TOBOA SIRI; JIRANI WANGU AKO NA PAKA AMBAYO INABADILIKA KUWA NYOKA USIKU.
Вставка
- Опубліковано 10 кві 2024
- PAKA HUWA INAANGALIA LANDLORD ANACHANGANYIKIWA ANATHANI AMEMLIPWA NA HAJAMLIPA MIAKA TATU.
Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #toboasiri
Subscribe to RadioJambo UA-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Розваги
Radio jambo, haipatikani hb county kindly do a follow up, plz
Watu wa patanisho and watu wa kutoboa siri are the best kipindi
Stories za jaba
Jaba stories 🤣🤣
Mimi kama mtanzania nashauri wakenya majirani zetu huyo dada mumtafute na mkampime mkojo maana hizo story ni zaidi ya story za jaba 😂😂😂😂
Aende kwa daktari apimwe akili kama yu sawa sawa. Schizophrenic. Pili pil8 asiyoila yamwashiani? Huyu mama wivu umemsakama kooni.
Wewe patia mtu mda aelezee,mbona unapenda kuingililia katikati.Ata mtu anasahau chenye anataka kuongea