- 1 304
- 530 965
Wajawema Online TV
Tanzania
Приєднався 16 лют 2021
Ungana nasi Instagram Facebook Twitter Teregram. Tembelea tovuti zetu ili kufaidika na dini yetu ya uislam kwa kuungana nasi [WAJAWEMA MEDIA PRODUCTION]. ELIMU NA MATENDO
HAFIDH HATANGULIZWI KUSALISHA KAMA HANA HIKI KITU..
Sheikh Abdul Rauf Abdallah Almunawiy
Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv
ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
____
Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv
ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
____
Переглядів: 208
Відео
RADD KWA WAFITINISHAJI |HII NDIO KAULI YA MASALAFI KUHUSU KIFO CHA MUHAMMAD IDI
Переглядів 3,8 тис.20 годин тому
Sheikh Dr. Abuu Ibrahim Khamis Imaam Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
HUKUMU YA KUOA MJAMZITO KATIKA UISLAMU
Переглядів 1,4 тис.20 годин тому
Sheikh Abul Fadhil Kassim Mafuta Kassim Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
RADDI KWA RAISI WA MAHIZBI |HUKMU YA KUNYONYA UTUPU WA MKE AU MUME |MAKATAZO YA KUONGEA BILA ELIMU
Переглядів 1,5 тис.22 години тому
Sheikh Abuu Haashim Abdul Qaadir Almusawaa Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
KUNA HAWA MACHAWA WANALETA FIT'NA KATIKA SAFU YA MASALAFIY |KUTO PEANA NASAHA BAINA YETU MASALAFIY
Переглядів 1,1 тис.День тому
KUNA HAWA MACHAWA WANALETA FIT'NA KATIKA SAFU YA MASALAFIY |KUTO PEANA NASAHA BAINA YETU MASALAFIY
RAISI WA ZANZIBAR ALILIONA HILI NA AKALISEMEA |ALLAH AMHIFADHI NA AMLINDE
Переглядів 2 тис.День тому
Sheikh Abdul Rauf Abdallah Kagimbo Al munawiy Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
JE! QUR'AN UMEIPA NAFASI GANI KATIKA MAISHA YAKO EWE MUISLAM
Переглядів 133День тому
Ustadh Abdul Rahmani Twalha Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
RADDI KWA MUHAMMAD BACHU |USIPEKUE NA KUENEZA MAMBO YA WATU |JE UNAIJUA NAFASI YA PHOTOGRAFIY
Переглядів 3,5 тис.21 день тому
RADDI KWA MUHAMMAD BACHU |USIPEKUE NA KUENEZA MAMBO YA WATU |JE UNAIJUA NAFASI YA PHOTOGRAFIY
TAFSIIR YA SURATUL ASRI |SHEIKH ABDUL RAUF ALMUNAWIY|MARKAZ IMAAMIL MUZANI
Переглядів 9528 днів тому
TAFSIIR YA SURATUL ASRI |SHEIKH ABDUL RAUF ALMUNAWIY|MARKAZ IMAAMIL MUZANI
MALIPO YA KUSHIKAMANA NA KITABU NA SUNNAH
Переглядів 183Місяць тому
MALIPO YA KUSHIKAMANA NA KITABU NA SUNNAH
RADDI KWA ABUU NUAYM PICHA ZA SHEIKH KASSIM MAFUTA UMEZITOA WAPI OMBA MSAMAHA
Переглядів 4,2 тис.Місяць тому
RADDI KWA ABUU NUAYM PICHA ZA SHEIKH KASSIM MAFUTA UMEZITOA WAPI OMBA MSAMAHA
RADD KWA ABUU NUAYM UBAINIFU UNAHITAJIKA KUNAKO PICHA ZA SHEIKH KASSIM MAFUTA
Переглядів 4 тис.Місяць тому
RADD KWA ABUU NUAYM UBAINIFU UNAHITAJIKA KUNAKO PICHA ZA SHEIKH KASSIM MAFUTA
UBAINIFU KUNAKO KHIYANA ILIYO FANYWA KWENYE PICHA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA |SHEIKH ABDALLAH HUMEIDI
Переглядів 1,2 тис.Місяць тому
UBAINIFU KUNAKO KHIYANA ILIYO FANYWA KWENYE PICHA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA |SHEIKH ABDALLAH HUMEIDI
