatufaa sana
Kiongozi wangu biteko akika mungu akulinde Sana ktk teuzi bola za mama biteko makonda Asante mama awa watu ni nulu ya badaye
Fukuza wote wanaohitaji ajira ni wengi nchi hii.
❤Coment
hata ukipelekwa wewe bado madudu yatakuwepo hata wafukuzwe wote waje wapya
@@IkoUwasi-it6qymbona HUELEWEKI au mchawi Nini..wewe!!!!!!!!
Afadhali tigo huduma kwa wateja kuliko airtel hawapokei kbs simu za wateja. Wabadilike jamani
Asante sana Mh Biteko❤
Watembelee huduma kwa wateja Tigo, watapata exposure maana ya huduma kwa wateja
Kazi nzuri
Anza na mkuruenzi
Mweshimiwa mungu akulinde tunahitaji fiongoxi kama wewe
Huyu jama namkubali sana Allah amzidishie anajua anacho fanya
Nice Job MHE Customer service ya TANESCO Mbovu
Kazi nzuri mh Biteko
Fukuza kazi mh.naibu waziri mkuu heshima ilud
Yawning mheshimiwa tusaidie sana wanakata hawajali friji ina vitu vinaoza
Great Sir
Duh kumbe Hayati Magufuli alifundisha wengi Akumbukwe J.P.M
Doto nakukubali sana. Huu ni ujinga kabisa. Hawajui wanalipwa kwa kodi zetu.
Kwa kweli tanesco ni tatizo wanakata umeme Kila wakati, Kwa kifupi hawajali kabisaa
Unawapigia mpaka simu inapata moto wapuuzi sna
Safi Doctor Hicho kitengo Cha huduma kwa wateja ajilini kutoka private sector...hao waandisi pelekeni site
HAPO HAKUNA KITU NI MRADI WA ULAJI.NJOO TUKUAMBIE
Walioajiriwa wengi hapo ni waliosoma mass communication, na veta
Yaani namtafuta huyu kaka au waziri ninamengi ya kuongea sijui nitampata wapi hata namba yake 2 nimtumie haya madudu jamani
Ningekua kwenye jimbo lako. Ningekwambie uniletee sheet ya kupigia kura ni tik. Niwe wa kwanza kukuchagua.
Mh hongera sana mkuu tusaidie mungu akujalie moyo wa kutumikia watu.
TANESCO kuna utamaduni mbaya sana, kazi ni kwa mazoea sana na wanajiona ni Miungu mtu! Rushwa ni kubwa mno! Fumueni mfumo mzima wa TANESCO ili tuanze upya kabisa!
Wanafanya kazi kwa mazoea
Sarakasi hizi za uchaguzi tu
Kina Magufuli bado wapo asee nimefurahi sana
Kuna dada wa huduma kwa wateja alijifanya hanisikii wakati tunaelewana alaf akanikatia simu alaf anaongea kijeuri.
Wanamajibu yaa ajabu wamba haoo
Tusaidie
Kwanza Uyo Mkubwa Wao Kachoka Akabaki Kwake Tatizo Mnapenda Kubakiza Wazee Sasa Uyo Mzee Aende Na Hao Waende Waje Wengine Wamevimbirwa Hao
Arusha hata ukikatwa hamtaarifiwi,unakatwa unawashwa inakua kero ss wanachosha kwakweli
Sisi bado tupo kwenye siasa na umeme ni kwa watanzania wote bila kujali chama dini kabila au mahali anapotoka mtu kwa io ili siasa zisiendelee ni kuwafuta kazi wale wanaoshindwa kuwajibika kwa nafasi zao basi io ndio dawa vinginevyo itakua siasa siku zote.
