🅻🅸🆅🅴 : WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI ANATOA TAMKO MUDA HUU...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 69

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 Місяць тому +1

    wazir wa mambo ya ndan ( Hamad Masaun) jihudhuru, hufai kabisa kuwa kiongoz

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 Місяць тому

      uko kimya sana kama hakuna wazir, sion bidii yoyote umefanya kwa wanaotekwa, wanaoteka , wanaobaka , wanaolawiti wote ni kundi moja, yaan ww wazir mm sikuelew kabisa.

  • @geofreymajaliwa9294
    @geofreymajaliwa9294 2 місяці тому +6

    Uyu waziri sijawai mwelewa hata kidogo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому +1

      Hafai hata kidogo

    • @Jal210
      @Jal210 2 місяці тому

      @@leokamil6284huyu anabebwa na mama mbona kwa JPM alifeli kabisa

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 Місяць тому

      ajihudhuru, hafai kabisa, na hata mm simwelewi kabisa ni kama sanamu

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 місяці тому +2

    KUTOKA ZANZIBAR, DIRECT KUJA KUWA WAZIRI WA WIZARA NYETI TANGANYIKA. HIVI MTANGANYIKA ANAWEZA KWENDA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ZNZ

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 2 місяці тому

    Huyu jamaa anamaliza bando langu

  • @nestor384
    @nestor384 2 місяці тому +6

    Jeshi la polisi lilishapoteza legitimacy Mwananchi ni bora kutafta haki yake kwa njia nyingine si jeshi la polisi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому +1

      Wewe husikii anawatetea kwa kuwa wanamlinda yeye .Hizi nani anamuelewa Waziri huyo wa mambo ya ndani?.Kwa mtazamo wangu hafai hata kidogo

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 2 місяці тому

    Tatizo lenu hamtaki kukosolewa au kuambiwa ukweli mnapenda kusifiwa vitu ambavyo havipo

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 2 місяці тому +3

    Kunausalama gan watu wanatekwa ko nisalamaa watoto wanapotea ko nisalamaa Kwa kupotea Kwa wa toto na kutekwa Kwa watu wazili mwoongo mkubwa

  • @danielkanso
    @danielkanso 2 місяці тому

    Ndiyo aina ya viongozi wetu

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 2 місяці тому

    Huyu waziri kichefuchefu anatoka nchi gani

  • @othmanothman389
    @othmanothman389 2 місяці тому

    Kwa jeshi letu linafanya kazi kimazoea na siyo kwa ubunifu wa mmoja mmoja wala siyo kama jeshi kwa ujumla wake. Wanaamini kuwa vitisho vitaleta suluhu!

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 2 місяці тому

    Unaleta siasa kwenye maisha ya watanzania

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda Місяць тому

    Tumechochewa hapo et wazr wambo ya ndaniiiiiiiiii!

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 місяці тому

    Kweli upo vizuri mama kombo analia😊

  • @innocentMallya-v4r
    @innocentMallya-v4r Місяць тому

    Hii nchi ni ngumu sana mh tundulisu alipigwa risas mchana kweupe watu wanatekwa police wanau watu nchi yetu imekuwa si salama kabisa wazir ajiuzulu tu sina koment nyingine

  • @AlexFanuel-i1p
    @AlexFanuel-i1p 2 місяці тому +1

    Ndio waziri wa kwanza anayeangalia tumbo lake hata barabarnani mageti kibao tumedi kulekule

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому

      Hafai lakini upole wetu ndio matokeo haya

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 2 місяці тому

    Huyu kiongozi hajitambui natamani angevaa siku kiatu anachopia mwanainchi Huyu ni kilaza mkubwa anajitekenya mwenyewe

  • @Paradisomwagala
    @Paradisomwagala 2 місяці тому +3

    Ninyi endeleenitu sikuzinakuja

  • @nasibuathumani7705
    @nasibuathumani7705 2 місяці тому +2

    Daah. Kwer ina mana huyu mwamba. Ana ishi dubai au wende hajui kinacho enderea

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 2 місяці тому +1

    Gazeti la mwananchi!!!!??

  • @RashedMahmoud-l6y
    @RashedMahmoud-l6y 2 місяці тому

    Kuna habari sasa hivi za Makonda kupotea na kupewa sumu mwandishi wa habari kama huyu aulizwe habari hizo amezipata wapi kama sio kweli achukuliwe hatua.