SHAIRI: MOLAWETU MREHEMU SHEIKH JAABIR MWALIMU KUMBUKIZI KWA MWALIMU WETU SHEIKH WETU ALLAH AMREHEMU
Переглядів 1 тис.Місяць тому
SHAIRI: MOLAWETU MREHEMU SHEIKH JAABIR MWALIMU KUMBUKIZI KWA MWALIMU WETU SHEIKH WETU ALLAH AMREHEMU
HIZI NI KATIKA KHIYANA ZA MAYAHUDI NA WAKRISTO
Переглядів 82Місяць тому
HIZI NI KATIKA KHIYANA ZA MAYAHUDI NA WAKRISTO
CHRISTMAS NDANI YAKE KUMBE KUNA KUIABUDU MIZIMU KAMA HIVI HII NI HATARI
Переглядів 241Місяць тому
CHRISTMAS NDANI YAKE KUMBE KUNA KUIABUDU MIZIMU KAMA HIVI HII NI HATARI
UNAIJUA HUKMU YA KUMUOMBA ASIYE KUWA ALLAH
Переглядів 160Місяць тому
UNAIJUA HUKMU YA KUMUOMBA ASIYE KUWA ALLAH
HUYU ANAITAKIDI KUWA NYOTA ZINALETA MVUA HUKMU YAKE NI NINI
Переглядів 211Місяць тому
HUYU ANAITAKIDI KUWA NYOTA ZINALETA MVUA HUKMU YAKE NI NINI
05. KITU GANI TUNAPATA TUKIMTAJA ALLAH
Переглядів 34Місяць тому
05. KITU GANI TUNAPATA TUKIMTAJA ALLAH
SISI HATUSHEHEREKEI PASAKA NA CHRISTMAS
Переглядів 325Місяць тому
SISI HATUSHEHEREKEI PASAKA NA CHRISTMAS
04. FAIDA ZA KUMUOMBA ALLAH KATIKA MAISHA YETU
Переглядів 214Місяць тому
04. FAIDA ZA KUMUOMBA ALLAH KATIKA MAISHA YETU
03. KWANINI ALLAH AMETUAMRISHA TUMTAJE KWA WINGI SANA
Переглядів 257Місяць тому
03. KWANINI ALLAH AMETUAMRISHA TUMTAJE KWA WINGI SANA
02. UJIRA UNAOPATIKANA KATIKA KUMTAJA ALLAH
Переглядів 191Місяць тому
02. UJIRA UNAOPATIKANA KATIKA KUMTAJA ALLAH
DUA NI KITU MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU HIVYO TUMEKULETEA KIPINDI CHA KUJIFUNZA DUA.
Переглядів 223Місяць тому
DUA NI KITU MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU HIVYO TUMEKULETEA KIPINDI CHA KUJIFUNZA DUA.
جزاك الله خيرا
Jazakallahu khayrah
Wekeni namba zenu tuwapigie nyie mnatutia ham yakuwagoji nyie maibirisi laana
Masalaf. Mnaishi kishabiki sana, mbina naona kama mmetumwa na mayahudi, mnaturibia uislam maana yake nisalama
Basi c ungemskiliza
Yasije kua ya muhammad mafuta ayo unayoyasema
msisahau kua waislamu wote duniani ni bidaa isipokua masalafi😂😂
Usisahau pia kila Bidaa ni upotevu na kila upotevu mwisho ni Motoni km alivyosema Mtume ﷺ. Zingatia: Wanaokusudiwa ni wale vinara na viongozi wa uzushi ambao ni maadui wa Sunnah. Vigezo na masharti huzingatiwa.
Kaondoka mwiba wa mawahabi inabidi washerehekee.ni muovu kwa mawahabi ni mwema kwa allah
makhawaarij wakifa munafurahi je askari wanao dhulumu waislamu wakifa pia munafurahia? aliye choma Quran kafa je masalfy wamefurahia? hakika nyie ni maadui wa uislamu
salafy waovu sana na wanakiri kwamba wao ni wazee wa taqiya ukifa kama sio salafy wana furahia sana lakini wataficha kama mashia wafanyavyo pumbavu sana ; eti ana sema haifai kutangaza lakini ufuarhue tu ;
kwa clip hii masalafy ni sawa na mashia yani wanafanya taqiya kwamba inafaa kufurahia lakini iwe kuficha yani kukaa kimya na kuficha furaha ; hakika salafy ni najisi sana kwenye umma wetu ;yani misingi ya dini yao ni kwamba wanafurahia sana masheikh wasio kuwa genge lao la kumuabudu MBS lakini tu wafiche kwa kufanya taqiya
MBS ni nini hicho mkuu?
