MSANII WA CLAM VEVO AVUNJA UKIMYA AANIKA MAMBO MAPYA ''UCHAWI UPO''/ SNAKE BOY KUNIPANDISHA NDEGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 чер 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
    #alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
    #BinaTv #WasafiTv #ManaraTv
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 122

  • @tomafrank1161
    @tomafrank1161 День тому +14

    Mwenye anapenda style ya huyu jama ati wachaaa 😂😂😂❤❤❤

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 День тому +9

    Iyo sign naikubali sana mmhh wachaaaaaaaaaaaaa , chili umeuwa sana kwenye snake boy

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 19 годин тому +1

    Hiyo waacha nazipenda sna Tena hususa ni hiyo saut Yako inaendana sana na ww nahiyo ngulu kuntantama ntentele pia naipenda sna ❤❤❤🇹🇿

  • @EmilykuvunaKonzi
    @EmilykuvunaKonzi День тому +4

    Alafu kumbe ni handsome michoro na maleso nakuinua mabega juu🤣

  • @arimtekerdivalwamadush7517
    @arimtekerdivalwamadush7517 2 дні тому +7

    Gwiji wa sinema legend kabisa chilli mwanawasosi

  • @giftmalandi5524
    @giftmalandi5524 2 дні тому +2

    Huyu mwamba namkumbuka na kishtobe wake #chilli

  • @DulaKidume
    @DulaKidume День тому +1

    Chili sahivi we wamoto sana nakukubali sana

  • @kimjey0012
    @kimjey0012 23 години тому

    Huyu ni msanii WA miaka mingi Sana ya nyuma ni legend,wacheni kuzingua nyinyi

  • @jugajunior2186
    @jugajunior2186 16 годин тому

    Toka DRC 🇨🇩 tuna mfahamu kama legend, siyo msaani wa Clam

  • @factmedia254
    @factmedia254 10 годин тому

    Character ya wachawi ni huyu jamaa na zinga they are perfect huyu kwanza akikohoa

  • @user-vw8cm7gx9b
    @user-vw8cm7gx9b 2 дні тому +4

    Uko sawa Vila, kweli kwako tunaona kazi poa

  • @BijouxBulose
    @BijouxBulose 2 дні тому +2

    Kweli uyu kwa uganga namukubali saaaana

  • @HadijaRamadhani-vt7ub
    @HadijaRamadhani-vt7ub День тому +1

    Chili anaweza sana ❤

  • @RichardBambila
    @RichardBambila День тому +4

    Mmekosea Sana kuandika title yenu Uyu ni mtu mkubwa mpeni eshima yake siyo msanii wa Vevo ni msanii wa taifa la letu lawa TZ

  • @sitybby0069
    @sitybby0069 День тому +2

    Uyu ni chili ama ❤❤❤

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 День тому +4

    Huyu huyu zama hizo alikuwa anaitwa Kabwera kwa jina la kimchezo tena alikuwa mwemba sana tena. Mimi huyu kaka nimekuwa nafuatilia toka kitambo. Kama siye yeye basi sio kitu.

  • @khanholbes7181
    @khanholbes7181 День тому +1

    Legendary chilli wachaaaa😅😅😅

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 2 дні тому +4

    Nakukubar Sana mwinyi mkuu

  • @MwanaidyHamis-rg1pu
    @MwanaidyHamis-rg1pu 14 годин тому

    yaani hata mimi naipenda hiyo atali❤❤

  • @user-qq1kt3hg1l
    @user-qq1kt3hg1l 4 дні тому +6

    Huyu Kwan ni chill jaman

    • @alexandermilanzi9860
      @alexandermilanzi9860 3 дні тому

      Ndo yeye

    • @manixawadh7198
      @manixawadh7198 2 дні тому

      Nlishangaa sana nnamwangalia mara tatu tatu kwa Tamthilia sura kama naijua Leo ndio nimejua macho yahifadhi kumbukumbu... Well done Chilli.... zama hizoooo