  • @RashedMahmoud-l6y
    @RashedMahmoud-l6y 2 місяці тому

    Mheshimiwa waziri nakuomba kwa jinsi hali ya upotoshaji wa habari na ukweli waandishi wa habari hao wangechukuliwa hatua kali.

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz Місяць тому

    Kwani hawa Wazanzibar wamekosea nini acheni na ubaguzii kuwa waziri hawa Marais wanaotawala huku Zanzibar si Watanganyika na Mawaziri ndio watupu mbona munawachukia Wazanzibar wakati huku Zanzibar wako hata DC RC na hata Mawaziri na Masheha mbona Wazanzibar hawasemi lolote au wao hawaumii munao umia ni nyinyi tu.

  • @jeremiahakonaay1842
    @jeremiahakonaay1842 Місяць тому

    Mbona unamzungumzia watoto tu je watu wazima! Hivi huyu waziri hajui yanayoendelea nchini wakati hata sasa kuna taarifa za watu kutekwa au ndyo mnaosema wamejiteka na kijipiga risasi???

  • @jeremiahakonaay1842
    @jeremiahakonaay1842 Місяць тому

    MUNGU gani huyo unamtaja wakati kila kona kilio wizara unayoiongoza inahusishwa na mateso ya wananchi

  • @nasibuathumani7705
    @nasibuathumani7705 2 місяці тому +1

    Tuache siasa baba.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 місяці тому +2

    Mbona hata watu wazima wanatekwa mmh

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому

      Tanzania haijawahi kuwa na Waziri ambae haeleweki kama huyu

  • @skuleetech6896
    @skuleetech6896 2 місяці тому +1

    Uhalifu kupungua ,je vituoni mahabusu wamepungua

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 місяці тому

    Hotuba kaandikwa au niaje mbona anafanya kuisoma

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 2 місяці тому

    Hakuna mungu wa kutujalia wrong myself wewe labda upewe uongozi huko huko kwenu soo huku...

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 місяці тому

    ILA BORA UTUONGOZE WEWE KULIKO HUYO MTOTO WA MAKAMBA

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 місяці тому

    Hivi hawa wauliza maswali kama wanaogopa kuuliza maswali mbona kuna kesi mahakamani kuuawa kwa albino?

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uswe tukuti asee

  • @JosephLymo-j8x
    @JosephLymo-j8x Місяць тому

    Hakuna usalama unavyoongea TU inaonyesha hujui unasoma ulichoandikiwa hakuna kit

  • @HezroniJonh
    @HezroniJonh 2 місяці тому

    Hawa wanahabari wa Tanzania ni vichekesho wanauliza maswali ya uwoga uwoga tu pumbavu

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 2 місяці тому

    Tukumbuke!! Maadui wa hii nchi na wale wenye jucho la husda BADO WAPO.
    Nia yao ni kuasudio la kuichafu ili ATI AONEKANE HAWEZI
    Mama mwenyewe kwa mdomo wake aliawma, " Vyama pinzani ukiwatekelezea yalio kwenye TARATIBU ZILIZOPO HAWANA TATIZO. Tatizo lipo kwa wavaa nguo za KIJANI!"!.

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 2 місяці тому

    Jeshi la Polisi ni UKWELI WANAFANYA KAZI YAO KWA 80% (nionavyo) ila TRAFIKI WA BARABARANI NI 45% tatizo . Wizi wamefanikiwa kwa zaidi 95%
    Naomba tusijeTUKAWANYOOSHEA KIDOLE JESHI LA POLISI.
    TUWACHUNGUZE WAZEMBE WAPISHE!

  • @TLAQASISULLE-zr5qg
    @TLAQASISULLE-zr5qg 2 місяці тому +1

    Acha kudanganya watu sativa na hao wanaotekwa na magari vp

  • @IbrahimKasambala-ts8re
    @IbrahimKasambala-ts8re Місяць тому

    KWA NINI?WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MAMBO MENGI YANATOKEA HUTOKI KAMA ULIVYOTOKA LEO? UZALENDO SIKU HIZI UKO WAPI LITOKEE LIPI ILI UWEZE KUJIUZURU?