Allah akuongeze wewe na sisi Ufahamu wako sio sahihi
@@safarinisafari7 Misimamo yetu ipo wazi sana. Lakini kanuni inasema: kila maneno yana mahali pake na kila watu wana maneno yao ya kuelezwa. لكل مقام مقال، ولكل مقال رجال
#salafy waapumbavau tu genge hili la Uingereza aliliunda ili kuvunja dola ya kiislamu tangu Abdulwahab ;salafy ni genge baya sana na kwa sasa wanalaana kubwa wao kwa wao wana gombana kuanzia Ansari sunna salafy jadidi salafy mtutu salafy hajuri salafy jaamii salafy hadahiya salafy mafutawiya salafy m,b,siya nk halafu watu wa bid,aa walio kusudiwa na maimamu shafy sio hawa wapiga dufu kwa ushetani wenu bali hao ni makafiri kabisa na sio hawa kina khitma na dufu nyie wajinga sana makhabithi
Kibaarul-umma, wameteuliwa na nani? Aya uliyotumia ya kulazimisha watu wafuate Wanachuoni hao watatu sio sawa. Siungi mkono kunyonya tupu lakini salafi mnazidi na nyinyi kuwapa hadhi ya unabii wanachuoni wenu wa kisaudia
Usitupangie
Hakuna mtu anakupangia nyonya mavi na mikojo kama kawa
kwanza wewe unaezungumza watu hawaamini kua ni salafi au jini maana huonekani yule alofurahia alijiita salafi ndio maana wakaamini watu kua masalafi wanafurahikia sasa umezuka wewe hata hufahamiki unani wala huonekani hatujui kama ujini au nani halafu hao munoamini nyinyi kua ni watu wa bidaa na wao wanaamini nyinyi masalafi si islamu kamwe ni mayahudi mlotumwa kuuharibu uislamu kwa hiyo musijitape kua muko kwenye haki
Je Mola ameharamisha hilo au akili zenu tu na nyinyi
Ww akili huna kwani usikii nukuu za wanachuon? Na wanachuon wa mtume
We endelea kunyonya mavi na mikojo tu maswali mengi ya nini
Washamba nyie hamna ilmu kwanza pumbaaavu wahabi
Mtume yeye kasemaje juu ya hilo
Allah awahifadhi mashekhe wetu wa kisalafi mzidi kuibainisha haqii inshallah
Sema nyinyi nanyi mnafanya TAQIA Kama Mashia
Misimamo yetu ipo wazi sana. Lakini kanuni inasema: kila maneno yana mahali pake na kila watu wana maneno yao ya kuelezwa. لكل مقام مقال، ولكل مقال رجال
Jazakumullah kher shkh naomba kuulza vp kuhusu yule aliemtia mimba mwanamke alafu akaamua kumuona vp hukumu ya ndoa hiyo na hukumu ya mtoto atakae zaliwa
Nyie MAWAHHABI MNA LAANA
كلم نفيسا
Kumbe Ibnu kathiir ni Mshafiiy😂😂😂😂
Naam, Lakini sio Sufi-khurafi. Hata Sheikh Qasim Mafuta ni Mshafiy walijua hilo?
@SonofJacol-t6h Ushaafiiy wa mdomo labda au unafki. Alafu wewe uongo utakusaidia Nini ndugu yangu
@@QassmuManaaph Kwani Ushafi wa kweli ni upi? Unakusudia usufi?
@@SonofJacol-t6h Anasoma Qunut swalatu Subhi? Anadhihirisha Basmala kwenye swala za Jahri?
@@msafirindiyembuke5168 Hafanyi hayo yote kwa kufanyia kazi maneno ya Imam Shafi mwenyewe aliposema: _pindi itakaposwihi Hadithi Basi Hayo ndio Madhehebu Yangu_ Na hivyo afanyavyo ndio Madhehebu ya Shafi na wala haimtoi katika madh'hab kama alivyoyanukulu hayo *Shaykhul Madh'hab al Imam al Bayhaqiy ash Shafi'iy* katika kitabu chake kiitwacho Ma'rifatu as-Sunnah wal-Aathaar. Pia Mufti wa Madh'hab aitwaye Imam Nawawi alikuwa akikhalif kauli za Madh'hab katika mambo mengi ya Kifiqhi kwa kufuata Dalili zilizothibiti na hili utaliona katika Ikhtiyarat zake katika al-Majmuu. Nitakupa Mfano mmoja tu nao ni katika suala la kuchukua udhu kwa kula nyama ya ngamia 🐫. Allah awarehemu maimamu wetu wote.
