swala ya ijumaa mzee mwenye sauti nzuri zaidi ya kusoma qurani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @kayfatvonline9654
    @kayfatvonline9654 10 місяців тому +2

    Masha Allah ❤

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v Рік тому +2

    ALLAH mtukufu akujalie mwisho mwema shehk wetu

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 10 місяців тому +2

    Mashaallah

  • @masoudpandu4404
    @masoudpandu4404 8 місяців тому +1

    Anaitwa nani

  • @Juma-jx2mg
    @Juma-jx2mg Рік тому +2

    SALLAMMIKUM. NI ZURI. SANA.

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 Рік тому +4

    Siyo swarA ni swala swara ni wa misituni kama hamjuwi musiandike

  • @MwajumaShabani-lj7rs
    @MwajumaShabani-lj7rs 11 місяців тому +2

    Masha allha

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v Рік тому +2

    Mashaa llah 🌹🎉🎉

  • @KhubeybJandaal-uz4oo
    @KhubeybJandaal-uz4oo 10 місяців тому +1

    Hamna kitu apo

  • @Harith-vp6io
    @Harith-vp6io Рік тому +3

    Kwannza nigeliomba hiyi video iyondoshen huyo mzee anakufuru haf pya hajuw taratibu huwezi kusoma sura ndog haf ukaja ukasoma bakra hajuw ki2 huyo mzeee msimuadhirishe pya anakufuruuuu vibaya San dah Allah amuwongoze

    • @ManyeheTv
      @ManyeheTv  Рік тому +1

      Sasa shekhe kama hujui kusoma unatoaje mushiker

    • @Harith-vp6io
      @Harith-vp6io Рік тому +1

      Mim najuwa San tuuuu kulko yeye uyo mzeee anakufuru Kwanza hajuw hata taratibu zakuswalishiya huwe kuwanza kusoma suratunaas rakaa yamwanzo haf rakaa yapil ukasoma suratunabai umeiyona wap iyo wew wacheni kuposti watu wasoo juwa ki2 mkawadhalilisha huyo anaharibu izo swla za watu t

    • @AbdulLiumbo-gz2qs
      @AbdulLiumbo-gz2qs 4 місяці тому

      @@Harith-vp6io wewe muhabi kichwa kibovu kakosea mini sasa

  • @Harith-vp6io
    @Harith-vp6io Рік тому +3

    Hajuw kuran huyu anakoseya alhamdu mim ambae sjasoma sjuw kitu bx mekuta makosa Kam 3 kwenye suratulfatiha hiyo sura ya kwanza rakaa Yakwanza ndomakosa kibaooo yapil pya kiufup mzee hajuw kusoma kuran pya msimrushe mitandaoni mkamuwadhirisha mzeee wawatu kwenye kuran huyo bado Asa

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 8 місяців тому

      Ww unaijua Vzur Quran na hukmu zke ,jee msahafu mzma unaweza kusoma Bla Kukosea,Achaa zko,hupac Kusema Hajuu,Yye na ww Bora Yye,Anaesoma Quran,Hakka Allah Ndie Mwenye ujuz Kujua Quran Yke inasomwa vp,chukua busara zaid