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 2 місяці тому +1

    Tuambieni wasiojulikana mmewakamata wangapi? Watu waliotekwa na mmewawakoa wangapi? Mh. Umesema mnapambana na wanaoteka watoto. Je hao wanaotekwa na magari kuteswa na kutupwa msituni taarifa yake ni vipi?

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 місяці тому

    Serikali inafaidi nini kuwa na waganga wa ramli karne hii? Futeni usajili tubaki na utabibu wa kawaida kama nchi zingine dunia iliyoendelea. Wananchi wanafahamu nan mpiga ramli chonganishi na nani ni.mtabibu bila ramli. Wizara inayotoa usajili iwajibike kufuatilia mienendo ya waliowapa leseni. Hata baadhi ya madhehebu yanaendeshwa kishirikina lakini mtoa leseni.achukue hatua stahiki kuyaadhibu. Mamlaka za usajili zichukue hatua za kiuchunguzi je masharti.ya leseni yanafuatiliwe vilivyo? Wananchi tuwe bega kwa bega na serikali hasa kutoa taarifa sahihi.

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 2 місяці тому +1

    Polisi wanafanya kazi kubwa gani,? Labda ya kupoteza watu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 місяці тому

      Si wanawalinda wao ndio maana hajali

  • @ymohammed963
    @ymohammed963 2 місяці тому

    Mzenji

  • @allyjarufu1461
    @allyjarufu1461 2 місяці тому

    M

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 2 місяці тому

    Tunamtaka Makonda

  • @HeriMohamedi-re7xu
    @HeriMohamedi-re7xu 2 місяці тому

    Makondoo ni watanganyika siyo Zanzibar jeshi la lenyewe linadili n'a chadema mambo ya watu wanakufa wenyewe hawajui waza'zibar qanapokezanakuja kuja kwa wajinga

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 2 місяці тому

    Nimeamini Serikali ya Mama ipo makini.
    Hata asemwa vibaya hadharani, MSICHOKE, heri wasemao kuliko wale NDUMA KUWILI.
    AMANI, UPENDO NA MSHIKAMAO NDIYO VITU VYA KWANZA!.
    MAENDELEO misingi yake ndiyo hiyo!!

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 2 місяці тому

    Je Ile taarifa ya gari la mafuta kugeuzwa kuwa chombo maalum ya kubebea watoto ni vipi

    • @elizabethmassi7327
      @elizabethmassi7327 2 місяці тому

      lile gari lilibeba wahamiaji haramu na sio watoto tuache kuongeza chumvi

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 місяці тому +1

    Mambo ya ndani kombo mpeleken hoapitali kidole kinanza tumbo limefurugika police mnakaa na mtu badala ya kumpeleka hosp

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 2 місяці тому

    Mheshimiwa waziri mimi majuzi nimeona video mtu akimwagiwa mafuta na kuvalisjwa tairi bovu na kuchoma moto kwa tuhuma za kutaka kuteka mtoto je! Kama ni kweli polisi ilifikia wapi kiupelelezi

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 2 місяці тому +2

    HUYU WAZIRI NI SHOGA, ETI WATU WANATESWA KISIASA👁️👁️! RUDI KWENU ZANZIBAR JISHOHA

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 місяці тому

    Mdogo wangu masauni kazan sana lazima uwe mkali usipochukua hatua afirika imebadirika lejesha macaroni wa nyumba kumi

    • @Omarjumanne-zm9zh
      @Omarjumanne-zm9zh 2 місяці тому

      Lejesha mabarozi wa nyumba kumi

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 місяці тому

      ​@@Omarjumanne-zm9zh Ibrahim Troure wa Burkina Faso Ni kidume kweli naongea bila shida anakabili maswali ya Aina yote

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 2 місяці тому

    hivi ninyi viongozi uchwara kuweni na haibu basi atakidogo, yani mtu anatekwa nayeye mwenyewe anasema police wana usika, alafu we unasema nchi iko safi acheni ubwege, tumechoka propanganda zenu wajinga sana nyie yani mpa nchi ikamwage damu ndio hakili zenu zita funguka,,?

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 2 місяці тому +1

    Nenda tu kwenu zanzibar huku tanganyika tumewachoka

  • @AidaniJohnKomba
    @AidaniJohnKomba 2 місяці тому

    fake news serikali iwe kali world wide fake news ni uharifu😟