Ivi Mawahabi mnazijua sifa za huyo mzushi aliekufa wakati wa Mtume saw?? Au ndo mnanasibisha watu na mambo msiyo na ilmu nayo.......!!
Haya majamaa ni wehukabisa
Kutukana namna hii hakusaidii kwa lolote Bali hii ni dini siyo siasa za mrengo wa kitwahuti
Ina maana muhammad iddi mzinifu,mlevi,mcheza kamari,kakufuru mtume na allah 😮hii ndo maana ya mtu muovu wallahy hawa wanawapoteza watu sana allah awaongoze
Mbona mnashindwa kuelewa kilichosemwa au hujasikiliza hii khutba ? Weka namba yako ya whstp nikutumie hutba mzima huenda ukaelewa
Radiator kisikiliza, acha kukurupuka, na haya ndiyo matatizo yenu, mnamihemko kama moto wa kifuu, shuda yenu huwa mnatanguliza misimamo yenu mbele bila ya kufuata dini.
قال العلامة ربيع بن هادي المدخلي حفظه الله. نحن مع الحق والذي يحخطى حتى من علماء السنة. لا تقبل خطاء . نحن نقبل الحق لكن ليس بالسفاهة والطيش والعداء . لكن بالادب والاحترام والصدق ولاخلاص
Nyinyiunao kufursha, kufurahia, kutia waislamu motoni, kufanya sherehe Kwa Vifo vya wenzetu, bila shaka mwisho wa siku tuombe tu khatima njema Mizani yetu ni moja haijalishi ulikuwa Nan Hakuna pepo ya mwenye kujiita salafi, Kuna Janna ya wenye kutenda mema.
Nani kasema ni wa mitoni... Tatizo hamtaki kuambiwa mnafanya bidaa...bidaa ni dhambi kama madhambi mengine...hata ikiwa alikuwa anafanya bidaa inayopelekea akufuru hakuna atakaye sema yeye ni wamotoni... itasemwa vibaya na dhambi yake ili watu wasimuige huko ndiko kumpenda aliyefariki...ikiwa alikufa akiwa ni maarufu kwa kufanya hayo madhambi. Hata shekh wa Abuu Idi Shekh Muhammad Ayubu atasemwa ni mtu wa bidaa ili tumpunguzie watakaomuiga
Achen ujinga masheikh gan wa kisalaf nyie hamna ata Aibu kusem kua mko masheikh wa kisalaf nyiekarne hiyi mbon Kam mko ma zumbu kuku hivyo
Allah akulipe herii
بيان واضح جزاه الله خيرا
Nyii nimayahuditu naunafiki ndowenu
Dini mashekhe imewashinda ndio maana faraka imewajaaa badara ya itrafu.
Wewe uislaamu umeishinda, hongera sana 'aalim
@@omaryhamisi576 mi sijaelewa ndo unakusudia nini??
Yani kwa maelezo yako nikua mnafurahi lakini kutangaza ndio sio vzuri Hiyo kufurahi ndio tunasema si katika uislam
We unaona haifai?
hua ukweli unauma sana ila niwarudishe nyuma sana. hiv fir-aun alivyo kufa kwakuzama kwe maji nabii mussa na watuwake walifurahi hawaja furahi sas kwa nn hili lakusema ya faa kufurahia kwa mtu inakua gumzo?
Uwahabi mtihani unafananisha watu na firauni.
Hapa hamna dini kabisa ni khiana tu na kibri, yani hata haya huna kumfananisha fir aun na Mohammed iddi.
Kwani fir'aun hakuwa mtu,we nae punguani😂😂😂
NDIO MAFUNZO YENU, MASHEIKH WOTE WALILAUMU KWA KUSEMA MAPEMA LAKINI MPAKA BACHU NA WENGINEO WAMEDHIHIRISHA. HAKI YA KUTANGAZA KAPEWA SHEIKH GANI. MASALAF HATA AWE MFUPI PIA NI SALAFI. NAWE UMESEMA WAZ YAFAA KWANI TATIZO NINI...ENDELEENI KUFURAHI. KILA MTU ATAFUFULIWA NA KUHUKUMIWA PEKE YAKE. HAKUNA USALAFI KWA MOLA VYAMA VYENU MUTAACHA HUKUHUKU DUNIANI
Hatujasikia KWA VILE MUKIFANYA TAQIYA.....SASA MOLA AMEWADHIHIRISHIA upotevu wa Mafunzo yenu....na Jamii Ipate Kujua NJIA ZENU SIO SAHIHI. FITNA NDIO ZENU. HUYO MKUU WA USALAFI TZ..MUMEMPATA VIPI?