  • @aminakatana8721
    @aminakatana8721 2 дні тому +3

    Walahi uko sawa sana kakangu ❤

  • @naimunaimu2312
    @naimunaimu2312 12 годин тому

    Huyo cy msanii WA clam. Bali ameshirikishwa tu

  • @wakasimadiatz
    @wakasimadiatz 19 годин тому

    Kiukweli hii nimeipenda sana

  • @OfficialHappytz
    @OfficialHappytz 2 дні тому +16

    BinaTv, Title yenu mmezingua huyu sio msanii wa Vevo, Huyo brother ni Legend mpeni heshima yake Chill Mwanawasosi🌍🔥🔥🔥

    • @RichardBambila
      @RichardBambila День тому +1

      Wambie ukweli Hao watangazaji walio zaliwa mwaka 2001 bado watoto
      Hawa mjuwi Chili, tangu movie ya shumileta mpaka leo yupo, sasa anakueje msanii wa Vevo? Wamejaa mandevu kumbe awajuwi lolote pumbavu zao

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 День тому +1

      ​@@RichardBambila😂😂😂

    • @siafuonlinetv1003
      @siafuonlinetv1003 22 години тому

      Watangazaji hawana adabu

    • @user-oz9ib8gl5y
      @user-oz9ib8gl5y 19 годин тому

      Kweli kabisa wanahisi kupewa hiyo part na clam ndo clam BINGWA sana, huyo jamaa BINGWA sana na ata huyo clam alimvuta sababu bila shaka alikua shabiki yake

    • @pesaspy_tv
      @pesaspy_tv 15 годин тому

      Kumbe huyu ndy yule chill mwana wa sosi

  • @eliabenjamin5949
    @eliabenjamin5949 2 дні тому +1

    Hio sign naipenda vibaya mno baba

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 14 годин тому

    Uyu ni legend bana

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 10 годин тому

    Namkubali sana huyu jamaa wachaaaaa

  • @justblackcode
    @justblackcode 16 годин тому

    Nampenda sana 🫴🏾🇰🇪❤️

  • @RahmaAdam-gt5oy
    @RahmaAdam-gt5oy 4 дні тому +3

    Nakpenda sana chill ❤

  • @mirajiramadhani8128
    @mirajiramadhani8128 32 хвилини тому

    This is legend

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 8 годин тому

    Clam coming number one

  • @MosesMakokha-tg4ki
    @MosesMakokha-tg4ki День тому

    Heshima kwako brother 🙏🙏🙏🌹

  • @rasegks
    @rasegks 17 годин тому

    Exactly.. waaacha 🔥🔥

  • @HafsaMashaka
    @HafsaMashaka День тому +1

    Daa kumbe Bado uko poaa unatisha sn

  • @SetyDaudi
    @SetyDaudi День тому

    Naipenda San👍👍

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 дні тому +4

    Jaman kabwera upo. Nimekukumbuka enzi hizo na mzee Majuto❤❤❤🎉🎉🎉

    • @terashangwe255
      @terashangwe255 День тому +1

      Ndugu huyu sio kabwera hutu anaitwa CHILI SOS ni msanii wa MUSA BANZI sio wa VEVO

    • @yaduniapeter
      @yaduniapeter День тому

      Ndo huyo​@@terashangwe255

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 4 дні тому +3

    Chill namkubl mno ongea yk pia sirias

  • @erickmbuya8373
    @erickmbuya8373 2 дні тому +3

    Kumbe ni kijana.... Nilijua mzee😂😂

    • @Tash-maxwel
      @Tash-maxwel 22 години тому

      😂😂😂😂Nilifikiri hivyo pia

  • @user-te7sq5hl4d
    @user-te7sq5hl4d День тому

    Na kumbe ni mzuri hyu mganga❤❤❤ndania ya 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦

