SHUHUDIA YULE IMAM MSIKITN KWA SHK OTHMAN MALIM AKISOMA QUR AN KWA SAUTI KALI SANA MASHA ALLAH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 вер 2021
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #shkothmanmaalim

КОМЕНТАРІ • 32

  • @lubuvahussein5556
    @lubuvahussein5556 2 роки тому +3

    Masha'Allah
    Nahc Chozi Kunidondoka Jnc Gn Navyoipenda Qur an Kwa Kufwata Hukmu Zote....Alhamdulillah Kwa Kuzaliwa Ktk Dini Ya Khak

  • @user-hb9uf2pu4n
    @user-hb9uf2pu4n 4 місяці тому

    Maashaallah yaa sheikh akhi twaalib

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 2 роки тому +2

    Masha Allah tungeomba tupate majina na hawa Mashekhe na account zao hawa Ndyo wakuwafatlia unaskilza Nyumban na watoto rahaa Masha Allah

  • @nasraharuna5753
    @nasraharuna5753 Рік тому

    mashaAllah TabarakAllah

  • @salhakhalfan8696
    @salhakhalfan8696 2 роки тому

    Maa Shaa Allah😢😢

  • @omarabedi1372
    @omarabedi1372 2 роки тому

    Masha allah

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 2 роки тому

    Mashaallh

  • @jumakibula4851
    @jumakibula4851 2 роки тому

    MashaALLAH

  • @salimsaiba7710
    @salimsaiba7710 2 роки тому

    Mashallah

  • @salmahemed6681
    @salmahemed6681 Рік тому

    Hakika n sauti mzur

  • @ahmadsaid5845
    @ahmadsaid5845 2 роки тому +1

    Na nyny ....mna ujinga...mtu kafanya jamb kwa ikhlasw mnaanza kumsifu mitandaoni aanze kufanya kwa ajili ya watu...

  • @ibrahimmwendo5076
    @ibrahimmwendo5076 2 роки тому

    Masha Allah hajakosea popote katamka vzr TU mbona ..

    • @babazbinali9446
      @babazbinali9446 2 роки тому

      Yafaa kusomwa,,muhammadu rasulullah,waladhina ma'ahu ashiddau a'alal kuffari ruhamaau bainahum,taraahum rukka'an sujadda yabtaghuna fadhlan mina llahi waridhwana,siimahum fi wujuhihim min athari sujud,dhalika mathaluhum fi tauraa wamathaluhum fil injil

    • @babazbinali9446
      @babazbinali9446 2 роки тому

      Sio "dhalika mathaluhum fi tauraa" kisha "siimahum fi wujuhihim"

    • @mahmoudsaidsakrani4373
      @mahmoudsaidsakrani4373 2 роки тому

      Amekumbushwa hapo unaisikia sauti ya othman maalim Karudia Siimahu na yy akaisoma.. Ukamilifu ni wake Allah na Ukamilifu wa Ibada zetu anaujua yy zaidi.. tunamuomba atukubalie ibada zetu kwa ukamilifu wake InshaAllah

    • @saidmwakulika706
      @saidmwakulika706 11 місяців тому

      Mkamilifu ni Allah pekee ukijua hili to hauwezi kutafuta umaarufu ukajiona ww ndio wajua kuliko mwengine

    • @saidmwakulika706
      @saidmwakulika706 11 місяців тому

      Sisi waislam sijui wapi tunaelekea Yani yatakiwa tukiona wenzetu wame fanya jambo la kheri inatujuzu tulifurahie na kumpa pingezi ktk kheri akiyifanya lkn tunarudisha nyuma na kuwapa nafasi wanao tupinga kupata nguvu na kutufikiria makosa tukiona mwenzetu amejitolea kufanya kheri basi anapo teleza ebu tujaribu kujuwa njia gani yafaa kumkosoa yafaa useme MASHAALLAH kwanza alafu ustadhi iyangalie vuzu Aya fulani hiyo yatosha kumjuza na pia atakuwa na nguvu yakutaka kujua Zaid tuwacheni husda na vijicho na tukiwacha haya basi waislam tutakuwa mbali sana

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 роки тому

    Kukosea kupo hakuna mkamilifu na hakuna anaependa kukosea inatokea tu kibinadamu

  • @yussufsalim7306
    @yussufsalim7306 2 роки тому +1

    Mmmmh sijui ila hapo Aya ya mwisho ya suratul fathi kuana mushkel
    Kwenye usomaji wake
    Kaiyangalie tena

    • @swaffaaghariib5636
      @swaffaaghariib5636 2 роки тому

      Sitatizo kuwepo na mushkeli tatzo ni mushkeli upi .??
      Lakini pia usikute ulieona mushkeli ikawa unamushkeli kila kitu.
      Labda urud kuangalia vzr than utuambie maana dini haizaniwi kila kitu ni ushahidi tu

    • @swaffaaghariib5636
      @swaffaaghariib5636 2 роки тому

      #Yussuf Salim usidhanie mambo ya dini weka wazi kama naww hujui kaa kmy.
      Vilevile Quran ina usomaji wa aina telee so ukisema ktk usomaje wake bimaana hajakosea Quran ila usomaji wake tu inawezekana ww hupendezwi nao au nivipi

    • @yussufsalim7306
      @yussufsalim7306 2 роки тому

      Naona kuna sehem kaeka mbele na mbele kaeka nyuma iskilize hio aya halafu fungua na msaafu utaona

    • @babazbinali9446
      @babazbinali9446 2 роки тому

      Amekosea ayah ya mwisho kidogo

    • @babazbinali9446
      @babazbinali9446 2 роки тому

      Dakika 2:40 mpaka 2:47,,,hicho kipande chafaa kua dakika 2:47 mpka 2:54...na hicho cha mbele chafaa kua nyuma

  • @omarabedi1372
    @omarabedi1372 2 роки тому

    Masha allah