Kwani wewe unaamini sisi ni mashia mpaka tuwe na TAQIYA?
Duh, kwa kweli salafy sio waislam maana mtume s.a.w na maswahaba alifurahi warome ameshinda vita na hawa ni wakristo tu na mtume s.a.w alisikitika alipokufa myahudi sio muislam akaulizwa lakini huyu ni myahudi akajibu kwani sio roho? Hawa mnaosema ipo haki ya kusherehekea hawa ni waislam na wameamini nguzo za kiislam zote 5 na imani zote 6 kwanini unasema ipo haki ya kusheherekea kifo cha muislam
Sasa ww unasema masalafi sio waislam sasa tuambie ni ipi dini yaoo
Mtume hakusikitika kwasababu ya kuwa ni roho alisikitika kufa akiwa kafiri kutomkubaliyy ivo ata alipo kufa babayake mdogo Abuu twalib kauzunika kwani mtume s.a.w. akuwaombeya watu duwa ya kuwaangamiza?
@@ramadhanihamisi3977Ni mayahudi
Watafute dini yao isiyo kua uislam uislam hauna mafunzi ya hovyo kama haya ya masalafi waohovyo@@ramadhanihamisi3977
Diniyao niyakiyahudi kwasababu ili mtu awee muislam anatazamwa aqidayake naaqida yakiwahabi niakida yawakristo nawaseme nisalaf Gani ktka salaf swaaleh aliekua na aqida kama yakwao
Hata Muhammad bachu alisema ni vizuri kusherehekea mtu wa bidaa lakini uangalie muda na mazingira usiseme tu unaweza kuingia katka matatizo
Waacheni WAFURAHIE,HAIPUNGUZI WEMA WA MAREHEMU....NA WAO WAKISIFIANA HAIONDOSHI UBAYA WAO. KILA MMOJA ATAFUFULIWA NA KULIPWA PEKE YAKE. VYAMA VYAO VYA KISALAFI WATAVIACHA HAPAHAPA. KUFURAHIA KWAO NI ITHIBAT YA MANENO YA IMAM ALI: UBAYA WA KILA MJA HUDHIHIRIKA KWENYE NCHA YA ULIMI WAKE.... TUNAPOSEMA MASALAFI WANAFADHILIWA KWA FITNA MUKAWA NA SHAKA, SASA MOLA AMEWADHIHIRISHIA. MMOJA WAO ASEMA ATI IKIFIKA 2030 MASALAFI WATAKUA WENGI SERIKALINI KWA MADAI ATI VYUO WAMESHAVITEKA
Kwani m bachu nikamanani ktk elimu
Unjua
Hivi kauli ya masalafy inazingatiwa akizungumza nani ,
Mashekh wakisalafu wenye kutambulika katika jamii ya kisalaf
@@nurdinikisoma5452huyu anayezungumza ni sheikh wa kiwahabi mwenye kutambulika?
Ukisikiliza vzr clip ya sheikh khamis imamu kawataja baazi kwamajina yao tosheka na hao
@@nurdinikisoma5452 wapo wanapohizbishana wao kwa wao nifanye nini kwao,
@@AdnanMohammed-l6i ana clip nyingi nitajie tuu
Jazaakallahu khayran sheikh wetu, naomba kuuliza swali ikiwa Imaam katengukiwa na udhu wakati yu katika tashaahud ya mwisho pindi yeye akinyanyuka kuashiria kubatwilika swala yake nini wafanye maamuma? Kila mmoja amalize kivyake kwa kutoa Salamu au mmoja atangulie kumalizia swala? Naomba jawabu katika hilo baraakallahu fyiikum.
imam atatakiw akamilishe swal n
ikiwa atatengukw na udhu kabla hajatoa salam itatakiw mwngine atangulie kukamilisha
@@abdulhaliimali320 Akamilishe swala vipi wakati Hana twahara? Hebu soma dini nataka jibu la kisomi sio kukurupuka2
@@abdulhaliimali320 Yaani ataenda mbele alipotoka imaam Kwa kusota au palepale alipo atamalizia?