  • @StevensonSellejr
    @StevensonSellejr День тому

    Mm pia naipend

  • @marymule1678
    @marymule1678 День тому

    Man Chili mwenyewe

  • @cecilianyundo
    @cecilianyundo 18 годин тому

    Kumbe huyu ni type yangu 😂😂nilijua n mzee

  • @JEBALEKOSeriestv
    @JEBALEKOSeriestv 11 годин тому

    Kumbe alicheza juzijuzi mama wa kambo

  • @user-rj2qv7cw5g
    @user-rj2qv7cw5g День тому

    🎉🎉🎉 wachaaaa😂😂😂 bravo bravo

  • @germanongei2055
    @germanongei2055 22 години тому

    Chili mwana wa sosi kula sili kuharisha matataa😂😂😂....namtambua tangu miaka mingi ya nyuma

  • @EmmanuelLucas-o3z
    @EmmanuelLucas-o3z День тому

    Kumbe ni Chili huyo aise naikumbuka Gereji

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 2 дні тому +2

    Maana ya kurukutanta mantetele maana yake ni, nyie maadui hapa hamfui dafu

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 12 годин тому

    Kabadilika sana chili kisauti😂😂😂

  • @maryamomar9094
    @maryamomar9094 День тому

    Ndio kwanz namuon leo akivua vaz l ugang

  • @sofiasophia9018
    @sofiasophia9018 День тому

    Hata sikuwahi kujua kama nihuyo kaka nilijua nimzee mwengine hata kule kwa menina

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 2 дні тому

    Uko vizuri ntanta man tete mashaallah

  • @terashangwe255
    @terashangwe255 День тому

    Kuhusu kuchekesha chili ni mwamba na nusu

  • @HabibuMwarandu
    @HabibuMwarandu 10 годин тому

    Waachaaaaa

  • @mwanashabilo3757
    @mwanashabilo3757 День тому +2

    Mbona kama chili

  • @user-ck7zi2rq8h
    @user-ck7zi2rq8h 3 дні тому +3

    Pakuuuum wachaaaaaaa kuru kutanta mantentere😂😂😂😂😂😂

  • @user-ci2fc9xw2g
    @user-ci2fc9xw2g День тому

    Kumbe kijana

  • @InnocentFungo
    @InnocentFungo День тому

    Ndoyey huyoo

  • @AmaniEvarist-lc5tg
    @AmaniEvarist-lc5tg 21 годину тому +1

    Broo naswali ivi wewe ndoulikuwa mganga kwenye maneno ya kwambiwa

  • @sagengejackson3623
    @sagengejackson3623 3 дні тому +1

    Namkubali Sana villa 😂

  • @thomassago1055
    @thomassago1055 2 дні тому +1

    Kumbe huyu ni chilli duh kitambo sana

  • @Godwisdom2
    @Godwisdom2 День тому

    Kumbe sio peke angu, hako ka wachaa nakapenda sana

  • @wignissmafumbi4686
    @wignissmafumbi4686 4 дні тому +8

    Mtangazaji umefeli kusema eti diamond anaweza Kwa harmonise, harmonise kwa raivany na raivany anaweza kwa alikiba, huo msemo kumuweka alikiba na rai ......mmmhmm umefeli

  • @MiriamShani
    @MiriamShani День тому

    Kumbe kijana tu kule unaonekana baba

  • @BushiriLouis
    @BushiriLouis 18 годин тому

    Uyo ni celeo aliye teza n'a mzee majuto kwenye film ya mwizi wa kuku !?

  • @dogojahman9381
    @dogojahman9381 12 годин тому

    Namkubali sana uyu mtu

  • @fatumahashimmcheni9610
    @fatumahashimmcheni9610 22 години тому

    Uyu ni Dogo chiliii

  • @ShamimHassan-qm1et
    @ShamimHassan-qm1et 2 дні тому

    Mi mwenyew naiprnda 😂😂😂😂waacha😂😂

  • @bazeditz-d4u
    @bazeditz-d4u 2 дні тому

    Kwenye move ya ODAMA

  • @chochastar7781
    @chochastar7781 21 годину тому

    Mmezingua hiyo title yenu

  • @omarsaid287
    @omarsaid287 13 годин тому

    😂😂😂heti zongo

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 День тому

    Chili mwana wa sosii😂😂

  • @user-sm1zu2mo4b
    @user-sm1zu2mo4b День тому

    huyo sio chili kwe?

