Kesi ya ubakaji na unyanyasaji yaanza kummaliza P Diddy, apigwa chini na makampuni haya makubwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 54

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 Рік тому +7

    MUNGU atakupa nafasi ya kula bata hata miaka ishirini.lakini pindi maisha inapobadilika rafiki yangu utatamani kujiua🇰🇪

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому

      Sasa maisha yamebadilika nini na nyie wabongo bhana😂 Kanye west yule pale walimtema lakini Bado pesa anazo na wanamlilia wamrudishe mwenyewe kagoma, wenzetu hivyo ni kama vya ziada yeye mwenyewe ana mishe zake za maana

    • @MremboLily
      @MremboLily Рік тому +1

      @@Oldskulgemini9991But Kanye West issue yake ni tofauti because yeye hana cases za rape or abusing women.

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 Рік тому

      Well said cc waislam tunaamini uwezi kula pesa haram na ikakuacha salama km sio wewe kizazi chako it's matter of tm

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 Рік тому +2

    P Diddy mhuni sanaaa

  • @PhiloteusMahundi
    @PhiloteusMahundi Рік тому +1

    Kwann marekani kesi kama izi zakipuuzi kwa wasanii wanapewa sana au ndio kuna kitu katika biashara zao na aho wakubwa wao

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in Рік тому +2

    Bado hajasema na atasema Yani mpaka aseemeeeee...hapo badooooooo

  • @suddiibrahimu3354
    @suddiibrahimu3354 Рік тому

    jamani laal😢

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 Рік тому +2

    Kila kitu kina mwanzo na mwisho

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому +2

    Wote ndani malipo duniani lazima jela watembelea

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 Рік тому

    “YE” tell them

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 2 місяці тому

    DIDDY amechoka kutumiwa alitaka kuwahuru lakini anajua mengi hawawezi kumuacha.DIDDY kwisha.

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 Рік тому +2

    Mastar poleni.

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Рік тому +3

    HAWA JAMAA WAKISHA KUCHOKA LAZIMA URUDISHE HELA ZAO ZOTE 🤔🤔🤔 ACHANA NA ULIMWENGU WA FREE MANSION

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 Рік тому +1

      Hayo ni mawazo tu yakimaskin🤣 ukicheza na wanawake vbaya haya lazma yakupate hakuna Cha ufreemason Wala nn

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому

      Tafuta Hela sio Kila msanii ni Free mason😂😂

  • @johnnchora3215
    @johnnchora3215 Рік тому +2

    Wana singiziwa

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +1

    HIZO HABARI TU,,,ILA HUWEZ KUSIKIA KAFILISIKA NG'O

  • @cchimodzi3858
    @cchimodzi3858 Рік тому +2

    Wameanza kummaliza gangster

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 Рік тому +1

    Wazungu ndio wanapenda kusikia hizi habari ...anguko la mtu mweusi kwa namna yoyote ile...wanawatumia weusi kuwaangusha weusi wenzao...msije mkafikiri wazungu wanapenda kuona au kusikia mtu mweusi ni billionea....how come the Nigga from africa to be a billionaire....next stop Jay Z

  • @babuwajinaommy725
    @babuwajinaommy725 Рік тому

    Sasa ni wakati wakurudi kwao mwagadishu Somalia ndio chimbuko la baba yake😂😂😂

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Рік тому +3

    Hawa black wana majanga sana asee

  • @faridamohammad004
    @faridamohammad004 Рік тому +1

    All this drama just to tarnish him and destroy him..pple are wicked outchea

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 Рік тому +3

    Nilisema mimi watamfilisi kama wengine walivyo filisiwa

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 Рік тому

      Wanajisahau sana

    • @phiniasphilemon6514
      @phiniasphilemon6514 Рік тому

      Jipe moyo

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 Рік тому

      @@phiniasphilemon6514 ww nawe nijipe moyo wanini sasa vijana sikuizi mnapenda kuongea kwasababu tu mnajua kuonge

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 Рік тому +1

      @@phiniasphilemon6514 wanasingiziwaje na ushaid upo🤣 mmeshazoea huku kuwa abuse wanawake huko hutoboi au hukusikia alichosema mywether

  • @johnnchora3215
    @johnnchora3215 Рік тому +3

    Diamond awe makini na watu

    • @TheBossOdhis
      @TheBossOdhis Рік тому

      Kwani amebaka nani

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 Рік тому

      😅

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 Рік тому

      😅 sasa diamond kaingia vipi tena humo kk? ila waafrika sijui tukj wallah 😅

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому

      Diamond ameshawahi kukusaidia nini kwenye maisha Yako kijana? Acha kutukuza watu angalia maisha yako

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому

      ​@@jaymandy8136sio Africa bongo ushamba mwingi wengi wanajiona wajanja kumbe washamba kinoma😂

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 2 місяці тому

    DIDDY ni mtu mkubwa sana kulikua hakunamtu anaweza kumueka ndani.shida amekua na kiburi nakufanya maovu hadarani kujifanya kilakitu alichonacho ni bidiizake.hahita mtu yoyote amwambie ninichakufaya.anambiwa sisindio tulikutengeneza na sisindio sababu ya wewekufika hapoulipo.

  • @shahiimtahjiir4862
    @shahiimtahjiir4862 Рік тому +2

    Bado jay z😂😂

  • @norfenvgeraldo9493
    @norfenvgeraldo9493 Рік тому

    Kwani wanabakaga saaa ngapi?? mbona awaonekani,?? mbona awaongei, ukorofi huo.

  • @AishaSalaga-rv7sb
    @AishaSalaga-rv7sb Рік тому +2

    Kwann hawa black American wasirud tu Africa?maana baada ya rkelly,,,kanye west,sasa pdiddy

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb Рік тому

      Akili yako ya kimagufuri unajua wa Africa wenzio no kwnz Africa ni continent haya unampeleka wapy

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому +1

      Hao sio waafrika we hata historia hujasoma hao sio wenzako hao ni wamarekani hawana ndugu Africa 😂😂😂

    • @AishaSalaga-rv7sb
      @AishaSalaga-rv7sb Рік тому

      Hao ni waafrika asili yao ni Afrika walikwenda enzi za utumwa(triangular slave trade),,origin yao ni ndugu zetu wengi kutoka Afrika ya magharibi na niliposema warudi ni ile kuhisi undugu kati yangu nao sbb najua they are from Africa,,,,,,,,haya wew uliyesoma historia tuambie Watu weusi Marekani wamefika je?

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 Рік тому

      @@AishaSalaga-rv7sb kwahiyo wakina Rick Ross waliendackipindi cha utumwa sio😂 kizazi cha utumwa kilishapotea Karne za nyuma huko hao weusi unaowaona Sasa Hivi sio waafrika na wengi at ukiwauliza wataje nchi tatu za Africa hawajui wengine ndo kabisa wanujua Africa ni mapori😂

    • @AishaSalaga-rv7sb
      @AishaSalaga-rv7sb Рік тому

      @@Oldskulgemini9991 unaonesha ni mgumu kuelewa nenda kasome asili ya watu weusi in America unatakiwa ujue asili yao ni Afrika cjakwambia ni wa Afrika,,,na kilichojaribu kusema ni kuwa black people in diaspora asili yao ni Africa hata huyo rock Rosi wako pia,,,,alafu kwani uzungu umekunogea sana kiasi unaona they are so special?nenda kasome biashara ya utumwa ya pembe tatu,,,,,utaelewa!

  • @othmanmusilm
    @othmanmusilm Рік тому +1

    Alianza R Kelly Kanye West sasa P diddy