@AsampiMpili imam kwa maan yq mwingine atasimama na kusogea pale mbele
Acheni ujinga enyi kundi potovu la swa'aafiqa,haya mas'ala yenye khilafu kwa wanachuoni,hivyobasi msimamo 1kati ya misimamo2hauwezi kuwa hoja kwa mwingine
We jinga endelea kunyonya mpaka upate kansa ya koo
kwani wewe ni dokta kwani kansa inapatikana kwa 7bu gani hasa ama una sema tu hebu fungua vitabu kwanza ndipo useme
Kwani Sunnah ni mwenendo wa mtume au kikundi cha watu?? Jamani tusaidieni hapo. Kwa mfano mtu ameoa/ameolewa, anaswali, anatoa sadaka, anahudumia wasiojiweza kama wajane mayatima na maskini, na mengineyo kama sio salafi inamaana sio MTU wa Sunnah?? Yaani MTU wa Sunnah ni lazima ujiite salafi ndio MUNGU na mtume wakukubali hata kama huna hivo vigezo. Kabla ya hii salafi kuanzishwa wale waislam wa enzi za dola ya kilwa waliishije katika mifumo ya dini.? Inamaana walikuwa nje ya Sunnah sindio?
Huyu jamaa elimu kubwa lkn hekma busara fasaha na uadilifu zero.Nashangaa kaipataje Phd.
wewe ni mwehu ndio umeongea nini sasa unataka haq ifumbiwe macho?
Wallah kuna watu ata kheri iwe vipi yeye ata tafutatu shari sasa wewe mjinga na huyo alie kutuma waambie watu wamesha ijua hakki bakini na fitna zenu, nyinyi ndio mnataka kuambia ummah kua masalafi ni wabaya lakini haya maneno ya sheikh doctor Allah amihifadhi yapo wazi sasa sijui wew unataka nini
Sa we wataka hekma gani awe nayo we juda usie jielewa
Ujielewi
@@DossaAbuzufaila yaani kufurahia kufa muislam mwenzio ndio haki hiyo???
Hivi ingetokea yale maneno alosema yule mwenzao kuwa wamefurahi yasingepata upinzani mkubwa kutoka kwa waislam mbalimbali haya matangazo yangesikikaa???? Wanajitetea kwaajili mambo yalishafikia pabaya ila kusingekuwa na upinzani kutoka kwa waislam wasingejitetea .
Hiii ndio elimu nyinyi.bakini na ubaya wenu na fitna zenu lakini tumuomba Allah ziwarudie nyinyi wafitinishaji, haya maneno yame eleweka kwa yule mwenye akili sio ww mwehu
Allah akuhefadhi mwalim wang. Hawo wajinga2 Wao wamesahaau manenô walio yazungumza wakati alipo faliki marehem shekh jaabir mwalim
ttz si kauli yayule huenda hata nipandikiz la kisufi liliamua kuchafua hali yahewaa ndio maana shekh kasem ktk hawa mashekh wakubwa wa kisalaf kwamfano qaasim mafuta anaishi tanga na maziko yamefanyik tang nawalikua na mvutano wa muda mref na abuu iddi umeskia akisem chochote kuhus kif chake akafurahi ? kunawakt tunasikitik mtu aliejikita katk daawa mud mref kisha akafa ktk uzushiii
NDIO MAFUNZO YENU, MASHEIKH WOTE WALILAUMU KWA KUSEMA MAPEMA LAKINI MPAKA BACHU NA WENGINEO WAMEDHIHIRISHA. HAKI YA KUTANGAZA KAPEWA SHEIKH GANI. MASALAF HATA AWE MFUPI PIA NI SALAFI. NAWE UMESEMA WAZ YAFAA KWANI TATIZO NINI...ENDELEENI KUFURAHI. KILA MTU ATAFUFULIWA NA KUHUKUMIWA PEKE YAKE. HAKUNA USALAFI KWA MOLA VYAMA VYENU MUTAACHA HUKUHUKU DUNIANI
Yule mzee anatakiwa ataraju na Hilo na lakutukana ulamaa, amebaki na msimamo batwil,na huku analazimisha nae ni salafii
Jazakrllah khaillah. Shehe
أحبك لله ❤❤❤