  • @mjaweathman6519
    @mjaweathman6519 2 дні тому

    Chili umenona mpaka kale kasauti kako umekasahau😂😂😂😂😂😂

  • @user-mk1lj1vz3u
    @user-mk1lj1vz3u 4 дні тому +2

    Wachaa😂

  • @haridimnimbo7377
    @haridimnimbo7377 2 дні тому

    Huyo ndo mwinyi mkuu aka Villa

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv 15 годин тому

    😂😂😂😂😂😂😂 wachaaaaa

  • @UmmulkheirMashjary
    @UmmulkheirMashjary День тому

    Kurukutanta mantetere😂😂😂😂

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 2 дні тому

    Mm nilijua ni mwinyi mkuu

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 3 дні тому

    Ata mm naiongea sana iyo wachaaa😂

  • @mabablaz123
    @mabablaz123 2 дні тому

    Mtu wangu huyoo..tanta mantentere

  • @user-rj2qv7cw5g
    @user-rj2qv7cw5g День тому

    😂😂 kulukuntanta man teleleee😂😂😂

  • @arimtekerdivalwamadush7517
    @arimtekerdivalwamadush7517 2 дні тому +1

    Chilli mwanawasosi 😂😂

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 2 дні тому

    kuru kuntanta mantentereee 😅😅 waaachaaaa

    • @saidkadute6560
      @saidkadute6560 2 дні тому

      translate uone inamaana gani

    • @nongwanasib
      @nongwanasib 19 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂​@@saidkadute6560

  • @user-qz4sw3hi4c
    @user-qz4sw3hi4c 2 дні тому

    Ringo

  • @ashirakially3176
    @ashirakially3176 2 дні тому

    Hakuna mganga kama chili TZ

  • @HajiRajabu-wb2gb
    @HajiRajabu-wb2gb 4 дні тому +1

    Iv mwamba anaitwa nani

    • @user-ol7pp5dw8j
      @user-ol7pp5dw8j 4 дні тому

      Chili mwana wa sosi jina lake anaitwa Rajabu jumanne

  • @princekiwia2216
    @princekiwia2216 День тому +4

    Huyu ni chili utasemaje msanii wa clam vevo

    • @RichardBambila
      @RichardBambila День тому

      Wambie ukweli Hao watangazaji walio zaliwa mwaka 2001 bado wadogo
      Sana enzi za movie ya shumileta awakuwepo,
      Clam Vevo na wao Bado wanatokwa makamasi pumbavu zao

  • @eunicejefwa1935
    @eunicejefwa1935 День тому +1

    Huyu ni chili?ama namfananisha?

  • @rashidnassor8377
    @rashidnassor8377 3 дні тому +1

    Chili mwana ww sosii

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 дні тому

    Kumbe ni wewe 😂i hee ndio najua sai km ni wee katka ile snake Me nakuona zzz tokea enzi majut

  • @godfreybahitwa4798
    @godfreybahitwa4798 2 дні тому

    Kuru kutanta manteteree..

  • @user-bq2dt8kp3k
    @user-bq2dt8kp3k 2 дні тому

    𝑾𝒂𝒂𝒂𝒂𝒄𝒉𝒂😂😂😂𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒂𝒑𝒆𝒏𝒅𝒂 𝒔𝒏𝒂 𝒂𝒊𝒔𝒆𝒆

  • @khanholbes7181
    @khanholbes7181 День тому

    Legendary chilli wachaaaa😅😅😅

  • @williammazengo486
    @williammazengo486 8 годин тому

    Kurukutanta Kala tetelee -Tusi Hilo kilugha chetu mbwa ww😂😂