Mheshimiwa Biteko...upo sahihi wanaotukwamisha wapo humuhumu ndani,ni aibu
Fukuzeni hayo matakataka kuna vijana wengi mtaani wanahitaji pesa
TANESCO hawana mshindani wanafanya wanavyotska!wakipata mshindani mambo yatakaa sawa @!
safi sana bro
Hongera
Piga chini hao majambazi hao wamezoea weka wengine hao pumbavu wanajitajirisha wenyewe wanatuibia pesa ukipiga sim hawapokei wasikuzoe kabisa wapumbavu hao washa nisumbua sana
Toen hao wazee wote weken vijana na sasahv watu wafanye kaz kwa mikataba na sio ajira za kudumu
Na hata hao mafundi wa tanesco wakifika ni wabishi wanakuzungusha wee unaripoti tatizo la mita umeme unalika sana wanakuja badala ya kufungua mita waangalie wanakupatia tu maneno wanaondoka
Mheshimiwa unapiga simu wanakuwekea mziki nusu saa nzima unasubiri hawapokei,Bora huduma kwa mteja ya mkoa wanapokea haraka na kufanyia KAZI tatizo Niko Arusha
Aweso nae kama angekuwa anafanya hivi ingekuwa vizuri sana! Hatuna maji mwezi wa sita sasa, mtaa wa tatu wanamaji kibao, unapiga simu DAWASA ni porojo tu!! Hao tanesco ni bora mara 1000 ya DAWASA.
Ndiyo hayahaya tunasema hao wanaokaa mda mref kimazowea,tutolee huyo mzee kwanza wamekula wameshiba wanataka. Nn wanatudumaza tu na uzee wao,toa NAIB WAZIRI,araf inatakiwa tukupe URAIS utatufaa,mimi naipenda chadema ila namkubali kiongozi yyt mwenye akili timam kama,DKT,BITEKO
Budget😂😂 na bado luku wanaondoka na kodi isiojulikana inapelekwa wapi..bure kabisa
Dr. Umetusaidia simu zinapokelewa faster
Mkuu tatizo ni simu wachat sana
Tunataka viongozi kama lakin kama ni mm nafukuzaaa mkuu wa eneo husikaaa Hao wadogo hawana shidaa
Asima uchunguzi ufuate
Yukowapi magufuli jamani 😢😢😢😢 aje kutoa hizi takatakaaa maana tumechokaaaaaaaaa
KWANZA WAULIZENI WAMEIFANYIA NINI TANESCO NASIYO TANESCO IMEWAFANYIA NINI KWAKWELI MHESHIMIWA NISHIDAAAAA HICHOKITENGO WEKA JKT ONDOA HAO WAAMBIE WAKAKAFUTEKAZI YAKUFANYA.
Nilipata itilafu. Nilipiga simu kila mara napewa namba mpya ya taarifa. Siku tatu mfululizo majibu ilikuwa mafundi wanakuja. Nikikaa baada ya muda napokea sms tatizo lako limeshughulikiwa. Mafundi hawakuwahi kuja mpaka leo. Hiyo ndiyo Tanesco. Nilishawachoka Tanesco sikio nlla kufa hilo.
Yan akimaliza Mama Samia 2030 unatufaa mkuu kwa kijiti hiki au Uwaziri mkuu unafaa Chief unahekima Sana na unaona matatizo ya wananchi Mungu atujalie wewe 2030
Fukuza wote,ajiri wapya.Hao wamezoea kazi, wanaweza pokea simu simu na wasije kushughulikia tatizo. Wanaichafua serkali ya mama samia.
Hizo ni siasatu hakuna kitakacho endelea hapo ni upigaji tu hapo sisi huku kwetu umeme ukikaa cku 3 bila kukatika tunahisi wanatutega upuuzi mtupu yani
Fukuza hao ,watumishi wa imma wanafanya kaz kwa mazoea nilitaman wafanya kaz kwa mikataba boss
Tuongelee chumbani tusiweke hadharan
Bila spana hakuna chochote kitakachoendelea. That is called Zero Ownership.
Umwezo mdogo WA utendaji Tanzania unatokana na kufanya kazi kwa mazowea ukosefu WA kuwa na elimu sahihi ya problems solving jambo hili haliitaji bajet wala nini usimamizi sahihi WA customer care Tu Kwanza Mzee Anza kuwapa hapo wafanyakazi task na targets zakufukia kwa siku wawe kila mtu anahudumia wateja kadhaa kulingana na simu zilizowakilisha kwa siku. Acheni kuwa na akiliza darasani tu
NIHIVI HAWA TANESCO WANATAKIWA WAPATE WAPINZANI WAO....KUNA MAKAMPUNI YAPO VIZURI SERIKALI TOWENI FULSA MUONE KAMA WATALETA UJINGA WAO....
Hao hawafai, mwezi mzima umelipia huduma ya kuvutiwa umeme lakini hawaleti na hela wamechukua
Wakati mwingine wapokeaji wanataja majina yao kwa kumumunya maneno ili tusisikie majina yao.😢
Mkoa wa njombe wilaya ya ludewa kata ya madope umeme ulikatika wiki nzima mpaka tupige simu dodoma ndio waka washa hadi leo upo
Kaka Biteko Nimeunguliwa na ofisi yangu ya carwash kibada iliyosababishwa na Mlipuko wa wayaza tanesco hadi leo hakuna majibu
Hawo wote waondoke hawafai
Hata mimi napinga suala la ajira za kudumu Ili watu wachape kazi miaka 10 apewe penseni yake
Kweli biteko atAkwagu akuna mtandao
Jamani tatizo ni kubwa simu hawapokei
Nchi yetu ina watu wa kutuvusha sema bado hawajapewa nafasi hawa Chadema wanapiga kelele za chura mama Apumzike alafu nafasi ya Urais wamsimamishe Mh Majaliwa Ushindi mapema sana Hana mpinzani Majaliwa anakubarika Kila eneo
Ajira za kupeana ndo shida hiyo, futa kazi hao wote mtangaze hizo nafac bila upendeleo uwone vijana watakavochapa kazi
Mataila wote futa wote
Afadhali umeliona mapema mweshimiwa ni makusudi tu ukitoka uko mulika idara ya maji wanamchezea waziri sana
Fukuza hao, watu tupo mtaani mm sijasoma Ila kuiendesha hiyo uduma naweza.
Tukiwapingia sim wanasema tunawasumbua harafu wanakata simu
Ni kweli sm ya emejens haipatikan hata ya kujiunga au ile *152*00# ni shida
uwaga siipendi ccm ila uyu jamaa dotto biteko daa bonge la kiongozi, hafanyi maigizo jamaa yuko smat sana yani
Hao ndo wabongo wanapenda mserereko kila konaaaa, ajirini wakenya humo hao wabongo wanazingua wanataka kulipwa ila hawako tayari kutumikia mshahara wanaolipwa ,maneno maneno mengi ,watu wa ajabu ona uyo anavyokwangal
baba wapenihiyo kazi suma jkt utaona mabadiliko haowanafanya kazi kimazoea
Nchi hii bado tuna viongozi wazembe sana.
Kabisa ndugu na Tunaitaji viongozi wanaoweza kutuvusha siyo wa maneno matupu CCM Kuna Watu wanaweza kuwasaidia Wananchi sema bado hawajapata nafasi mfano Mh Majaliwa, Mh Makonda na huyu Biteko Wakipewa nafasi ya Urais CCM wakitaka uchaguzi huu isitumike nguvu kubwa Wampe nafasi Mh Majaliwa Ushindi mapema
Safi huyu anatakiwa raisi
Wambie mheshimiwa wamekuwa na maneno kuliko utendaji wamebaki,kutupa porojo,, nyingi
Mipango siyo sufuri,
Ulemavu umejiri,
Penzi lako ni sufuri,
Ndoa yetu ni sufuri.
NB: Kakosea Maulana? Book (PDF)
Bado kero tunazopeleka kwako hazitatuliwi ikiwemo.transformer inayosumbua Kila wkt dsm eneo la Ilala Magole halina uwezo Kila wkt fuse halina suluhisho
Tunateseka
Mliwaambia mtawanong'oneza mapungufu yao? Eti kiongozi kuulizwa majukumu yake mbele ya kamera ni vibaya. Hayo mnayojionea ndio matokeo ya nadharia yenu. Kiongozi eti mpaka apewe maagizo bila hivyo hakuna kitu.Wakati wa kubembelezana ulishapita.Napendekeza nafasi nyeti kama hizo zitangazwe wenye sifa waombe kisha wachuane kwenye usaili. Kuteuana kwa heshima ndio matokeo ya huduma mbovu. Utendaji kazi wa baiskeli ambao bila kunyonga pedeli haiendi umepitwa na wakati jamani.Ukweli utabaki kuwa ukweli.
Fukuza hasa hao wapuuzi
Lifute Hilo zee
verytrue
Astante sana